ALHAJ MZEE YUSUPH Amtaka Khadija amuombe LEILA msamaha. TENA HADHARANI!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Ni baada ya Dada yake Khadija kukataa mkono wa wifi yake Leila msibani.

КОМЕНТАРІ • 115

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 7 років тому +36

    Khadija badilika dada dunia tunapita usisubiri mtu afe ndo ujute useme kwann sikupatana nae omba mungu akupunguzie hasira....Mana siku zote hasira hasara

    • @ramakiliku8843
      @ramakiliku8843 7 років тому +6

      Latifah Issa kweli kabisa wataka msamaa kutoka kwa m.mungu na mwenyewe utaki kusamehe .

    • @princeesssalma9622
      @princeesssalma9622 7 років тому +4

      Latifah Issa kweli kabisa binadamu dhaifu leo tupo kesho hatupo

    • @abuiyali6425
      @abuiyali6425 6 років тому

      Latifah Issa mmmhh

    • @mariamlameck5244
      @mariamlameck5244 6 років тому

      Latifah Issa kwel

    • @fatmafrdy337
      @fatmafrdy337 5 років тому

      kweli

  • @malkiasepetu8615
    @malkiasepetu8615 7 років тому +5

    alhaj kapunguza ukali wa maneno kuliko kusema ana roho mbya bora kusema ana hasira mkali sana🤗🤗jazaqallah hekmah kweli alhaaj

  • @barwancb5723
    @barwancb5723 7 років тому +10

    mashaallah, mzee ana maneno ya hekima, allah amzidishie.

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 7 років тому +12

    uislamu wa mzee yusuph! ungekuwa ndio unaohubiriwa pande zote Tanzania? mmmmh! Tanzania ingekuwa salama sana. mwenendo wake hakika huyu ni mtakatifu wa Mungu. Mungu akutie nguvu Alhaj. mzee yusuph

  • @rajabusuleiman9154
    @rajabusuleiman9154 6 років тому

    ongela sana mzee yusufu kwa kungundua ukweri mbere ya mwenyezi mungu ishallah mungu ata kupa maisha marefu

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 6 років тому +1

    hakika allah humuongoza amtake mashllah mzee yussuf allah azid kutuongoza

  • @siznic2156
    @siznic2156 7 років тому +4

    Khadija roho mbaya Wala sio hasira.tena hasira haipendezi kwa muisamu yeyote.hasira ya nn eti..

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 років тому +8

    Hasidi hana sababu...safura ya chuki ni shida this song was meant for khadija.

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 7 років тому

    Pole mzeeyusuf yote mambo ya mungu khadija badilika dunia tunapita

  • @kuduramohamedi6036
    @kuduramohamedi6036 7 років тому

    pole sana kaka angu mzee yusuf kwa msiba mapenzi ya mungu mungu akuwekee wepesi amina

  • @a.856
    @a.856 7 років тому +9

    .....muislam wa kweli ni yule ambae anaweza kuzuwia hasira zake...

    • @abuiyali6425
      @abuiyali6425 6 років тому

      Zuhura Salum acheni kuendekeza dunia jman

  • @asiamahami6140
    @asiamahami6140 7 років тому +5

    Omba msamaha Dada khadija umekosea muda bado upo Allah atakusamehe

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 років тому

    Kama alimnyima mkono tusihukumu alishaona kuna shida . Sisi inakuwa rahisi kusema fulani ana matatizo, hatujuhi mungu awasaidie wote.

  • @najmahbaby8690
    @najmahbaby8690 7 років тому +6

    khadija apunguze roho mbaya,hana cha ukali au nn

    • @zainabfarahan7331
      @zainabfarahan7331 5 років тому

      Khadija lazima apatane na wifi yake ugomvi ni mambo ya kisheitwan jitahidi kusamehe kubwa dogo na subra iweke mbele in sha Allah

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 років тому +1

    mungu atunusuru na kibur na shetan km Huyo nadhani atajutia kosa lake jaman bas tena kashakom Huyo na hafanyi tena

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 7 років тому +4

    mawifi mawifi jameni wana mambo kote kote.

  • @rahmaahmed3585
    @rahmaahmed3585 7 років тому

    allaah akupe subra alhajj

  • @jenniphermunguakutangulie7432
    @jenniphermunguakutangulie7432 7 років тому

    mzee yusufu uko vzr kaka mungu akutangulie

  • @patriciamassawe6496
    @patriciamassawe6496 7 років тому +3

    mwanamke ana roho mbaya huyu lol khadija badilikaaaa mxew

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 7 років тому +3

    Huyu dada ana matatizo kwa kweli. Miaka miwili hujakanyaga kwa kaka yako? MMungu ambadilishe kwa kweli

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 7 років тому

    M/Mungu azidi kukuongoza Mzee.

