Focus Digito TV
Focus Digito TV
  • 640
  • 1 489 812
DC Kheri James Akagua Miradi, Asikiliza na Kutatua Kero za Wananchi Isimani - Iringa
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James amefanya ziara yake ya kikazi katika Tarafa ya Isimani iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Iringa kwa lengo la kuhamasisha shughui za maendeleo, kukagua hali ya utoaji huduma za jamii (Afya, Elimu, Maji na Umeme), kukagua hatua iliyofikiwa katika ujenzi na uboreshaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kufanya mkutano wa hadhara kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua kero na changamoto zao.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV
Переглядів: 41

Відео

Misaada ya Hivi Sio ya Kupokea | DC Kheri James Ateta na Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Iringa
Переглядів 1614 години тому
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Yatakiwa kutanguliza Uzalendo na mapenzi kwa Taifa na Watu wake ili Kuhakikisha misaada inayopokelewa kutoka kwa wafadhili (Sponsors) wa nchi za nje kwa ajili ya Watanzania inaendana na Utamaduni wa Kitanzania na inalinda utu wa mtu binafsi. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James alipokuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Jukwaa la Mashirika yasi...
DC Kheri James: Fanyeni Ziara za Kuwasikiliza Wananchi Kwenye Mitaa na Vijiji
Переглядів 174 години тому
Mkuu wa wilaya ya Iringa Kheri James amewaagiza viongozi wa Serikali kuanzia ngazi ya Tarafa, Kata, Mtaa na Vijiji mpaka Vitongoji kuhakikisha wanafanya ziara za Kuwasikiliza Wananchi, kuhamasisha shughuli za maendeleo, kukagua hali ya huduma za kijamii na utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku...
DC Kheri James Aziagiza Halmashauri za Iringa Kushughulikia Kero na Migogoro ya Ardhi Mjini-Vijijini
Переглядів 259 годин тому
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Kheri James, amewaagiza na kuwasisitiza Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Watendaji pamoja na Wakuu wa Idara za Ardhi na Sheria kuhakikisha wanaweka na kusimamia mpango bora wa usimamizi wa Ardhi, kufuatilia na kushughulikia kikamilifu kero na migogoro ya Ardhi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) il...
Maagizo ya RC Makonda Alipowasili Uwanja wa Ndege Arusha Agosti 16, 2024
Переглядів 7712 годин тому
Baada ya Ukimya wa Takribani siku 32, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amerudi kazini akianza na agizo la kukamilika haraka kwa ujenzi wa jengo la abiria kwenye uwanja wa ndege wa Arusha (Kisongo) ili kuwezesha jengo hilo kuanza kufanya kazi ifikapo Septemba 01, 2024 ambapo pia ameagiza ameagiza kutumika kwa teknolojia katika utoaji wa huduma kwa abiria wanaotumia uwanja huo pamoja...
DC Kheri James Akagua Miradi, Asikiliza Kero za Wananchi Mlolo-Iringa "Wananchi Wasichangishwe"
Переглядів 3912 годин тому
Katika harakati za kuijenga Iringa Imara, Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, amefanya ziara yake ya Kikazi kukagua hali ya utoaji huduma za Afya na Elimu, kukagua utekelezaji na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa miradi na kuhamasisha Shughuli za maendeleo katika kata zilizopo ndani ya Tarafa ya Mlolo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa pamoja na kufanya mkutano wa hadhara kuzungumza na ...
