MBOWE AMVAA KIKWETE MKUTANO ARUSHA "ANASAFIRI NA RAIS KAMA NANI WANATUMIA PESA NYINGI NJE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 143

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 7 місяців тому +14

    Kikwete anatama sana na ni mtu ambaye hatosheki.

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 7 місяців тому +13

    Serikali ovyo sana sisi tunapambana vitu vimepanda bei nauli juu wao wanaendekeza anasa hospitali dawa hakuna vitanda havitoshi watanzania tuamke ifike wakati huu uchafu wa nchi hii wa CCM kutuibia kura na katiba zao zilizopitwa na wakati na mfumo wa zamani wa kikoloni nchi inaliwa na wachache wengi hali zetu hoi

    • @amos878
      @amos878 7 місяців тому

      👏👏👏👌👌

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 7 місяців тому

      SUBIRI MBOWE ATAKUGAIA RUZUKU KIDOGO USIJALI 😢😢😢😢😢

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 7 місяців тому +6

    Ukistafu kaapembeni mda wako umeshaisha kama una mawazo mazuri ungeyatumia enzi za utawala wako. Huna jipya tena.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 7 місяців тому +10

    Hakuna kiongozi atakaye tokea
    Kupendwa na watanzania kama
    Magufuli ukweli utabaki kua ukweli
    Tena hata angetoka ccm kwenda kwingine angepata kura kwa kishindo
    Tusidanganyane japo tulimuita Dictatorship lakini mango amefanya na tunayaona wenyewe

    • @hatibuyusufu4668
      @hatibuyusufu4668 7 місяців тому

      Lakini ndie pekee aliyepoka uchaguzi mpaka Leo mnasema bunge lote ni ccm lakini ujingaa huu kauleta nani,

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

      ​Sijawahi kuwa mwanasiasa lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni magufuli jembe ataishi mioyoni mwetu milele ​@@hatibuyusufu4668

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 7 місяців тому +8

    Kumbe ndiyo sababu nchi hii haina dolla kabisa , zinatumika kununua vipodozi .

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 7 місяців тому +7

    Hii kweli Kali sasa munasema lissu ametukana hii mbowe Kali kuliko zote

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 7 місяців тому +5

    Wabunge wa ccm unatengemea waseme nini, hawana jipya, ni upigaji kila kukicha

  • @munirimkwayu1692
    @munirimkwayu1692 7 місяців тому +7

    Jamaa anawachana vby

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 7 місяців тому +7

    Mnaongea maneno magumu watanzania wanateseka sana

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 7 місяців тому +1

    Wakati wao Nashangaa sana Rais anasafiri nandege yakubeba watu. 200. Wakati ndege ya rais. Yakubeba watu. 10.ipotu tunaiga nchizenye uchumi wajuu😢😢 lnnalillah wainna illaihi Raajiun 🤲😭 Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 7 місяців тому +4

    Dah yaan kikwete sijui anashida gani na watanzania jamani ila mungu anawaona kabisa

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 6 місяців тому +1

    HAPO KWELI MPE UKWELI MSTAAFU ASITAAFU YOTE.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 7 місяців тому +6

    Cdm lazm mtafute mwarobaini wa wizi wa kura hawa polisi, usalama na wakurugenzi ili mshindi apatikane kihalali

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 місяців тому

      This time around, God's hand will be upon us❤❤❤

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA 7 місяців тому

      XO chadema jukumuletu
      Sote wnanch.

  • @patrickakitanda7709
    @patrickakitanda7709 7 місяців тому +1

    Tuanze kwanza na wewe Mbowe kwanini Unekuwa Mwenyekiti wa chadema kwa zaidi ya Miaka 20 nawewe ni Mpigaji😂😂😂😂😂😂

  • @JohnKingola-r9l
    @JohnKingola-r9l 6 місяців тому +1

    Mimi naona nchi hii ccm haiwezi kuongoza

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 7 місяців тому +1

    Kwa hili nakuunga mkono mbowe

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 7 місяців тому +5

    Tanzania maskini tunaambiwa

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 7 місяців тому +2

    Barabara km zaidi 70 zinafungwa, masaa zaidi ya matatu wanapopita wakubwa mateso hayo ya nini?

