LISSU APAMBANA NA ASKARI KISAWASAWA: ANGALIA VIDEO HADI MWISHO EEEE!!!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 937

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 7 місяців тому +8

    Nampenda sana Lissu, Hakika nafurahi jinsi anavyokuwa anajibu kwa hoja na kujiamini ✌️✌️

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 4 роки тому +53

    Lissu yuko ameambatana na Yesu mkubali mkatae ukweli ni huo. Be blessed Lissu🙏🏼🙏🏼

  • @daudmrembo5022
    @daudmrembo5022 4 роки тому +9

    Waoo tundu lissu tukipata kama wewe watano basi tutakombolewa mungu akubaliki

  • @bobipopi5208
    @bobipopi5208 4 роки тому +26

    Lisu anajua sheria big up ilawe tunakuweka akiba acha amalize kwanza Magu ndo tutakupa urais tena vyamavyote viungane tukuteue wewe kama muwakilishi wa upinzani

    • @rocyncathbert4527
      @rocyncathbert4527 4 роки тому +1

      Sahihi

    • @davidssangi.2980
      @davidssangi.2980 4 роки тому

      Kabsa aisee lissu anatufaa Tanzania aise

    • @JJ-fb9jp
      @JJ-fb9jp 4 роки тому

      Hahahahaha nimecheka kwa sauti

    • @nashahmontanah6864
      @nashahmontanah6864 3 роки тому

      Mungu hawezi kutupa kiongozi mbovu na asiye na hekima mfanya fujo mgovi mkolofi mungu atatupa kiongozi boro mwenye hekima na busara

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 4 роки тому +27

    Doo maaskar wote hawa wanamshika MTU mmoja!!
    Ahaaaaaa kazi kwelikwelii

    • @abdulbogoyo1243
      @abdulbogoyo1243 4 роки тому +1

      inachekeaha

    • @mohamedalawy7704
      @mohamedalawy7704 4 роки тому +1

      Hapa Kenya mambo ya kukamatakamata wapinzani yalikwisha tulipoazisha vyama vingi. Tatizo sugu tulilonalo mbaka sasa ni Ufiisadi ambalo Tz hakuna.

  • @stephanomarwa3063
    @stephanomarwa3063 4 роки тому +11

    Mungu akubariki Lissu siku moja tuione Tanzania inayofata sheria

  • @priskilakenedi9440
    @priskilakenedi9440 4 роки тому +5

    Uko vizuri mwanasheria nimekuelewa sana n mungu akutangulie ufike mwisho mwema

  • @elianzengekambaboy2543
    @elianzengekambaboy2543 4 роки тому +7

    Inaniuma sanakuona mtukazaliwa mzima leohii amekuambovu lisu mungu akulinde sana

  • @josephatjonya6905
    @josephatjonya6905 4 роки тому +10

    Hongera sana kamanda lissu watakuelewa

  • @lordhilpolithrothschild5955
    @lordhilpolithrothschild5955 4 роки тому +7

    Safi sana unajua kutengeneza content nzuri

  • @emanueljisandu6487
    @emanueljisandu6487 4 роки тому +7

    Mungu Ambariki MTU huyu Amen

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 роки тому +26

    Nchi haina sheria, lissu usiiwache Tanzania kwenye giza. Mungu akusimamie

    • @zaitunadam7028
      @zaitunadam7028 4 роки тому

      Kwan lisu ndo atakupeleka kwenye nuru? Hahahahhaha pole sana unako elekea sio

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 4 роки тому +41

    Tatizo ni shule au elimu au ni kuvunja sheria hadharani... Tunahitaji utawala wa sheria

    • @rozinkinda1607
      @rozinkinda1607 4 роки тому

      Kosa rake atarikuta hukohuko acha ubishi wewe

    • @annaobilaobila9705
      @annaobilaobila9705 4 роки тому +1

      Kuna wa tz wajinga mno sheria haimzuii police kukamata mtuhumiwa ila maafisa Wa police wanatakiwa wamjulishe mtuhumiwa anakamatwa kwa kosa gan.akubali akatae lkn lazima waseme sabab y kukamatwa kwake sio kuvamia t watu na kukamata UTUMWA ULISHAPITA MSITURUDISHE HUKO JAMANI. mnamuharibia mengi mazuri anayoyafanya mh rais JPM.kwa mihemko yenu sawa badiliken tafadhal