DC Kheri James Afungua Mafunzo ya Jeshi la Akiba | Asema Serikali itawazingatia Vijana Wenye Mafunzo
Переглядів 11714 годин тому
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James kwenye Ufunguzi wa Mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba (Mgambo) katika kijiji cha Igangidug'u kata ya Kihanga Tarafa ya Kiponzero wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV ...
Jionee mafunzo Mgambo wa Kijiji Wakipigwa Kozi Kijeshi Jeshi
Переглядів 25414 годин тому
Balaa la Mafunzo ya Mgambo wa Kijiji. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments. #FocusDigitoTV .................. Tufuatilie Zaidi kupitia: IN...
Mkulima Mwekezaji Aiomba Serikali Kufikisha Umeme Kwenye Mashamba Yake Kijijini Lyamgungwe - Iringa
Переглядів 25914 годин тому
Mtanzania amabye ni mkulima na mwekezaji katika sekta ya kilimo anayefahamika kwa jina la Richo Aloyce Mahondo mkazi wa kijiji cha Lyamgungwe kata ya Lyamgungwe wilaya ya Iringa mkoani Iringa, ameiomba Serikali ya wilaya na mkoa wa Iringa kumsaidia kufikisha huduma ya Umeme katika eneo lake lenye mashamba makubwa ya kilimo na nyumba za kuishi yeye na wafanyakazi wake. Mkulima huyo ambaye ametoa...
DC Kheri James Akagua Miradi, Asikiliza na Kutatua Kero za Wananchi Pawaga Iringa
Переглядів 7416 годин тому
Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, kukagua hatua iliyofikiwa na hali ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Tarafa ya Pawaga iliyopo ndani ya Wilaya ya Iringa pamoja na kufanya mkutano wa hadhara kuzungumza na wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitafutia majibu, ufumbuzi na utatuzi kwa lengo la kuijenga Iringa Imara inayompa nafasi na fursa kila mwananchi kujiinua na kujiimar...
Polisi Washitukiza Upimaji Ulevi kwa Madereva wa Mabasi na Malori Iringa
Переглядів 28916 годин тому
Askari wa Usalama Barabarani mkoa wa Iringa wamefanya zoezi la kushitukiza la kupima kiwango cha ulevi kwa madereva wa mabasi ya abiria na malori ya mizigo katika barabara kuu ya Iringa inayotokea Morogoro kuelekea Mbeya na Njombe. Zoezi hilo likiongozwa na Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, SP Glory Mtui limefanyika usiku wa Agosti 13, 2024 katika Barabara Kuu ya Iringa inayotokea Moro...
Polisi Washitukia Mchongo Watoa Tamko Zito Kudhibiti Nia ya Vijana wa CHADEMA Mbeya
Переглядів 1,7 тис.День тому
Kamishna Awadh wa Jeshi la Polisi Tanzania amenukuliwa akisema “Viongozi wa CHADEMA wameendelea kutoa kauli ambazo hazioneshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya Vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, miongoni mwa kauli hizo ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya” “Naomba ninukuu “kama kijana yey...
Vijana wa CHADEMA Wafunguka Baada ya Kupigwa STOP na Polisi Iringa Wakielekea Mbeya
Переглядів 5 тис.День тому
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limezuia kuendelea kwa Safari ya kuelekea Mbeya ya Vijana ambao ni wanachama wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (BAVICHA). Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you w...
Jionee Zawadi Zilivyomiminwa Kwa Asas akiwa Iringa Mjini
Переглядів 82День тому
Jionee Zawadi Zilivyomiminwa Kwa Asas akiwa Iringa Mjini
Asas Hataki Mchezo | Awarudisha Shule Viongozi wa CCM | Apiga Hotuba ya Kisomi|Umwinyi Mwingi Iringa
