MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE ATAMKA BARAKA KWA BISHOP, FJ.KATUNZI "CHUMA UNOA CHUMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @hilarycharles2077
    @hilarycharles2077 Місяць тому +3

    MUNGU AKUBARIKI SANA Bishop

  • @melinalumambo3218
    @melinalumambo3218 Місяць тому +4

    Amen mchungaji katunzi mwl wangu hongera kwa ushindi songs mbele Mungu yupo pamoja nawe Baba

    • @GerardMushy
      @GerardMushy Місяць тому +1

      Amen ubarikiw sana mtumishi wa mungu kwa kuamua kufanya kazi ya mungu ubarikiwe

  • @ZawadielNyau
    @ZawadielNyau Місяць тому +1

    Mungu wa mbinguni hakika ametenda, kutoka kwenye mbuga hadi kanisa kubwa na zuri.❤❤❤ Mungu endelea kuwa pamoja nasi na kutusaidia kuyatimiza maono yetu.

  • @JONASKAKIZIBA
    @JONASKAKIZIBA 26 днів тому

    Amen amen Baba

  • @bumijamkumbwa1732
    @bumijamkumbwa1732 7 днів тому

    Ameni....

  • @sayuni123-kl6xk
    @sayuni123-kl6xk Місяць тому +1

    Mungu akutangulie Bishop,Mungu aende mbele yako

  • @sifakiteve5927
    @sifakiteve5927 Місяць тому +1

    Amen Bishop Fj Katunzi

  • @RewardsonKowero
    @RewardsonKowero Місяць тому +3

    Mungu awabariki sana, ninaimani tutavuka na tumefurahi wengi.

  • @gracelutumo6911
    @gracelutumo6911 Місяць тому +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 Місяць тому +2

    Mbinu nzuri Sana ya kupanuka

  • @angelfaustine283
    @angelfaustine283 Місяць тому +1

    Amen mchungaji ubarikiwe

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Місяць тому +2

    Mungu awabariki sana injili iende mbele

  • @IssaKahengo
    @IssaKahengo Місяць тому +1

    Mungu akubaliki mtumishi wa mungu

  • @carlostaifa3355
    @carlostaifa3355 27 днів тому

    Mungu awatunze sana,nabalikiwa na mafundisho yenu.ila nahitaji kufika kwa mchungaji katunzi kwa anae pafahamu wapendwa anielekeze

    • @BishopFjKatunzi
      @BishopFjKatunzi  27 днів тому

      Karibu sana, kanisa lipo Dar es salaam, Wilaya wa Temeke, Kijichi
      Ukifika uliza tu kanisa kwa Katunzi unaletwa moja kwa moja
      Au unaweza kutupigia kwa simu namba0718267171.

  • @gracelutumo6911
    @gracelutumo6911 Місяць тому

    Amina mtumishi karibu pangawe morogo kwa huduma.

  • @zephaniahnkombe1607
    @zephaniahnkombe1607 Місяць тому +2

    Grory to God!!! you have shown the biggest courage

  • @winfridalazaro296
    @winfridalazaro296 Місяць тому +1

    Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wake amina

  • @KennethSadick
    @KennethSadick 26 днів тому

    Amen 🙏🙏

  • @Masabuelly
    @Masabuelly Місяць тому +1

    Maono makubwa haya
    Mungu wa mbingu na nchi ayafanikishe haya maono katika kiwango kikubwa zaidi ya matarajio ya kibinadam

  • @tabithalindoya1574
    @tabithalindoya1574 Місяць тому +2

    Mungu awatunze na huduma zenu zifike mbali kwa jina la Yesu

  • @ElibarickAllex
    @ElibarickAllex Місяць тому +2

    hakika mungu awatumie atakavyo

  • @jumaikota
    @jumaikota Місяць тому +1

    kwa jina la yesi kristo atang'aaa

  • @Cianadvd1
    @Cianadvd1 Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 fire

  • @WaniaAloyce
    @WaniaAloyce Місяць тому

    Aameeeeeeeeeen

  • @BabaProsper-t2m
    @BabaProsper-t2m Місяць тому +1

    Bwana akubaliki

  • @gwamakamwangasa5890
    @gwamakamwangasa5890 Місяць тому +2

    Mungu kaweka munganiko juu ya watumish hawa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Місяць тому

    Huo wimbo Twarudisha Sifa Na Shukrani waliimba Kwaya Gani Tafadhali

  • @josephkavishe6392
    @josephkavishe6392 Місяць тому +1

    🙏💪

  • @Ufalme1
    @Ufalme1 Місяць тому +3

    Kwa maono uliyo yaweka kwa mtumishi wako Bishop Katunzi ee, Mungu uliye mbinguni usimsahau mpakwa mafuta wako. Ukamlinde na kumtia nguvu na upako wa kihuduma.

  • @GodyKaywanga
    @GodyKaywanga Місяць тому +1

    Bwana awatunze

  • @DastanMichael
    @DastanMichael Місяць тому +1

    Huu wimbo unaotwaje naupataje

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile Місяць тому

    Katunzi ulilelewa kanisa gani? ivi kweli hujuwi utofauti wa CC T na CPCT? au mwenzetu unaona ni kitu kimoja? mmmmmh sielewi? ipo siku tunakuona unawekewa mikono na padre.

    • @pastorheri715
      @pastorheri715 Місяць тому +3

      Km mbinguni itakuita CPCT au CCT, basi Mungu hatukuwepo huko

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb Місяць тому

      Cha msingi muabudu katika roho na kweli

    • @sajienswebe5557
      @sajienswebe5557 Місяць тому

      Hapo Roho mtakatifu karuhusu amuwekee mikono. Mchungaji Katuzi Mungu akuongezee mafuta utumike. Acha kusikiliza wapiga mdomo

    • @sajienswebe5557
      @sajienswebe5557 Місяць тому +2

      Kazi na Huduma inasonga mbele. Siku hizi wapinga Huduma wengi. Ebu ndugu zangu tusimamie wito Wetu. Inauma sana kupingana sisi kwa sisi. Ukileta mchezo kwa Yesu anawatu wengi.

    • @gilbertmushi1716
      @gilbertmushi1716 Місяць тому +3

      Ndugu zangu kanisa ni mtu aliyeokoka na kujazwa na Roho Mtakatifu, sio dhehebu.