    • @abdulbogoyo1243
      @abdulbogoyo1243 4 роки тому

      BILA SHAKA hujakosea

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 4 роки тому +65

    Ni YEYE uyo lisu Anajua sana msimamo waukweli

  • @christermelaka5689
    @christermelaka5689 4 роки тому +30

    Chadema tujuane gonga like za kutosha hapa27/8/2020

  • @duoxmasisa6529
    @duoxmasisa6529 4 роки тому +20

    Ila #Lissu ni mwamba sana

  • @OmanOman-zc5dt
    @OmanOman-zc5dt 4 роки тому +18

    Kweli kabisa nilazima apewe sababu ya kukamatwa

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 4 роки тому

      Right to be told the ground for arrest

    • @rajabkisebengo9406
      @rajabkisebengo9406 4 роки тому

      Wanalijua ilo bc wao wakikukamata ukiwauliza nimefanya kosa gan et utaenda kujielezea kituoni dah hii ndo nchi yetu bhana mungu atusaidie tu 🤲🙏🙏

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +30

    Ee Mungu ninaomba Aman yako itawale Tanzania!

    • @rajabkisebengo9406
      @rajabkisebengo9406 4 роки тому

      Samahani Sheba Minde umeisahau haki hapo kabla ya amani maana sidhani wewe umemuona mwizi wako anaingia kwako kuiba unasema amani itawale huku mwizi anaiba utamuacha mwizi achukue ili amani itawale??mfano mdogo mipaka ya viwanja tu tunaiona adi watu wanauwana

  • @victormneney8789
    @victormneney8789 4 роки тому +37

    Kuna watu hawapati usingizi wakisikia Lisu nyie nendeni mkajaze wasanii wa Bongo flavor uwanjani

  • @husseinstriker4211
    @husseinstriker4211 4 роки тому +59

    Mimi binafsi nimekuwa nikimpinga Sana lisu lkni nimeangali clip hii AA lisu anajua Sheria baadhi ya policy warudi shule

  • @emmanuelmwasenga1622
    @emmanuelmwasenga1622 4 роки тому +15

    Nampenda mheshimiwa kwa kuwatetea wanyonge kwa kweli

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 7 місяців тому +1

    Yaani hao police ni mbumbumbu, hawajui sheria,Lissu wafundishe kaka we Mwamba Kweli Kweli ✌️✌️✌️✌️

  • @harmotv3818
    @harmotv3818 4 роки тому +12

    Lisu ni mwana shelia haiseee

    • @JoshuaLaiza
      @JoshuaLaiza 5 місяців тому

      Mungu ana musaidiya sana lisu

  • @elishaitv8703
    @elishaitv8703 4 роки тому

    Utashinda Uraisi baba yetu TUNDULISU NGUVU ya mungu utashinda raisi tundulisu

  • @rajabpembe7546
    @rajabpembe7546 4 роки тому +39

    Kumbe askar wenyew hawajui sheria wanajua kukamata tu kasomen sheria kwnz

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 роки тому +2

      Kupiga tu watu adi kero

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 роки тому

      Hawasomi sheria wanafuata maagizo kutoka juu

  • @SumaOmary
    @SumaOmary Місяць тому

    Hongera sana kamanda lisu ujumbe umefika huwo🔥

  • @nicksonpontion7105
    @nicksonpontion7105 4 роки тому +38

    Nyie wapumbafuu wakubwa unabishana na mwanasheria mkuu mnapoteza mdah

  • @elishaitv8703
    @elishaitv8703 4 роки тому

    Tunakuombea raisi wetu TUNDULISU mungu yupo

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 роки тому +54

    Dahhh...alieskia otherwise akimbie😆agonge Like
    👇daah maaskari sura zimewashuka

    • @rajabkisebengo9406
      @rajabkisebengo9406 4 роки тому

      Yaan uyo Askari aliekuja katoa kioja et Icho kifungu kidogo dogo icho watu wakacheka ndo kamchukua Kiaina

  • @adammwangatwa9914
    @adammwangatwa9914 4 роки тому +1

    Nyooooo kwishaaaa lissu wape sheria hai hawazijui hao

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому +19

    Tanzania ndio nchi pekee Yan unamkamata mtu bila kuongea kosa lake.