Переглядів 97День тому
Asas Hataki Mchezo | Awarudisha Shule Viongozi wa CCM | Apiga Hotuba ya Kisomi|Umwinyi Mwingi Iringa
Barabara ya ByPass Kujengwa Iringa Kupitia Kihesa Mpaka Igumbilo | Asas Aeleza Mikakati
Переглядів 276День тому
Barabara ya ByPass Kujengwa Iringa Kupitia Kihesa Mpaka Igumbilo | Asas Aeleza Mikakati
Katibu Mpya wa Wazazi CCM Iringa Mjini Atambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James
Переглядів 205День тому
Katibu Mpya wa Wazazi CCM Iringa Mjini Atambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James
Povu la Dickson Mwipopo kwa Wanawake Wanaokwepa Malezi ya Watoto | Ahimiza Uwazi na Umoja
Переглядів 6914 днів тому
Povu la Dickson Mwipopo kwa Wanawake Wanaokwepa Malezi ya Watoto | Ahimiza Uwazi na Umoja
Neema Mpya Yamshukia Maria Ngoda Aliyepona Kifungo cha Miaka 22 Jela Kisa Nyama ya Swala
Переглядів 89614 днів тому
Neema Mpya Yamshukia Maria Ngoda Aliyepona Kifungo cha Miaka 22 Jela Kisa Nyama ya Swala
Ajali ya Lori la Mafuta na Crane yakwamisha Magari 300 Kuendelea na Safari Morogoro-Iringa
Переглядів 2,9 тис.14 днів тому
Ajali ya Lori la Mafuta na Crane yakwamisha Magari 300 Kuendelea na Safari Morogoro-Iringa
Aidan Mlawa akiwa Dar es Salaam | Uzinduzi wa Album ya Kwaya Kanisa la EAGT Mlima wa Faraja
Переглядів 18414 днів тому
Aidan Mlawa akiwa Dar es Salaam | Uzinduzi wa Album ya Kwaya Kanisa la EAGT Mlima wa Faraja
Cheka Afya Yaanza Rasmi Kusaka Vipaji vya Wachekeshaji Iringa
Переглядів 3114 днів тому
Cheka Afya Yaanza Rasmi Kusaka Vipaji vya Wachekeshaji Iringa
Chuo Kikuu cha Iringa Kinatangaza Nafasi za Masomo Mwaka 2024/2025, Jiunge Sasa Udahili Unaendelea
Переглядів 6421 день тому
Chuo Kikuu cha Iringa Kinatangaza Nafasi za Masomo Mwaka 2024/2025, Jiunge Sasa Udahili Unaendelea
Kishindo cha Aidan Mlawa Kilolo | Ng'ombe na Mbuzi Zatolewa "Hakuna Pesa ya Uchawi, Mungu Kwanza"
Переглядів 14421 день тому
Kishindo cha Aidan Mlawa Kilolo | Ng'ombe na Mbuzi Zatolewa "Hakuna Pesa ya Uchawi, Mungu Kwanza"
Watoto Shuleni Kwangu wananipenda kuliko Wazazi wao - Mkurugenzi Real Hope Schools
Переглядів 4721 день тому
Watoto Shuleni Kwangu wananipenda kuliko Wazazi wao - Mkurugenzi Real Hope Schools
Mko bize na Kazi na Siasa Watoto Wanaibiwa Wanapotea maadili yameporomoka|Mwipopo Aongea kwa Uchungu
Переглядів 8221 день тому
Mko bize na Kazi na Siasa Watoto Wanaibiwa Wanapotea maadili yameporomoka|Mwipopo Aongea kwa Uchungu
Mwipopo Aichangia Vinono Jumuiya ya Wazazi Iringa Vijijini | Ateta nao Kuelekea Uchaguzi 2024/25
Переглядів 6121 день тому
Mwipopo Aichangia Vinono Jumuiya ya Wazazi Iringa Vijijini | Ateta nao Kuelekea Uchaguzi 2024/25
Utashangaa! Usiyoyafahamu Kuhusu Imani ya Rastafarian | Nguvu ya Nywere na Yaliyojificha Kiimani
Переглядів 27021 день тому
Utashangaa! Usiyoyafahamu Kuhusu Imani ya Rastafarian | Nguvu ya Nywere na Yaliyojificha Kiimani
Kijana Dereva wa Lori Afariki Kwenye Ajali akiwa Kenya Kikazi | Boss wake Aongea kwa Uchungu Msibani
Переглядів 1,7 тис.21 день тому
Kijana Dereva wa Lori Afariki Kwenye Ajali akiwa Kenya Kikazi | Boss wake Aongea kwa Uchungu Msibani
Mwenezi Ryata Aunguruma Mafinga Awaeleza Wananchi Kazi Zinazofanywa na Rais Samia Kuleta Maendeleo
Переглядів 31628 днів тому
Mwenezi Ryata Aunguruma Mafinga Awaeleza Wananchi Kazi Zinazofanywa na Rais Samia Kuleta Maendeleo

