Mathias Walichupa - Nitashinda [Official Music Video]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 343

  • @Augustinamadete
    @Augustinamadete 9 місяців тому +91

    Yeremia 1:4-8,Mungu alimjua yeremia tangu tumboni mwa mama yake hivyo basi alijua kuwa ,, kuna kitu kikubwa ambacho amekiweka ndani yake( nabii wa mataifa),,,licha ya umri wa yeremia,,, bado bwana akasema "nitakutuma na utasema nitakalo kwambia" kwa kweli "nitashida" licha ya yote bwana atanitumia nilivyo,,, asante sanaa mwimbo mzuri mno!!

  • @godfreymatikoo
    @godfreymatikoo 9 місяців тому +29

    Sijaandikiwa kushindwa, Mungu akiwa upande wangu ni nani aliye juu yangu hongera sana Walichupa kwa unabii mzuri wa mwaka

  • @erickaruti
    @erickaruti 8 місяців тому +17

    This song deserves more. So much love from Meru, Kenya

  • @annmya4947
    @annmya4947 3 місяці тому +8

    This is my daughter's favorite song.
    She's 11.
    Namuombea awe mshindi kila wakati❤❤

  • @MercyJay-us4bt
    @MercyJay-us4bt 3 місяці тому +10

    Mungu wangu im tired of selling myself please God forgive me and give me a new start in life a decent job father 😢fanya njia niende nyumbani salama kwa mtoto ..nipee wimbo mpya nmechoka kuhangaika mungu.. Have Mercy on me najua wewe si kiziwi fanya jambo Baba🙏

    • @ericomondi8994
      @ericomondi8994 3 місяці тому +3

      Acha mungu akutende mema

    • @maryanneabungu5188
      @maryanneabungu5188 3 місяці тому +2

      It is done🙏🙏

    • @mercie728
      @mercie728 2 місяці тому

      Back in 2018 Made such a prayer in a club somewhere drunk af, He noticed my honesty and sincerity & He came through, He did it for me He will do it for you too just believe🫂❤😊

    • @happymollel9205
      @happymollel9205 2 місяці тому +2

      God of mercy...❤

    • @isaacojino1537
      @isaacojino1537 Місяць тому +1

      Amen

  • @Rubeth-Rubeth
    @Rubeth-Rubeth 9 місяців тому +12

    Mungu akiwa upande wangu,nani aliye juu yangu?
    NITASHINDA❤

  • @Gresiananyoni
    @Gresiananyoni 7 місяців тому +5

    Aiseee kaka mungu akubari sana nyimbo yako imenipa moyo wa kusonga mbere mungu akubariki sana kaka

  • @GodfreyMholo
    @GodfreyMholo 4 дні тому +1

    Mungu akubariki bro nimependa nyimbo zako❤❤

  • @ProsperPrespeus
    @ProsperPrespeus 9 місяців тому +8

    Sijaandikiwa kushindwa katika jina la Yesu alie hai!!! Ubarikiwe baba🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Maggie_O4969
    @Maggie_O4969 4 місяці тому +5

    "......I am not destined to fail, I am destined to win .."Eish🙌🙌🙌🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️❤️

  • @kephawilliam9848
    @kephawilliam9848 9 місяців тому +7

    Hivi ndio tunauanza mwaka🔥🔥🔥🔥

  • @Nancy-z8h
    @Nancy-z8h 8 місяців тому +3

    Nasikiliza hii nyimbo nikiwa ibri oman na ninabarikiwa ❤❤❤❤❤

  • @KarenMmbone
    @KarenMmbone 7 місяців тому +3

    Huu wimbo unanifanya niwe na Imani asante Mathias Walichupa Kwa huu wimbo Mungu akupe nguvu na kibali zaidi ya kuenda mbali zaidi 🙏🥰🥰💙💯

  • @taiboiomasete5293
    @taiboiomasete5293 7 місяців тому +25

    Nimeandikiwa Kushinda 🙏🙏🙏🙏 Wakenya Mpo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jabadosalomey6898
    @jabadosalomey6898 8 місяців тому +8

    I just listened to this song on tiktok though I don't understand the meaning of the song but that has been my favorite songs the whole day I really love it.🇬🇭

  • @faustinechegeni1454
    @faustinechegeni1454 9 місяців тому +4

    Ameen!! .....
    Mzao Mteule ukuhani wa kifalme Taifa takatifu watu wa miliki ya MUNGU (1Petro 2:9-10)..