  • @WamburaNelson
    @WamburaNelson 7 місяців тому +4

    Ni aibu wenzetu wanatushangaa sana.Wangekuwepo wa Captain Traore hapa Tanzania wangechukuwa hatua.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 7 місяців тому +1

      Nakuunga mkono aisee kwetu kuna vyombo vya serikali sio kwaajili ya wananchi ni Mungu tu atusaidie kwakweli🙏🤲

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 7 місяців тому +2

    Watanzania tubadilike na tuwe na maamuzi ..

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 місяців тому +1

    CHADEMA Limebaki jina tu viongozi mmechoka sana tena sana

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 5 місяців тому

      Utachoka ww chadema haitochoka utasubiri sana

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 7 місяців тому +9

    Mungu awasaidie chadema miaka mingi mnsibiwa kura hawana aibu kwa lowassa wali8bakwa lissu waliiba kwa slaa waliiba tumlilie sanz mungu awafunge mikono

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 місяців тому

    Hii nyongeza ya utumbo, unahoji JK kama Nani? Nimeishia kwenye kichwa cha Habari tu 😂😂😂

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 7 місяців тому

    Jamaa anajua uzandiki kweli yaani shule inafungwaje?
    Mbona siku za mikutano yote ya ccm ,watoto wote wapo shule

  • @OmarBakari-by2dv
    @OmarBakari-by2dv 7 місяців тому +3

    Duu!!! Umetupiga mlemle...hataarii..

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 7 місяців тому +6

    Exelence president Samia sluu Hasan has to see national is on the big trable anaitaji kiachana na kikwete mawazo yake sababu kikwete bado ni mtu mwenye tamaa sana ktk taifa Rasilimali zetu kuwaachia wageni exelence president Samia sluu Hasan has to rengforce use lteligince more than ccm member to lnvestg thing underground on gavment office to maintain corporation people in the leadership lteligince has to be much cicret to maintain manpower of exelence president Samia sluu Hasan to drive better Tanzania creat better economy asepty opposition plan forgot about coruption people advise your leadership outcome your the leader who lmbarasing yourself

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 7 місяців тому

      Whaaaaat!!??? Good God why do you have to embarrass yourself like this using language you have no mastery of? Why don't you just use your lingua franca friend? You have very little respect for your dignity and that of others. Kindly stop embarrassing us as Tanzanians.

  • @dicksonshenkalwa5470
    @dicksonshenkalwa5470 7 місяців тому +6

    Kikwete kama hayo ndiyo unayofanya ni aibu. Jitafakari . Hata Na wewe Samia raisi Wa nchi Ni kweli haya ndiyo unayofanya? Ni aibu, jitafakari. Kumbe ndiyo maana wanasema mama ameupiga mwingi, unajua maana yake au inafurahia tu?

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 7 місяців тому +2

    Shikamoo mbwe kwa kikwete umeupiga mwingi

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 7 місяців тому +2

    Tunampenda magufuli sana hakika asingekubali huo ujinga kwanza enzi zake hixo safar za kila mara hakunaga. Tunashangaa saiv duh wananchi wanateseka jaman hakuna wakutusaidia hii nchi ya tanzania imekua too much

  • @rucaserasto8154
    @rucaserasto8154 7 місяців тому +2

    Kikwete analamba asali😮😮

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 7 місяців тому +1

    SIASA ZA TANZANIA SITAKI RIP.JPM TUTAKUKUMBUKA DAIMA

  • @johnsonnyongesa
    @johnsonnyongesa 7 місяців тому +3

    mungu andie muweza yote

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 7 місяців тому +1

    Ungekua wewe hata chooni ungeenda na ndege

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 7 місяців тому +2

    Amekuwa betri, hawezi kuacha ulaji

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 7 місяців тому +6

    Hakuna raisi kama kikwete watu tulimiliki pesa nyingi sana mungu ampe maisha marefu huyu mzee

  • @allykigatta7564
    @allykigatta7564 7 місяців тому +1

    ...R.I.P DACTA JOHN MAGUFULI...

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 7 місяців тому

    Wakati wake si umekwisha bado anataka pesa za haramu tuuu 😮😮😮😮😮😮😮

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 7 місяців тому +1

    Huzuni aibuu yaani hadi huruma

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 7 місяців тому +1

    Kweli umengea mheshimiwa mbowe jamani mungu awapigainie sana

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

    Haikuhitajika kuvaa miwani ili kuona mambo makuu aliotundea shujaa magufuli yote aliyotenda yataishi mioyoni mwetu milele alitenda kishujaa na akafa shujaa Africa tujiulize nini nyuma ya vifo vya mashujaa wetu ?

