MZEE ASHANGAA BIBLIA KUSEMA WALIOLALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Tafadhali subscribe kwenye Straight Path Dawah channel ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

КОМЕНТАРІ •

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 2 роки тому +4

    Waislam tupo wingi Sana Alhamdullilah ... Lamuhimu tujitoleeni kusaidia huu mjengo... Sio kila siku sheikh atuombe atukumbushe hili NI jukumu letu sote waislamu, tutoweni Kwa kadri ya uwezo wetu.. Na Allah atatulipa mema sisi na mashekhe wetu hapa duniani na kesho Akhera...

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 2 роки тому +4

    Barakalahu feek sheikh ramadhan na team yote

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому

    Shukran sheikh ramadhan kwa jitihada zako za dawaah Allah atawalipa mema fii dunia wal Akhera pamoja na team yako

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 Рік тому

    Mungu awaongoze zaid masheh wangu unafanya kazi ngumu sanaa

  • @AshuraBwatamu
    @AshuraBwatamu Рік тому

    Masha Allah. Shekhe ALLAH ATAKUFANYIA WEPESI IN SHAALLAH

  • @lailasworld.1276
    @lailasworld.1276 2 роки тому +2

    Hakuna sauti Ustadh.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +2

    Wakiristo hawasomi bibilia Yao ndiyomaana hawajui alafu wabishi kumjibu maswari hawawezi. Mashehe zetu Allah Awape subra

    • @hanifajuma6121
      @hanifajuma6121 2 роки тому

      As salamalaikum my name sake.

    • @zainalukuni1552
      @zainalukuni1552 2 роки тому

      Wewe shehe Mungu anakuona kwakupotosha watu, wewe hunapepo Bali unamapepo

  • @fumoshee2524
    @fumoshee2524 2 роки тому

    LAATAGH'DHAB LAATAGH'DHAB LAATAGH'BAD...ndugu ramadh kuria bin kaguo usichoke na Allah atakurahisishia kazi...nakuombe kila la khairi na IKHLASW...amiin

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +5

    وَقُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَزَهَقَ الْبَاطِلُ ۚ إِنَّ الْبَاطِلَ كَانَ زَهُوقًا

  • @abdulissaahmed7946
    @abdulissaahmed7946 2 роки тому +2

    Watching from Sweden

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 2 роки тому

    May Allah Grant you long life ustadh Ramadan

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 2 роки тому

    Huyu Mzee anachekesha sana, amepandikizwa imani isiyo endana na maandiko na maandiko ya Biblia, sasa anashangaa. Wahubiri mnafanya kazi kubwa.

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому +2

    Tunawaombea kwa mmungu awalainishe moyo yao wakiona haki waifuate.
    Aamiin

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому

    Allah atufanyie wepesi kazi ikamilike in shaa Allah

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 роки тому +1

    Asalam alaykum warhmatullahi wabarakatuh MashAallah jazakumllah lheyir

  • @bigfish291
    @bigfish291 2 роки тому +1

    Sauti iko sawa sasa.

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +5

    Mzee ameshangaa. Ako na umri huu na hajawai kusikia na kuiona verse kama hii

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      🥲🥲

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 роки тому +1

      Hiyo verse mnaitafsiri vibaya . Paulo alihoji Kama zingatia Kama? Kwahiyo alihoji wale wasioamini

    • @mosmart4718
      @mosmart4718 2 роки тому +1

      @@madetetv6576 it really doesn’t matter ndugu because there are hundreds of crooked verses in the Bible which even my 6 year old can tell you it’s from the Almighty God.

    • @saumuabdallah6747
      @saumuabdallah6747 2 роки тому +1

      the verse was not completed...they r making comedy with scripture.

    • @mosmart4718
      @mosmart4718 2 роки тому +2

      @@saumuabdallah6747 how about the over 50.000 errors in the Bible. Does God makes mistakes?

