💃..YESU ASIFIWE❤️ " ni sa ya ufufuo n'a uzimaaaaa💃"..ni najifunza Sana na kanisa ya askofu Gwajima...aksanti kwa ushuuda uyu ...in this confusion times our faith in JESUS increase to have testimony about this really servant of GOD , Mwaseke ,Moses kolola , Gwajima💃💃May Lord protect , make us SHINE like never before..❤️ushuuda iyi inanitiya moyo sanaa AAA LLELUIA...Gloire à DIEU....
Gwajima yule ni jitu la mbinguni jamani wapendwa masomo ya gwajima ni moto ukipata muda sikiliza masomo yafuatayo 1.akili iliyologwa 2.laana ya familia 3.kesho iliyopiga kona 4.vikao vya uharibu 5.vifuniko vya kichawi 6.viwanda vya uharibifu 7. Vita vya kukaribia kupata
Brother Jactan Mungu akubariki Sana ...katika jina la yesu na uzao wako kweli.shuhuda hizi zimenisaidia Sana kwa neema was Mungu .nilikuwa muuini wa kawaida ambaye hataki kuchoka kweli .lakini baada yakuzisikiliza kweli nimeona kuwa yesu anarehema mingi Sana kwetu sissi .Shuhuda kwanza ya mchungaji huyu imefanya nikaogopa Mungu Sana na kuanza kuona uzuri wa Mungu kwangu ...Mungu atupe nguvu ya kumtumikia kweli. Mchungaji huyu abarikiwe na Mungu amlinde amalizemwendo salama ...mwambia asichoke Wala asiangalie nyuma .anapotoa shuhudu na hizi Imani yangu inajenhwa Sana na hamu ya kumjua Mungu Ina increase....Mungu anastahili kuabudiwa milele
" gwajima ni jitu la mbinguni ukipata nafasi sikiliza masomo ya gwajima kama hata 1. Akili iliyologwa 2. Kesho iliyopiga kona 3. Vikao vya uharibifu 4. Laana ya familia 5. Vifuniko vya kichawi 6. Aina za kichawi 7.unaweza kulogwa 8. Mashimo ya kichawi 9.kamba za kichawi 10.vifuniko vya kichawi
Jacktan, mchungaji aweze toa mfano wa adhi ya mashtaka ya "kukufuru taorati" ili tuelewe na tujichunge. Usisahau pia aeleze mbinu 30 Za kujikinga na walokole ili sisi tuweze kuzibomoa. Nashukuru sana kunifunza kuhusu "udhaifu wa imani , adhi ya mashtaka, ecd, kukemea ndoto kwa jina la yesu, supporter company, upanga moto wa Yesu. Part 7 ikuje tafadhali.. Mungu awabariki.
.Bishop Gwajima is one of faith model in our generation !..He make me appreciate the word of GOD...la biographie ; le témoignage de askofu Gwajima est un encouragement pour moi ; apprenons à HONORER les nôtres de leur vivant💃❤️..
Kuna watu tangu kuzaliwa wameandikiwa "touch not" tangu kuumbwa tumboni na hawarogeki hata kama wako dhambini.Majini yanaweza kuwaingia na kuwatesa ila hawaruhusiwi kuwaua hata yafanyeje sababu kuna order ya "touch not" kwenye ulimwengu wa roho
Uyu Askofu Ni Jitu la mbinguni hasa hakuna jaribu la kichawi linaloganda kwako ukifuatilia maombi yake napenda saaaana maombi SHAURI LA BWANA LITASIMAMA MILELE..
Sasa mchungaji unaonaje ukavua uyo kacha? Mana unasema miongoni kwa vitu vilivokua vinakusaidia ni kacha,Pete ulizozimezaga,na machuma, sasa tunapokiona umeivaa iyo kiubinadam kinanipa maswali kdg
Isikupe tabu kitu kikiwekwa wakfu kwa jambo BAYA ndio kibaya nisawa na mshumaa huwa unatumika kupita majini na mambo mengine ya kishetani lakini umeme ukikatika tunawasha mishumaa kupata mwanga utasema nasisi tunaita majini? Jitahidi kusoma biblia kujua Kila unacho sikia Kama nikweki Dunia imechafuka tunalishwa matangopoli
Wow Papaa Mwakasege! God the almighty be with you forever! This is raging 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bwana Yesu asifiw sana ,Jasusi Gwajima nampenda sana
MUNGU Mwema hamna lisilo wezekana kwakwe. Anijalie wokovu nipate kusikika Amen
Mungu wape nguvu watumishi wa Mungu wanaokutumikia kwa roho na kweli
Amen asante kwa MUNGU ALIYE HAI kutulinda
Hongera sana Askofu Gwajima, kwa mafundisho yako hata Mimi hawataniweza kwa Jina la Yesu Kristo...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen Sana,wababa mmoja Mungu amtuze nakumlinda daima.
