Naam mwalim ni kweli mm ndo nakumbuka msemo unaosema MWANZO MGUMU wengi wanalichukulia poa neno ili lakini linamaanisha kua utaanza kwa kuabgaika lakini mungu u pamoja nawewe!! Ili kupata unachokitafta anza na ulicho nacho!! Asante mwalim joel mungu akubalik❤🙏
Joel, naomba nikupongeze sana jinsi unavyobadilisha maisha ya watu yaani kuwanyanyua kutoka level moja kwenda ya juu na nzuri. Pia nikuambie kuwa, namna yako ya kuelimisha ni nzuri sana kwa kuwa, huwa unaenda moja kwa Moja kwenye pointi na siyo maelezo meeeengi ndo ufike kwenye pointi. Asante sana.
Kwa kweli leo nature Mbele za Mungu nimekosea aaan ee Mungu unisamehee mwalom wangu asante saan na Mungu akufanikishe kqa kila eneo ukastawi saw saw na neno lake

Ni kweli kabisaaaa
Nakufatilia sana kila atua Mungu azidi kukufungulia ,tuweze kujifunza zaid❤❤❤❤ sanaaaaaa,God bless you
Mualimu wetu asante sana zaidi ubarikiwe kabisa ⚡
Hakika sitokidharau kidogo nilichonacho , naamin Mungu atanifikisha ninapopataka amen.
Thanks mwalim tupo pamoja Mungu akuinuue zaid❤❤❤❤sana MTUMISHI
Joel, naomba nikupongeze sana jinsi unavyobadilisha maisha ya watu yaani kuwanyanyua kutoka level moja kwenda ya juu na nzuri. Pia nikuambie kuwa, namna yako ya kuelimisha ni nzuri sana kwa kuwa, huwa unaenda moja kwa Moja kwenye pointi na siyo maelezo meeeengi ndo ufike kwenye pointi. Asante sana.
He deserves more likes and views ❤ a rare gem!
Asante sana Kaka MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana Dr
Somo zuri Sana naendelea kujifunza br Joel
Mungu naomba msaada wako
Kwa kweli leo nature Mbele za Mungu nimekosea aaan ee Mungu unisamehee mwalom wangu asante saan na Mungu akufanikishe kqa kila eneo ukastawi saw saw na neno lake
nalifanyia. kazi somo kaka matoke yapo
Asante..... xana.... coach Joel.... mungu awe pomoja..nawe....kwa...kila jambo 🙏🙏....nitajitahidi...kw...hiyo.. course...kuifatilia.
Nimekuelewa Sana Mwalimu
Mungu wa mbinguni akubaliki 🙏
Asante @Joel
Wewe ni wabaraka
Asante mno mwalim
Asante sana Joel, hii itanisaidia mimi na wadogo zangu, maana umegonga mulemule💪💪, Mungu baba akutunze 🙏🙏
Ameen songa mbele
Nakuelewa sana mentor wangu mungu akubaliki sana na uendelee kutufundisha kwa vipindi vyako 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sanaa kaka Joel 🙏🙏🙏
Kaka nashukur sana mungu akulinde.see you at the top.
Ahsante sana Mtumishi wa Mungu ❤
Awesome Ahsante sana Ubarikiwe sana
Aminii ubarikiwe ❤
Asante kwa ujumbe mzuri
Nimejifunza 🙏
Asante bro.
Much love from kenya
Asante Sana kaka
Amen
Aksante sana
Thanks for this
Aksante
Ahasnte sana,
Mashallah unaupiga mwingi brother
Amen Ameen
💪💯
nice ❤❤❤❤❤❤❤❤
I needed this as a reminder 🙏
Move on
"See you at the top"
Kila video ninayoitazama inanipa kitu kipya na potential sana ww ni nabii naamin
Kaka nania ya kufanya kazi ya wakala je nianze na mtaji wa shiling ngapi na niyazingatiye yapi Katika biashara hii
🤝
❤❤❤❤
jaman naitaji msaada katika watu wanaofahamu forex
🙏🙏
Joel, tunaomba Audio na tone viwe na punch kama clip za mwanzo
See you at the top
✍
Njnlkoni
Can the title be Jinsi/namna scarcity mentality inavyofanya kazi 🤔
Waoneshwa njia waangalia kwapa😂
@@minaaminaa1781 😂😂😂 Hatari na Nusu
Hii course iko online? Mimi niko Kenya.
Yes ni Online karibu snaa
Unalalamika huna viatu wakati wengine hawana miguu 😂
Mbaya sanaaaa
@@LovelyOutdoors-wd5nh 😂
@@LovelyOutdoors-wd5nh 😂
Shukrani sana kwa mafunzo
"see you at the top"
❤❤
❤❤