Magoli | Yanga 2-0 Aigle Noir - Siku ya Mwananchi 2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Yanga SC yaibuka na ushindi wa kibabe mbele ya wageni Aigle Noir ya Burudani wakihitimisha #WikiYaMwananchi jijini Dar es Salaam.
    Tuisila Kisinda 'TK Master' na Michael Sarpong walihitimisha #SikuYaMwananchi kwa burudani ya aina yake.
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 151

  • @kigalinziza2853
    @kigalinziza2853 4 роки тому +1

    I'm a Yanga African's fan now ....Love from Rayon sport FC...Rwanda.

  • @kabulakabadi227
    @kabulakabadi227 4 роки тому +2

    mambo ni moto yanga kwa sasa....hongeren viongozi kwa usajili

  • @noelsengua7227
    @noelsengua7227 4 роки тому +15

    Kama umeona kichwa ya Sarpong kama Mimi gonga like hapa mwana jangwani

  • @johanesdeocles6337
    @johanesdeocles6337 4 роки тому +6

    Wataweza kwa yanga hiiii

  • @jaham4481
    @jaham4481 4 роки тому +1

    Yanga kidoooogo,, kwa mbaaaaaali mmeanja kujaribu👌

  • @regnaldscolfieldluiz5933
    @regnaldscolfieldluiz5933 4 роки тому +4

    Hii ndio YANGA💚💛💛

  • @kusekwasita1576
    @kusekwasita1576 4 роки тому +5

    Nilimiss vchwa vya makambovic now sapourng he is nice replacement for makambovicç

  • @emmyladogambison7961
    @emmyladogambison7961 4 роки тому +2

    I love u yang African

  • @jacobsonson4473
    @jacobsonson4473 4 роки тому +5

    Wapee salam daima mbele

  • @nurukapoja7759
    @nurukapoja7759 4 роки тому +3

    Jamani rahaaaaaaaaa

  • @sellah4603
    @sellah4603 4 роки тому +4

    Tk master baraka mpenja pepo iyo

  • @biusisaidi2815
    @biusisaidi2815 4 роки тому +2

    Ilove yanga

  • @begaca
    @begaca 4 роки тому +4

    Yanga Mbele Kwa Mbele

  • @denisirobati3890
    @denisirobati3890 4 роки тому

    I love you yanga

  • @latifamohammed61
    @latifamohammed61 4 роки тому +1

    Nimewaelewa vijana

  • @ombenibebe9136
    @ombenibebe9136 4 роки тому +1

    This makes me that no corona in Africa

  • @hlalelemohale7296
    @hlalelemohale7296 4 роки тому +6

    Which soccer league is this, I am from South Africa, but this vibe here is on another level

    • @lemathomas2862
      @lemathomas2862 4 роки тому +2

      Tanzania

    • @hlalelemohale7296
      @hlalelemohale7296 4 роки тому +2

      @@lemathomas2862 thanks br. I like your vibe it's on another level I wish we could have such cheerful crowds at our stadiums!!

    • @paulomavado3736
      @paulomavado3736 4 роки тому +1

      Dar es salaam young African👏👏

    • @otmarykiowi4132
      @otmarykiowi4132 4 роки тому +1

      The united republic of Tanzania.

    • @hlalelemohale7296
      @hlalelemohale7296 4 роки тому

      @@otmarykiowi4132 thanks brother!!

  • @zakariathomas9698
    @zakariathomas9698 4 роки тому +1

    Wanaweza

  • @tausiramadhan6979
    @tausiramadhan6979 4 роки тому

    Yanga oyeee

  • @muhutarshalifa9435
    @muhutarshalifa9435 4 роки тому +1

    Hiyo ndoo yanga

  • @barakasaid6045
    @barakasaid6045 3 роки тому

    Wao wanasemaje

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +1

    Hlo gol la kwanza la kawaida Sanaaaa 😂😂😂 Tukutane trh 18-10-2020

  • @paulchamba6768
    @paulchamba6768 4 роки тому +1

    YANGA ni asili yao kucheza pasi ndefu na na Simba asili yao kucheza pasi fupifupi....msimu huu tutaona mengi mazuri

  • @frowinkondamwali3902
    @frowinkondamwali3902 3 роки тому +1

    Kila nikirudia kuangalia hii mechi tukubali tukatae Yanga tumepigwa misumari kwa hivi tunavtosheza sasa!!