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 7 місяців тому +1

    Police fake hawajui hata sheria Mbumbumbu tu Lissu Hakika CHADEMA Mwamba,,,,✌️✌️✌️

  • @caindunke8526
    @caindunke8526 4 роки тому +7

    Kazi ya Uaskari ni ngumu, jamaa wanajua kabisa kuwa wanakosea lakini lazima watii amri za wakubwa zao

  • @robertabely5794
    @robertabely5794 4 роки тому +5

    Askali wanajua kbs, ujue hz kaz zngine unafata order tu, ila kisheria lisu yupo sawa

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 4 роки тому +12

    Huyu kichwa, lisu nakukubali saana bro

  • @mufladominic1331
    @mufladominic1331 4 роки тому +2

    Ukiwa umesoma laha sana nasheria ukiijua lissu pamoja sana chumaaaaa

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 4 роки тому +14

    Lissu ameingia kwenye rekodi ya duni, ni MTU wakwanza duniani aliewahi kupigwa risasi16 na hakufa,

  • @alimasisalumu8038
    @alimasisalumu8038 4 роки тому +13

    Tukimchagua lissu waharifu wanaosemekana kuwa hawajulikani ,,watajulikana 2 ,

    • @imakitori399
      @imakitori399 4 роки тому

      Haswaaaa

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 роки тому +2

      Ndio maana wanacoment sana humu wanasema lissu hafai kuongeza kumbe wanaogopa uovu wao doh!

    • @eliasjillanga3158
      @eliasjillanga3158 4 роки тому

      Ckupingi

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 роки тому +1

      Na wataongezeka majambazi panyaroad watarudi madini yataibiwa , mtaandamana Hamtaona hata tone la maji maaanahajaahidi na avipokwenye chama

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 роки тому

      Kabisaaa

  • @topotachilemba9196
    @topotachilemba9196 4 роки тому +37

    NAMFAHAMU LISSU TANGU 1984 MKUTANO WA IRINGA MJINI JAMAA NI JASIRI KM YOHANA MBATIZAJI

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 4 роки тому +1

      Jasiri mjinga mtu mzima aliyekosa nidhamu ya kuongea ndiye awe kiongozi mropokaji kazi inayomfaa ni kuwa mpiga debe

    • @newjesusnewjesus254
      @newjesusnewjesus254 4 роки тому

      Licha ya kumfaham akiri tiar Isha paralaiz maana katoka makimbilioni anarudi na sela moja2 ya kumkejeri JPM ngoja mwezi wa kumi atafute bara la kukimbilia na siasa kwake over

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 4 роки тому

      Watu wanadhani askari police ni malaika na wanadhani wanafahamu sana sheria la sivyo hivyo,kwa kawaida mawakiri ndio wamebobea kwenye sheria lakini nao pia si malaika kuna maeneo wanakisea,mfano pale alipotuaminisha kuwa serikali ya awamu ya tano itashtakiwa kwa kuzuia makinikia,itashtakiwa kwa kufufua shirika la ndege,itashtakiwa kwa kuvunja mikataba ya madini.Lakini hakuna hata moja lililofanyika.Wanasheria wa ukweli na Wazalendo wa nchi hii wakaona Lissu anapiga blaa blaa,wakamshauri mzee wakamwambia Lissu muongo hakunaga kama hayo yakushtakiwa.Kwahiyo Lissu anatumia sheria kuwapumbaza Wtz.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 роки тому

      @@saimonmanyerezi7169 kumbe hawajui sheria ya kumkamata mtu so kwanini wapewe kazi za kumkamata mtu?. Au wasomi mnafukuza kazi koz ni upinzani

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 роки тому

      @@hilalalhabsi2047 mbona mwisho kakubari akamatwe nn kilifnya akatae ndio kuwaainisha wajinga km nyinyi kupitia sheria kuwa anaijua sheria kumbe nae mbumbu tu Polisi hawezi kukupa siri kwa nn anamkamata MTU km anaenda kumfanyia uchunguzi hadi afikishwe kituoni ndio Maelezo huwa yanatolewa kwa nn walimkamata. Na Lissu iyo sheria anaijua ila anatumia mamlaka kuaminisha watukuwa ichokitu hakipo na kipo

  • @sadakimenya1898
    @sadakimenya1898 4 роки тому +4

    Kwnn lisu avunjiwe heshima nasheriaaaa???? Kwanini lisuuuuu ,nabii hakubalik kwao

  • @alexfestoni5152
    @alexfestoni5152 4 роки тому +68

    Hakika tundu lisu ni MWANASHERIA

  • @ikoziboy4488
    @ikoziboy4488 4 роки тому +3

    Hahaha hakiamungu kama unajua unajua tu! Lissu ni kichwa aiseeeeeee

  • @neemazephania9082
    @neemazephania9082 4 роки тому +38

    I just feel bad for Lissu, I wish he would've stayed away from politics. He's a good guy but seems like he got a lot of enemies.

