Kutoka jiji la Nairobi Kenya,kwaya hii ya sauti kutoka changwani imekuwa Masaada kwangu tokea zamani sana. Haza miaka ya corona!. Mbarikiwe sana ndugu zangu kutoka Tanzania.
Nasikitika kwa picha za hao watumishi wa Mungu waliolala mauti!! Namwona Marehemu Marietha, Mambosasa na wengine siwajui majina yao. Walikuwa kama sisi walipokuwa hai, tutakuwa kama wao tutakapofariki dunia. " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe. " (Ayubu 14:1,2) " Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara." Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima. (Zaburi 90:10,12)
Mbarikiwe kwa kazi nzuri mliyofanya tangu zama zile. Huu wimbo umenigusa ni kweli nimeona waimbaji tuliokuwa tunaimba kipindi kile miaka ya 2009 sasa wamekuwa wazee kabisa. Mbarikiwe taji zenu zawangoja mbinguni ombi langu tukutane huko.
Waoooo, Jina la Bwana litukuzwe. Kwanza huyo Mwongozaji wa picha naye apokee zawadi zake za kumtosha Kisha huyo aliyewaandalia mavazi naye apokee zawadi zake nyingi nyingiii. Mwisho pongezi ziwafikie uongozi na waimbaji wenyewe kwa kukubali kushauriwa na kutokelezea kwa mwonekano mpya. Hiyo ni kwaya ya kanisa la nyumbani kwetu naikumbuka sana wakati hata Shinyanga Adventist Choir (SAC) na kwaya ya Jangwani zilikuwa kwaya za kanisa moja miaka hiyo ya 1989 wakati familia yetu ikiwa pamoja kutoka eneo la Kitangili kwa Balozi Kishosha hapo Shinyanga.
Utume Kwanza kqa kweli namshukuru sana Mungu kwa ajili yenu Mwaka 1990 Ni kwaya rasmi kwenye mahafali ya kidato cha nne Shy Bush Nakukumbuka Kaka yangu Joshua, Mambosasa ipo Asubuhi Njema na hao mama zangu Lipo Tumaini Ng'ambo ya Kaburi
Kwa jinsi ninavyowapenda hua nakosa namna ya kuwaeleza kwakweli mpaka watu hua wananiita mjukuu wa jangwani huku nilipo hahahhaha mbarikiwe sanaaaaaa nimefurahi sana huuu utaratibu wa kurusha nyimbo u tube
Nawapenda sana Jangwani❤, Mungu aendelee kuwatunza, muifanye kazi yake vizuri. Ombi langu moja kuna wimbo Mmoja umo kwenye album ya Fuata Biblia unaitwa Nyota za asubuhi, naomba muuweke UA-cam 🙏🏾🙏🏾
Nyimbo zenu zinanibariki Sana naomba Muendeleze kuweka nyimbo zenu UA-cam kwa Sababu ni njia moja Wapo ya Kuhubiri injili mtandaoni na Huku kwenye mitandao ni rahisi Sana kumpata mtu na ujumbe ukamfikia kwa haraka Amina🙏🙏🙏😁
Mbalikiwe sana watu wa Mungu tuendelee kutimiza ndoto za bwana wetu yesu kristo ambazo ni tuwemashahidi ulimwenguni kote.🙏🙏
Kutoka jiji la Nairobi Kenya,kwaya hii ya sauti kutoka changwani imekuwa Masaada kwangu tokea zamani sana. Haza miaka ya corona!. Mbarikiwe sana ndugu zangu kutoka Tanzania.
Am feeling blessings... Nimekubali atuongoze zote tumalishe pambano zote atukujie pmj n awa waimbaji... Amen
Wimbo huu umenibariki sana ,nahisi namuona baba angu mzee benjamin ntegwa na pia nmefurahi kuwaona tena wanajeshi wa mungu. Mungu azidi kuwatia nguvu.
Mungu awabariki sana ipo siku tutaimba pamoja kama Mungu atapend!
Uimbaji wenu ni mzuri sana naupenda sana nafurahi sana ata mwonekeno wenu hakuna ata aliesuka hakika mbarikiwe sana
Mungu wetu awape nguvu na awarinde nyote kwaya hii ya sauti kutoka changwani. Salamu kwenu kutoka hapa Lenana ngong Rd Nairobi Kenya.
Amina wasalimie Wanakenya.
Nawapenda sana Sauti yaJangwani
Wabarikiwe pia naomba namba ya mathiasi makolobela
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Tukiachana na ujumbe mzuri mzito wenye kusisimua mioyo ya waadventista,kingine mlichokifanya kikubwa ni kubiresha video .hongereni sana
Amina Kubwa! Nafurahi kuwaona rafiki zangu! Nimefurahi Kumuona Pr Gadson Jeremiah! Akiimba nanyi! Karibuni tena Mbeya! Karibuni Swebo!!
Bwana akubaruki pia na tuendelee kubarikiwa sote
Nasikitika kwa picha za hao watumishi wa Mungu waliolala mauti!! Namwona Marehemu Marietha, Mambosasa na wengine siwajui majina yao. Walikuwa kama sisi walipokuwa hai, tutakuwa kama wao tutakapofariki dunia.
" Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe. " (Ayubu 14:1,2)
" Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara." Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima. (Zaburi 90:10,12)
Naam tujiandae kwa Maisha ya umilele.
Mbarikiwe sana. Mnanikumbusha mbali sana❤❤
Safi sana Mungu awabariki sana nawapenda Sana
Amen,Bwana atusaidie tumalize pambano kwa ushindi,asanteni sana watumishi wa Bwana
Mbarikiwe sana. Sauti za vifaa vya mziki ziko chini, Maneno yanasikia vzr. Kwa miaka yote mme maintain uimbaji huu. Bwana awainue zaidi.
Amina na Ubarikiwe
Mbarikiwe kwa kazi nzuri mliyofanya tangu zama zile. Huu wimbo umenigusa ni kweli nimeona waimbaji tuliokuwa tunaimba kipindi kile miaka ya 2009 sasa wamekuwa wazee kabisa. Mbarikiwe taji zenu zawangoja mbinguni ombi langu tukutane huko.
Jangwani ❤❤❤❤Nawapenda Sana ,,,, MUNGU na awabariki saaaana Kwa nyimbo zenu nzuri
Amen, Amen, God bless you. Endelea kusifu utukufu wa Mungu
Amina tutaendelea kulitukuza Jina lake Mungu
Mungu awabariki wa Advantiste wakweri ❤,hamufanane na ma choir yengine barakazamungu kwa nyinyi❤
Mwenyezi Mungu azid kuwabarik kwa nyimbo nzur mnazoendelea kuzitoa
May God bless you changwani choir from Tanzania.
From eldoret kenya
Amen.
Barikiweni sana makamanda wa YESU.tunawafuatilia Kwa karibu sana.🤝
Hongereni sana kueneza injili kwa nyimbo. Nawapenda watumishi wa Mungu.
BWANA na Awabariki sana kwa mema. Wafilipi 4:6. Ahsante
Waoh Mungu awazidishie miaka mingi, nawapenda saaaana
Mungu yu mwema,, asantii kwa wimbo mzuri
Jamani. Hatasijui. Niseme Nini nirivuo furahii. MUNGU awape Afya njema
Mungu awabariki watumishi mnatuwakilisha vyema
MUNGU awabariki sana, neeema ya bwana uwe nanyi kw Kaz nzuri
Nawapenda sana sauti ya jangwani mungu awabariki san
Ooooh!! God bless you sons and daughters of heavenly God, watching from Kigali-Rwanda❤❤❤❤
You too brethren may the almighty father bless you
Mungu awabariki sana mwendelee kuihibili injiri
Bwana asifiwe mnavyohubir kwa njia ya nyimbo zenye ujumbe wa siku za mwisho
Waoooo,
Jina la Bwana litukuzwe.
Kwanza huyo Mwongozaji wa picha naye apokee zawadi zake za kumtosha
Kisha huyo aliyewaandalia mavazi naye apokee zawadi zake nyingi nyingiii.
Mwisho pongezi ziwafikie uongozi na waimbaji wenyewe kwa kukubali kushauriwa na kutokelezea kwa mwonekano mpya.
Hiyo ni kwaya ya kanisa la nyumbani kwetu naikumbuka sana wakati hata Shinyanga Adventist Choir (SAC) na kwaya ya Jangwani zilikuwa kwaya za kanisa moja miaka hiyo ya 1989 wakati familia yetu ikiwa pamoja kutoka eneo la Kitangili kwa Balozi Kishosha hapo Shinyanga.
Aisee kumbukumbu nzuri Kabisa. Barikiwa Mtumishi wa Baba
Mungu awabariki SAUTI YA JANGWANI
Amen mungu ametutowa kwagiza mubari kiwe sana❤
Originality of the Adventism way of praising God Almighty is here.
Bwana ni mwema siku zote hatawaacha mbarikiwe na Bwana
Utume Kwanza kqa kweli namshukuru sana Mungu kwa ajili yenu Mwaka 1990 Ni kwaya rasmi kwenye mahafali ya kidato cha nne Shy Bush Nakukumbuka Kaka yangu Joshua, Mambosasa ipo Asubuhi Njema na hao mama zangu Lipo Tumaini Ng'ambo ya Kaburi
Shy bush my school
Tuwenalo tumaini katika ile asubuhi njema tuweze kumraki Yesu mawingu
Sauti ya jàngwani endeleeni kueneza injili takatifu Amina
Naomba Siri ya mafanikio yenu, kwa monekano hajapungua kabisa, Bwana azidi kuwabariki!!
Bwana ni mwema siku zote tuzidi kumutegemea nakunena sifa zake
Mungu wa Mbinguni azidi kuwabariki n❤
Kwa jinsi ninavyowapenda hua nakosa namna ya kuwaeleza kwakweli mpaka watu hua wananiita mjukuu wa jangwani huku nilipo hahahhaha mbarikiwe sanaaaaaa nimefurahi sana huuu utaratibu wa kurusha nyimbo u tube
Endelea kubarikiwa mpendwa katika Kristo Yesu
Nimebarikiwa sana kuwaona wazazi wangu Mr& Mrs MAKOLOBELA wakishiriki pia katika kazi ya uinjirist kwanjia ya nyimbo, Mungu azid kuwazidishia....