  • @verokigabo9570
    @verokigabo9570 4 роки тому +1

    Wape salamuuu

  • @jumafundi2762
    @jumafundi2762 4 роки тому +1

    Juma daudi fundi

  • @yusuphzakaliaalon9436
    @yusuphzakaliaalon9436 3 роки тому

    Pamoja sana

  • @ombenibebe9136
    @ombenibebe9136 4 роки тому +3

    SARPONG SARPONG

  • @wilsonkahamba8806
    @wilsonkahamba8806 4 роки тому

    Hatalii

  • @shaameshaame2136
    @shaameshaame2136 4 роки тому +3

    ww unaeshangaa kuwa kadi nyepesi ulitaka apewe rangi gani ya kadi ? njano alishapewa mbili au ulitaka apewe na bluu. tatizo la kuanza kupenda timu kabla ya kupenda mpira linawasumbua.

    • @begaca
      @begaca 4 роки тому

      SUMU JOMBAAAA

  • @chingatz4894
    @chingatz4894 4 роки тому +3

    Roho yake ni muhimu unawezezqje kudaka kichwa icho

  • @alexanderkimbeho1098
    @alexanderkimbeho1098 4 роки тому +2

    Mweeeee hakuna kitu

  • @elizaatilio180
    @elizaatilio180 4 роки тому +1

    Hii ndo Yanga

  • @Ndayaki
    @Ndayaki 4 роки тому +3

    Unfair red card

  • @aminakipingu7957
    @aminakipingu7957 4 роки тому +2

    Mimi nacheka Simba tu awashindi mpaka morison awasaidie😹😹😹😹

    • @modojsoza6273
      @modojsoza6273 4 роки тому

      Huna cha kukoment

    • @amirhassan5618
      @amirhassan5618 4 роки тому +1

      Na zile NNE aliwafunga Morrison?? Yani hapo tu ndo unapoyumba mkewangu.

    • @simonshija2476
      @simonshija2476 4 роки тому

      kwa maan hiyo tuseme jana ukimtoam hawakushida, au yanga wamesheza mechi mbili arusha na dar es salaam maana wanadai bado ni mchezaji wao!!!!!

  • @neemaijuma9536
    @neemaijuma9536 4 роки тому

    Nice

  • @nelsonshoo537
    @nelsonshoo537 4 роки тому

    Wape salaaam...

  • @saidicharles3628
    @saidicharles3628 2 роки тому

    yanga vs simba

  • @victajospht4835
    @victajospht4835 4 роки тому +2

    Simba bwana hawakosagi sababu

  • @geophreyjustine4135
    @geophreyjustine4135 4 роки тому +1

    Yanga bhn ety mechi ya kirafiki na card nyekundu wapi na wapi

    • @bongomanlevocatus4411
      @bongomanlevocatus4411 4 роки тому

      Kama hautaki kuwepo kad et kigezo ni mchezo wa kilafiki bx na walefa wasiwepo tumia akili unapo fikilia kitu cha kuandika

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 4 роки тому

      Kwa hit=yo walikua wanatumia sheria gani. mtani ww utakua unashabikia pool table watu wa mpira wanaelewa

    • @geophreyjustine4135
      @geophreyjustine4135 4 роки тому

      Bongoman nakuona umepata moto vp umepika makande na huo moto wako

    • @geophreyjustine4135
      @geophreyjustine4135 4 роки тому

      Mathias 😂😂😂😂😂😂😂😂nimepita zangu

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 роки тому

      Kila team ioneshe taji lake baada ya kushinda jana

  • @ashufaamlalila
    @ashufaamlalila 4 роки тому

    Timu ya Wanainchi!!!

