Mchungaji Mungu azidi kukubariki unapotubariki na kutuongoza kufwata njia ilio sahihi, Kwa ukweli mimi Nina tabia ya kutafuta uso wa Mungu wakati nimekumbwa na changamoto, Lkn Leo nimefunguka masikio na macho, Na uniombee Sana Mchungaji unapoomba.
Kwa kweli pastor nafurahia sana mafundisho yako popote ulipo mungu azidi kukubariki ,yaaan naenjoy mahubili kiasi kwamba huku nilipo Nahisi mungu yupo pembeni yangu, shukrani sana pastor your very smart.
MUNGU akubariki sana mchungaji kwa maana 90% umenijengea ujasiri kiroho na kimwili katika hili pambano kuu dhidi ya muovu shetani,siku hizi kwa kumuamini YESU namkanyaga tu.🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana Mchungaji. Unanibariki sana sana, namkumbuka Mama yangu hizi nyimbo mlizoziimba ndizo zilikuwa nyimbo zake, machozi yamenitoka nikiona Ukuu wa Mungu katika maisha yangu, na jinsi ambavyo Mungu amekuwa msaada wetu. Damu ya Yesu iendelee kunena mema kinyume na mabaya yote, akubariki Mungu mwenyezi siku zote za maisha yako, huduma yako iendelee kuwa Nuru ya watu wengi na sote tunaosikiliza tubadilishwe tuwe wana wa Mungu aliye hai, ili siku moja tuje kumlaki pamoja Bwana mawinguni. Amina
Bwana Yesu asifiwe .. "Pr Mbaga Mungu akusaidie Mungu anisaidie, tukutane kwenye Asubuhi ile iliyo kilele cha Mafanikio yetu yetu, nyimbo hakika ni faraja njiani tuelekeapo kwetu kwenye Asubuhi ile"
Mchungaji nmekuelewa sana Bwana Mungu akulinde siku zote ofcoz unanibariki sanaaaaaa cjui niseme nini Mchungaji furaha ninayoipata kusikiliza maneno haya
Mungu anamuinua mtumishi wake mda wowote na Mahar popote. Hajar umbo, lugha, rangi wala elimu.. Mchungaji Mmbaga Mungu aendeele kukutumia kwa kizazi hiki.. Watu waliokata tamaa wapate tumaini kupitia mtumishi wake.. David.. Amani ya Bwana uwe na ninyi milele Amin na mm pia
Ujue nimesikiliza ili somo hakika muwatumishi wa Mungu jamani mmbarkiwe.... sasa tuseme hv kama motto wa mkutano ni ugunduzi wa kushangaza na hakika kwenye uandaji wa somo ili umetumika ubunifu wa kushangaza pia.... Pr ubarikiwe.
Hv mchungaji jamani unachunga wapi mtaa gani natamani nihamie maana unanibariki kuliko kawaida kiukweli..... Mungu akupe maisha marefu na azidi kukutumia.
Aiseee pastor Mbaga kwakweli ktk Mahubiri yako nabarikiwa xana nafatilia kwa makini mno Mung akubariki na akurinde kabsa maana mpk nabarikiwa naelewa mpk na mm nawaelekeze wezangu endelea kuturixha neno la Bwana.
Kadri ninavockiliza mahubiri yako ndivo misongo inavozid kupungua, hakuna somo ambalo hujawah kunigusa, ukweli pastor unanibariki sna adi nataman kuhamia mahali unapochunga, Mungu akuweke zaidi ili uzidi kutuhudumia
Jambo wangu zagu ninataka muniobeye sana kwasababu mimi nitaka kuokaka ila inachidikana please tell your story of me please please Thanks minisaadiye sana tena sana
I have been following your teachings since you came for a camp meeting in our church and this one specifically touched me soo much, help pray with me so I be strong in faith,, for sure the grace of God is sufficient. God bless you.
jmn nashindwa kujizuia machoz yafuraha yanitoka napenda kuimba na naomba Mungu anisaidie siku ile tuwepo wote tukiimba wimbo wa Mussa::Amen!!! Ahsant Yesu kwa hili
WAKATI AKILI IKIWA INAFIKIRIA NAMNA NILIVYOANGUKA NDIPO MUNGU HULETA TUMAINI JIPYA NA KUNINONG'ONEZA KUWA NIMESAMEHEWA NAPATA NGUVU YA KUANZA UPYA KUUELEKEA MSALABA. MUNGU AINULIWE KWA AJILI YAKO MCHUNGAJI
Hakika inapendeza , kama ukali wa bahari wanadamu pepo na shetani mawimbi ya wezaje kuumiza chombo kilicho na Yesu bwana , Mambo pia vya msikia ,utulia Jina la Bwana litukuzwe milele
Hata kama ingekuwa kukubebea begi lako unapoenda kuhubiri ningekuwa tayari kufanya hivyo...hakuna unafiki ndani yako kwan huwaunafanya kwa moyo wako wrote,roho yako yote,akili yako yote na nguvu zako zote.UMEBARIKIWA SANA.
