MSEMAJI WA VITAL'O AMJIBU ALI KAMWE :YANGA MBOVU SANA TUNAWAFUNGA NJE NDANI HAWATAAMINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 25 днів тому +7

    huyuuuuuu atakimbiaaa leooo mapemaaa tu naee huyuuu piaa ni nguchiluuuu tu😂😂😂

  • @ErickShukran
    @ErickShukran 25 днів тому +1

    Haenezi nimpunguwani wa hakili

  • @RashidiAhmad-ow5fb
    @RashidiAhmad-ow5fb 25 днів тому

    Mbona anapenda sana Historia

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS 25 днів тому +2

    Inawezekana kwa mdomo na Maneno pia.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 25 днів тому +1

    😂😂😂😂jamaaa anafurahisha sana kiukweli

  • @user-bl4th3cf7k
    @user-bl4th3cf7k 25 днів тому +1

    Ushauri wangu kwenu wapinzani wote, kama mgetaka angalau kubahatisha kumfunga Yanga, basi bora mumsifie vizuri Yanga au bora muwe kimya kabisa, Lakini hii midomo yenu hii, aaah! Yanga ataendelea kuwa nyoosha mpaka mseme poo! 😂😂😂 YANGA BINGWA!🎉

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 25 днів тому +2

    Bakisha maneno

  • @AbdulkarimKigarawa
    @AbdulkarimKigarawa 25 днів тому

    Jamaa anaweza

  • @FabianJuma-q8s
    @FabianJuma-q8s 25 днів тому

    Ila kwa kuw nimsemaj, bc ye aongeetu! Ila uwanjan Leo kwake hapatakalika! Kamer man Kaz kwen

  • @user-vh5on8fz8f
    @user-vh5on8fz8f 25 днів тому +2

    Inawezekana kwan yanga nani

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 25 днів тому

    UMEKATA TICKETI ILI UKIMBIE BAADA YA METCHI

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 25 днів тому +1

    Nafikiri Hana akili timamu

  • @FabianJuma-q8s
    @FabianJuma-q8s 25 днів тому

    Yaan huy mrugaruga, ataenda kwako kwa miguu, tim haitambeba

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 25 днів тому

    Yanga mnatakiwa kuwasifia hapo munge weza lakin ivo, mmewachikonoa 5G zinaweza kuwa

  • @jekoniarubeni4609
    @jekoniarubeni4609 25 днів тому

    Nmeskia vibaya au erasto nyoni

  • @ManirakizaallyAlly
    @ManirakizaallyAlly 25 днів тому

    Babwire

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 25 днів тому

    WANANCHI tukutane hapa baada ya dk 90 tuna kikao na huyu poti

  • @AidoJamunjira
    @AidoJamunjira 25 днів тому

    Wee ongeatu😂😂😂😂😂