  • @omarabdalahubwa8970
    @omarabdalahubwa8970 4 роки тому +1

    Mmeshindwa kuwafunga mpaka wapungue kwa red team ndogo Kama hii

    • @ezemanvlogs8987
      @ezemanvlogs8987 4 роки тому

      Timu ndongo inajikaza namna hio wakati ninusu?

  • @anethshio497
    @anethshio497 4 роки тому +2

    Kwahiyo TFF inabidi waongeze kanuni kuwa timu yoyote ikicheza na Uto FC italazimika wapunguze mchezaji mmoja.

    • @aboubackhrkassangullah3377
      @aboubackhrkassangullah3377 4 роки тому

      Cku zote mjinga upinga ukerelekwa na yasomuusu

    • @anethshio497
      @anethshio497 4 роки тому

      @@aboubackhrkassangullah3377 rudi shule kwanza ukautoe huo Ujinga ulionao ndo uje uandike hiyo comment yako upya kwa ufasaha, sawa? 😎

    • @jacksonnchimbi308
      @jacksonnchimbi308 4 роки тому

      Na nyinyi matozi fc tff waweke kanuni mkicheza na timu yeyote penalties,na offside yote yawe magori yenu

    • @anethshio497
      @anethshio497 4 роки тому

      @@jacksonnchimbi308 hiyo siku nyingi ilishapitishwa rejea mechi ya Simba 3 - 2 Namungo msimu uliopita uwanja wa Taifa.....

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 4 роки тому

    Hii kadi nyekundu sio halali

  • @mamutz5479
    @mamutz5479 4 роки тому +1

    Yanga Amna ki2 mechi ya kilafiki mnapata 2. Kweli jamani

    • @fanikiwamhapa4236
      @fanikiwamhapa4236 3 роки тому

      Kuna timu inachezaga taifa mechi ya kirafiki kutoka nje na kupigwa hapo hapo,,wanalipa malazi yote,wana walisha chakula,mwishowe wanafungwa

  • @jumongmuhudhari3932
    @jumongmuhudhari3932 3 роки тому

    Jym

  • @omarabdalahubwa8970
    @omarabdalahubwa8970 4 роки тому +3

    Kama sio kad wangewaumbua watu leo

    • @aminakipingu7957
      @aminakipingu7957 4 роки тому +3

      Bila msaada warisoni Simba nae ashindi😂😂😂😂

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 роки тому +1

      Na mababu zenu do shida sana kiukweli

    • @isackkamuga5665
      @isackkamuga5665 4 роки тому

      Kwani walianza wakiwa pungufu?

    • @brightbeatus8312
      @brightbeatus8312 4 роки тому +1

      Wangefunga hata moja tujue kwamba wangeumbua watuu, ushabiki mwingine duu

    • @samsonnishimwe9845
      @samsonnishimwe9845 4 роки тому

      Yanga mbona hawajaanza kufunga mapema kabla yakadi, kiukweri aigle noir ingefunga yanga. Wangeleta refa wakigeni.

  • @SamuelJoshua7
    @SamuelJoshua7 4 роки тому +2

    Simba wamepewa penati mapena Kama walivo zoea kwahonga marefa acha yanga ipete

  • @jovinusmodest8257
    @jovinusmodest8257 3 роки тому

    Feisar

  • @almachiusjohn7394
    @almachiusjohn7394 4 роки тому

    Yang amna ki2

  • @dennisisaya8858
    @dennisisaya8858 4 роки тому

    Ya

  • @ben-ally.jr.7611
    @ben-ally.jr.7611 4 роки тому

    👋🏻👋🏻

  • @wiliamanthon6857
    @wiliamanthon6857 4 роки тому

    hyooo ndoo tmuu

  • @juniorchilongola2191
    @juniorchilongola2191 4 роки тому

    Mikia kama kawaida mapovu

  • @tinawash513
    @tinawash513 4 роки тому

    Waooo

  • @Tanurulafikra2410
    @Tanurulafikra2410 4 роки тому

    hamna kitu hapo mmesubili jamaa wamepunguzwa kwa card nyekundu, ndo mkafunga tena magori mawili tu. je wangekuwepo wote

