AHMED ALLY: WALE WALIBYA WANGENIGUSA MIMI WANGEOKOTA MAITI NYINGI/"SHIRIKISHO NI MASHINDANO BORA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День тому +5

    ASANTE SANA SEMAJI LA CAF MUNGU AWALINDE SANA. HAO WAARABU NI WASHENZI SANA HUWA WANAPOTEZA MUDA UWANJANI NAKUJIANGUSHA OVYO OVYO KM MITOTO MIDOGO

    • @SalumuRashidi-in1jz
      @SalumuRashidi-in1jz День тому

      Wale ni wapumbavu tuu ngoja waje kwa mkapa wataloana kivyovyote vile yatarudia ya mamenlord na Yanga

  • @swedywamba5535
    @swedywamba5535 День тому +2

    Polen sana majirani zetu wa simba sijapenda kwa kitendo kilichotokea team za waarabu huwa na fujo muda mwingi na caf inaona ila inakaa kimya napenda kuskia wamechukua hatua juu ya hili tatzo natoa uyanga poleni sana ndugu zetu wana simba nimeskitika sana

    • @TheGreat-lq9tg
      @TheGreat-lq9tg 23 години тому

      Hakuna mchango wa fujo kwenye matokeo

  • @VeronicaPaul-cj1yu
    @VeronicaPaul-cj1yu День тому +1

    Aisee... wewe wakuache tu, hapa nchini akuna msemaji anaekufikia kwa umakini... Hongera sana.

  • @aminkijangwa1865
    @aminkijangwa1865 День тому +1

    nikombe la luza ndio ila kwasababu zinashiriki Tim bora kama simba limekuwa tamu kuliko hatahiyo champion

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w День тому +1

    Simba nguvu moja❤❤

  • @SetiMBANGU
    @SetiMBANGU День тому

    Ni jambo la kumshukuru mungu kama mmelejea salama ❤❤❤

  • @JustineSilukala-io3nd
    @JustineSilukala-io3nd День тому +1

    Na wange kugusa wewe semaji kipenzi chawana Simba sijuw kama nasisi washabiki wa Simba kama tungekuja kuwahacha salama kwel
    Wacheze nawengine sio wewe semaj la CAFF Tena wakuone kama kituo chapolisi wewe ndio tegemez letu semaj mungu akubalik sana

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing День тому +1

    Sema Utani Wabongo Tumehuzowey Leo Unasem Ni Kombe Zurii Shrikishooo😂😂

  • @gallusmbaga5522
    @gallusmbaga5522 День тому

    Daaaah kumbe Leo ametambua ligi hiyo ni Bora. Hii itasaidia kuacha dharau.

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi День тому +1

    Hao tripoli hata 20 bora hawapo katika ubora na nyinyi kila siku mnajisifu mpo nafasi ya 7 kiubora sasa ukiangalia mechi ilivyokuwa simba ilikuwa ndogo kwa tripoli kwa sababu mwanzo mwisho utasemaje wewe ni mkubwa...Kama sio uendawazimu ni nini😂😂😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 День тому +1

    😂😂😂😂jamaa anajua sana kuwapumbaza makolo aiseeee!.
    Ukitaka kujua shirikisho ni mashindano ya chini, angalia huwa wanacheza lini! Ni baada CAFCL kuchezwa! Ni kama Europa! THURSDAY FOOTBALL 😂😂! wanacheza wanaume kwanza! Ndo mjue STATUS YA SHIRIKISHO!

    • @flova7022
      @flova7022 День тому

      Microcephaly

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День тому

      @@gabrielnybala2165fika hiyo fainali,ndo uongee🤣🤣 hawa tu wamewata MAKAMASI! Na wanawafunga second leg🤣🤣

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День тому

      @@gabrielnybala2165 ila ni vizuri,unatambua ni madogo, mwambie huyo comedian 🤣🤣🤣

  • @ErastoChilanza
    @ErastoChilanza День тому

    Mliwahi kusema hayo ni mashindano ya looser tena yamekuwa bora kwa sasa pole sana hiyo ni shirikisho tu

  • @saidially5892
    @saidially5892 День тому

    Walibya wanaumoja kwenye uwakilishi wa nchi.
    Shida sio CAF wachukue hatua,
    Bali na sisi kama watanzania tuungane mashabik tuwafanyie kama timu zetu zinavyofanyiwa kwao

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 16 годин тому

    Hivi ni kwa nini hamurekodi full matches ... ? Simba ni timu kubwa lakini uwekaji wa kumbukumbu ni hadi wafanye Azam TV? Huu ni udwanzi..!

