WANANCHI WAANDAMANA NA MADUMU MBELE YA MKUU WA WILAYA MOROGORO "KWA WIKI MAJI YANATOKA SAA MOJA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc День тому +2

    Ila tatizo letu wananchi kuweni makini wanakuja kuomba kula mikono nyuma ngoja wakipata kula wanaenda kujaza vitambi vyao

  • @JoyceSamwel-f2s
    @JoyceSamwel-f2s День тому

    Akina Amina kwa kuongea 🙌🙌

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 День тому

    Asante Ayo tv kwa kututetea

  • @JohMwita
    @JohMwita День тому +1

    ccm oyeeee

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j День тому +1

    Ccm tutapita tu bila kupinga ccm kwanza mengine baadaye

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 День тому +1

    😂😂😂 back mtamchaguwa tena huyoohuyooo

  • @storytownTv
    @storytownTv День тому

    Si mama Abduli alisema uchumi umepanda..😢.. au kunanamna akuelezea tuelewe kwa kina ...anyway mitano tunae mpka tunyooke akili ..😂

  • @btechie04
    @btechie04 День тому +2

    Kunaendelea kuchangamka, taratibu tutafikaa tuu

  • @alexmaungo2851
    @alexmaungo2851 День тому +2

    Tatizo ni moja tu nchi hii, njaa ya ubongo

    • @rashidsimba3680
      @rashidsimba3680 День тому

      😀😃😃😃,kabisa ubongo umekula Njaaaa

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks День тому

    Naombeni mnichague tena awamu hii ntaakikisha maji yanawafikia kila mtu ndani kwake chumbani

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 День тому

    Ila Arusha Idara ya Maji inapambana sana yaani wananchi tukipiga simu hata kama ni changamoto kidogo wanafikaga haraka na kutatua tatizo

  • @brasolebasoto2434
    @brasolebasoto2434 День тому +2

    Yaaani maji Ni ya kununua ila bado yanapatikana kimanatiii

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 День тому +2

    Hstuna viongozi

  • @ModestaMduda-n9s
    @ModestaMduda-n9s День тому +1

    Nakwanini wapate malamoja?

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz День тому +1

    Tatizo la viongozi wa Tanzania wapo so selfish, hata hiyo siku moja haitoshi maji ni uhai lazima kila siku, wanaona raha kuona wengine wanateseka

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 День тому

    Muombeni Abood awaletee maji...😂

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 День тому

    Tutamkumbuka sana magufuli Simba wa afrika

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson День тому

    Njooni huku tulipo tunajichotea mtoni maji safi. Mmerundikana hapo Mjini tu. Fyuuuu.

  • @gililwise
    @gililwise 13 годин тому

    Bigwa ndo usiseme.morowasa hawawezi kazi watumbuliwe

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv День тому +1

    Alfu bdo mnawapigia kula ujinga tu

  • @HezroniJonh
    @HezroniJonh День тому

    CCM itawaramba mpaka mtie akili hela mpaka atoe Samia 😂😂😂hawo wahandisi mnawaonea hamna mipango ya mda mrefu

  • @ChainesBoufee
    @ChainesBoufee 16 годин тому

    Vp wazir hajaiona bdo.

  • @KoleYasini
    @KoleYasini День тому

    Moro goro iyooo,tatzo sio maji moro hakuna tatizo watu wanataka maji hadi barazani..

  • @yassinkanal
    @yassinkanal День тому

    Mkiambiwa muqndamane aaaah

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 День тому

    Tutamkumbuka sana shujaa imara Aliye kuwa mtata ila alijenga nchi kweli alikuwa Simba huu usanii usingekuwepo

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh День тому

    Narudia hii nitanzania nzimaa kwani hatamwanza tunaangaika sana

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 День тому

    Hapa tuulizane wadau.hawa viongozi wao wanaweza juvumiliya hii haki?

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 День тому

    Mbeki kimara usiseme😂😂😂

  • @DochiDochi-f9z
    @DochiDochi-f9z День тому

    Uweso hao hamisha wafanyakazi wameoza

  • @ISACKKILEO-e7z
    @ISACKKILEO-e7z 22 години тому

    huyo mpumbavu wa morrowasa anabishaa na mkuu wa wilaya??? anajielewa kweliii, au kachoka kazi.

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii День тому

    Mkurugenzi huyu hafai,tena mbishi kwa mkuu wake

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 День тому

    Hadi aibu jamani khaaa, Sisi huku DODOMA tunaambiwa eti pump imetumbukia chini sana kisimani miaka minne Sasa ila kwenye mitaa wanayoiahi viongozi akiwemo Waziri Aweso mwenyewe maji yanatoka Kila siku Hii maana yake Nini??

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 День тому

      Kumbe Kwa Waziri yanatoka? Kachoteni kwake mpaka akereke.

  • @yassinkanal
    @yassinkanal День тому

    Endeleeni kumchagua babutale mtajuta😂😂😂😂

    • @JoyceSamwel-f2s
      @JoyceSamwel-f2s День тому

      Asa babu tale anahusika vpi uko mkundi

    • @yassinkanal
      @yassinkanal День тому

      @@JoyceSamwel-f2s nimfano wa viongoz wanao fatilia mzk badala ya kufanyq kaz z wananch

    • @yassinkanal
      @yassinkanal День тому

      @@JoyceSamwel-f2s yy kaz ya kupeleka wasanii wakapge show tu

  • @yohanakateko
    @yohanakateko День тому

    Selikari haijafanya kazi itatua maji kwanza ndo waje watuambie mengine watafanya ccm

  • @FelixMwacha
    @FelixMwacha День тому

    Dah! maji siku moja kwa wiki? ni dunia ya karne gani? inaogooesha sana halafu mnataka jiji?

  • @Eliasmarwaturuka
    @Eliasmarwaturuka 16 годин тому

    Cccc oyeee mitabo tena hawajinga tu

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 День тому

    Shida kubwa ya matatizo yoooote ni uongozi mbovu, utamkuta mtu akipata cheo serekalini , yeye kazi yake kubwa ni kufukuzia utajiri wa wizi, hana habari na kuletea wananchi marndeleo. Badilikeni viongoz wa TZ.

    • @mayrfrimi4759
      @mayrfrimi4759 День тому

      C CM achieni ngazi, kazi ya kuiletea tanzania maendeleo hamuwezi. Pumzikeni tu hata hivyo mmechoka cha kutosha tangu 61, inatosha.