  • @QuoteUnquote.
    @QuoteUnquote. 9 місяців тому +25

    This song deserves more than it has received

  • @RandomthoughtsPodcast-uy4vw
    @RandomthoughtsPodcast-uy4vw 6 місяців тому +2

    Very powerful Song
    Besides what I'm passing through I know that I will overcome and it shall be Known that He is the King 👑 of kings 🎉

  • @Princedavida
    @Princedavida 9 місяців тому +28

    This song has been part of me since end of the year when i had suicidal thoughts.😢😢😢😢

    • @mathiaswalichupa
      @mathiaswalichupa  9 місяців тому +6

      OOOOH GOD IS FAITHFUL 😢 HOPE YOUR GOOD MY BROTHER 💙 #NITASHINDA

    • @just_b_there
      @just_b_there 7 місяців тому +2

      Hope u find your peace❤

    • @erenestawanjiru1935
      @erenestawanjiru1935 4 місяці тому

      It Is Well Prince David ❤

    • @Brenda-gd5mt
      @Brenda-gd5mt 2 місяці тому

      I hope you have find peace still praying for you 🙏🙏

  • @emanalaa405
    @emanalaa405 9 місяців тому +3

    Amen sijaandikiwa kushindwa bali kushinda asante yesu wangu; nimeupenda huu wimbo mungu aendelee kukulinda na akainue kipaji chako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏❤❤❤🎉🎉

  • @veronicajohn1689
    @veronicajohn1689 9 місяців тому +6

    Sijaandikiwa kushindwa Nimeandikiwa ✍️ KUSHINDA Mimi Nitashinda

  • @RosemaryKisenga-b8z
    @RosemaryKisenga-b8z 23 дні тому +1

    Wimbo nzuri sana, unatia nguvu ata pale unapokata tamaa, na kuinuka tena kupambana ❤❤

  • @OfficialJordan-w3w
    @OfficialJordan-w3w 9 місяців тому +7

    Great one this song gives us comfldence of moving foward. GOD.bless you

  • @JANESIAKORA
    @JANESIAKORA 17 днів тому

    Amen Amen we must be the conquerors ❤❤if you believe say amen 💯

  • @shamimmuriro4149
    @shamimmuriro4149 2 дні тому

    Nitashinda, Yesu Yuko upande wangu

  • @BerthaJoshua-e8p
    @BerthaJoshua-e8p 6 місяців тому +3

    Nimeandikiwa kushinda sijaandikiwa kushindwa ubarikiwe xanaa

  • @ritahn.mwangi1414
    @ritahn.mwangi1414 5 місяців тому +3

    Mungu Yuko pande wangu ❤....naamini nimeandikiwa kushinda 🌹

  • @musabahegwa_official3381
    @musabahegwa_official3381 9 місяців тому +7

    who is ready to see....Mr Fundi charhani....."God using" kid.....for Gospel

  • @duncanmaina6407
    @duncanmaina6407 9 місяців тому +7

    Powerful declaration. Amen 🙏 💪 🔥

  • @harrisonkamau7128
    @harrisonkamau7128 8 місяців тому +3

    This is more than a song.....preaching and inspiration of spirit breathed servants of God🙏

  • @Feels-feel
    @Feels-feel 6 місяців тому +5

    Been listening to this on repeat since I heard it for the first time this afternoon ❤....❤

  • @petergitau-li1nb
    @petergitau-li1nb 8 місяців тому +2

    I love this song,Mungu akupee hekima ya more songs kama hii❤

  • @alphahappy3501
    @alphahappy3501 9 місяців тому +4

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu #Nitashinda

  • @DianaCherotich-wm7ld
    @DianaCherotich-wm7ld 3 місяці тому +1

    Wow powerful song nimeandikiwa kushinda milele.Ata ingawaje Majaribu ni mengi mm ni mshindi siku zote

  • @GraceMaliki
    @GraceMaliki 6 місяців тому +3

    Woohoo this song is very nice❤❤

  • @AyubuKibona-gu2sx
    @AyubuKibona-gu2sx 5 місяців тому +1

    Bro.. nyenyekea zaidi chini ya mkono wa Mungu, Aisee utafika mbali sana.