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 років тому +11

    pole mzee wetu

  • @jamailakinaia1923
    @jamailakinaia1923 7 років тому +6

    roho mbaya haijengi khadija.....aya ni maisha tu

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 7 років тому

    aaaaagh kwel yuseef isihukum wakat hujaona👏

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 7 років тому +2

    khadija wivu unamsumbua akimuona laila kamzid kilakitu anaona kaka yake anafaid kama ipo ipo tuuuu

  • @halimanyanda3736
    @halimanyanda3736 6 років тому

    Tunakupenda sana mzee yusufu

  • @miraabdullah57
    @miraabdullah57 7 років тому

    kwani jamani niambieni nataka kujua mzee yusuph bado yupo na Leila ndoani au wamebaki kama mtu na mzazi mwenzie,,MUNGU awafanyie wepesi na kama bado yupo na Leila kindoa basi apumzike abaki na huyohuyo mmoja maana nimesikia jana mzee y anataka kuoa ila kasema atajipanga kama Mungu kapenda aoe ataoa na kama haikuwa rizki basi atapumzika kwani swala la kuoa sio la kukurupuka,,

  • @princeesssalma9622
    @princeesssalma9622 7 років тому

    Allah atuongoze sote inshallah

  • @ashab2537
    @ashab2537 7 років тому +14

    hasira au roho mbaya

  • @mariamkimwaga4596
    @mariamkimwaga4596 7 років тому +4

    mbona mwakatisha

  • @mohammedrashidmzee5700
    @mohammedrashidmzee5700 7 років тому

    walai me naww sana sis anavyo fanya interview yake yani yuko poa makini

  • @AhmedOmar-dw8oi
    @AhmedOmar-dw8oi 5 років тому

    موزا يوسف بوله نكونبي سلام عليكم وا رحمات توالله

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    pole mzee...moja ya mitihan hiyo

  • @omand1761
    @omand1761 7 років тому

    Khadija ana roho ya kichawi pia anamchukia wifiye Leyla.Alimuandama ataashia talaka.sasa Mungu kaonyesha ufalme wake huyo kipenzi chake Chiku ndo kamchukua kamwacha Leyla.Wanampiga vita lkn ndo ana kheri nao.Khadija aache na ushamba pia unachangia.Sisi watoto wa muji tunamwambia.Kiburi ni ushamba.Anaringa nini mtu mwenyewe hana chochote.Badilika mshamba wahedi

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 7 років тому

    huosio ukali ana roho mbaya sana lipi kubwa alilomkosea wifi yake ugovi usiokwisha kama watoto mmmmmh mkubwa manajifanya wanajua dini amnalolo kajitia aibu wala haya pendezi kwa mungu wala kwa jamii

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 років тому

    thax junior

  • @paulomgan2064
    @paulomgan2064 6 років тому

    Safi

  • @infohometv3896
    @infohometv3896 6 років тому

    Allah humuongoza amtakae

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 7 років тому +3

    Wengine ma wifi wana wivu

  • @marjitujumajumamohmady5522
    @marjitujumajumamohmady5522 5 років тому

    mashallah😨😨😨😨😨

  • @lilyisma2292
    @lilyisma2292 6 років тому

    Majina ya khadija ndivyo yalivyo mi mwenyewe Ni mkali hataree 😀

    • @nasmafarmsltd9146
      @nasmafarmsltd9146 6 років тому +1

      Lily Isma umenena ndug hata mie ñďò nilvyo ndug

    • @lilyisma2292
      @lilyisma2292 6 років тому

      Nasma 13 😂😂 nacheka kama mazuri hatupendi kuambiwa ukweli wala kusemwa yan ni shida majina ya khadija na ni majehuri 😂 ukituchefua tu hatare

    • @khadijakoga7594
      @khadijakoga7594 4 роки тому

      Jamani duuh nilijuwa nimimi tuu

  • @neemajilo4012
    @neemajilo4012 7 років тому

    Khadija wacha roho mbaya ili ukonde mh ukiendelea na uchafu wa moyo utazidi kuvimba zaidi ya hapo

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 6 років тому

    WISLAAM UNYENYEKEVU
    TUISHI KINYENYEKEVU

  • @mwaijaramadhani6662
    @mwaijaramadhani6662 7 років тому

    heeee kwa hadija yule ule unene ni wa roho mbaya yule dada mh ila kuomba radhi kwa hadija hawezi yule dada

  • @khadikaismayl5803
    @khadikaismayl5803 7 років тому

    khadija badilika Dunia tunapita na leyla ni wif ako hata ukasilike

  • @alima7862
    @alima7862 7 років тому

    Latifa h issa nisisiwote tubadilike

  • @emmakayombo9577
    @emmakayombo9577 7 років тому +2

    Acha basi Mzee Yusuph.