КОМЕНТАРІ

  • @RehemaMichael-k9x
    @RehemaMichael-k9x День тому

    Nakupenda mama yangu

  • @JeremiahMugeta
    @JeremiahMugeta 3 дні тому

    Huna lolote wew kichwa cha mwenda wazimu2 lissu ni kiboko yenu,wew una sheria ya ccm sio ya darasani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дні тому

    Kweli nyama ya swala inamfunga Maria miaka 22 mbona wa CAG WEZI HAO HAWAJAFUNGWA

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дні тому

    Poke mama yangu hukumu yako kiboko Mungu atakusaidia

  • @DaudMwanrdy
    @DaudMwanrdy 4 дні тому

    Futeni maana munawanyanyasa

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 4 дні тому

    Hovyoo

  • @RashidAbdullahi-i9s
    @RashidAbdullahi-i9s 5 днів тому

    Wa iringa jiwe la myororo ni gani ? Na taka ufanuzi kotoka kwa wa iringa

  • @RashidAbdullahi-i9s
    @RashidAbdullahi-i9s 5 днів тому

    Wakati nilikuwa mtoto tulikuwa tuna juwa jiwe la myororo

  • @OlekitamwasMokotio
    @OlekitamwasMokotio 5 днів тому

    Ww nimalaya musehe Haina loloke ccm nini

  • @SamsonMyamba-hy9eo
    @SamsonMyamba-hy9eo 5 днів тому

    Ccm oyeeeee

  • @edigamc6000
    @edigamc6000 5 днів тому

    Inaumiza sana

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 5 днів тому

    Vyama hivi viko kisheria na baba wa taifa aliruhusu hata mtoto wake alikuwa mbunge wa Arusha kupitia demokrasia hii

  • @MasatuKamoga
    @MasatuKamoga 5 днів тому

    Hongera sana anapaswa kusaidiwa

  • @RECODEFamily
    @RECODEFamily 6 днів тому

    Shida sio mafunzo shida ni ajira tu

  • @HafidhiMwangamwela
    @HafidhiMwangamwela 6 днів тому

    Sana

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 днів тому

    Mwisho wa UDIKTETA wa ccm na mapolisi wake.

  • @Maxwel-z9e
    @Maxwel-z9e 7 днів тому

    Tanzania hoyee 😢😢😢😢😢😢

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v 7 днів тому

    Hicho kipimo wote wanaweka mdomoni vipi kuhusu afya ?

    • @focusdigitotv
      @focusdigitotv 7 днів тому

      Mrija wa kupulizia unatumika Mara moja tu,

  • @VanessaDaudy
    @VanessaDaudy 7 днів тому

    Nawapenda sanaa nachek mwenyew

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 7 днів тому

    TAPELI LA KISIASA

  • @Ommyblacktz13
    @Ommyblacktz13 7 днів тому

    Mchumia tumbo huyooo😂😂😂

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 8 днів тому

    Wenapiga punyeto yanga jamani

  • @user-xo4do5iu2w
    @user-xo4do5iu2w 8 днів тому

    Mungu awajalie mzidi kupendan

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 8 днів тому

    🎉❤❤❤😂😂😂

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 днів тому

    Why are you so stupid

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 9 днів тому

    Hivi hawana familia zao wakae na familia zao kila siku barabarani labda hawa ni,,?