Amina,barikiwa mchungaji mafunzo ambayo Mungu wetu anakupea ili kutufundisha inanitia nguvu kbsa jina la Bwana nalibarikiwe milele na milele Amina.
😍ubarikiwe mtumishi wa bwana umefariji moyo wangu kwa kweli kabisa 🙏🙏🙏
I am still watching this up to date because it encourages and makes me to come near the throne of mercy of the Most High God.
Amen nabarikiwe san kwa Mahubir yako Mtumish Mungu azid kukuinua viwango vingn
Mchungaji Mungu azidi kukubariki unapotubariki na kutuongoza kufwata njia ilio sahihi, Kwa ukweli mimi Nina tabia ya kutafuta uso wa Mungu wakati nimekumbwa na changamoto, Lkn Leo nimefunguka masikio na macho, Na uniombee Sana Mchungaji unapoomba.
Mungu akutendee makuu
This preaching has touched my heart, may the Lord bless you pastor
Kwa kweli pastor nafurahia sana mafundisho yako popote ulipo mungu azidi kukubariki ,yaaan naenjoy mahubili kiasi kwamba huku nilipo Nahisi mungu yupo pembeni yangu, shukrani sana pastor your very smart.
Amen
PR DAVID MMBAGA Barikiwa siku zote za maisha yako Wewe na familia yako, Tukutane ile Asubuhi njema tukiuimba wimbo wa Musa na Mwanakondoo
Amina
Ubarikiwe mtumishi wa baba unanibariki sana
Waimbaji mnatubariki kwa jinsi mnavofuatana na mchungaji vema, mubarikiwe mnoo
MUNGU akubariki sana mchungaji kwa maana 90% umenijengea ujasiri kiroho na kimwili katika hili pambano kuu dhidi ya muovu shetani,siku hizi kwa kumuamini YESU namkanyaga tu.🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Pastor,..Baraka za Bwana zikufuate daima na milele...Umebarikiwa...
asante pastor nakupataa vzr na ninabarikiwa pia kwa mafundisho yako mungu azid kukupa myaka mingi ili taji lako lizid kung'a unapotuvuta kwa mungu
Amina Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Amina, Yesu Kaa nami
Hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako barikiw pia mchungaji.
Pastor uko vizuri kipindi kizuri na ubunifu umetumika wa kutosha Pastor MUNGU aendelee kukutumia kwani tunabalikiwa sana kupitia wewe.
Pia MUNGU aendelee kukupa afya njema
Amen. Utukufu kwa Mungu
Amen
Pastor hicho kitabu Tabora nakipataje
Kuhusu Kitabu piga +255 759 612 430
Ubarikiwe Sana mchungaji wangu
Asate muchugaji kwa fundisho na kutudhilishia juu ya wimbo ni maombi na patanisho na mungu wetu .napendo wimbo Pia Mary kenya
Mungu akubariki sana Mchungaji. Unanibariki sana sana, namkumbuka Mama yangu hizi nyimbo mlizoziimba ndizo zilikuwa nyimbo zake, machozi yamenitoka nikiona Ukuu wa Mungu katika maisha yangu, na jinsi ambavyo Mungu amekuwa msaada wetu. Damu ya Yesu iendelee kunena mema kinyume na mabaya yote, akubariki Mungu mwenyezi siku zote za maisha yako, huduma yako iendelee kuwa Nuru ya watu wengi na sote tunaosikiliza tubadilishwe tuwe wana wa Mungu aliye hai, ili siku moja tuje kumlaki pamoja Bwana mawinguni. Amina
Ohhhh
Bwana Yesu asifiwe ..
"Pr Mbaga Mungu akusaidie Mungu anisaidie, tukutane kwenye Asubuhi ile iliyo kilele cha Mafanikio yetu yetu, nyimbo hakika ni faraja njiani tuelekeapo kwetu kwenye Asubuhi ile"
Mchungaji nmekuelewa sana Bwana Mungu akulinde siku zote ofcoz unanibariki sanaaaaaa cjui niseme nini Mchungaji furaha ninayoipata kusikiliza maneno haya
This had me crying
Mungu wa mbinguni akubariki pastor, nimepata faraja na tumaini la kusonga mbele kupitia kipindi hiki
🙏🙏🙏🙏🙏
Amina pastor, unanibariki saana. Mungu akuzidishie hekima na busara. Tuonane mtoni taji yako inakusubiri
Pastor m humble sana .barikiwa sana
ubarikiwe pastor, hakika hua nabarikiwa na mafundisho yako,
Amina amen 🙏🙏🙏
Sitairi hii nimependa saaana. Mungu azidi kukubariki na waimbaji wote.
