NITAREJEA CCM SIKU IKIONDOKA MADARAKANI '/ AMSHAMBULIA MSAJILI WA VYAMA / WEWE NI NANI''..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 7 місяців тому +7

    Unaakili sana lakini unaongeya kirahisi your very smart

  • @mbachoclassic7818
    @mbachoclassic7818 7 місяців тому +1

    Amewaambia ukweli act ni chama kikuu cha upinzani znz na chadema ni hapa tz. Ni ukweli mtupu ila hawapendi kuambiwa ukweli

  • @iddissah5700
    @iddissah5700 6 місяців тому

    Wanasiana ni wahuni tu, 😄😄😄😄😄😄

  • @denicejames7679
    @denicejames7679 7 місяців тому +2

    Kumuelewa huyu mzee lazima uwe na high Q kubwa sanaa …

    • @ishe_ngo8926
      @ishe_ngo8926 7 місяців тому

      IQ = Intellectual Quotient

  • @GraceMkandawile-j5w
    @GraceMkandawile-j5w 7 місяців тому +3

    Duh mzee kama comed lkn unakitu eti

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 7 місяців тому +2

    Dunia uzalendo, nguvu za kijeshi, uchumi, AI

  • @rashidmtengule3681
    @rashidmtengule3681 7 місяців тому

    Ninani atakayekukubali wewe profesarlakini nimjinga ? subili ufe utupwekama mbwa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому +1

    Bab namkubali kwa kucheka Cheka tuu 😀😀

  • @allymasoud547
    @allymasoud547 7 місяців тому +1

    Lwaitama wewe ni liability na wala siyo asset!!

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 7 місяців тому

    CCM inayo nafasi kubwa sana ya kuendelea kushika dola kwa zaidi ya miaka 100 kwa uchache na hivyo wote waliopo ktk mkutano huu wataondoka duniani na kukiacha kikiwa chama kinacho endesha taifa letu

  • @GoodluckTarimo-u3j
    @GoodluckTarimo-u3j 7 місяців тому +3

    Act mke wa ccm upinzani chadema tuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому

    Wewe Muhaya umeshazeeka acha siasa sasa baki Kada wa Chama chako

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому

    Kama hali ni hii Jeshi lichukue nchi tu hali ji mbaya sanaaaa

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 7 місяців тому +4

    Act ni chawa wa ccm

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 7 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @ShabanJinga
    @ShabanJinga 7 місяців тому +1

    sitoipenda c c m. kamwe hata labda mungu atanipeleka motoni

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 7 місяців тому +1

    Matawi ya chama tawala mpinzani ni chadema tu

  • @HeriMohamedi-p6g
    @HeriMohamedi-p6g 7 місяців тому +2

    A CT nii Maliki wa CCM acheni kuwa enjow watanganyika hata unachoongea hakieleweki

  • @ThomasMakarius-x9n
    @ThomasMakarius-x9n 7 місяців тому +1

    Wewe ni sufuri na elimu yako Suri acha choo. 5:16

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 7 місяців тому +1

      Kumamayo

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 7 місяців тому

      Maneno ya huyu mzee Dr Eaxsavry sio ya kupuuzwa hata kidogo. Msikilize kwa utulivu utagundua tuna kichwa. Tatizo lake ni desturi yake ya kucheka cheka kila azungumzapo. Lakini hayo sio neno.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому

      Kuelewa filosofia ni lazima uwe na picha kubwa kichwani. Uwe umepitia pita vyuo vya juu

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 7 місяців тому

      Inaitaji uwe na uelewa mzur kumwelewa kama kilaza utapuuza

    • @mbachoclassic7818
      @mbachoclassic7818 7 місяців тому

      Hiyo ni matokeo ya Elimu kubwa sasa wewe uliyeishia hapo ulipo ni ngumu🙈 hizo nondo sio nyepesi