ASLAY AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU KUMPIGA MZAZI MWENZIWE/KILA KITU AWEKA HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @halimaally7252
    @halimaally7252 4 роки тому

    Tunakuwamini kaka mungu yupo pamoja na ww

  • @tiffanynestory3219
    @tiffanynestory3219 4 роки тому +4

    kwn alikuwa hajui km Asley ana mwanamke mwingine yeye alikubalije kuingilia mapenz ya tessy .aliona mwenzake anafaidi sanaee haya ndo matokeo yake sasa

  • @amanfresh6275
    @amanfresh6275 4 роки тому

    Wanaume Achen kutudhalilisha jmn cyo kwamba tunapomizalia hatunakazi za kufanya ila tunamiwekea heshma tu

  • @makayunisali1772
    @makayunisali1772 4 роки тому

    Twakuamini Aslay.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 роки тому +3

    Huu ujinga ndio maana hata ndoa itakua ngumu

  • @nissispuppies5990
    @nissispuppies5990 4 роки тому +2

    Aslay is innocent

    • @rozmihambo1935
      @rozmihambo1935 4 роки тому

      Sonia ni mpubavu huwezi ukadaganya na watu kwa mambo ya kipuuzi hao wanakutakia mabaya hawakutakii mema

  • @khaithamrubea5109
    @khaithamrubea5109 4 роки тому +8

    Wanawake tunafel apo kupenda mastar halafu naww unajiona umewini tena ukiimbiwa baby bac tuliza yako nafsi uwache utoto bc tuende na wakat unapata sifa unazidi kumchanulia sasa izo ndo hasara yake

  • @tumainpeter3805
    @tumainpeter3805 4 роки тому

    Jamani walivyotanuana miguu huko hatujaona sahiz ndo mnatuonyesha huo upuuzi pambaneni na hali zenu

  • @hossanamtega5194
    @hossanamtega5194 4 роки тому

    Kwel kuna watu Wana penda USTA kwel msimuone asly

  • @fridahmalusi8958
    @fridahmalusi8958 4 роки тому

    Tabia mbovu hizo wafaa kutunza ndamu yako, bona wakipeana mapenzi walikuwa wanafurahia, mtoto hata hatia apewe riziki yake, mbona kina mbossa, rayvanny , diamond huwa hatusikiangi ety wana ugomvi , wanaume tafadhi rakebisheni mienendo, sababu watu wako na mapeni huwa mwanyanyasa maskini pia kuanya be careful

  • @shahidhassani5986
    @shahidhassani5986 4 роки тому

    Aya sasa makafir nyotee watoto wenu waongo mmesikia nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fatumajohn5015
    @fatumajohn5015 4 роки тому

    Jamani were dada

  • @dayanapaschal753
    @dayanapaschal753 4 роки тому +1

    ebu aache kujitetea apa atoe huduma

  • @matindematikuukosawaatanyo3861
    @matindematikuukosawaatanyo3861 4 роки тому +1

    Huyo mwanamke ni bwa kweli

    • @jenirajabu4705
      @jenirajabu4705 4 роки тому +1

      Usiingilie kitu kama haikuhusu mpenzi yaacheni kama yalivyo

  • @subiraahmady5860
    @subiraahmady5860 4 роки тому +1

    Amemchafua tu

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 4 роки тому

    Hajatwambia kua mtt atamshuhulikia au hapana kiufupi mtt tu ashuhulikie tu

  • @qweennjuma6734
    @qweennjuma6734 4 роки тому

    Wivu

  • @naomibless5539
    @naomibless5539 4 роки тому

    L

  • @zafaranjuma3276
    @zafaranjuma3276 4 роки тому

    Kamakweli hakumpinga huyomwanamke nimjinga kweli anapatafaidangani sasakufanyahivo huyomtoto anakuwa histolia hii akiikuta atajisikiaje yeye ni mama aweanafanya vitu anamwangalia namwanae huko badaeeee

    • @khadijazahor4722
      @khadijazahor4722 4 роки тому

      Ww bb mtt umempiga sema sababu anakupenda anakutetea ila co vzr mtunze mwanao