  • @DIEUDONNE-PRAY
    @DIEUDONNE-PRAY 8 місяців тому +3

    QUAND DIEU TE CHOISIT IL T'UTILISE DE LA MANIÈRE DONT IL VEUT POUR FAIRE CARTONNER SA PAROLE DANS LES MONDE ENTIER QUE LE BON DIEU TE PROTÈGE CONTRE TOUTE ARMÉE FORGÉE CONTRE TOI WALTER CHILAMBO QU'IL T'AUGMENTE L'ONCTION,LA FOIE ET DU COURAGE. SUIS BÉNI PAR CETTE CHANSON QUE DIEU SOIT LOUÉ AAA

  • @pastorsimbakavu2951
    @pastorsimbakavu2951 9 місяців тому +10

    Powerful ❤❤❤❤❤❤

  • @lewin001
    @lewin001 9 місяців тому +6

    Ameen..!! This song is masterpiece with blessed and talented voice 🙌🏾

  • @RichWise671
    @RichWise671 Місяць тому

    Tokea khamba to nakuja you till bad murdered all🔥🔥🔥🔥🙌

  • @samuelwaithira
    @samuelwaithira 9 місяців тому +6

    What a song, hearing it for the first time in hope fm, where we listen and live. Powerful song and timely. My theme song for 2024, amen nitashida.

  • @JuliethJackson-l7p
    @JuliethJackson-l7p 6 місяців тому +4

    Amen sijaandikiwa kushindwa nmeandikiwa kushinda

  • @sophiabonaventura8229
    @sophiabonaventura8229 2 дні тому

    Kuna wakati mtu unahisi kuchoka sana na kuona Mungu amekuacha,hali nliyokuwa nayo nahisi kuchoka sana na sioni mtu wa kumwambia,sina kazi kwa miaka miwili licha ya kujitoa na kusoma sana ila mwisho wa siku ni mateso,Nimepoteza mwanaume niliyeweka mipango na malengo nae mwisho wa siku kila kitu kimebadilika ni kama ndani ya usiku mmoja,Eeh Mungu nipe nguvu ya kuyashinda haya kwamaana Naumia sana.

  • @ShamilaHoza-bi1nt
    @ShamilaHoza-bi1nt 4 місяці тому +1

    Kaka mungu akuinue ktoka hap uli kwa jina la yesu

  • @mlagz8032
    @mlagz8032 5 місяців тому +1

    Amen praise God 🙏🙏🙏

  • @sergemwembo7087
    @sergemwembo7087 9 місяців тому +2

    🙏🏾🙏🏾🔥🔥❤️ my top list song so far ubarikiwe sana mutumishi

  • @rennyreigns6103
    @rennyreigns6103 4 місяці тому

    ❤ keep up the good work Mathius

  • @amosuwimana1851
    @amosuwimana1851 22 дні тому

    Wow this song has good message to those who lost hope & faith..Namimi pia nitashinda in the name of almighty God Amen..

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne 9 місяців тому +3

    Ubarikiwe sana ❤

  • @AssanKinombo
    @AssanKinombo Місяць тому

    Jamani kaka Mathias mungu akupe maisha marefu huu wimbo unanibariki sana unafanya nijione ni Mt ambaye sio WA viwango ivi mungu akupe maarifa zaidii katka huduma yako❤❤❤

  • @RichsonOzil-su8vm
    @RichsonOzil-su8vm 3 місяці тому

    Nimeandikiwa kushindaaaaaah 🙏🙏🙏

  • @BenjaminMashudi-pw6fq
    @BenjaminMashudi-pw6fq 4 місяці тому +5

    Hiiii nyimbo iliniinua mahali,wakati nikilala gorilla mountain ground karibu na mama ngina,nyuma ya police headquarter mombasa,nlikuwa nkikesha kuomba kule but the truth was,,,,,,,sikuwa na nyumba juu ilikuwa imefungwa,time ikifungwa nlikuwa na two weeks nimeaoa,alienda kwao, juu ya hali yngu,,,,,,,,,,,,,FRIENDS, I LOVE THIS GOD

