MAKOSA 12 YA KUEPUKA UNAPOFANYA BIASHARA MTANDAONI ILI UFANIKIWE | Victor Mwambene.
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. AKILI YA FEDHA.
3. NGUVU YA KUJUA.
Ubarikiwa mentor
Asante bro umetupatia madini Buree kabisa
Barikiwa sana, mwalimu❤
Km upo mbali na dar salaam unakipataje kitambu
Big up brother
Sure
Kitabu kimoja shingapi, alaf na mikoani mnatuma?
Duka like sehemu gani?
Asante kwa somo mwalim