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 роки тому +5

    Hii team ilikuwa na uwezo wa kukataa kucheza mpira baada ya mchezaji wao kupewa Red Card maana hii team ilikuwa imearikwa tu kuja kucheza mchezo wa kirafiki katika tamasha la wananchi ila mchezo huu ulikuwa hautambuliki katika Fifa au Tff hivyo basi hii Team ilitumia tu uungwana kukubaliana na maamzi ya refari lakini walitakiwa wasusie game yaani waseme hakuna umuhimu wa kuendelea kucheza.
    Kwa nini nayasema haya?mpira wa kirafiki ambao hautambuliwi na shirikisho la soka fifa au tff yaani haupo kwenye kalenda yeyote ile mara nyingi inatakiwa marefari wanaochezesha mpira ule basi wawe waungwana wa kutumia kuonya wachezaji nasio kutoa Red Card inayoweza kuharibu ladha ya mpira lakini yote ya yote Yanga wameonesha combination nzuri na sasa goja tusubiri ligi ianze ili tuone zaidi.

    • @yassinhassan7288
      @yassinhassan7288 4 роки тому +1

      Umeeandika maandishi malefu chaa jabu bado na baki na maswal kwaiyo kwasababu mech ya kilafiki mtu akikosea aazibiwe kilafiki we uwon kama watu wengi wanamuangalia uyu muamuz

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 роки тому

      @@yassinhassan7288 anajua bas anacho ongea, siwale waropokaji au ujawazoea ndug yngu

    • @allymngwaya1369
      @allymngwaya1369 4 роки тому

      Labda hufahamu mpira. Mechi ikianza kichezwa inaongozwa na sheria 17 za FIFA kwa hiyo hata kama friendly match lazima izingatie sheria zote

    • @johanneskayanda7260
      @johanneskayanda7260 4 роки тому

      Akili yako haiko sawa mpira ni mpira Shelia zote 17 zinafuatwa kweli we kaoge maji ya nazi iliyo oza akili italudi

    • @gabrielisack7786
      @gabrielisack7786 4 роки тому

      @@yassinhassan7288 unaelewa nini kuhusu adhabu?sheria 17 za soka zinafuatwa na kila team lakini kwenye mchezo wa kirafiki licha ya kufuata sheria 17 lakini refari hana ulazima wa kutoa red card na kama huamini ninachokiongea basi fuatilia game zote ambazo hazikuwa registered kwenye fifa au tff halafu uone kama kuna red card ilitolewa zaidi ya kuonywa kwa maneno tu,refari wa mchezo wa Yanga hana taaluma maana alistahili kutoa adhabu nyingine nasio alivyofanya.

  • @nurukapoja4524
    @nurukapoja4524 4 роки тому +1

    Roho yakeee muhimu hahaha hi ndo yanga

  • @BikeyhSaiboytz
    @BikeyhSaiboytz 4 роки тому

    Amejitaidi

  • @wilsonshija3456
    @wilsonshija3456 4 роки тому

    Xaw

  • @shabanimagitah9546
    @shabanimagitah9546 4 роки тому

    Bongo la striker.

  • @didakta7011
    @didakta7011 4 роки тому +1

    Ndo sababu hamna referee wa Tanzania katika CAF na michuano yao

    • @ahmadsalim4417
      @ahmadsalim4417 4 роки тому +1

      Kwahyo apo ww ulitaka afanye nn?