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

    Shime ndugu zangu waislamu tutoeni sadaka tumalize hii project kwa uwezo wa Allah in shaa Allah.

  • @omarabdallah7198
    @omarabdallah7198 Рік тому

    MashaAllah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому +1

    Allah wakabar 💙💛💚

  • @aminaali2209
    @aminaali2209 2 роки тому +2

    Aww sheikh could you pls share the amount needed so that the public could share. May Allah make it easy for all of us.
    Pls indicate the name n number for mpesa. Thank you for all your hard work.

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 2 роки тому

    Mjue yesu.muukumu.wa ulimwengu. Matayo. 24;. 1. 14.

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 2 роки тому +1

    Umempatia sheh

  • @saumuabdallah6747
    @saumuabdallah6747 2 роки тому +2

    mrasta ako juu steam 🤣🤣🤣🤣

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 8 місяців тому

    SubhAnaAllah🤣🤣WalioLalaKaktikaKristoWamepoteajamanNimechekaKwasautiHadiMachoz.AlhamdulilahAllahAwalindeMasheheWetuYaarabi

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому

    Mzee ananichekesha sana eti hapana 😁😄

  • @salimbaasba6159
    @salimbaasba6159 2 роки тому +2

    Assalam aleikum, samahani, sauti hakuna

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому

      Sauti IPO kubwa sana jaribu tena

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 роки тому

      😂😂😂 hata mimi ilinisumbua hivo but iko sawa sahi

  • @drallicemugasa3086
    @drallicemugasa3086 2 роки тому

    We shekhe acha kupotosha watu wa MUNGU.Biblia haisomwi mstali mmoja ili kupotosha ukweli wa mwandishi wa neno la MUNGU ,kama we nimkweli kwanini husomi wa 1korintho 15:1-28.ili kupata màana kamili? Niaje mashekhe mnachukua kipengele Kimoja ktk Biblia kupotosha ukweli wa neno la MUNGU kama mnavyofanya hapo mnatusomea 1 wakorintho 15:18 ili kupotasha maana ya neno lla MUNGU.Anza kusoma Aya za juu ya kile ulicho kikusudia hadi pale ulipo kusudia katu uislamu siyo dini yakutupeleka mbinguni Bali ni njia yakutupeleka peponi jehanamu shetani analijua hili.kama mwanadamu yupo Anapinga Habari YESU pole sana! Kwani wanao mwamini YESU nakufata maagizo yake wote siku ya mwisho watakwenda Paradiso Mbinguni .wakati waislamu wata kwenda peponi ilipo paradiso ya wapinga ukweli wa MUNGU yaani jehanam.

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 2 роки тому

    elewa andiko kwanza inasema Nini ndio ujuwe mahana yake siyo unatumia mandiko kwa kupinga Bali siyo kuelewa na utawai elewa mahana uko na Imani yakupinga2 yesu kristo akusamehe na akusaidie ujuwe ukweli wa mungu kupitia yesu kristo

  • @saidomar9847
    @saidomar9847 2 роки тому

    Asalam alaykum ndugu yangu Ramadhan ni vizuri ukiwa unawaelimisha watu hasa hawa wakristo waelimishe kutoka kwenye mapungufu yao ili waelewe dini ya haki na nyoofu huyu mzee umemuambia asome mstari wa 15 lakini hiyo ni verse ya hitimisho ya dhumuni la verse zilizotangulia kuanzia 12 huko juu sasa huyu mzee akienda kusoma Bible atagundua ulikua unamchezesha shere kesho hatakusikiliza atakuona ulitaka kumpotosha mahali alipo amini tangu akiwa mtoto sasa angalia namna nzuri ya kuwaongoa watu waende kwenye mstari na njia iliyonyooka..waalaykum salam.