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 7 років тому

    huyu khadija ana roho mbaya kwa kweli

  • @muhidinzangira9086
    @muhidinzangira9086 7 років тому

    Mkali Allah pekee

  • @rukiaabdallah92
    @rukiaabdallah92 7 років тому

    labda ana h.i.v maana ukiwa navyo hatari sana

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 7 років тому

    roho mbaya tu hyo khadija

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 6 років тому

    Swag yakuongea kama amefunga macho

  • @wemkaliyuan8379
    @wemkaliyuan8379 7 років тому +1

    dada yako mwambie awe na heshima na mkeo aipendezi

  • @mwanahamisimasudi7378
    @mwanahamisimasudi7378 7 років тому

    haya mi nnapita shauri zenu

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +4

    Na ww mzee yusuph ushaachan na mambo ya kidunia bac mambo yako na familia yako yamalize nyumbn kam dad yako kakosea wawek chin na mkeo myamalize huko sas aje hadharan kwa faida ya nan aaa achen bhan niny ni waislam hebu fanyen mambo kiislam bac

  • @azizaooo6309
    @azizaooo6309 7 років тому

    dah khadija acha roho mbaya

  • @hellenamwissa7424
    @hellenamwissa7424 7 років тому

    c roho mbaya huyo hadija mi naona atakuwa na mapepo anahitaj mambo.

    • @patimahassan3162
      @patimahassan3162 7 років тому +1

      mzee Yusuf mambo ya family malizana kwenye family ndo ustaarab sio ueleze kwenye vyombo Vya habari kila MTU akajuwa ndo uislm ao wadaku wapuuze sema ya muhimu tu wewe MTU mwengine bana

  • @aishleyfumo2669
    @aishleyfumo2669 7 років тому

    yaonyesha kuwa khadija na mzee nyote mlipenda chiku sn kuliko leyla

    • @aishleyfumo2669
      @aishleyfumo2669 7 років тому

      yule unaependa zaidi kuliko mwenzie mungu hukuondolea akakupima imani

  • @madamegift3312
    @madamegift3312 7 років тому

    mmmh

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 років тому

    daaaah

  • @churachura6091
    @churachura6091 7 років тому +2

    tuwekeeni full video jamani

  • @imnathe1299
    @imnathe1299 7 років тому

    alingia weupe wa madawa pole hadija asiye fuzwa na mamaye hufuzwa na ulimwenge ipo siku utamujutia ndungu yako

  • @abdillahichicha8035
    @abdillahichicha8035 6 років тому

    Kusameheana ni lazima

  • @yumnahassan1995
    @yumnahassan1995 7 років тому

    junior syaary tunataka part tu hii imekatika

  • @h.andayi8907
    @h.andayi8907 7 років тому

    khadijah mwenyewe sura yake yafanana tuu chuki...

  • @jumaawadhy4996
    @jumaawadhy4996 6 років тому

    mm

  • @hassanaisha8228
    @hassanaisha8228 6 років тому

    Hasira bay

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 7 років тому

    mzeee yusufu bwana eti mle 2😅😅😅

    • @hassanboi5906
      @hassanboi5906 7 років тому +2

      Salma Akida assalaykum walahmatuwah wabarakat

    • @salmaakida3485
      @salmaakida3485 7 років тому +1

      waaleikum mslam Hassan nambie

  • @mkamimatha2692
    @mkamimatha2692 7 років тому

    roho mbaya hua aibadiliki

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 років тому

    kwan niulize reila hakutAkiwa kwenda msiban au

    • @hanadialabed8635
      @hanadialabed8635 7 років тому

      Rosemary Benjamin anatakiwa kwenda lkn kwa hiyari yake na pia hakuweza kuondoka kwake ila kwa ruksa ya mumewe km anekataliwa hasiondoke kwake kwenda msbani na mumewe bac angebakia hme lkn alipata ruksa kutoka kwa mumewe ndo alienda umeelewaeee ddngu

    • @hanadialabed8635
      @hanadialabed8635 7 років тому

      Rosemary Benjamin anatakiwa kwenda lkn kwa hiyari yake na pia hakuweza kuondoka kwake ila kwa ruksa ya mumewe km anekataliwa hasiondoke kwake kwenda msbani na mumewe bac angebakia hme lkn alipata ruksa kutoka kwa mumewe ndo alienda umeelewaeee ddngu

  • @hamisisteven1269
    @hamisisteven1269 6 років тому

    .

  • @ndagesikapasa6503
    @ndagesikapasa6503 7 років тому

    una hekima....alhamdulillah

  • @bethwairimu3115
    @bethwairimu3115 7 років тому

    Pole mzee

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +2

    Jamani mmekatisha mazungumzo kwanini? bac leteni part2 ya mazungumzo haya

  • @alialbusaidi9130
    @alialbusaidi9130 7 років тому

    Mjinga tu uyo Adija MTU mzima akue nini apo

  • @halimamohamedy3571
    @halimamohamedy3571 7 років тому

    Mhhhhh

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 7 років тому

    khadija hanalolote Wivu unamsumbua akimuona laila kamzid kila kitu

  • @khadikaismayl5803
    @khadikaismayl5803 7 років тому

    khadija badilika huyo niwifi ako tu hata umkasilikie

  • @halimanyanda3736
    @halimanyanda3736 6 років тому

    Tunakupenda sana mzee yusufu

  • @hamidamakamemohd8537
    @hamidamakamemohd8537 6 років тому

    Allah akuhidi mzee

  • @ansfridacharles4886
    @ansfridacharles4886 7 років тому

    hadija fyuuuuu zako