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 7 місяців тому +3

    Kikwete anapenda kusafiri sana, nini jipya?

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 7 місяців тому

      Sawa asafiri kwa gharama zake Ana fedha za kutosha. Rais anatakiiwa kikatiba kusafiri na mwenza wake ambaye hana makuu kabisa, mtu wa Mungu.

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 7 місяців тому

      Wapinzani bado hamjatoa hoja imara ya namna gani ya kuimarisha maisha ya watanzania,mnataja tu mapungufu ambayo hata nyinyi mnayafanya na hata mkiingia madarakani mtayafanya.
      -mlichukua marupurupu yote bungeni.
      -mlifanya kampeni kwa gharama kubwa kwa helicopter.
      -mliwapa dada,na wake zenu nafasi za viti maalum.
      -hakuna mabadiliko ya kueleweka ya kiuongozi.
      -chadema na ccm wote ni wapigaji,na mnahitaji tu kura mkale.
      -tofauti yenu na wapinzani wa Kenya,Malawi,Zambia n.k ni nini?kwani hao wote walipoingia madarakani hakuna jipya walilolileta bali maisha ya wananchi yalizidi kuharibika na pengine zaidi.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому

      Sleep vijukuu. Aache kuuza Tanganyika.

  • @GodsonLaizer-fx8by
    @GodsonLaizer-fx8by 7 місяців тому +1

    Wewe ukipenya utaacha kufanya hayo?

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 7 місяців тому +1

    Hilo nalo ni neno!!

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

    Hata wanafunzi wa sekondali hupelekewa mabasi ili wahuzilie mikutano na huambiwa wasivae nguo za shule

  • @AsendeNyota
    @AsendeNyota 5 місяців тому

    Rip magufuri

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 7 місяців тому +1

    Kweli mishahara hali mbaya in

  • @hawakazimoto2949
    @hawakazimoto2949 7 місяців тому

    Kelele za chura. Badala ya kumwaga sera hamna kitu kelele nyingiiii wala hueleweki

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 місяців тому

    Magufuli aliziwiya hayo matumizi ila nyie Chadema mlipinga.

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 7 місяців тому

    Nyie wote wachumi tumbo alivyo kuwa magufuli mlikuwa mnasema sana acha inyeshe 2one panapo vuja

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 7 місяців тому +1

    RIP JPM.

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 7 місяців тому +2

    Kuhusu kikwete NI kiongozi wa kimataifa Kuna Engos za kimataifa Duniani anafanyanazo kazi na sio serikari yetu inayomlipia.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 7 місяців тому +1

    MBOWE NA CCM MNAFANANA NI MAPACHA KABISAA. Wewe siku zote miaka yote ndiwe mwenyekiti hutaki kutoka nao CCM hawatoki madarakani kwahiyo ni MAPACHA VING'NGANIZI WA MADARAKA.Hayo ni maoni yangu tu.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

    Haikuhitajika miwani kuona mambo makuu aliotufayia mpedwa magufuli shujaa sliepigania maslahi ya wanyonge mpaka tone la mwisho😊

  • @omarimamboleo2634
    @omarimamboleo2634 7 місяців тому

    Tutajieni hizo safari za kikwete rais

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 7 місяців тому

    Mtoe taarifa tunakushkuru

  • @juliuslaizer5801
    @juliuslaizer5801 7 місяців тому

    Ccm hawataki mabadiliko

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 місяців тому

    Kikwete na genge lake wanatumaliza watanganyika, RIP JPM

  • @FahadiKibavu
    @FahadiKibavu 7 місяців тому

    Apo umesema

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 7 місяців тому +3

    Mama hajui kitu Mzee anamsaidia

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 7 місяців тому

      Rais Ana wasaidizi wanaolipwa na serikali vipi mheshimiwa Kikwete anajua mambo kuliko mheshimiwa P. Kabudi?