    • @joetchatv1453
      @joetchatv1453 4 роки тому +1

      Hana enemies wowote anjua kujibrand

    • @neemazephania9082
      @neemazephania9082 4 роки тому

      @@joetchatv1453 why was he shot then?

    • @zainabumwagiroabdallamwagi97
      @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому +1

      No hate no fear lisu is Tanzanian he have full right to enjoy his freedom of speech. God can help him

    • @elyotikyando7717
      @elyotikyando7717 4 роки тому

      @@joetchatv1453 ,,,,,,,,,,,

    • @abdukadiliissa8076
      @abdukadiliissa8076 4 роки тому

      Staying a way my dear is not a solution for the freedom fighters so let him go we love him ni yeye 2020

  • @emmanuelnimbasa1754
    @emmanuelnimbasa1754 4 роки тому +5

    Mungu wa watanzania ni Mungu wa haki, upendo na amani. Utuepushe na wasiopenda haki, amani na upendo.

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 роки тому +13

    Sasa polisi wanalinda amani na sheria au ndio wanaharibu!!?

  • @rajabkisebengo9406
    @rajabkisebengo9406 4 роки тому +2

    Dah Lisu mungu amekuleta Tanzania kwa makusudi zake nimeamini wewe ndo mtetezi wawanyonge wa dhat kbs kutoka moyoni kbs huyu sio wa kwanza wapo wengi uliowasaidia buuule kbs sababu hupendi mtu aonewe hata Lijuali kali anajua ilo sema watu hatuna Fadhila tu

  • @mosescheketela9505
    @mosescheketela9505 4 роки тому +6

    Huyu ndie mtu tunaemhitaji awe Rais wetu, mtu anaependa haki na kuisimamia

    • @ZenaUsangi
      @ZenaUsangi Рік тому

      HANA UWEZO WA KUONGOZA NCHI KAMA NI LISU HUYO NI KICHAA.

  • @stephenernest7713
    @stephenernest7713 4 роки тому +10

    That's right wanafanya kazi kwa mazoea

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 4 роки тому +4

    CCM oyeeeeeeeeee kidumu chama chamapinduziiii

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Рік тому

    Tunampenda sana lisu anawatetea wananchi maana tunataka haki

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 4 роки тому +4

    Tanzania hiyooooo !!! yaingia ubayani !!! Magufuli unaharibu nchi ya Nyerere kisha unamtaja Mungu kila mara !!! wacha wananchi wafurahie nchi yao !!!

  • @yagi_level
    @yagi_level 4 роки тому +2

    Hapa sawa haki IZINGATIWE

  • @renatomaingu6370
    @renatomaingu6370 4 роки тому +3

    Duuuuuuuh Jamaa Hana brake ya Mdomo YESU AMUEPUSHIE BALAA DUUUH

  • @JumaHamis-g4z
    @JumaHamis-g4z Місяць тому

    Allah Akupe maisha marefu

  • @denicejoseph8632
    @denicejoseph8632 4 роки тому +20

    Ujue hii n poit una hishije kwa Vitisho n hakun mwenye maamuz ya mtu kumpigia mtu jinsi ya kuishi utakuwa uwo ni uwog wakujiamin n utumwa kweny maish kikubwa sheria ifwate mkondo......

  • @kennethdc2577
    @kennethdc2577 4 роки тому

    Jamaa kichwaa sana TATIZO POLISI WANAKARIRI

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 роки тому +10

    Eheeee ni dunia hiii tunayopita wote?? YESU WETU TUPE HEKIMA NA MAARIFA

  • @maryammohd5994
    @maryammohd5994 4 роки тому +1

    Mimi naogopa vita tuu...jaman vita tu Mimi ndo sitaki tutateseka sisi wanawake na watoti

  • @otchumastory2698
    @otchumastory2698 4 роки тому +4

    Namkubali sana lisu lazm nimchague urahisi

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 4 роки тому +1

    Jamaa kakuna Kichwa na Peni mpk nikahisi atajitoboa🙈🙈🙈 akitafuta jinsi ya kumpoza Mwamba