Dah kwel nashukuru mungu sana kwa kuwa ametupa watumishi wake wateule ahimidiwe yeye awezaye kufanya mamb makuu
Moses Kulola,mwamba wa Imani.
Asante sana Jacktan haya maisha heri kuaja chakula tujikaze kwa maombi ndiyo tu tukashinde vita yaani kumtafuta Mungu maadam apatikanapo
Ashukuriwe Mungu wa Hayati Askofu Moses Kulola, Askofu Gwajima pamoja na Mwal Mwakasege. Wazidi kusonga mbele, wasitetereke kamwe
Mungu mshindaji
Baba Mungu amekutoa mbali Sana ...azidi kukulinda na kukutia nguvu ktk kazi yake..Amen
Hongera mwalimu Mwakasege Mungu akubariki
💃..YESU ASIFIWE❤️ " ni sa ya ufufuo n'a uzimaaaaa💃"..ni najifunza Sana na kanisa ya askofu Gwajima...aksanti kwa ushuuda uyu ...in this confusion times our faith in JESUS increase to have testimony about this really servant of GOD , Mwaseke ,Moses kolola , Gwajima💃💃May Lord protect , make us SHINE like never before..❤️ushuuda iyi inanitiya moyo sanaa AAA LLELUIA...Gloire à DIEU....
Bishop Gwajima "Goal Keeper"💪💯🌹🌹
Amina amina amina MUNGU wetu wambinguni apew sifa!!
Congratulations Gwajima wherever you are may God bless you and give you more strength 💪
Gwajima yule ni jitu la mbinguni jamani wapendwa masomo ya gwajima ni moto ukipata muda sikiliza masomo yafuatayo
1.akili iliyologwa
2.laana ya familia
3.kesho iliyopiga kona
4.vikao vya uharibu
5.vifuniko vya kichawi
6.viwanda vya uharibifu
7. Vita vya kukaribia kupata
@@highzacknnko9685 Thanks
May God forgive me for saying Gwajima is not of Jesus.
@@lilianluhasi5053 I won't say anything for that evidence of the debater is sufficient.
@@pastordavidnjoyamedia.4019 Thank you for understanding that Bishop Gwajima is the best God servant in Jesus Christ name, hongera Sana
Ushuhuda wa kusisimua Mungu akutunze mtumishi
Brother Jactan Mungu akubariki Sana ...katika jina la yesu na uzao wako kweli.shuhuda hizi zimenisaidia Sana kwa neema was Mungu .nilikuwa muuini wa kawaida ambaye hataki kuchoka kweli .lakini baada yakuzisikiliza kweli nimeona kuwa yesu anarehema mingi Sana kwetu sissi .Shuhuda kwanza ya mchungaji huyu imefanya nikaogopa Mungu Sana na kuanza kuona uzuri wa Mungu kwangu ...Mungu atupe nguvu ya kumtumikia kweli.
Mchungaji huyu abarikiwe na Mungu amlinde amalizemwendo salama ...mwambia asichoke Wala asiangalie nyuma .anapotoa shuhudu na hizi Imani yangu inajenhwa Sana na hamu ya kumjua Mungu Ina increase....Mungu anastahili kuabudiwa milele
" gwajima ni jitu la mbinguni ukipata nafasi sikiliza masomo ya gwajima kama hata
1. Akili iliyologwa
2. Kesho iliyopiga kona
3. Vikao vya uharibifu
4. Laana ya familia
5. Vifuniko vya kichawi
6. Aina za kichawi
7.unaweza kulogwa
8. Mashimo ya kichawi
9.kamba za kichawi
10.vifuniko vya kichawi
Hayo anayosema ni 2013... Siyo leo
Yesu ni mwamba imara gwajima is the most powerful man of God
True
@lutufyodixon9997 kwa hiyo watu ishi wamebadilika?