  • @kathinimbulo2829
    @kathinimbulo2829 Рік тому

    Congrats but mbona msikuje Kitui pia tusemesane haya ya mungu

  • @LiveOnTheHolyWord
    @LiveOnTheHolyWord 2 роки тому

    Nyinyi sio wa kweli, if you are sincere, read the Scripture contextually not picking on a line that may sound different when whole thing is read! Nyie waongo

  • @achangomaitambae1229
    @achangomaitambae1229 2 роки тому +1

    huyo jamaa ako full handas na mkojo wa firaun.mazungumzo yake hayaeleweki.mungu amuongozee

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Sheikh Ramadan ameona hako sawa angeachana nae kuchunga mda

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      😃😃😃😃

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +1

    Mzee mbavu zangu weeeee😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    😂😂ila huyu Babu kanichekesha eti hapanaaa

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 роки тому +2

    Huyo mkaka amechanganyikiwa

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 роки тому

      Mashaallah mzee nimzur huyo mfuatilie sana anamsimamo

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Ako full handas angeachana nae kuchunga mda

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@yunusramadhan2546 naam amjua mtume vzr alipozawa na alipokufa na khadija kamuita kiheshima(mama)

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +1

    Mzee amenifurahisha🤣 Allah amuongoze

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 роки тому

    😁😁😁Wallah nimecheka uyu babu eti hapana

  • @AbdulHamid-xj7ip
    @AbdulHamid-xj7ip 2 роки тому +1

    Mzee kauchomoa

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 роки тому

    Rasta😁😁

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    Huyo mwanmume vip kwanza na hio mikono yake anavyo iweka mzima kweli huyo au ndio wale wale hio mikono kama anamchamba Mtu akaaa weeee🙄

  • @benjaminsika1782
    @benjaminsika1782 Рік тому

    Kaa waisalm ujinga wenyewe was kufundisha biblia ni Ivo Wala hamuwapti watu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

    Muhoka ni Mirungi , Miraa au ?

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 роки тому

      Mugoka ni MAJANI ya Miraa .
      Na hizi MAJANI au Leaves za Miraa ni 5 Times more STEAM au Drug au ULEVI kuliko Miraa itself.
      This why, it is a new trend to chew the LEAVES, instead of the Muraa itself.
      In ENGLAND, the Miraa is banned as a DRUG.
      BUT now, they tested the Leaves or MOGOKA, and the Labs say it containd 5 times MORE DRUG than Miraa!

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@Sai.Mo69 Subhuanallah !! Shukrani Kwa kunielewesha.

  • @leiladagane
    @leiladagane 2 роки тому

    Hawa kristo ati munasema nikikufa nitaenda mpinguni !! Kwani mbinguni ni yenu ama ni nyinyi ndio mlijenga ??...when did you grow out of ignorance???....waah!!!....mbona msichukue njia sahihi ya uislamu ???......

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 2 роки тому

    Ata kama ni kufunza uache uongo na kusoma bibilia vibaya.You are just cunning and a liar today.That 1Corinthians 15 verse is in context of previous verses and following verses which clearly states if Christ never resurrected then the dead have gone to destruction,but because he resurrected then they have not gone to destruction.You choose only one verse to satisfy your heart why not read all the verses.Just application of Tricks and baits.some of your teaching are true but on these one you have gone low.

    • @janaleokesho8374
      @janaleokesho8374 2 роки тому

      @@abdallamkwaju6102 Also you get it from shetani advocate

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 роки тому

    Kwa nini umuhoji mtu Asie elewa maandiko ? Tayali amesema yeye ni rasta ila wewe ume endelea kumuhoji mashi faida hare leshe utamusomea mtu andiko bila kumutowa Mapepo ambayo imemusumbuwa ? Mbona mumehangaika sana kuwapoteza watu ?

