Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nakupa mauwa yako tundu, kumbe saa nyingine uko vizuri sana hongera kwa siasa zenye ushawishi wa kisiasa, hongera sana sana bro.
Huyu Jamaa ndio maana Mungu alimnusuru aisee huwa hapendi dhutuma
IQ kubwa sana ndani ya Taifa letu, msemakweli mpenzi w Mungu ndiyo MH Lisu
Lisu ni mtambo sana
Lissu moyo wake umetawaliwa na ukweli ndio maana MUNGU alikuokoa na watoto wa ibilis
Saw
Upo sawa kunakijiji kimoja huku shinyanga wamelazimishwa kujitolewa wakat mladi wamaji kuchimba mitalo ila mm sijaona labuda nyie Kijiji cha bugogo
Kwenye nchi hii wenye mawazo mgando ndio wamefanya nchi isiendelee
😊
LISU WAFUNDISHE SACCOOS KUSOMA NA KUJAZA FOMU NA WAENDELEE NA MATUSI MPAKA UCHAGUZI 😢😢😢😢😢😢
Kiongozi ni lazima awe muadilifu mtekelezaji na mpenda haki kwa watu wote.
Huna uwezo wowote kelele nyingi haituzuii tusilaleChama chenu hakutoa taarifa kwa miaka yote
Tundu hiyo ndio siasa sasa, sio kushawishi maandamano yasio maandamano.
Kunajambo bado hujasena utalisema tu muda utaongea
Nakupa mauwa yako tundu, kumbe saa nyingine uko vizuri sana hongera kwa siasa zenye ushawishi wa kisiasa, hongera sana sana bro.
Huyu Jamaa ndio maana Mungu alimnusuru aisee huwa hapendi dhutuma
IQ kubwa sana ndani ya Taifa letu, msemakweli mpenzi w Mungu ndiyo MH Lisu
Lisu ni mtambo sana
Lissu moyo wake umetawaliwa na ukweli ndio maana MUNGU alikuokoa na watoto wa ibilis
Saw
Upo sawa kunakijiji kimoja huku shinyanga wamelazimishwa kujitolewa wakat mladi wamaji kuchimba mitalo ila mm sijaona labuda nyie Kijiji cha bugogo
Kwenye nchi hii wenye mawazo mgando ndio wamefanya nchi isiendelee
😊
LISU WAFUNDISHE SACCOOS KUSOMA NA KUJAZA FOMU NA WAENDELEE NA MATUSI MPAKA UCHAGUZI 😢😢😢😢😢😢
Kiongozi ni lazima awe muadilifu mtekelezaji na mpenda haki kwa watu wote.
Huna uwezo wowote kelele nyingi haituzuii tusilale
Chama chenu hakutoa taarifa kwa miaka yote