SALAMA ATAJA WALIOINGIA TOP 20 KUTOKA DAR 2
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Madam rita kama unanisikia mrudishe johnson nakuomba uyo jamaa ni pure talent pure voice japokuw apigi gitaa
Johnson nimoja kati ya kipaji ambacho kinaitajika but nisiingilie maamuzi ya meza kuu😊
Johnson is our nxt kayumba we need him back...
William Bundala ❤
Johnson arudiiiiiiiii. From Kenya ila twamtaka Johnson ameivaaa uyo jamaa, twataka arudi
Onesmo 🔥🔥🔥
Johnson arudi
The walking band nawaona kabisaa kwenye top 3😂😂😂
William Bundala kabakia 😂😂😂 aiseee huyu msukuma ana mbwembwe ajabu ila anatakiwa akaze kwenye 🎤🎤🎙️ swaga zisikiponze kichwa😅
Acha wivu wew. Rap bila swaga haiendi na swaga ndo zimewavutia majaji.
Aisee recho duuu anaimba balaa imekuaje aisee😮
😂😂mwanang bundalaaaa
Amjatenda haki Kwa Johnson, absolutely unfair
Walking band 🔥🔥🔥
Salama unamtoa mtu alafu una mwambia yeye ni noma inasikitisha sana
Angetoka onesmo ningeandamana
Hamjui tarent
Johnson Johnson mkiambiwa pigeni kura nampigi acheni unaa jaman kuwalaum tu majaji piga kura mtu apite share kwa watu magroup kama mtu unamakubal so kulaum tu
Hakuna cha kura wala nn hao majaji wanapanga matokeo tu
Johnson kula ivo hazikutosha anapiga nan mbona kila comment ina mtaka yy
Bongo kura hazina nafas trust me my boy ni kutu zuga tu
Let Johnson back😢
Salama pole kwa mafua 😢
JOHNSON JAMAN TUNAOMBENI ARUDI
Bss haina macho licha ya Kura kuna macho ya majaj mtu kama johnson benson ilipaswa afike ata top 10 kuna wapigakura wengi wasio jua muziki wanaangusha vipaji bora kwa kura zao
Mwajaj tazameni uzito wa kipaji cha mtu na kura hazipo hakisana kama kipaji
Ila shishi😂😂😂
Et tulikupenda
Kwani amuooni? Uyo kijana aliesuka ni ntu wakubaki? Na umesema we ni noma,kuragani?
Johnson anajua mziki asee sijaelewa kura zipi ambazo hazijatosha
Wanawake kibao alafu hakuna kitu
Mtu kama catson, abby africa na especially johnson desrve the spot... Mnajitaidi kwenda na gender balance and go a little low on talent 😢