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 День тому

    Nyinyi simba ni kamba camelieon, kwa Sababu mupo caf shirikisho minageuza ulimi eti ni mashindano bora, si nyinyi ndio mulikuwa minasema caf shirikisho ni mashindano ya walio feli wakati Yanga ikishiriki?

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa День тому

    Shirikisho ni mashindano bora😂😂😂😂😂
    Kipindi hiki mtayasema yote

  • @MauBonde
    @MauBonde День тому

    Mpenja waambie watani Wanatani wajikaze tena nyumbani halafu kuna mabadiliko ya kikosi baadhi ya sehemu ,hatutaki uwanja uharibiwe.uzalendo kwa ila wasimuache beki wao Hussein.sema Tu wasipulizie sumu vyumba vya wachezaji kama kipindi kile cha Jamaa wenu,lakini Ngoma ngumu.msikilizeni kaduguda 😀😀

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w День тому

    fala kweli😂😂

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 День тому

    Aise! Ulimi ni kitu hatari sana! Hivi si ndiwe uliesema hilo ni kombe la looser!? Na ukaliponda kwelikweli, haya leo tena limekuwa bora tena!? Kweli we kimbwele

    • @danielchamoto9376
      @danielchamoto9376 День тому +1

      Yaani watu wa nyuma mwiko ni visheti kishenzi. Nyie si manara wenu ndio aliwaambia ni kombe la looser leo mmemgeukia ahmedy kweli akili hazimo nyie

  • @iddgombellah6750
    @iddgombellah6750 День тому

    Nina macho

  • @aminkijangwa1865
    @aminkijangwa1865 День тому

    angalia mechi ya gor mahia na al ahal nayamnyama na tripol niipi yenyehadhi ya champion utopolo vp😂

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 День тому

    Mangungu alisema shirikisho ni kombe la wanawake kwaiyo nyie

  • @TheGreat-lq9tg
    @TheGreat-lq9tg 23 години тому

    Mko mashindano ya kina mama 😅

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x День тому

    Wewe Msemaji ,Mzaramo,Kisugu,Kei Mziwanda Wote Mlikuwa Mnalisema Hilo Ni Kombe La Walioshindwa Leo Vipi Mbona Mnashangaza Dunia Ama Kweli Nyie Wanafiq Wakubwa

  • @SulemanJuma-bc4sw
    @SulemanJuma-bc4sw День тому +1

    Hata ucheze na bacalona hilo ni kombe la luza usilipambe

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 День тому

    Heading mbovu kabisa kwakweli mbna wao walivyo kua Champion league hawajasema hayo???? Mpuuzi huyo na nyie mloandika Heading hiyo

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 День тому

    Wahuni nyinyi kabisa

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x День тому

    Nyie Simba Wote Wanafiq Kuanzia Viongozi Wenu Msemaji Wenu Mshabiki Wenu Wapenzi Wenu Wt Wanafiq Wapumvavu Washenzi WA Tabia Pyokoooooooo Fyuuuuuuuuu

  • @sospeterdaniel5116
    @sospeterdaniel5116 День тому

    Kutoka kombe la loser hadi kuwa kombe zuri, tuweke akiba ya Maneno wasemaji wetu. Tuwe tunaongea ukweli

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 День тому

    Ahmed Ally acha kudanganya umma, umasema mbele ya mashabiki 50000!? Mbona hakukuwa na mashabiki kabisa au unadhani hatukuona?

    • @AdhamAlliy-mg5py
      @AdhamAlliy-mg5py День тому

      Huna AKILI wew uwanja ulijaa useme amedanganya katoe mwiko nyuma unakusumbua

    • @FrankMahuna-xb7lt
      @FrankMahuna-xb7lt День тому

      Mimi ni yanga lkn uwanja ulijaaa hakuna maelezo labda hukuangalia mpra

    • @nichorasjeremiah8821
      @nichorasjeremiah8821 День тому

      Hukuona screen kubwa imeandika 50065 au ulijua ni Sasa za kiarabu ndugu

    • @flova7022
      @flova7022 День тому +1

      Shida za kusimuliwa na binti kijumbe