Yani wa budu shetani Wana kazi pamoja nakuchomwa na kufa Bado wamo tuu YESU sikuachi baba na kupenda nitie nguvu YESU mimi siwez
BISHOP GWAJIMA IS UNTOUCHABLE 🔥🔥🔥🔥👏👏👏🙏🙏🙏
Hatariiiii Asante Yesu hakika sikuachi unatenda mambo Makubwa Jina lipitalo majina yote
Amena🙏🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu wetu ni muzuri saana 🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵
Hatari,mungu ni mwema kutufunulia haya,barikiwa sana mtumishi wa mungu
Asanteni sana kwa ujumbe huu mzuri
Mungu nimkuu, Gwajima napenda anavio hubiri na misimamo yake,mungu amlinde sana🇰🇪.
Groly to God
My God is powerful 🙏
Asante mungu kwa huu ushuhuda
Yesu juuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏😘❤️
Jina la YESU kristo linanguvu saana,🤝 tuzidi kunyenyekea MBELE zake
Naimarika kweli kweki nikiwab🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Gwajima juuuuu mungu ni kubwa sana
Jamani ,tusimame na Yesu, bila hivyo shetani hana muchezo
Jacktan, mchungaji aweze toa mfano wa adhi ya mashtaka ya "kukufuru taorati" ili tuelewe na tujichunge.
Usisahau pia aeleze mbinu 30 Za kujikinga na walokole ili sisi tuweze kuzibomoa. Nashukuru sana kunifunza kuhusu "udhaifu wa imani , adhi ya mashtaka, ecd, kukemea ndoto kwa jina la yesu, supporter company, upanga moto wa Yesu.
Part 7 ikuje tafadhali..
Mungu awabariki.
Yesu hashindwi mfalme wa wafalme Mungu wa miungu
Testimony ni Kali tena ya mafundisho.... Asante sana...
Neema ya mungu ishuke watu waokoke,haleruya ..
Ameen still following from 🇰🇪🙏
.Bishop Gwajima is one of faith model in our generation !..He make me appreciate the word of GOD...la biographie ; le témoignage de askofu Gwajima est un encouragement pour moi ; apprenons à HONORER les nôtres de leur vivant💃❤️..
Huyo gwajima mbona nae ni freemason tu
Anamsifia labda atamualikia kanisan kwake
Yesu anatosha niliolewa na mwiisilamu,ten years, nilioyapitia. Watoto kufa kumbe anausika. But mungu alinitowa.
Amen
Pole mpenzi
Bishop Gwajima nampenda sanaaaa
Kumtumikia shetani ni utumwa jamani njoo kwa Yesu kuna uzima wa milele
Lakin baba mchungaji mbona hiko anaongea ni lugha ya kihislamu inamana ndo mashetani?
Gwajima Raisi mtarajiwa kwa taifa la tanzania, jasusi la mbinguni
Gwajima hoyeee Yesu ni mwamba imara
Aleluya wachawi nawaganga wapigweeeeeeeeeeee,mpk waache Ushetani nakumtumikia lbilisi joka kuu,wamgeukie Yesu.
Akh mungu yupo shidi kumtumikia usiŕudi nyùma tena
Team Gwajima oyee
Duuuh umenipa Imani pst
Mtumishi niombee na mimi ni mtumikie Mungu alivyonipangia na kwa usahihi. Mimi ni ELLENMARTHA
asante sana Baba yetu Yesu Kristo
JESUS the name above all🔥🔥
Naomba Kuitana Na Bishop Josphat Gwanjima Kwa Jina la Yesu
Mchungaji umenisaidia kuelewa nilivyo nilikua sijui nisadie kwa maombi unapomba nikumbuke napitia haya mafundisho mazuri sanaa ukomboe ulimwengu Mtumishi
Groly to our God
Yesu sikuachi mm,,,,,bora niache vyote sio Yesu wangu
Amina
Shetani anafanya KAZI bila kukoma wakristo tuombeni bila kukoma na Pia kukesha.Asante Sana jactan na promover TV Mungu azidi kuwatendea mema
Amen
Tusiwadharau watumishi wa MUNGU, tuwasikilize
Yesu anaweza yote watumishi barikiweni sana na BWANA
.."wanapiga wanapiga 💃wanapiga kweli💃"...Nilijifunza vita ,WARFARE kwa kusikiya mafundisho ya askofu Gwajima ..YESU ASIFIWE 💃💃❤️❤️...Mutumishi Jacktan aksanti Sana❤️.. Merci beaucoup...🇨🇩🇨🇩
Daaaa ,mungu mkubwaa sana,yaaani mpaka ninaogopaa.