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 9 днів тому

    Hongereni police lindeni amani tunawashukuru sana

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 9 днів тому

    Hongera asikali Mkosahihi Wanatoa rugha chafu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 днів тому

    Huwashughulikii kwa mujibu wa sheria. Katiba inaruhusu wewe ni zaidi ya katiba?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 днів тому

    Mnatesa watanganyika utakaa polisi mpaka mwisho wa Dunia? Utaishi polisi sisi wanainchi tunamlilia Mungu atawahuzunisha siku moja

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 днів тому

    Sasa kama unataka kuandamana kama huwezi kuarifu watu utaandama peke yako. Hatukubaliani na ninyi polisi. Kwahiyo walianzisha vijana kukusanyika ni wajinga duniani?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 днів тому

    Tunatoa kodi yetu inawalipa mshahara badala y kutulinda mnawatesa kwa kulinda watawala wa CCM

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 днів тому

    Viashiria gani mlivyo viona? Hamna lolote ila ninyi mnania ya kuuwa watu kwa kutetea vyama vyenu

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w 9 днів тому

    Tatzo nini sasa

  • @levispaultitus8623
    @levispaultitus8623 9 днів тому

    Jambo la kiusalama halihusiani na mambo ya vyama vya siasa kuvuruga amani ya nchi yetu kama vyama vya siasa vinashindwa kufanya siasa za kistaraabu zisilete hoja za maandamano yenye uvunjifu WA amani jeshi la polis mko sahihi akionekana mtu barabarani fanyeni kazi yenu.

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 9 днів тому

    Polisi hawajielewi kwa kuwa wanapewa asali halafu wanamkumbatia nyuki bila kujua nyuki ipo saa atawadunga mishale

  • @YangaNews
    @YangaNews 9 днів тому

    Yaani ccm jueni hatuwataki kabisa hilo juenu

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 9 днів тому

    Wewe Kama una double standard.Mbona CCM kupitia jumuia ya wazazi wameandaa michezo ya Mpira wa miguu nchi mzima ili kurubuni vijana kuichagua CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa .Polisi mnapendelea CCM tu.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 9 днів тому

    Na ayo magari yafungiwe.

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 днів тому

    Uongozi wa SAMIA unatia AIBU TAIFA

  • @faustineEdward-t7v
    @faustineEdward-t7v 9 днів тому

    kila kitu kina mwanzo na mwsho hizo n kauli mbaya n kauli za chuki. nyie kama jesh la polisi kaz yenu ni kutoa ulinzi ili hao vijana wandamane watimize haki yao katiba jifunze sudani kwa omary ali bashiri na yy alikua mbabe anatmia nguvu ya dola kuzuia raia was andame lkn mwsho wa cku bashiri na ubabe wake alikubari . nyie kama police walindine ndo kaz yenu ili muone hayo yanayo tkea yatatokea mnatengeneza chuki mbaya sana kat yenu na raia

  • @saumaryhusseyin
    @saumaryhusseyin 9 днів тому

    Tanzania imebadilika saana Aisee wasomi wamekua wengi saana wanajua haki zao ila kunawachache bado awajaamini katika ili bado

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 9 днів тому

    Tulia anahofu Bavicha pambana

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj 9 днів тому

    Akipotea kijana mmoja tunaanza na balozi tunaomba tusifikie huko vijana wawe salama

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 9 днів тому

    Mrogwe mnanini cha kurogewa mnajiroga wenyewe na sanda zenu pumbavu we waacheni watoto wetu wafurahi muda wote mnahic kurogwa kwavile nyie wachawi

  • @LucasRozi
    @LucasRozi 9 днів тому

    Jamani daaaaa.mimi mwanachama wa ccm naamini raisi wangu mama yangu jembe langu awezi kuwashikilia wananchi hivi.mama ao chadema aina haja ya kuafanya ivyo awatuwezi ss chama kubwa

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 9 днів тому

    Nawapenda sana watoto wangu wa yanga mnafuraha ya kutosha mnawaliza makolo

  • @BikoStedi
    @BikoStedi 10 днів тому

    Good bravo

  • @user-gu3ft5ym8p
    @user-gu3ft5ym8p 10 днів тому

    Jmn nawapenda tm yng

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 10 днів тому

    Mwarabu anafaa sana kuwa kiongozi amerelewa huyu nadhani kasoma chuo cha chama kivukoni kingozi sta