WAKILI KIBATALA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ASEMA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024
  • Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai kutokana na kutokuwepo mahakamani.
    Jacob, mkazi wa Msakuzi, mfanyabiashara na mwanasiasa anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uongo kwenye mitandao, kinyume cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.
    Alipandishwa kizimbani mahakamani hapo Alhamisi, Septemba 19, 2024, na upande wa mashtaka pamoja na mambo mengine, uliiomba Mahakama izuie dhamana yake kwa madai ya usalama wake mshtakiwa, hoja zilizopingwa na jopo la mawakili wake likiongozwa na Peter Kibatala.
    Baada ya mvutano wa hoja za mawakili, Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga aliahirisha mpaka leo Jumatatu, Septemba 23, 2023 saa 5:00 asubuhi kwa ajili ya dhamana lakini Boni Yai hakufikishwa mahakamani.
    Hivyo Hakimu Kiswaga ameahirisha kesi hiyo mpaka Alhamisi, Septemba 26, 2024.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 години тому +3

    Wapinzani mna kazi kweli kweli!, Hii nchi ni ya ovyo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 години тому +2

      WAHUNI WAOGA SIO WAPINZANI 😢😢😢😢

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 години тому +1

    Kuna watu wanazani hii nchi MUNGU amewapa ccm

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 години тому

    Maghuluku tabu hayo maisha ya Kesi kesi mara mahakamani ndio waliyoyazowea so Mama amesema sheria zake pia zipo so enjoyini show

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 Годину тому

    Kinacho nishangaza mtandaoni taarifa nyingi za uongo zipo lakini hamkamati nashangaa sana

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 Годину тому

    Yaani kwa sasa nchi inaendeshwa bila utaratibu. Polisi wanaingilia kazi za mahakama! Aa!! Huku ni kuyumba sana na ni aibu kwa taifa ki mataifa.

  • @AkidaDaudi
    @AkidaDaudi 20 хвилин тому

    Mmewaona hao waliovaa suti ndio wanaohalibu amani ya inchi hii Yani ukimuona mva suti tu ujuwe Ni wavunja amani duniani kote,lanini ukiwaona wava jezi Basi tegemea flaha moyoni.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 33 хвилини тому

    Elimu za mapolisi wengi ni za chini mno.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Годину тому

    kilicho Baki nikuingia msituni, ili ao wanao jilimbikizia mali, tugawane nao, rugha ya amani awailewi, watakacho elewa ni rugha ya Shari.

  • @MichaelBahati-o8h
    @MichaelBahati-o8h 2 години тому +1

    Huu ni ushetani unafanyika na mashenzi wa ccm

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Годину тому

      Mashetani wa ccm na wa chadema wote ni mashetani tu na wewe ndiye kiongozi wao

    • @MichaelBahati-o8h
      @MichaelBahati-o8h 43 хвилини тому

      @@walidmgonja3644 subiri tukufwate na wewe