Masikini Gwajima kumbe? Hongeza sauti baba wapigeweee sana kwa maombi nisila kubwa sana! Jacktan thank you brother 🙏 ❤ and we are waiting part 7
1
Kwakweli kumtumikia shetani ni hasara kubwa, eti mpk kula kinyesi
God bless you
Moses kulola my model
Nakumbuka,ugonjwa wa dengu,baba josephat gwajima alikemea sana,na akasema,ni ugonjwa wa kuzimu, na aliposema hivyo tu,dengu ikaisha
God is good for really
Kuna watu tangu kuzaliwa wameandikiwa "touch not" tangu kuumbwa tumboni na hawarogeki hata kama wako dhambini.Majini yanaweza kuwaingia na kuwatesa ila hawaruhusiwi kuwaua hata yafanyeje sababu kuna order ya "touch not" kwenye ulimwengu wa roho
Hebu nielimishe hapo sababu ya kuandikwa touch not ni nini?
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯 kweli
Mmh nyie mungu uyu. Uwiiiiiiu
Sio mungu ni Mungu
Mungu ni mwema
Asante Jacktan
Yesu christo mambo yote
Wah hapo sisemi kitu hmm,
Be blessed jactan waiting for next
Amen
Uyu Askofu Ni Jitu la mbinguni hasa hakuna jaribu la kichawi linaloganda kwako ukifuatilia maombi yake napenda saaaana maombi SHAURI LA BWANA LITASIMAMA MILELE..
Anaweza kuarikwa na kabisa la mahalipamoja?. Pastor katoto mwanza
Zaburi 119:62
Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru, Kwa sababu ya hukumu zako za haki.
Nimecheka jmn eti tuliwashwaaaa nimecheka yani uchawi mbaya
Jamani nyinyi ndio kumbe mumekua mkimbandika mtandaoni na picha za ngono pole kwake lakini kwa yote ni mekua na mpenda sana
Baba Gwajima hongera chuma kitupu
Hallelujah
Hatari
Ashkuliwe mung
Jna LA bwan yesu libalikiwe
Kwa hivo hii kitu ya Gwajima ya kurudisha misukule ni ya kweli kabisaa
Tanzania jivunie kuwa na Gwajima hata sisi tumeimarishwa kiimani nawe . Yule ni moto kuri moto wakuni
Niatalii sana kwakwelii aaaaaaaah
Vipi watumishi wengine jeh Kama mwamposa buldoza, mzee wa upako,nabii lolinga n.k
Utumwa was shetan n mateso makubwa wanawamungu tuokoke kW jina LA yesu
Tuna subiriya part 7
VYOO NI BALAA,NAOGOPA WANAOFUGA MAJINI
Wow
Jaktan roundi hii umeleta ushuhuda kweli... Wewe na huyu mchungaji mpate neema mpya... Nawatumia wengi kwa whatsapp huku kenya... Ikiezekana ulaya pia
Amen
Sasa mchungaji unaonaje ukavua uyo kacha? Mana unasema miongoni kwa vitu vilivokua vinakusaidia ni kacha,Pete ulizozimezaga,na machuma, sasa tunapokiona umeivaa iyo kiubinadam kinanipa maswali kdg
Isikupe tabu kitu kikiwekwa wakfu kwa jambo BAYA ndio kibaya nisawa na mshumaa huwa unatumika kupita majini na mambo mengine ya kishetani lakini umeme ukikatika tunawasha mishumaa kupata mwanga utasema nasisi tunaita majini? Jitahidi kusoma biblia kujua Kila unacho sikia Kama nikweki Dunia imechafuka tunalishwa matangopoli
BABA YANGU NI MKUU KULIKO WOTE
Ndomana Gwajima kuna kipindi walikuwa wanamsingizia kuwa analala na wanawake kumbe ilikuwa ni kumchafua.
Mtumishi unashuhudia usiyataje hayo majini majina sio vizuri wewe shuhudia tu umeishatoka huko
Mbona shetani anatajwa jina?
Mashekh misikitini vipi mlikuwa ha mwendi?
Nimefuatilia from the start
Gwajima haaminiki...Ila Mungu hutazami kama Wanadamu..
Ww ni mchawi tu
Ulisema 2012 ilikuwa umeokoka, mbona umesema ulienda kuwinda yule mchunga 2013, unawe fafafanuwa vizuri?