    • @PhilibetLadislaus
      @PhilibetLadislaus 7 місяців тому

      Hujui kitu elimu ya kaburi na majukumu ya Rais ni mbingu na dunia mama hajui kitu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

    Jamani anamlinda na kumsaidia samia acheni wivu

    • @f.a6043
      @f.a6043 7 місяців тому

      😂😂😂👉🐸🐸🐸🐸

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 7 місяців тому

    Hawa wakina mbowe ni wapigagi hatar

    • @f.a6043
      @f.a6043 7 місяців тому

      😂😂😂👉🐸🐸🐸

  • @FrankMbwago-f3l
    @FrankMbwago-f3l 7 місяців тому

    Hamna jipya ww mwenyewe mbowe ni mpigaji

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 7 місяців тому +1

    Je ni kosa Rais Mstaafu kusafiri na Rais? Mbowe wivu wa nini?

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 7 місяців тому

    Kwa magufuli hakukuwaga na ujinga

  • @JonasMbuyah
    @JonasMbuyah 7 місяців тому

    😂😂😂

  • @WamburaNelson
    @WamburaNelson 7 місяців тому +1

    Yeye si ndiye anamsaidia Rais hata kumteua Mkuu wa majeshi na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa. Lakini pia ndiye anayeteua mawaziri na kumpatia Rais aapishe. Unaweza kuona amewateua wabunge sita wa mkoa wa pwani kuwa mawaziri. Na mawaziri wanne kutoka mkoa mmoja wa Tanga. Je hapo kuna national balancing? in the president appointees?.Tatizo hatuna security agencies nchi hii.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 місяців тому

    JE WEWE UTAWEZAAA?.

    • @f.a6043
      @f.a6043 7 місяців тому

      🐸🐸🐸🐸👈🏾🤣🤣🤣🤣

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому

    Kapiga kama miso misondo

  • @joelsumaye8162
    @joelsumaye8162 7 місяців тому +1

    Rais Samia ni rais bora kuliko wote, hizi ni kelele za njaa. Vijana fursa zipo nyingi tufanye kazi.

    • @miriamamiri641
      @miriamamiri641 7 місяців тому

      We unaeongea hivyo ni mwana ssm eh ila huna lolote unaongea tu hujielew

    • @user-pe9uo4ec6y
      @user-pe9uo4ec6y 7 місяців тому

      Mbowe ana njaa au wewe ndo una njaa?

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 7 місяців тому

    Kikwete mnafki ..

  • @amirijoho8243
    @amirijoho8243 7 місяців тому +1

    Kikwete muacheni

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 7 місяців тому

      Wajinga kama nyie ndo mnafanya nchi haisogei

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому +1

      Atoke kabisa. Ni tatizo kubwa la Taifa hili.

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 місяців тому

    Chukua hatua sio kulalamika mjipange sio kupiga kelele tu

  • @mohamedmasud4037
    @mohamedmasud4037 6 місяців тому

    Hata ww kesho ukipanda utakua na yako kila mtu kambaa yuwavutia kwake hakuna mkamilifu so wacha wivu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 7 місяців тому

    Mungu atamehughulikia akieshupaza shingo iko siku malaika wa Vita Yuko wataangamia na hiyo ndege waacheni mungu anawaona

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 7 місяців тому

    Wanasiasa wanakula Nchi hawa kila mtu na urefu wa kamba yake
    Mbowe na wenzie wanakula pesa
    Za Ruzuku
    Hivi najiuliza Ruzuku kwenye siasa
    ya nini na kwa nini iwe kwenye siasa tu ( wizi mtupu )

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 7 місяців тому

    Mr mbowe kufungwa ofisi ili kushughulikia matatizo ya wananchi ni dhambi? Bro umeongea sio kabisa

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 7 місяців тому

    Safi akalime huyo kijijin yeye amekua nani anafatafata nyuma dah

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 7 місяців тому

    Mbowe acha za kuleta, wafanyakazi kwenda kwenye mkutano wa Makonda ni kwenda kujibu maswali juu ya kero mbalimbali za wananchi. Yaani unajifuta akili Kaka.
    Jiongeze na hekima iwepo.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 7 місяців тому

    Njaa inawasumbua nyie

  • @frankmaligo5749
    @frankmaligo5749 7 місяців тому

    Tatizo chadema hamuaminiki,kikwete alisafiri mlisema,magufuri hakusafiri hamkusema zaidi mkabadilisha mada,kuna muda ukweli muwe mnasema,

