SEMAJI APEWA KUKU ASHINDWA KUJIZUIA KWA DEBORA FERNANDEZ/"AMENIKOSHA SANA/UTAMBULISHO ULIKUA SUPERB!
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Kwa kweli umetisha sana Amedi umeitambulisha Tanzania nafikiri mwakani mpaka wazungu watajaza uwanja ujue umeingia uwanjani kipekee yaani ya kitalii nakupa maua mengi 🎉🎉🎉🎉🎉 sana
Utalii+
Mama Samia atoe zawadi kwa Ahmed Aly kwa idea hii...
Big up🎉🎉🎉
Semaji hongera sana mungu azidi kukupa afya maisha marefu na mwisho mwema inshaallah
Big upo bro,...may Allah give you long life and his angles be by your sides to protect you from any evil through your life time
Semaji la kimataifa umetisha ,huna bayaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Hongera semajI ubunifu mzuri sa hivi ulivyoingia kiutamaduni
Hongera semaji letu Kwa mpira tulioona Kwa kweli nimefurahi pia tutarajie kupata mazuri Zaid maana hapo Bado hawajazoena vizuri Kwa sababu cocha ni mgeni na wachezaji Bado nao niwageni tukiwapa mda zaidi na tukiwaombea mazuri yatakuwepo
Ubaya ubwela Ahmed semaji wetu ❤❤❤❤ pongezi kwa wachezaji wetu wapya tunawakaribisha kamarah na Deborah firnando🫶🫶❤❤❤
Kuna watatu na kuna jeshi la mtu mmoja❤❤❤❤❤
Ubayaaa ubwelaaa❤❤❤
I don't know how to speak swahili but huyu FERNANDEZ DISCONECTOR huyu jamaa n mtu haswa 🧐
😂😂😂
Kwenda uko apo umeongeeje kisambaaaa?
@@andrewzimba692 😂😂😂
MAUA YA SEMAJI 🎉🎉🙏
Ubaya 😑 ubwelaaa ❤️
One love Simba❤❤❤❤
Hongera Semaji
Simba nguvu moja
Apo saw Nguvu moja 🤜🤜🤜
Wanasimba wote nimewapa like bado mim tu kwa semaji letu la dunia ubaya ubwela❤❤❤❤❤
Semaji ongea kaka maana tumeona tumefurahi sana
Sijapenda hapo mlitakiwa namna ya kumsaidia apate usafiri wa bagamoyo
Kwa Simba hii amani ya moyo ipo thank mo
Semaji lakeee asanteeee sanaa ,simba daima katka nyakat zote.
Simba nguvu mojaaaaa
Simba Babu kubwA
❤
Ubrikiwe mnoo, sure all Simba fans we love you
Nakukubali semaji la cuf Simba ubaya ubwelaaa 💪💪💪
Hii ndiyo Simba tunayoitaka aisee ubaya ubwela
❤❤❤ ubaya ubwela 🦁🦁🦁🦁🦁
♥️♥️♥️♥️😘🤝 pamoja sana 🙏
Semajiiii
Simba nguvu moja ❤❤❤ msmu huu kitawaka
🎉🎉
Semaji 🎉🎉🎉🎉🎉
My Simba❤
Deborah Fernandez mavambo
Disconnector Deborah Fernandez mavambo muite ivo
😂😂😂 disconnector
Disconnecter tarehe 8 tutalaza watu na viatu wenye matokeo mfukoni hakuna duka la kuuza mechi
Wewe ndo semaji bora tz hu na baya❤❤❤❤❤
Nguvu moja
Viongozi sie hatuwadaiiii,,,muongee na wachezaji tu tunataka muendelezo
❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mungu atabaki kua mungu 2
Mimi muda huu nipo hospital nimelazwa, scabrough general hospital Toronto, tokea muda wenzangu wanaingia uwanjani hadi mwisho bila kukosa, ubaya ubwele
Pole Sana mwenyezi mungu atakusaidia utapona ndugu yetu❤️🦁🦁
Mungu akuinue kwa damu ya yesu🙏
Allah akufanyie wepesi
Pole Allah Akufanyie Wepesi In sha Allah.