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 4 роки тому +1

      Umefata nini huku mkia wewe

    • @didakta7011
      @didakta7011 4 роки тому

      Mchezo wa kirafiki haifai kadi nyekundu kwani si mashindano

    • @mwalimfikirini9204
      @mwalimfikirini9204 4 роки тому

      @@didakta7011 kakwambia nan kama baadh ya sheria za mpira hazitumiki kwenye frend match achen ushabik wa kishamba kwan lazma wote mupende football michezo ipo ming

    • @footmobonline
      @footmobonline 4 роки тому

      Watu wasiojua sheria 17 za mpira wanaropokaga tu.
      Kwahiyo friend match haitakiwi kufata sheria, sio?

  • @rtizoonlinetv
    @rtizoonlinetv 4 роки тому +1

    ua-cam.com/video/nuiFTuqdPxM/v-deo.html
    Tazama mashabiki wa Yanga Walivyofunga mtaa

  • @babsheby2964
    @babsheby2964 4 роки тому

    💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @htrseif9346
    @htrseif9346 4 роки тому

    😀😀😀

  • @paulchamba6768
    @paulchamba6768 4 роки тому

    Wanaojua mpira Kama washabiki wa Simba ni lazima waogope saanaaa maana hwa wachezaji wa YANGA wakikaa pamoja ndani ya miezi miwili tu Basi hawatashikika tenaaa

    • @otmarykiowi4132
      @otmarykiowi4132 4 роки тому +2

      Wakati wanakaa hiyo miezi 2 wengine watakuwa wamelala?

    • @paulchamba6768
      @paulchamba6768 4 роки тому +2

      @@otmarykiowi4132 hawatakuwa wamelala na kwa mtazamo wangu mpaka sasa Simba wanakikosi Bora kuliko YANGA ila baada ya wachezaji wa YANGA kuzoeana ubora wa YANGA utazidi ule wa Simba.....ni mtazamo wangu tu......nawe pia uwe huru kuwa na mtazamo wako ili baadae tuje kuulizana Nani alikuwa na mtazamo sahihi uliomletea majibu sahihi ya kikosi Bora......

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 роки тому

      @@paulchamba6768 kwa hio unajipa moyo😆

  • @jackisonmasawa6340
    @jackisonmasawa6340 4 роки тому

    Jackison

  • @Vinsportshd
    @Vinsportshd 4 роки тому +1

    Kweli yanga Hamna kitu,
    jamaa wamepewa kadi nyekundu mapema eti mnashinda goli mbili tu.... Simba Baba laooooo......

    • @abubakarnabahani4994
      @abubakarnabahani4994 4 роки тому

      Mkikutana na sisi ndio mtatutambua

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 роки тому +1

      Nyoookoooooolinyooooo keng wew wivu tu

    • @solemba595
      @solemba595 4 роки тому

      @Daniel Kulyama unajua sheria 17 za soka? Ukipewa kadi za njano mbili inakuwaje? Usiongelee kiushabiki Kabla ya kuwa na elimu na unachosema, kujifunza sio Dhambi rudi darasani.

    • @zahordinjakobo4978
      @zahordinjakobo4978 4 роки тому

      Hili cyo bonanza mama weeee

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 роки тому

      @@solemba595 elimu yenywewe anayo basi

  • @fatumakiondo4060
    @fatumakiondo4060 4 роки тому

    Calos karinyo

  • @graphilo6849
    @graphilo6849 4 роки тому +3

    WELCOME TO
    UNITED VAN DE BEEK
    ua-cam.com/video/sG00ItWqKkY/v-deo.html

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 роки тому

    Itakufurahisha hii hapa👇
    ua-cam.com/video/3nxmUvZawZw/v-deo.html
    toa comment yako baada ya kuangalia

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 4 роки тому

    Mmebebwa

  • @djmarkmadvd1615
    @djmarkmadvd1615 4 роки тому +1

    xxx

  • @gracekavishe8251
    @gracekavishe8251 4 роки тому

    Dogo sele

  • @alexanderkimbeho1098
    @alexanderkimbeho1098 4 роки тому +1

    Mweeeee hakuna kitu