NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA KABISA KAMA SIO MAZUNGUMZO YANAYOKUA YANAENDELEA WAKATI HUO BASI MSINGEWEZA KUPATA IYO LADHA YA MZIKI MNAYOISIKIA KWAIYO WANAOWATUMA COMMENT KWAMBA NI AIBU HAWAJUI WANACHOKISEMA
😅Nauwa wanataniana umo nakutukana umo ukikuta wako zoezi wako makini ila wakianza utani umo unaweza kucheka laiv niwatu makini na wataalam sana nawanaongeaga matani umo mtu akikosea kipande chake maana kila mmoja anakipande chake naizo maik na edifoni wanasikiana wao TU wanamzik
Very very nice music arrangement
Sir, I like the way you play piano. I have to follow you. May be I should learn from you something.
hii channel naweka on notifications aloo..haya mambo n yanguu😂😂
MD mic ,hapo bdo hamjasikiliza maongezi ya wanamzik hayo ni ya staha tu ila kinachoendelea umo ndani ni 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Safi, nawapenda sana!
AMEN AMEN
thabita sas hajafika kutambulisha shangilienii🤓🤓👀
Mbna ni vitu vya kawaida sana
Aseee
Hiyo mbona IPo kitambo Sana jmn
NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA KABISA KAMA SIO MAZUNGUMZO YANAYOKUA YANAENDELEA WAKATI HUO BASI MSINGEWEZA KUPATA IYO LADHA YA MZIKI MNAYOISIKIA KWAIYO WANAOWATUMA COMMENT KWAMBA NI AIBU HAWAJUI WANACHOKISEMA
Wengine hawajui mziki ndio maana usiwalaumu
Me ntafka huku
😅Nauwa wanataniana umo nakutukana umo ukikuta wako zoezi wako makini ila wakianza utani umo unaweza kucheka laiv niwatu makini na wataalam sana nawanaongeaga matani umo mtu akikosea kipande chake maana kila mmoja anakipande chake naizo maik na edifoni wanasikiana wao TU wanamzik
Pianist nyuma ya musicians!!?? 😂😂
😂😂😂😂