RAMADHAN MBWADUKE ATHIBITISHA KWA TAKWIMU YANGA KUWA NAMBA TANO BORA BARANI AFRIKA DATA HIZI HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • #livestreaming #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl
    The Official UA-cam Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)
    Booking : jrmtitatv@gmail.com
    Contact : +255 747 384 250

КОМЕНТАРІ • 50

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 Рік тому +8

    nakubali ila game za.mwaka jana tofauti na mwaka huu
    wakaze tuu wasiangalie historia

  • @Anethelisha
    @Anethelisha Рік тому +6

    Big up

  • @Thiago-h9r1p
    @Thiago-h9r1p Рік тому +6

    Nimekulewa sana mzee wangu big up sana, makolo kaeni kimya

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 4 місяці тому

      Nan kasema we utopolo we 13 mjidnya

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt Рік тому +5

    Umemaliza mzee wangu hapo washaelewa

  • @NgunoSangano-j2q
    @NgunoSangano-j2q 4 місяці тому

    Mbwaduke uko good nakuelewaga sana

  • @abdullahtiphsaidy6605
    @abdullahtiphsaidy6605 Рік тому +7

    Ramadhani noma sana Kwa takwimu🔥🔥🔥

  • @williamkabulwa9106
    @williamkabulwa9106 4 місяці тому

    Yanga ya sasa ni noma tukubali tu tuache ubabaishaji Gamondi hongera sana pamoja na benchi la ufundi

  • @SamsonMaige-v1l
    @SamsonMaige-v1l 4 місяці тому

    Hongera Sana Mzee wa data nakupata vizr nipo igunga tabora

    • @dulapele7868
      @dulapele7868 4 місяці тому

      nimefirah kutajwa nyumban wete pemba 🙏

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Рік тому +15

    Hizo takwimu ndizo zinawatisha sana akina MWAKAROBO, kwamba wakijivuruga kwenye champions League,wakaishia robo fainali,na mwananchi akavuka hatua hiyo ,ule ukubwa feki na kale ka rank ka CAF wanakojivunia,katabutuliwa ! Na ndio utakuwa mwosho wa kelele za ukubwa feki,na ukweli ni kwamba,madu " Siku zao zinahesabika" hilo linakwenda kutokea punde tu.

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 4 місяці тому

      Yani ww nimjinga simba huwezi kumpita yan ww mwisho wako makundi

  • @EmmanuelMrimi-v1r
    @EmmanuelMrimi-v1r 4 місяці тому

    Yanga bingwa

  • @HassanNgota-b5o
    @HassanNgota-b5o 3 місяці тому +1

    Hajawai yanga kuwa ya tano ,tangu nimezaliwa mchambuzi wang nimekuelewa

  • @patricetworokiburi
    @patricetworokiburi Рік тому +3

    Ujawai kusema uongo mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 Рік тому +5

    Data zimejaa

  • @DenisChibaibai
    @DenisChibaibai 4 місяці тому

    Sawa yanga ipo juu

  • @NurdinKea
    @NurdinKea 20 днів тому

    Nakukunaki mbanduke unajuwa kuchambua

  • @husseinmgalula5864
    @husseinmgalula5864 4 місяці тому

    Bro unajua sana sio wale wachambuzi uchwara

  • @albertmbogela5123
    @albertmbogela5123 12 днів тому

    Wambie makolo wamekalia ubishi

  • @TatioPhil4
    @TatioPhil4 4 місяці тому +1

    Uyu mzee apewe maua yake nimchambuz machachali

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 4 місяці тому

    1998 yanga ilikuwa nafasi ya name barani Africa

  • @AshiraphShaph-bd2yo
    @AshiraphShaph-bd2yo Рік тому +1

    We ni chambuz la DATA

  • @Gaddaf67
    @Gaddaf67 20 днів тому

    ndo nn sasa musonda anarukaruka tu aha 😢 nabadilisha mfumo na mm naama

  • @GetrudasamsonSengerema-he7ob
    @GetrudasamsonSengerema-he7ob 16 днів тому

    KISUGU nasemaji WAKO Tulieni hivyohivyo sumuisambaeeehaaa Yanga timu kubws babuuuu