    • @SalmaMohamed-ck3og
      @SalmaMohamed-ck3og 2 роки тому

      Allah akuongoze pia wewe.uweze kusoma,kuandika vizuri bila kukosea mana hapo comment yako haiko clear.alafu akupe uwezekano mkubwa wa kuelewa.huwezi ongelea kitu hujakisoma vizuri....soma bibilia yako vizuri uielewe tena yote sio nusu nusu ,ndio uweze kuongea mbele ya walio soma dini.

  • @enockbk
    @enockbk 2 роки тому +2

    Shetani mkubwa wewe ulaniwe milele mbona usiambie huyu mzee ukweli iloneno una mdanganya kwanini kama ungekua mkweli ninge kufuata soma Haya yote upate kuelewa

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 роки тому

      Umechoka sana kakojoe ukalale ndugu

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 2 роки тому

      Masikini bado uko usingizini but insha'Allah ukiamka kutoka usingizi utaujua ukweli

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 2 роки тому +1

      Ivyo ivyo njo wana danganya wengi kusomatu nusu la andiko bila ku anza ao ku maliza andiko pôle kwa wasioyo soma biblia watu Wa mungu wa potea kwa kukosa maarifa hivi njo wanapotea

    • @enockbk
      @enockbk 2 роки тому +1

      Swali langu ni kama wewe nimkweli bona udanganye bona usisome Haya yote....?

    • @enockbk
      @enockbk 2 роки тому +1

      @@ambarnelly6304 Sasa kwani Mungu wako ni wa Matusi Na unangoja nimfuate

  • @eddyjayden1643
    @eddyjayden1643 2 роки тому

    The guy needs to understand the Bilble, not just a verse to prove his propaganda. He should read the whole of 1 cor 15

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 2 роки тому +1

    Wuyu Hana lolote

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 роки тому

    Nauliza nani amepona hizi ku ha za Ramazani ? Nikama amekuwa n'a ku ha bandia ao kapakaa rangi kwenye kucha

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому

    RAMADHAN BIN KURIA WA GAKUO NI MPUMBAVU SANA.....SIO MATUSI, MPUMBAVU NI MTU ANAEJUA UKWELI LAKINI ANAPUMBAZA WATU.
    ANACHUKUA VERSE MOJA NA KUI-MISINTERPRETE "Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea." 1 WAKORINTHO 15:18
    MEANING OF THAT ONE VERSE NI HIVI>>>> KAMA YESU HAKUFUFUKA. ,,,, BASI WALIOLALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA....LAKINI MAANDIKO YANASEMA YESU KRISTO ALIFUFUKA, KWA HIYO WAKRISTO HAWAJAPOTEA.....SOMA KUANZIA VERSE 12 UPATE PICHA KAMILI....DONT JUST CHERRY PICK VERSE 18 ONLY TO SUIT YOUR FASLE BELIEFS..
    WAISLAMU HUYU MALIMU WENU MUONGO KAMA BABA YAKE SHAITAN allah.
    NA HAKUNA NJIA NYINGINE YA KWENDA MBINGUNI ISPOKUWA YESU KRISTO - JOHN 14;6
    NA YESU KRISTO SIO COPY CAT isa bin mariam,

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      Matuyako yote yatakurudia na ukijiona. Utakukusilim basi uislam haukulazimishi na haukubembelezi hanashida na ww kwani ukijichagulia moto ni ww maana hakili unayo timam

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 роки тому

      Mathew 19:28
      "And Jesus said unto them, Verily I say unto you, That ye which have followed me, in the regeneration when the Son of man shall sit in the throne of his glory, ye also shall sit upon twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel.”
      😂😂as hypocrisy goes ... it's in your heart as a disease.

    • @mansourhubby7398
      @mansourhubby7398 2 роки тому

      Macha mapovu yesu alifufuka kwn alikufa lni

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 роки тому

      @@mansourhubby7398 aty Good Friday 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому

      @@mansourhubby7398
      Kwa Biblia alikufa na akafufuka...
      koran ndio ilikuja miaka 700 baadaye ikapinga bila ushahidi wowote!!