  • @abduldandy3077
    @abduldandy3077 4 роки тому +7

    Kwenye nchi hii tunaumia kwa kutokujua sheria, ase

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 Рік тому

      Soma kanuni ya adhabu kifungu cha 8 kinasemaje kuhusu kutojua sheria

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 місяці тому

    Tunakupenda sana baba mungu akulinde

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 4 роки тому +8

    Nyie acheni kutuibia bundle kwa upuzi wenu. Kama mmekosa habari fungeni virago

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 4 роки тому +2

    Kujuwa sheria siyo kuongoza
    Ingekuwa hivyo basi mahakim wote wangekuwa Marais
    Uongozi
    Ni hekima, Unyenyekevu, utu, busara
    Kuna mahali hata sheria haifanyi kazi

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 4 роки тому +12

    Tatizo la polisi hawakusoma

  • @MashakaWambura
    @MashakaWambura Рік тому

    Mm namkubali sana lisu anafata haki sawa

  • @ikundamaleko5527
    @ikundamaleko5527 4 роки тому

    Kwakweli haki.uinua taifa na mwisho upo na mwisho wa ubaya aibu lissu mungu akuongeze

  • @thomasmario950
    @thomasmario950 4 роки тому +4

    Tundulisu Mungu akusaidie sana maana haki unajua

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Dah muungu akuweke bwanaa hamumuwezii watu wanapenda nasheriya

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Nedeni polisi hamuna mpango mumezoweya uonevu basi

  • @danieljeromelyimo6673
    @danieljeromelyimo6673 4 роки тому +2

    Ni kweli kabisaa Askari ni waonevu!!!

  • @emmanuelkornel4440
    @emmanuelkornel4440 4 роки тому +3

    Ukisikia ooohoooh gong like ap

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 роки тому +2

    Magufuli alazimishwe tu maana hakuna jinsi atuongoze mpaka aseme mwenyewe basi

  • @Xiaoqinhandmadeshort
    @Xiaoqinhandmadeshort 4 роки тому +22

    Kucoment kwa mineno michafu kuna faida gani watu wengine wana tabu jamani
    Sijui wanaishije mitaani huko dah fedheha sana hii loooh

  • @izacktajiri-f7e
    @izacktajiri-f7e Місяць тому

    Tunakuamini baba make unatusaidia kututetea ase baba na mungu akubariki

  • @zabronijoseph728
    @zabronijoseph728 4 роки тому +3

    Hawa maporisi ni wastarabu sema tatizo wanatumwa na wakubwa wao hapo wanatetea kibatua. Lisu hoye

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 роки тому

    Nakuelewa Sana Tundu Tundu Tundu

  • @sahilnaass5090
    @sahilnaass5090 4 роки тому +2

    Moto wa Mungu hauepukiki

  • @georgeluoga9969
    @georgeluoga9969 4 роки тому +5

    Polic wengi hawajui sheria wanatumia nguvu 2

    • @allyhamza3411
      @allyhamza3411 4 роки тому

      Wanajua sheria ila hio ni kazi ya magu ndio anawatuma

    • @willesianga8956
      @willesianga8956 4 роки тому

      Haaaa ukijua sheria hakuna uonevu

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 роки тому +2

    Innalillahi wainnaileyh rajaouni. hapa kinakitu Allah awafungue akili watanzani na mungu awachagulie raisi aliebora.Allah anajua zaidi

  • @yahyamassawe8011
    @yahyamassawe8011 4 роки тому +4

    Alafu mtu anakuja kusema eti tanzania ina amani ingekuwa na amani huyu si angeishi kama makada wa ccm jmn

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 роки тому +2

    Ujui duni bado inaendelea haijafika mwisho sawa CCM jitahidini kutumia vyombo vya usalama vizuli kuwa kabili wa pinzani 🤔🤔🤔 ebu chukulia kwamfano haijalishi itakua mwaka 2030 au 2035 au 2040 au 2045 🤣🤣au 2050 sawa Mimi Sina halaka ya #ACT kuchukua URAIS . una zani itakuwaje kwa CCM ... Jaman Tanzania.... niyetu wote uzalendo kwanza 👣👣👣#CCM#Chadema#ACT ....

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 роки тому +5

    Chombo makini hiki, Nchi hii kama ingekuwa inaendeshwa kwa sharia na utawala bora hakika ilikuwa imempata MTU bora wa kusiamamia Sharia na haki za Watu.

  • @godwinrogate5936
    @godwinrogate5936 4 роки тому +4

    Tamutamu tafuteni habari za kuwasaidia wananchi!Acheni kupoteza muda wa wananchi kwa habari ambazo hazina manufaa kwa nchi na wananchi! habari Kama hizi zitaharibu soko lenu!