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 7 місяців тому

    Kikwete ni baba wa taifa kwasasa mtu muhimu muulize lema anajua jinsi alivyo msaidia kikwete katumwa sana na magufuri nje ya nchi, cha msingi kakaeni chini mfanye tathimini muangalie je maandamano yamewarudisha wananchi kwenye upinzani? Ninacho penda kuwaambia hamuwezi kuishinda ccm hata siku moja na rais samia suluhu hassan mitano tena

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 7 місяців тому

    Tatizo la chadema wanahama hama sana na hoja .halafu wanasema watu. Chama kikubwa kama hiki .kinatakiwa kiende na ajenda .moja kama ni katiba basiiwe katiba.lakini wananchi hatuwaelewi kwakweli.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 7 місяців тому

    Kwa stahili hio yakusafili na rais mstaafu sizani kama watakubali katiba mpya ipitiswe itawabana nakuwanyima uhuru

  • @GoodluckMichael-hb1bv
    @GoodluckMichael-hb1bv 7 місяців тому +1

    Chadema amuaminiki,Mzee magu Alibana Kila Kona lkn Bado mlimzidoa, kiufup hamuelewek

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 7 місяців тому +1

    Hapo mboe umechemsha makonda anakubarika Sana siio kwamba watu wanasombwa kwenye mikutano yake

  • @CosmasLeza
    @CosmasLeza 7 місяців тому

    Ndo mda wao wakula saiv

  • @hassaniidrissa5916
    @hassaniidrissa5916 7 місяців тому +5

    Mama is the best president ever seen in the world ❤

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 місяців тому

      Wanampamba ili azidi kugawa maliasili zetu kupitia uwekezaji😢😢😢

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 7 місяців тому

    Acha ujinga wewe huyo ni raisi ng,ombe wewe

  • @BarakaRimonet
    @BarakaRimonet 6 місяців тому

    Unzpe

  • @Ayubkakore-vl7bm
    @Ayubkakore-vl7bm 7 місяців тому

    Hata ungekuwa wewe ungefanya ivyo

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 7 місяців тому

      Mwarsbu wa pemba unatafuta nininTangsnyika. Siku inakuja mtahamia huko uarabu.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 7 місяців тому

    So shida yako ni nn

    • @ElishaWarboy
      @ElishaWarboy 5 місяців тому

      Tatizo watnzania hamfikirii muungeni mbowe mkono maana ni hivi zile GARAMA za kusafiri kikwete kwenyenye hiyo bajeti ya kiserikali NI kutia hasara zisizo na manufaa kwa wananchi na kwataifa kwa ujumla yake wangenunua madawa mahosptal zhanti miundo mbinu tunasogea kimaendeleo tuache ushabiki tuangalie kesho yetu

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 7 місяців тому

    Umekosa chakusema unaongeamaisha binafisi

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 7 місяців тому

    Acha urongo wewe

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 7 місяців тому +1

    Inakuhusu ww Samia Juu...Njaaaa zinawasumbua wapinzani

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 7 місяців тому +1

      Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni rais wa nchi anaishi kwa kodi zetu hana biashara nyingine.

    • @mataizytembo7043
      @mataizytembo7043 7 місяців тому

      Hela alionayo mbowe pengine hata nusu ya Tanzania akaihudumia kuwa na akili wewe Kibombogwa poornes wa akili ww wana njaa unamjua mbowe vizuri kweli ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @JamesMwandoje
      @JamesMwandoje 7 місяців тому

      Muache mzee apumzkee mlitaka asafiri nanani

    • @JamesMwandoje
      @JamesMwandoje 7 місяців тому

      Kwriiii kbsaaa always wanadamu hawana jema....Samia pga kazi mlitaka afanyeje

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 місяців тому

    Rais samia ni rais mzuri sana anaweza. Kwenda na ndege ni sawa tu.
    Rais kikwete anaweza kutumika na rais kwa sababu kikwete siyo mzee bado ana nguvu. Na kikwete anajua sana mawasiliano ya nchi za kimataifa.
    Hata ningekuwa mimi ni rais ningemtumia kikwete. Maana kikwete aliweza kumleta rais wa marekani Tanzania.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂akili za darasa la kwanza

    • @rajabhussein-e3f
      @rajabhussein-e3f 7 місяців тому

      Daaa hahahaha hivi unaelewa unachozungumza?