ONA BIBI MAPACHA MIAKA 76 WATOA SIMULIZI YA MATESO NA RAHA DUNIANI YA MAISHA YAO NI KITENDAWILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 47

  • @AishaOmary-t3b
    @AishaOmary-t3b 14 днів тому

    Kumbe watani zangu ndio maana wamechangamka vizuri ❤❤Allah awajaalie Afya na maisha marefu

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 19 днів тому +5

    Mashaallah bibi zetu mola atujalie na sisi wengine tupate mapacha inshaallah

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 15 днів тому

    Najua bibi Esta lazima atakuwa sisi akina Doto, akina Doto uwa wachangamfu na wtundu sana
    Hongereni sana mapacha wenzangu

  • @CatherineKantambi
    @CatherineKantambi 17 днів тому +1

    Wini ana baraka zote kutoka kwa bibi zake nimewapenda wana mioyo ya shukran sana

  • @MonicaMbapila
    @MonicaMbapila 17 днів тому

    Wifi yangu mke wa marehemu Tito Mbapila akiwa yupo na pacha wake Nawapenda sana ❤❤

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 18 днів тому +4

    Hawa ma bibi wanajielewa Sanaa

  • @oman-c7y
    @oman-c7y 19 днів тому +2

    Mashaallah mama zangu.na mimi mama yangu ni mapacha.ila mwenzie alitangulia mbele ya haki akiwa mdogo

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 15 днів тому

    Masha'allah mngu awatunze bibi zetu❤❤

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 17 днів тому +1

    Nimewapenda sana ujue yaani wanaimani ya Mwenyezi mungu

  • @tumainisichale6782
    @tumainisichale6782 18 днів тому +5

    Wapo mapacha wakubwa nina mjomba wangu na mama yangu mkubwa wana miaka 85 mmoja anaishi kigoma na mwingine anaishi dar 8:01

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 14 днів тому

    ❤❤❤ mung awape umri mrefu

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 18 днів тому

    Mbona fulaha jamani nami niko na mapacha mumja wao anaitwa Esther tena nimkorofi lakini mwenye upendo na huruma ❤❤❤❤❤❤

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 17 днів тому

    Wow Leo nimara ya kwanza kuhona mapacha walio Zeheka wakiwa pamoja jamani wanavutia 😍😍😍

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 18 днів тому +1

    Hongereni sana jamani Mungu mkubwa bibi anasema sio unachagua mwanaume kalewa anarudi gobagoba

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 18 днів тому +2

    Mashaalah 🎉

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 18 днів тому +1

    Mungu asifiwe sana Bibi zangu ❤

  • @LilianiAntimi
    @LilianiAntimi 20 днів тому +4

    Nimewakumbuka sana jamna Hawa walikuwa wanakaa mbagala charambe esta alikuwa mjumbe wetu jamana

  • @ANAKRETHSagga
    @ANAKRETHSagga 17 днів тому

    Sio kweli wazazi wangu bado wanaishi na ni mapacha , Mungu awabariki sana

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 18 днів тому +1

    Wamama wazuri Mungu awabariki

  • @Agnes-vo5ro
    @Agnes-vo5ro 18 днів тому +2

    Mungu ni mwema.

  • @CatherineMwaluka-s8l
    @CatherineMwaluka-s8l 19 днів тому +2

    Dada zake Mareham mzee Arthur Msumba

  • @SurprisedAnteater-uj3od
    @SurprisedAnteater-uj3od 19 днів тому +1

    We love you mama zetu wakubwa❤❤❤

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 17 днів тому +1

    Ewe mtto wa hawa wazee ulokua humtizami mama ako unamuangalia mkeo nawatto wako pindi akifa mama walahi nakupa pole yko

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 19 днів тому +1

    Jamsni Mungu awatunze hawa mapacha

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 17 днів тому

    Maskini Allah awarehemu wote waume zenu jamani mnawasifu kwa wema waliokua nao waliwapenda km mnavopendana mabibi zetu wahistoria ....mimi nimuisilam lkn M.mungu nimwema sana habagui walq hachagui....jamani

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 17 днів тому

    M.mungu ni mwema jamani hongereni sana

  • @emaciasato4492
    @emaciasato4492 18 днів тому

    Hongereni sana mapacha 🎉🎉🎉

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 17 днів тому

    Mashallah Mashallah

  • @HamisaYusuph
    @HamisaYusuph 19 днів тому +6

    Huyo baba akumkumbuke mama yake anatia huruma

  • @janeisrael1003
    @janeisrael1003 18 днів тому +1

    Nimefurahi mweeeee sikutamani iishe

  • @JoyceKannonyele
    @JoyceKannonyele 18 днів тому +4

    Jamani daaa, japo vipato ni vidogo ; tujitahidi kuwakumbuka Wazazi wetu.

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go 17 днів тому

    Nimefurahi kuwaona mmoja wao alikuwa Temeke karibu na nyumba za kota

  • @ShanelShanel-p8n
    @ShanelShanel-p8n 15 днів тому

    😅😅😅😅 nawapenda jamani

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 20 днів тому +1

    Hadi raha ,hongereni bibi

  • @NeemaMasala-o7c
    @NeemaMasala-o7c 19 днів тому +3

    Hadi raha.na mimi ni twin

  • @AnithaGalla-c9x
    @AnithaGalla-c9x 17 днів тому

    Hadi rah❤❤❤

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 днів тому

    MBONA HUJAMUULIZA ABAFANYA KAZI GANI HUYO STEVEN.

  • @husseinkisangwa5889
    @husseinkisangwa5889 19 днів тому +2

    Hongereni bibi zangu Mungu awape umri mrefu

  • @mageantoni5899
    @mageantoni5899 14 днів тому

    Huku kwetu wapo

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 17 днів тому

    Mi mbona baba na mama wapo hai

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 15 днів тому

    Mbona wanaonekana wazee kuliko umri wao!

  • @AishaOmary-t3b
    @AishaOmary-t3b 14 днів тому

    Mliozaliwa Shamba la abedi mjuane

  • @oman-c7y
    @oman-c7y 19 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 днів тому +1

    HUYO SIYO MTOTO . NI SHETANI. MTOTO MMOJA TUU HUYO LAKINI HANA UPENDO?. NDO MAANA WANALAANIWA.

  • @anzerranisadiki2443
    @anzerranisadiki2443 19 днів тому +2

    Hadi rahhhhhhaaaa

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg 18 днів тому +1

    Maswali gani hayo muandishi