God bless you Mathias, your songs are a source of encouragement to my life,mungu apokee utukufu na azidi kubariki kipaji chako , finishing this year strong
Nimekua nikiuskiza huuu wimbo kwa mara mingi, it's so powerful 🔥 at a time like this bwana akazidi kukutumia sana." Sijaandikiwa kushidwa nimeandikiwa kushida" 🔥🔥likes zangu tukiendelea ❤
Huu wimbo Mpaka nimetoka machozi MUNGU akutunze Mathias uzidi kua hodari dunia inakusubiri❤❤❤❤
I have been singing this song oftenly I have faith in whatever am waiting for am already a winner.
Mungu anazid kutumia vzr . Like zangu please
Mungu azidi kukuinua Man of God.
🎉 it's wow I like it💥💥💥
@@Gidyyiaks Merci
❤❤❤
God bless you❤❤
From TIKTOK wapi likes.the song is dope Kenyaans let's gather here🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🙌🙏✝️
Nitashinda zaidi yakushinda.
Mungu kwa upende wange.
Nitashinda ugumu wa change moto.
Wimbo mzuri sana umetubariki, tumeupokea vyema hapa 🇰🇪🇰🇪
Mimi ntashinda zaidi yakushinda yesu yupo upande wangu naamini 🙏
From this day....this is my daily affirmation "sijaandikiwa kushindwa...nmeandikiwa kushinda"🙏🙏🙏
Barikiwa sn Kwa nyimbo nzuri unazozitoa,unanibariki sn Kwa nyimbo zako,Mungu aendelee kukuinua Kwa utumishi uliotukuka
Exactly
and winning shall be your portion. I don't know why I love listening to dis song daily but I believe all shall be well with me one day.
Sijaandikiwa kushindwa
Nimeandikiwa kushinda
Mungu yuko pande wangu
Tashinda zaidi ya kushinda
ubarikiwe sana mwana wa Mungu endelea kunyenyekea kwa Mungu wako.kazi nzuri .👍
Ujawahi kutuangusha kijana wa Mungu! Fire on the mountain
Ntashinda zaidi yakushinda
Maana nimeandikiwa kushinda sijaandikiwa kushindwa Mungu yuko upande wangu tashishinda zaidi ya kushindaaa🎉🎉
In jesus name
Kaz iendeelee🎤🎤👣👣MUNGU akakubariki Sana🙏🙏
Ni mwisho wa mwaka ni kama mambo mengi hayajaenda kama tulivyo tegemea bado naamini nitashinda.
Any evil formed against me shall never prosper coz my God shall never let it amen
Mungu awaweke kwa ajili yetu watumishi wa Bwana huu ni zaidi ya uponyaji🙏🙏
Jirani ubarikiwe sana ujumbe mzuri sana
Nyimbo zako zote zanibariki❤❤❤❤ blessed Sanaa bro,Mungu akutunze uishi kwake siku zoteeee uione mbingu ya MUNGU wetu na ukaishi
Mungu azidi kukubariki kwenye uimbaji wako. Nabarikiwa mno na nyimbo zako. Amen,Sifa za moyo wangu, Nitashinda ❤️❤️
From drc congo 🇨🇩🇨🇩 apa Brother wangu Mungu akubariki sana kwa huu wimbo
Huna kazi mbovu kaka
MUNGU azidi kukubariki na kukupa kibali
Amen 🙏 🙏 🙏 mi ni mshindi kwa Jina la Yesu Kristo....More grace and blessings 🙌 Mtumishi wa Mungu
And with God's strength we move forward winning battles in Jesus name Amen.
Mimi Ni mshindi katika yesu
Yesu ako upande wangu nitashinda🙌🙌💃💃💃❤️
I really appreciate the work done
Hakika MUNGU akiwa upande wetu naimani tutashinda
God bless you Mathias, your songs are a source of encouragement to my life,mungu apokee utukufu na azidi kubariki kipaji chako , finishing this year strong
Tutashinda kabisa.
Kaz nzur sanaaa
Nyimbo zako unaimba mtindo wa kisasa lakini Zina ujumbe Sana Mathiasi
Ulitaka aimbe mfumo wa wana israel
@@NaomiMwankusye😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤ Mungu akubariki nyimbo imenibariki sana sijui naisikiliza mara ngapi barikiwa sana
This song wow! " mzawa wakifalme."