  • @ReubenStephen-im3eg
    @ReubenStephen-im3eg Місяць тому

    Sote washindi tukiwa mbele zake Mungu wetu🎉🎉🎉❤

  • @Ministerrobin
    @Ministerrobin 3 місяці тому

    Sijaandikiwa kushindwa, Nimeandikiwa kushinda. YESU Uko upande wangu. HALLELUJAH AMEN

  • @RoseTingo
    @RoseTingo 8 місяців тому +6

    Mungu azid kukutumia Kaka yangu kwetu

  • @GrasphordKazoba
    @GrasphordKazoba 9 місяців тому +2

    asante broo nasubili nyingine nice

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 9 місяців тому +1

    Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako..
    Hongera

  • @BlessednyashaOfficial
    @BlessednyashaOfficial 9 місяців тому +4

    Watching from 🇳🇦 I don’t understand the language but I like the song

  • @georgembua9622
    @georgembua9622 7 місяців тому +1

    I love the song and the environment the video was shoot.The place looks like Muthainga

  • @WinnerNgowi-qi4wr
    @WinnerNgowi-qi4wr 9 місяців тому +1

    ❤❤❤❤ naupenda sana huu wimbo unanipa amani❤❤❤❤

  • @justinedeniva788
    @justinedeniva788 4 місяці тому

    Soo inspiring 🙏 Amen

  • @nchilima_dcj
    @nchilima_dcj 9 місяців тому +3

    Nimeikubali huku Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mariammbwaga8463
    @mariammbwaga8463 9 місяців тому

    Hongera bro huu wimbo uniongeza Imani be blessed 👏👏👏👏👏

  • @MauwaFlavian
    @MauwaFlavian 5 місяців тому +2

    Ugumu wa changamoto zinazo nikabili hazitoshi kubadili mawazo ambayo MUNGU ananiwazia AMEEEEN

  • @RatpherAdam
    @RatpherAdam 3 місяці тому

    Kaka mungu akuepushe na mabaya hii nyimbo naiipenda mno❤❤

  • @Papadarculas
    @Papadarculas 2 місяці тому

    I don't understand how this song doesn't have more views. Very inspiring 🙏🏿💯

  • @Ministerrobin
    @Ministerrobin 3 місяці тому

    Sijaandikiwa kushindwa. MUNGU Yupo upande wangu. If GOD Be For us, who can be against us? HALLELUJAH AMEN

  • @dainessoda1363
    @dainessoda1363 4 місяці тому

    My brother hujawah kushindwa Mungu azid kukuinua viwango vingine🥰

  • @FredrickShipipa
    @FredrickShipipa 3 місяці тому +1

    Much love from Namibia 🇳🇦

  • @ABRI.H.T
    @ABRI.H.T 3 місяці тому +1

    I love his songs GOD BLESS YOU!
    I Am also from Kenya

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 4 місяці тому

    Mungu n mwema naamin nimeandikiwa kushinda na sio kushindwa yesu yupo upande wangu aminaaa🙏

  • @nicaslolela1398
    @nicaslolela1398 6 місяців тому

    Hongera sana Mtu wa Mungu ,Huu wimbo una nguvu sana

  • @markjonathan7260
    @markjonathan7260 9 місяців тому +1

    Mungu akiwa upande wangu ninani alie juu yangu....Mwaka huu najitabilia kushinda katika yote.🙏Ubarikiwe sana kaka Mathias kwa wimbo huu ambao kwangu mimi unanipa nguvu ya kuamini kuwa mabaya na changamoto zote ninazopitia kumbe zitapita na mwisho nitaupata ushindi ambao ndio hatima yangu...🙏Mungu akupandishe viwango kaka ukazidi kuwahudumia watu wengi kwa sauti yako nzuri na. Nyimbo nzuri hizi.