Mungu anamuinua mtumishi wake mda wowote na Mahar popote. Hajar umbo, lugha, rangi wala elimu.. Mchungaji Mmbaga Mungu aendeele kukutumia kwa kizazi hiki.. Watu waliokata tamaa wapate tumaini kupitia mtumishi wake.. David.. Amani ya Bwana uwe na ninyi milele Amin na mm pia
Mungu akubariki sana uendelee kutuelimisha PR David Mbaga naomba mawasilino yako.
Ameen mtumishi nimebarikiwa na mahubili yako mungu akupe nguvu na afya, ili uzidi kutufunua barikiwa.
Ameen Mungu awabariki sana ,mch mmbaga na waimbaji wenzangu wote.
Wacha tumpe yesu maisha yetu yote akae nasi siku zetu zote za maisha yetu akae nasi ameni
Utangulizi wa somo hili, unanilenga mimi, pastor Mungu akubariki kwa kunifariji 🙏🙏🙏
Umebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu na Bwana wetu yesu Kristo.
Barikiwa sana Mch na waimbaji wote mnafanya vizuri sana
Nimebarikiwa sana na somo hili. Nazid kupata nguvu. Ubarikiwe pastor.
Nimebarikiwa sana mchungaji Mungu akubariki kazi yake iende mbele.
Ubarikiwe Pr nimefarijika sana na masomo yako
Am blessed. Glory be to God
Amina. Pastor, Mungu akubariki pamoja na waimbaji na wote waliohusika 🙏
Amen
MUNGU u msaada wangu tangu miaka yote ......ni hakika PR Mmbaga unagusa maisha yangu
Mungu akubariki sana Pastor, unanibariki na kunitia nguvu mno kwa ujumbe wa neno la Mungu, Mungu aendelee kukutumia
Hakika Mungu anakutumia vyema pastor,nabarkiwa sana na mahubiri yako,niko Iringa nahitaji kitabu cha maombi yaliyojibiwa.
Amen!! Kupata kitabu piga +255759612430
Asante sana nitafanya hivyo.
AMEN...MUNGU akubariki sana mch
Amen nafarijika sana
Ubarikiwe sana pastor kwa somo zuri limenibariki.pia kwaya zote mbili bwana azidi kuwatumia katika kazi yake.
Amen
MTUMISHI nakupenda sana Mungu alibarki kwa hata ninapo kuwa na mawazo nikisikiliza mahubiri yako napata aman
Hi video iko vizuri very clear
Powerful
nmebarikiwa sana pr Mungu akubariki sanaaa
Ni kweli pst
Mungu amejiwekea akiba watu wake, fact your doing great job Mbaga
Amina.
God bless u pastor saana
Barikiwa sanaaaaa watumishi wa MUNGU.
Amina pastor,
Nimebarikiwa sana na hili somo
Safi sana kwa nyimbo na ujumbe
Mungu akubari sana mtu wa Mungu
Pr. MUNGU akubariki sana.
Amen amen
Siku zangu zote kaa nami bwana ubarikiwe pastor mbaga
Ameen barikiwa kwa somo zuri🙏
Napenda sana mahubili yako mtumishi
Shukurani
Ujue nimesikiliza ili somo hakika muwatumishi wa Mungu jamani mmbarkiwe.... sasa tuseme hv kama motto wa mkutano ni ugunduzi wa kushangaza na hakika kwenye uandaji wa somo ili umetumika ubunifu wa kushangaza pia.... Pr ubarikiwe.
Mungu awabariki. Amen
Amina pastor barikiwa sana
Mmm sina lugha nzuri ya kueleza jinsi moyo wangu ulivyopata pumziko,barikiwa sana
Pr.
Haleluya haleluya haleluya
Amina
Hapa Mahubiri Tv
really touching
Hv mchungaji jamani unachunga wapi mtaa gani natamani nihamie maana unanibariki kuliko kawaida kiukweli..... Mungu akupe maisha marefu na azidi kukutumia.
Atina Minzani Nipo Dodoma
Pr. nakuombea kwa MUNGU akupe maisha marefu ili kazi yake na upendo wa baba yetu uwafikie wengi.
