ANGEL BERNARD AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU KUHAMIA MAREKANI,ALIVYOOKOKA,WIMBO WAKE MPYA,CORONA
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- ANGEL BERNARD AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU KUHAMIA MAREKANI,ALIVYOOKOKA,WIMBO WAKE MPYA,CORONA
#AngelBernard #SoundOfGospel
Sawa mtumishi wa mungu
Very exited with this interview specifically people are suffering but finally they won race
May God bless you all
Mtoto wa tano una mwili mzuri
Ooh! My godness! Kurape tena!
Ameeeen Ameeeen
Waoooh
Vp kwa nn umeachana na mumeo Engel
Huyu angel kiboko anaongea kwa upole kaenda huko kamuacha mume wake kampata mwingine huko dah Mungu atusaidie sana
Kuachana na mme ni issue ambayo Mungu atasimama kurarua mhusika kama mkishindwa kulinda agano olewenu na uzao wenu maana shetani alishinda kuwagawa ila chui lakini katk toba km ikojehapo
Rap bwn,hiyo nyingine ni mbaya😢
Mmh mtangazaji sio rape ni Raaap kah😢😅😅
Yaani kha! Amashindwa kutofautisha hilo neno
Huyu "mtangazaji" hajui kutofautisha matamshi "ume- rape"!!
"tupe full style kidogo"
Sina uhakika kama alikuwa anaelewa alichokuwa ana kitamka.
Nimestuka but watu wake wa krb watamsaidia kuelewa😂😂😂