  • @agathamnyambwa3003
    @agathamnyambwa3003 4 роки тому +7

    Waambile wasikile chadema dam hataiweje.

  • @mageuzibarack9274
    @mageuzibarack9274 4 роки тому +1

    Hao sheria hawajui kazi kula rushwa tu.

  • @bakarimakunja9460
    @bakarimakunja9460 4 роки тому +3

    Police wakibongo hawajui sheria wao nikukamata tu

  • @danielchambua9643
    @danielchambua9643 4 роки тому +2

    Nina imani Sana na tundu lisu

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 4 роки тому +4

    Ndugu yangu sabanyaa kumbuka unafamilia usijee ukajikuta unaumiza familia kwa ajili ya hayo machafuko ikianza katika nchii tunataka amani

  • @FloraLaswai
    @FloraLaswai Рік тому

    Tundu Mungu azidi kukutunza

  • @sojaruben1757
    @sojaruben1757 4 роки тому +6

    sku zote mchaw usimwogope kwahy ndug lissu pipozozzzzzzz uko vzr mung akuzidishie ujasir

  • @maliksuleiman1159
    @maliksuleiman1159 4 роки тому +1

    Napendasana hii Chanel 👍👍👍👍👍

  • @kudraahmad6003
    @kudraahmad6003 4 роки тому +5

    Askal tanzania mna huruma sana ,

  • @salehmadawa7035
    @salehmadawa7035 4 роки тому +2

    Sijapata kuona MTU madhubuti na mwenye kujiamini kwa kazi aliyoisomea ama kweli mh tundu kiboko ni hazina kwa taifa LA Tanzania Mimi na mwita kama ni martin luthaking yule wa marekani

    • @stevendominic8902
      @stevendominic8902 4 роки тому

      Mh:Lissu anajua sana;ona nguvu inayotumika mitandaoni kumchafua lakini wapi

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому +4

    Tatizo letu sisi watanzania Ni moja yule ambae anaongea ukweli tunamuona nimuongo na anaeongea uongo ndio tunaemuona Ni mkweli

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 роки тому

      umesema sawa kabisa. nimeitafutaga hiii sentence kwa muda mrefu bila kujua inaelezewaje...wewe ndio umeitoa haswaaaa

  • @dottocharles-rw7mi
    @dottocharles-rw7mi Рік тому

    Aiseee jmn cc tucjua Sheria huwa tunakamatwa tu kama kuku na hakuna kuhoji

  • @mtatiromgeka7270
    @mtatiromgeka7270 4 роки тому +12

    Huu utalatibu sio sawa lisu hivyo hajafanya pow. Kuna makosa ya kungea na mtuhumiw si kwny haraiki

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 4 роки тому +1

      Matiro we jinga sana tatizo akil mgando

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 4 роки тому +1

      Haya maaskar some time Massa manne ni mkeo huyoo

    • @thomaspatrick1021
      @thomaspatrick1021 4 роки тому +1

      Huwez kuanzisha mjadala mtuhumiwa hazalan

    • @Urchristiano9
      @Urchristiano9 4 роки тому

      Hata kuandika hujui

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 4 роки тому +1

      Mtatiro mgeka msukuma pumbavu wewe rudi fala wewe

  • @hamnzahassan1569
    @hamnzahassan1569 4 роки тому +1

    Lissu mwamba

  • @yuniskili2814
    @yuniskili2814 4 роки тому +6

    Hizo Ni mbwembwe tu hauwezi kushika dola kwa njia hiyo magufuli baba lao.

    • @allyawadh8492
      @allyawadh8492 4 роки тому

      Kwili kabisa ndugu yangu,Magufuli ni mstarabu sana ingekuwa utawala wa yule mzee wetu wa nyuma wasingefanya mambo Kama hayo.

  • @sadakimenya1898
    @sadakimenya1898 4 роки тому +2

    Nchi yademokrasia hii naraha yavyama Vinci ikowapi ,??? Mwachen lisu aitwe lisuuu ( mengine tumezeeni tuu)

  • @mohamedmkesha8293
    @mohamedmkesha8293 4 роки тому +5

    Yaah Lissu ww

  • @aminanathaer9847
    @aminanathaer9847 4 роки тому

    Nakubal xna lissu nik tayal kuomba n kufunga mungu amsaidie xna lv u lissu