Kwa kwel
NIMEBARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YAKO
nabarikiwa sana
Am blessed from Zhengzhou-China..May God uplift your service Pr
Pastot nataman uje kwenye makambi 2020 mtaa mpya wa buhongwa mwanza
Amen.
amina
Aiseee pastor Mbaga kwakweli ktk Mahubiri yako nabarikiwa xana nafatilia kwa makini mno Mung akubariki na akurinde kabsa maana mpk nabarikiwa naelewa mpk na mm nawaelekeze wezangu endelea kuturixha neno la Bwana.
Mbaga mbaga mbaga na kukubali kamanda tupo pamoja.
Ama kwa hakika nimebarikiwa na video hii Mungu akupe maisha marefu PR amañi furaha na upendo vidumu kwako
Kadri ninavockiliza mahubiri yako ndivo misongo inavozid kupungua, hakuna somo ambalo hujawah kunigusa, ukweli pastor unanibariki sna adi nataman kuhamia mahali unapochunga, Mungu akuweke zaidi ili uzidi kutuhudumia
Nico Kakoyo Amen
Jambo wangu zagu ninataka muniobeye sana kwasababu mimi nitaka kuokaka ila inachidikana please tell your story of me please please Thanks minisaadiye sana tena sana
Helena Rugoheza Hellen uko wapi?
@@helenarugoheza5919 Mungu akusimamie
I have been following your teachings since you came for a camp meeting in our church and this one specifically touched me soo much, help pray with me so I be strong in faith,, for sure the grace of God is sufficient. God bless you.
Am so blessed
Ameeen,,,
Irene Tukiko Asante
Na imetulia
jmn nashindwa kujizuia machoz yafuraha yanitoka napenda kuimba na naomba Mungu anisaidie siku ile tuwepo wote tukiimba wimbo wa Mussa::Amen!!! Ahsant Yesu kwa hili
Thank you very much choir and pastor
Katika TV Chanel yako inaitwaje?
Pastor nimebarikiwa sana nimetendwa na mwanaume niliyempenda sn nilikuwa najiona km dunia inanicheka mm but ujumbe huu umenitia nguvu
Rose Raphael Mungu akubariki
WAKATI AKILI IKIWA INAFIKIRIA NAMNA NILIVYOANGUKA NDIPO MUNGU HULETA TUMAINI JIPYA NA KUNINONG'ONEZA KUWA NIMESAMEHEWA NAPATA NGUVU YA KUANZA UPYA KUUELEKEA MSALABA. MUNGU AINULIWE KWA AJILI YAKO MCHUNGAJI
Hakika inapendeza ,
kama ukali wa bahari wanadamu pepo na shetani mawimbi ya wezaje kuumiza chombo kilicho na Yesu bwana ,
Mambo pia vya msikia ,utulia
Jina la Bwana litukuzwe milele
Abayumba
Hata kama ingekuwa kukubebea begi lako unapoenda kuhubiri ningekuwa tayari kufanya hivyo...hakuna unafiki ndani yako kwan huwaunafanya kwa moyo wako wrote,roho yako yote,akili yako yote na nguvu zako zote.UMEBARIKIWA SANA.
Singo Singo Jr Mungu akubariki
Jambo ninataka kuona munisaidiya kwamaana mimi ninataka kuokoka kabisa
Helena Rugoheza Tunaomba number ya sim au email yako?
Kabsaa MUNGU azid kumpa maisha maleef ili azid kutubarik zaid
Amenii nampenda pastor amenikoa
Masomo Yanaanza lin pastor
Amina ubarikiwe pr
nimebarikiwa sana pr nilikuwa na mzigo mzito kwa maneno matakatifu yametia nguvu nikajiona sijaachwa na yesu Mungu akupiganie sana pr
Amen
@@davidmmbaga3350
Ubarikiwe sana Baba una kundi LA whatsap naomba link kama lipo Baba
MUNGU akubariki sn!!
MUNGU anakutumia pr. Mmbaga
Nakuombea uzidi kutumika zaidi kwa utukufu wa BWANA.
Jambo pasteur .naombo namba Yako Bana
عي الي uko wapi?
Amen!! Kupata kitabu piga +255759612430
Natafuta kitabu "matukio ya siku za mwisho" sijui naweza kukipataje. Naishi Marekani na napenda cha kiswahili. Nisaidieni kukipata. Asante
Mwalimu fredy kirya Hao wa kushi umewapata wapi au ndo light b 2
Leah Challo Machibya
ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU tukutane paradiso enzini mbinhun
Amen
nmebarikiwa sana pr Mungu akubariki sanaaa