Mungu ni mwema ,Asante kwa kazi yenu nzuri tunabarikiwa
Nasi pia Tunashukuru uendele kubarikiwq sote
MUNGU awabariki sana huwa mnanibariki sana sana sana sana Sina namna yakueleza bwana awazidishie maarifa yautunzi wa nyimbo nzuri kama hzo
Nawe pia barikiwa mjoli
Mungu awainue zaidi Sauti ya Jangwani❤
Amen,mmbarikiwe sana,naombeni nyimbo zingine.Nyimbo zenu zinagusa sana.
Nawe pia barikiwa mjoli
Naomba wimbo usemao "niuonapo msalaba",unanibariki sana.
Ninavowapenda sauti ya jangwani wanaimba nyimbo ki-originality bila midundo kama hawa waimbaji wa siku hizi.
Endelea kubarikiwa na ujumbe wa matumini Mpendwa katika kristo
Nawapenda mnooo! Tuonane Yatosha Jangwani!
Sifa za mungu hazielezek barikiwen watumish
Mungu Ibariki Sauti ya Jangwani: Amina
Nawapenda sana Jangwani❤, Mungu aendelee kuwatunza, muifanye kazi yake vizuri. Ombi langu moja kuna wimbo Mmoja umo kwenye album ya Fuata Biblia unaitwa Nyota za asubuhi, naomba muuweke UA-cam 🙏🏾🙏🏾
Muda si mrefu utaupata Bwana akubariki.
Bwana awabariki kwa kusimamia standard yenu ya uimbaji Ninawapenda Pr Winner
Nawe pia Pastor Bwana na akubariki
Amen. Amen. God bless you abundantly.
You too brethren may the all mighty Father bless you
Jangwani MUNGU AWABARIKI MNOOO
Amina nawe pia ubarikiwe
@@Sautiyajangwanisdachoir1987 AMINAAA
Hallelujah amen 🙏 ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu Awabari sana Tuko pamoja sana🙏🙏🙏🙏
Nawe pia Mjoli Bwana akubariki pia
Mubarikiwe Sana kwa umbo mpya.
Amina mbarikiwe sanaaaa
Mbarikiwe seniors.. ❤
Nawe pia barikiwa Mjoli
Mbarikiwe Sana muende mbali Kwa jina yesu
Nawe pia uende mbali mjoli wa Baba yetu aliye mbinguni
Nawapenda sanaaa kwaya yangu tangu utoto nimewafatilia jumbe zenu zinagusa mioyo sanaaa hakika taji zenu zitang'aa pale mbinguni, MUNGU asiwaache awapiganie mmalize pambano
Nawe pia Mungu akubariki na akupiganie
Amina
Mungu awabariki sana
Jaman nimefurah Sana kuwaona mbarikiwe nmekuwa wengi Sana endeleen kusonga mbele. Kiufup tu nawapenda sana
Nawe pia ubarikiwe mpendwa katika Kristo
Amen
Nawafuatilia.
Burundian lives in south Africa
Ubarikiwe mpendwa
Mbarikiwe
Jangwani nawapendaaa
Nyimbo zenu zinanibariki Sana naomba Muendeleze kuweka nyimbo zenu UA-cam kwa Sababu ni njia moja Wapo ya Kuhubiri injili mtandaoni na Huku kwenye mitandao ni rahisi Sana kumpata mtu na ujumbe ukamfikia kwa haraka Amina🙏🙏🙏😁
Amen. Karibuni pia pitieni katika media yetu tubarikiwe wote .
Amina
Mubarikiwe sana nawapenda sana❤❤❤
Nawe pia barikiwa
Sauti ya jangwani mrafi huyu
Amina mbarikiwe nawapenda
Nasi tunakupend ubalikiwe pia
Amina
❤❤
Barikiwa sana
Barikiwa sana nawe pia mpendwa
Alleluyah Ameeen ❤
Naomba nyimbo ile ya SASA NASIMULIA mtuwekeee jaman 😪
Angalia youtube tuliiweka
@@Sautiyajangwanisdachoir1987 mliiweka kwa acc ipi...au unaitwaje
Hubirini hadi Mfalme wa wafalme atakaporudi.
Amen
Mibaraka tele
Amina.
Barikiwa
❤❤amen.
Endelea kubalikiwa
Endelea kubarikiwa
Nisipo waona hapa dunian bas tuonane mbinguni 😊
Tuendele kuweka tumaini kama tusipo onana hapa dunia basi tuonane Mbinguni
Mmepigaje hapo?????
😄
Mbarikiwe sana watumishi wa mungu
MUNGU awabariki sana, neeema ya bwana uwe nanyi kw Kaz nzuri
Amina mbarikiwe sana waimbaji
Mbarikiwe
Amina
Amina