  • @Uriel577
    @Uriel577 9 місяців тому

    Hkk mwimbo una somo Kali . Sijaandikiwa kushindwa bali nimeandikiwa kushinda aahhh.
    Watching u from DRC

  • @RwegasilaLenatus
    @RwegasilaLenatus 9 місяців тому

    Kaka Kusema Ukweli Unatufundisha Kupitia Uimbaji Wako Maana Unaimba Vzr Sana Naninakuelewa Kwa utulivu Naneno Linaingia Ndani Yetu Barikiwa Sana Kaka

  • @bihyampe7454
    @bihyampe7454 2 місяці тому

    My God!!!!! I can’t get enough of this song🥹😍. I don’t understand what you’re singing. I’m just following from the subtitles and I’m glad it’s a gospel piece. Your voice is so soothing to listen to 😍

  • @juliashishpst
    @juliashishpst 4 місяці тому

    Great song 🎉 nitashinda zaidi ...victory is mine. God is on my side. God bless you for this song🎉

  • @mosesmakuthi3975
    @mosesmakuthi3975 5 місяців тому

    Great content 🎉🎉❤❤

  • @BrianSaitoti
    @BrianSaitoti 9 місяців тому

    wimbo nzuri iliyo na utulivu na neno la kimsingi

  • @AndrewMalanda
    @AndrewMalanda 2 місяці тому

    Naamini nitashinda 🙏🙏

  • @khairatybenson1661
    @khairatybenson1661 9 місяців тому

    Hongera sana shem wangu, mungu azidi kukuongoza katika kila jambo

  • @frankkim-w1n
    @frankkim-w1n 4 місяці тому

    great song, umenibariki sana na huu wimbo.

  • @BensonMwangi-eo2ot
    @BensonMwangi-eo2ot Місяць тому

    Keep doing good work of God

  • @garlinsk
    @garlinsk 9 місяців тому

    A blessing for 2024,Our God is able,in Jesus name we believe and trust we are winners.

  • @Braika4
    @Braika4 9 місяців тому +2

    Asante kwa kutubariki...uzidi kubarikiwa. 🇹🇿 🇬🇧

  • @EustacheKasongo-j5g
    @EustacheKasongo-j5g 9 місяців тому +2

    GOD is not a 😢man 😢to fail me nor a man 😢to liar to me he's just too faithful to fail me 🙌 failure is not my portion

  • @HezronNashokigwa
    @HezronNashokigwa 5 місяців тому

    Amen🙏
    Nimeandikiwa kushinda,nitashinda zaidi ya nilivyowahi Kushinda🙏

  • @ZulfaMatembe
    @ZulfaMatembe 9 місяців тому

    Video nzur wimbo mzur tunabarikiwa tutashinda

  • @michellempho5837
    @michellempho5837 3 місяці тому

    Kile napitia, naamini nitashinda 🙏🏾

  • @cocofreshcontent795
    @cocofreshcontent795 9 місяців тому

    Tutashinda🎉🎉🎉❤
    N Aliyefany colour ametishaa asee #nature is so reeaal🎉

  • @iambossmama
    @iambossmama 9 місяців тому

    Jamaiiii cna neno ubarkiwe kaka💥💥💥💥🙏

  • @gumimosile2389
    @gumimosile2389 9 місяців тому

    Kaka unajua sana, ujawai kukosea , Mungu na azidi kukuinua kaka mkubwa❤❤❤

  • @simonmathias812
    @simonmathias812 9 місяців тому +1

    baba baba na ufundi wa cherehan tena 💪💪 Barikiwa mtumishi Daktar ♥️

  • @iambossmama
    @iambossmama 9 місяців тому +3

    🎉typing...........

  • @mrknowhow3500
    @mrknowhow3500 8 місяців тому +7

    Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Let's gether here

  • @kamuraticia
    @kamuraticia 6 місяців тому

    Najua tutashinda! My brother will be well.

  • @SonofMajor1
    @SonofMajor1 9 місяців тому +1

    MWAKA HUU 2024 NI WA USHINDI HAKIKA.
    MUNGU NI WA UPENDO SANA KWETU.

  • @willyshakes2785
    @willyshakes2785 7 місяців тому

    Amen kweli Nitashinda oooooh Bwana ninayeeee

  • @thewanderlustafrican
    @thewanderlustafrican 9 місяців тому +2

    This song always plays at the back of my mind even when I am asleep, God bless you for blessing us with this.

  • @BoscoMundia
    @BoscoMundia 5 місяців тому

    Maaaaigad!! Sauti yako bro,,,you never disappoint,,,more blessings your way kaka,,,