Pole sana, Mungu akuponye na kukupa afya njema. Get well soon.
Fernandez Mavambo,,Joshua mtale ❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤
🔥🔥
Nice
SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤ ILA MNGE TULETEA NA ELI PANZU DAAAAA KWAKIKOSI NILICHO ONA SIMBA TUNGE TANGAZA UBINGWA MWANZON MWA LIGI
Unaenda wapii tupo na ww sana SEMAJIII❤❤
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🤗🤗💓💓💓
Nguvumoja ✊
Ubaya ubwela 🎉
Semaji letu jeshi la mtu Moko kutoka Arusha, chugastan tupo pamoja💪💪💪💪💪💪💪
❤❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁💪💪💪💪🙏🙏🙏
kikosi kipo gadosana tutafanya wonders sana
Huyu Ahmedy ally angelikua ndio msemaji wa utopolo angelituumiza sana yaani.
Lakini Mungu ni mwema amemleta upande wetu sio haba
Kabisa yan
Mungu akutunze daima
Hahahahahha wote wanaungana ila awamuwez❤❤❤❤❤❤
Statement "Kama nitaendelea kuwepo Simba" iwekeni akiba soon huyu jamaa atakuwa na dili lingine nje ya simba sc
uyu Debora Fernandez disconector 😂🔥🙌
Ahmed huyo jamaa alikuwa anahitaji hela ya nauli😂
🇹🇿
Semaji huna baya tunakupenda mungu akupe nguvu na saut yako irud mahala pake naona inakwaruza
Ubaya
Kila kitu sio cha kupokea pokea wengine wanatumwa hao kwa gia za zawadi shauri YENU
10:52
Tangu Dunia kuumbwa sijawahi kuona Simba day kubwa namna hii,pongezi kwako machine ya kuongea
Huyu jamaaa semaji la CAF apewe maua yake 🎉🎉🎉
Simba nguvu. Tunaomba tawi tufunguliwe lukohe newala
SEMAJI YUPO DUNIA YAKE
Simba mnyama,,,,, Yanga wajee hata saa nane hawatokii chini yetu
Nani kasikia sauti ya jogoo baada ya ahmedi ally kusema chipsi kuku dakika ya 1:48
😂😂😂
Semaji unapendwa
Leo wavuvi wa dagaa hawajaenda kazini kwao kwa kuwashuhudia wachezaji wetu
semaji ime kwenda ubaya ubwela nguvu moja paka talee nane
kaka uko vzr San wewe ndo simba
😂😂😂
Semaj jiangalie isije kua katumwa na mzee mpili.
Mzee mpili anatokea ikwiriri
@@mckobatz5861 ndo uyouyo anaweza kumtumia pia
😂😂😂😂😂
Kwa sababu jamaa anajua mpaka anakera
Ubaya ubwela
Ahmed Ally ni kipenzi cha watu wasimba hajui kujikweza
🦁🦁❤️❤️❤️🤍🤍🤍❤️🤍🤍
Sasa kawaomba nauli.mnapotezea
mtu hatari sana
Semaji ni wewe2 wengine wapiga kelele 2
Sis sio wala vibudu
Fernandez atari xan
UN- umoja wa Mataifa,
Yaan umetsha mnoooo bro semaj la caff huyo zungu haijawah fanya hvyo toka aanze propaganda zake
Zawadi skuizi 2naomba na nyongeza🤣🤣🤣
Alafu Ahmed bro umemkosea shabiki huyo anataka namba wee unasema wahi gari umemkosea Sanaa hao ndo wanafanya wewe uwe Ahmed Ally
Hongera sana timu yangu mungu azidi kuwapigania wachezaji wetu..
Wengine vigwagula sio unatoa toa tu namba
Hili semaji la kima taifa ishi miaka mingi
Amemuomba nauli kidizaini hajampa acheni kutumika hao watu hawana shida na nynyi pumbavu ungempa mama yk akala je nyny wtngnyika mnateseka na umarufu wa kijinga
#UBAYAUBWELA APO TUEKEE FULL MATCH TUANGALIE TENA NA LEO
🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu moja
😂😂😂😂
Ubaya ubwela