Moni Centrozone - Malume 2021 (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Moni Centrozone - Malume 2021
Produced By Slimsal
Mixed By Jors Blaze
Video Directed By Gmvisualz(Godfrey_m)
MAJENGO SOKONI MUSIC (MSM)
All Rights Reserved...!
#Monicentrozone #Malume2021 #Ngomma
Aisee hii ngoma kali, centro anakipaji ila sijuwi kwanini hajawa msani international
uyu joma na nuuu
Haujawai kosea Moni naona utamu kulisten ngoma zako
kuhus maslay queen cna haja ya kuwavua chup as a matter of facts cjawah kuwaon wakivaa chup👐#mon centrozone"TT empire"
Kali
Nyota 5
Noma sana
Noma
Kali
As the matter of fact sijawahi waona wakivaa chupi😂😂😂🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 malume hii ni nje ya maelekezo chapter 2
beat kama hii Godzilla angekuwepo angekaa verse 2.... moto ungewaka
Idodomya home of
The greatest rapperz 🔥🔥🔥🔥
Naqbaaaaal brooo
mtu xafi ambaye anapigo za kimaxter
Waliogundua #location ni #UDOM gonga like twende sawa
💥💥💥unawavuaje wakati awavai
remix ft mr blue & lunyaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
real boi but only Blueeee
Malumee acha kumpitia shem kila ngoma banaa😁😁
"Hatuchenji buku kwa njaa ya siku moja, hatuchinji kuku hata kama mgeni kaja" - Chindoman 2004
Kali
Noma sana
Noma sana
Noma
Kali
Kama umeirudia hii ngoma gonga likeeee za kutoshaaaa,,,,,,
Kali
Noma
Kali
Noma
Kali
Masister duh sijawahi kuwaona wamevaa chupi noma saaaaaaanaaaaaa
Malume 2021...... #Utamuona_cheap_anavyojiuza_vunja_bei👂
Haya maunyama masnitch wanavuja huko mamae, video ya kwenda #malume to the next level
Kuna wana walinitenga japo nilikua muasisi wa tamasha🌏
Kuhusu suala la rappers wakali Tanzania ,.. Dodoma ndio first then hao mbwa wengine wanafatia,.. Anaebisha kidole juu,.. #MSM
noma xana kaka
Moja kati ya new generation wachache wanaosikilizika
Go go go moni I see you far my g. mi shabiki yako kindaki ndaki
dat greet moni sisi tunataka vyuma kama ivi
Majengo Sokon'.
Pokea love toka +254
Nina ten lako mkaliiiiiiiiiii wanguuu
Moni wa Central zone. Umeua kinomaaaaa
Ngwair representative.. perfect , I'm loving the vibe.
Maluuuumee!!hujawah kufeli nigga centrozone me nasubria maelezo chapter 2 bhna moni em tupe chetu
Km naion humanity udom...wooy wnang w block 3
WALUME 🙌🙌🙌 brazaa tuachiee beat mtaani tujiumue #sema hii flow kinyamwez sana
Weee mngesee unajuaa sanaa🔥🔥🔥🔥🔥
Hatununii luku tukitoka tumenyosha
Hatuchenji 1000 kwa njaa ya siku1 🔥🔥
Hatuchinji kuku ata kama mgeni kaja🔥
UMENYOSHAA BRO
Dodoma mojaaa asante kaka Monicentrozone.
Nimerud Tena😄
Mademu zetu wanajiuza vunjabei daaah
Ngoma kali adi naiona fupi
Nakubali Mon Pa1 sana
Ngoma ingeitwa haiwezekani afu kipande cha haiwezekani kingesimama chorus.....
ebhanaaa eeee hili ni balaaa zitoo
Umemuomba chindo huo mstari wa hatunji kuku kwa njaa ya siku mojaa ila ngoma kaliiii
Kakopi tu kama kawaida Yao
Muziki mzur bila keleleee zozotee
Mm Jaman Huyu Mwamba Kanishinda Tabia Maana Duh💪💪💪
😜 watu wa UDOM nnjooni twongee
Damn! Heavy bars in here and it got some vibe e..
