Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Silent killer Tena. Au hii ya kivyengine
Felix unanafasi yako kwenye moyo wangu,,,,hii sauti jaman inafanya nione simuluzi mix Ni kila kitu bila kumsahau Dr oen❤❤❤❤❤
Huu mzigo unaonekana mzur sana, Japo mtunz sio Patrick CK 🙏
No notification... September iko wapi jamani ...kilasiku nwatuwacha njia panda
Dah nimekumisi sana braza big up
Dah wakwanza hapa lakini sitasikiliza mpaka atowe Edgar mbogo kwanza tunaomba jamani haaaaa
Ninzur sana japo sijaimaliza bado
Huyu mwamba wakututoa machozi round hii kaja kivyengin kabisa big up sana Desouzer ❤❤
Felix jamani Jamani Mwendelezo wa September 11
Yap yap safi sana simulizi mix Kwa kibamba kipya aisee pongezi Kwa mtunzi wa simulizi hii
Asnte sana king of voice 🎉
Mpy jamani shukuruni
Nyie watu mnapenda kulalamika
Mungu atakusaidia izam🥰
👋👋🙏🙏🥰🥰kazi zuli sana
Felix leo unaongeaje !! Yani maddarakan
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🇹🇿 ciao ciao
Aisee mzee baba Felix asante sana simulizi ni moto moto kweli ❤❤❤❤🎉🎉
Asante sana ❤❤
😂😂😂😂😂😂 ila kutumia majina ya wachezaji daah😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Jaman inorcent killer msisahau
Kaka Felix ❤❤
❤❤No1
Izam mungu akusaidie ulipise kisasi ya wazasi wako
Kitukipya ichooooooo mukuyeeeeeee🎉🎉🎉🎉 kwa Mukwewangu Felx Ongela🪑🎧💪🏽Curage lakini tupe September mbone hayitoki???
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤
Nilimus hizi vitu Felix
Wewe Mwenda wewe hata hii pia utaisitisha tu huko mbele ngoja niachetu nikiona imefika mwisho basi nami nitaendelea na sehemu ya pili
Shukran
Ila nyie nanyi mnatuzinguwa bwana kama simulizi zinakuwa hazijaisha mnaziletea nini September 11 imeishia njiani sijui iko wapi huruma yako mama pia hio apo nao pia imeachwa sio poa😢
September 11 wamesema itaendelea Mtunz Patrick CK yupo safari Kdg kwa muda 😅😅
🔥🔥🔥👌
Silent killer amekuja kivyengine saiiNimemzoea na simulizi za kimapenz ila huu mzigo ni mwengne
Imerudi tena jamani
❤❤❤❤❤ Asante sana
❤❤❤🎉
Tobo la panya jee
😂😂😂😂 tupo na muuaji wa kimya kimyaa 😂😂😂😂😂 herry desouzer
To be continued
Hayo majina ya viongozi sasa😂😂😂😂
❤❤❤❤
😂😂😂😂 kazi mnayo sasa mtaendaa kuzilaa kuzimu hizo pesa za wanyongee wapuuzi yy yaani watu tunao wachanguwa wa honyo kweli😢😢😢😢
Dah maskn September 11😭😭😭😭
😂😂😂😂😂
Na mwisho,wa,September haijaisha
Inakera hamumalizi hadisi munaanza nyingine munatukata kwakweli 😢😢 sept 11 sasa nini 😢
Nlizani ni mm tu ndo sijasikiza september 11 mwisho nakumbe tupo weng tunaomba tuimalizie ile
Kwa kwel saut ya felix inazdi kunogesha utam wa story
Jmn mbona lover boy hamjaleta season 3 ??
Wewe Mwenda wewe utatuaminishaje kuwa hii simulizi utaimaliza kwa wakati? Nikisikia sauti yako tu naogopa kuchelewa kuupata uhondo😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂
September 11 iko wapi jamani felix
Muuaji ni rafiki yako wa tax but ujui
Jmn kaka September 11😢😢😢😢😢😢😢
Mbona skuzi mpo ivi Sasa September 11 ipo wapi wazee 😢
Jamani mbona sep 11 haihaisha 😢
Mm mwenyewe naisubiri Kwa hamu kweli
September 11😢😢😢
Kila saa nawaza simulizi ya September Ila umewai kuomba radh 😢
Felix unatumia kiswahili cha wapi makaddrio na maddraka 😂
Jamani September 11 ikowapi😢😢😢
Asante kwa kuuliza 😢😢😢
Yani Mimi Kila mda ndo naingia naangalia September 11 naona Bado na kitu Kiko mwishoni jamani mnatukosesha uhondo
Nahisi itakuwa kama gobole la urithi maan sio kwakusahaulika huku jamani😢
@@lonakirao5275😂😂😂Tulikaa mwaka mzima na nusu ndo ikamaliziwa gobole la urithi tuliteseka mpka tukashkuru😂ndo ikaletwa
@@Bint-Zanzibari usijali alitatokea tena japo hatujui lini italetwa 🤣🤣🤣 twasubiri mpka hamu inaisha haki

Silent killer amekuja kivyengine saii
Nimemzoea na simulizi za kimapenz ila huu mzigo ni mwengne