  • @filibetifilibeti534
    @filibetifilibeti534 22 дні тому

    mzee unafeli kumbuka ulisema simba anapoint 39 na yanga anapoint 31 sasa mbona unabadirika kimaelezo

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 Рік тому +4

    Unahoji mtu na unachat unaboa,jaribu kushirikiana na unayemhoji Fala sana

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Рік тому

    Mbwaduke unatakiwa kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli kama akina MLAMBO. Waandishi wa kibongo ni wa mchongo na wanazi wa Yanga na Mikolo!

  • @GetrudasamsonSengerema-he7ob
    @GetrudasamsonSengerema-he7ob 16 днів тому

    Mkubwa hawa kolooo tukiwaambia hawajasoma wanatubishia sana, Nyiekolooo nyiemabutu mmesikia yanga ilivyo naviwango vyajuuuu haaaaa

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e Рік тому +4

    Kinamwakarobo nimaumivu kwakwendambeleeeeee😅😀😀

    • @sailoo5722
      @sailoo5722 Рік тому

      Inamaana kunauwezekano yanga ikatangazwa club bora barani afrika kwa hizi takwimu

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 Рік тому

      Hizo ni takwimu za mwaka mmoja tu msifikiri kwa mmoja tu huo mtakuwa mmefika tulikofika baada ya kuvuja jasho kwa miaka mitano

    • @LuciaMagari-h8o
      @LuciaMagari-h8o 4 місяці тому

      Takwim za mwaka mmjaznakarbiana na za miaka m5 w huogop?!!!!​@@davidsimbeye1548

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda Рік тому

    Upo Sawa umemaliza utata atakae bisha mgonjwa

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 Рік тому

    Hiyo tuzo ya club

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 Рік тому +3

    Haijawi kutokea tangu Yanga izaliwe ila sasa tu

  • @JACKOBJULIUS
    @JACKOBJULIUS Рік тому

    N❤

  • @Dainesskisesa
    @Dainesskisesa 4 місяці тому

    Mzee wangu hawa waandish kama huyu mpumbav anae kuhoji achana nao wanakuvurugia utash wako jitu Lina chati linaitikia tu eee ee halielewi chochote

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Рік тому

    Simba ya 14. Wanaolia lia ni simba

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 4 місяці тому

      We unaota kweli utopolo 13 simba 7 hy ni kujifariji namwisho wen makundi

  • @markosabale3839
    @markosabale3839 Рік тому +1

    Hats Bunere tunaangalia mechi zote za ligi tuko kijijini kweli wilaya ya bunda Kama Kuna mtu mwenye akili timamu hawezi kupinga takwimu hizo hongera Mr data

  • @abdullaothman5728
    @abdullaothman5728 Рік тому +1

    wanasubiri uchambuzi wa hovyo wa oscar kolo

  • @lupakisyomwambete1954
    @lupakisyomwambete1954 Рік тому

    Na nselya kwetu tukuyu live nimekupata ilivyo

  • @petertungulu650
    @petertungulu650 Рік тому +2

    Mbona ulikua unakataa? Dawa inawaingia polepóle. Sasa ulikua unakataa tuambie Simba uliyokua unasema ipo juu ya Yanga @ Mbwaduke

  • @Michaelondugu-ut6kc
    @Michaelondugu-ut6kc Рік тому

    Vilabu5bora,barani,afirika

  • @petertungulu650
    @petertungulu650 Рік тому +2

    Wakati kolo anatolewa na UD songo, yanga alitolewa shirikisho makundi. Unasemaje alipata point 0??

    • @tzmpya9903
      @tzmpya9903 Рік тому +1

      Elewa kinachoelezwa. Yanga makundi shirikisho CAF ilikuwa msimu wa 2018 ambao haupo ndani ya 5 seasons zinazopigiwa mahesabu.

  • @charlesaugustine7701
    @charlesaugustine7701 Рік тому

    Huyo mwanahabari hafai kuhoji watu kama wewe,Hana uwezo.