Kali
Noma
Kali
Noma sana
Kali
Moni centrozone umenyooshaa🔥🔥🔥
Nakubali mzeee malumeee
Mtoto wa nyumbani "KAZI KUBWA NA NZURI" Majengoni sokoni dodoma ONE LOVE!!!!!!!!!!
Daah ujasi kwa mbali
Kama hunawaza kuhusu chorus Kama mm gonga like
Na Central zone E Zooo #Maalume
Umeua mr malume
Kama na wewe umerudi kuiangalia hii ngoma gonga like Kama zote
Nishampoteza niliempenda R. I. P my mammy!!!!
Bars juu ya bars ya barrrs
Nakubali moni
Moni wewe ni mkali sana
Umetisha monocetri zone
MALUME. Majengo Sokoni Musiiiiiiic MSM 🔥
Malume umetisha
Sema nai alizngua🔩😒
Appreciate majengo sokon👊👊unajua mzee
Bonge Moja la ngoma
Oyaa turudishiee mstarii wetuu umeucopy mwanzo mwishoo etii hatuchenchii buku kwa njaa ya siku moja na hatuchinji kuku hata ka mgenii kajaa we kaa mbalii chindoo man ioo watengwaa kwa heshimaa rymes kuandikaa ni ngumu sio utukopie kilainii hivyoo
Moni mzeee kila ngoma lazima glass
MONI NI RAPA MKALI SANA KUZIDI COUNTY BOY
Wew country father cjui umesahau
@@wizzmkandawile1140father kwenye nini?
@@jackson4977 yan Mon ,lunya,,slim swag ,,coin Boi wote watoto wake ndo kawalea yeye n atariiii
@@wizzmkandawile1140 kuwalea ndo kunamfanya awe hatari?
Best rapper in tz amin sema tu wana wanakunja sana hiki kichwa amin kichwa big up unaniinsipire sana
Binge LA ngoma ila vipi ngoma kutoka conde geng mbnkmy
Uyo dem wake anamstress mon
Nakubal broo🤞🤞
Noma sana nakubali sana moni ma best rapper in tz
Hatali san 👊👊👊
nakubaliiii umenkumbusha mbali, wakucopy igeni mtoke damu
Noma sana
Malume is the best of the best ,he got style, flow, content and swagg!
Malume it's time for representing African to the world,
Hatununui luku kwa stress za kuchoshaa0
Waonee huruma we boya, mkuta!
Hatuchenji buku kwa njaa ya siku moja
Hatuchenji buku hata kama mgeni akiwa soldiers 😂😂😂😂😂 *Hapa story tu kula kwenu mamae* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪👉
Hatuchinji kuku hata mgeni akiwa...
Ulichonizidi ni anasatu
Nimerud Tena Kwa Malume😎
Nakubal kaka
shout out kwa ma SLAY QUEENS HAHAHA...!
Unaweza broo 🔥🔥🔥
Bala zito ilo👍👍👍👍👍
Jaman 2endelee kuitizama Sana Hii Ngoma ili isonge Mbele Maana Ngoma Haichoshi
HONGELA SANA MON, 🔥🔥🔥🔥
Nakukubal xan broo
Like kwa malume huyu jamaaa n hatari Sana
Kali
Noma
Kali
Noma
Kali
Hujawah kukosea bro mnyamwez flan ivi #malume
Huyu jamaa fundi sana aisee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
The best of malumee dadek
Moni Centrozone balaaaa
Nomaa xanaaa
Nzuri
Ndio heshima kwako malume
wangapi wamesikia VunjaBei.
Kila Nikiingia Hapa Kwa Malume Lazma Nidongondoshe Comment
Mkitaka Mnipe like Mkitaka Muache Silazimishi M2
Noma sana
Noma
123 to goooo
Noma sana
Noma
Maelekezo yanaendelea
ngoma kali
noma kubwaaaaaaaaa
moni muuuaji🔥🔥