Nitashinda tena n tena
Deep faithful ❤❤❤
What a lovely song ❤️🍬
This song really inspires me alot I can't stop listening to it
Nabarikiw sn n huu wimbo😔😔barikiwa kk Mungu akujaz kibali Zaid🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Na watch Zaid y 10💃🏽💃🏽💃🏽🤸🏽♂️
Mungu akuwe anagupatiaka furaha kubwa moyoni kuliko wewe ifulaishe kila mmoja
Wimbo mzur ombi jitahid kutunza utakatifu ukaimbe na mbinguni❤
My prayer Time song 😭😭😭
After all nitashinda💪💪
Nina Imani kwako Mungu 🙏🙏
❤my best song all time
Sijaandikiwa kushindwa kwakweli maishani mwangu
this song is very powerful it makes me feel to cry tears of joy
Asante mtumishi umenibaridisha mpaka nimeanza kusali nimeion ukuu wa mung ndani yangu Asante Sana ❤
Daaah ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri
Kaka MUNGU azidi kukupa madini hakika nitashinda ni 🔥🔥🔥 wewe ni MTU WA MBINGU
Hakka nmeandkiwa kushndaa nnaaminiiii...🎉🎉🎉
Nani amekuja hapa through tiktok ,, this song is on another level Keep moving kwa neema ya God
Barikiwa sana nakupenda sanaaaaaaaaaa mungu awe nawe my brother
Deep message, May God continue to bless you to use your word to reach to the unreached and inspire many in the gospel movement
Powerful walichupa
NITASHINDA 🥰🥰🙌
MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA WEE JAMAA UMEBARIKIWAA SANAA 🙌
Nimeshinda mimiiiii.... Mungu akubarikii kaka anguuuu
Nimekua nikiuskiza huuu wimbo kwa mara mingi, it's so powerful 🔥 at a time like this bwana akazidi kukutumia sana." Sijaandikiwa kushidwa nimeandikiwa kushida" 🔥🔥likes zangu tukiendelea ❤
Wow napenda hii wimbo ...I keep replaying it over and over..I wish one daywe meet face to face if God wills Amen #from kenya 🇰🇪 🙏
Baraka nyingi kwa huu wimbo. SITASHINDWA KWA JINA LA YESHU.
Nyimbo nasikiliza najikuta kutabasamu 😂❤Umejua kuambukiza upako wa kutabasam nimechelewa wap kuipata mapema
Unaniinspire niimbe gospel ase
Naamini kwa neema ya Mungu tutashinda tu
Nimeandikiwa kushinda❤ please like kama utashinda❤🎉
Ubarikiwe tu jaman😊
Exactly what I needed this evening 😊...mimi ni mshindi,barikiwa bro
Maana Sijaandikiwa kushindwa ..mimi nitashinda naamini 🙏🙏.
Kenyans, lets make this a hit song!!🙌❤🎵
It already is ❤❤
ubarikiwe sana
Hakika Nitashinda Mungu akiwa upande wangu🙏
This song has made me believe that no matter what am going through I should trust the ways of God
unatubariki sana kaka
Blessings
Wow...Hii Kali zaidi...
Listening mara ya Saba sasa
Naamini nitashinda in Jesus Name.
Amen Amen 🎤🎼
Winning everywhere
Mimi nitashinda sijaandikiwa kushindwa oooh my Lord ❤
Tutashinda Kwa hakika Kwa Imani tu kutokuja kwake❤❤
Why am finding this song on 18th October 2024😢😢aash nitangonja uweponi mwako .. nitashinda🙌🙌🙌🙌
We are on this together the song is so inspiring
Wimbo mzuri una baraka zake kivyake
Be blessed Umepiga Kaka Knm
Big up sana braza, endelea kuwasha moto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aki Mungu 🥺🥺🥺 you assure me always 🥺thank you ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Najua nitashinda haya ninayoyapitia,Amina.
Wimbo unanibariki sana huu sichoki kuusikiliza
Barikia hii inahudumia moja kwa moja
Mtmsh nakupenda bure aisee MUNGU akutunze uzid kuimba vzr
Yangu hujalike mtmsh
🔥 🔥 🔥 Mungu azid kukubariki sanaaa.
I believe I will always succeed in Christ Jesus' Name!!!
Blessed kipenz zidi kutumika baba
Mungu hamtupi mja wake 🙏🙏
Mungu anisaidie kwakwel nazid kubarkiwa mnoo
Brother unajua sana hongera.
Barikiwa xan unatufariji sana GOD bless you more brother
When am down it inspires me
Wow😊😊😊 I believe 2 in Jesus mighty name
This song gave me so much strength and still does after I lost my mum, she was my everything 😢... Keep resting Ma❤
Nyimbo Nzuri sanaaa! Barikiwa kaka!
Eee mungu tunakutegemea wewe tu tutashinda imani ipo🙏
Barikiwa sana kaka
Mungu ni mwemaa🙏🙏🙏🙏