Naitwa mc Aggrey events. Natokea wilaya ya mlele mkoani katavi. hakika kaka chen kupitia video hii hata sisi tuliokosa fursa ya kuhudhuria seminar tumejifunza vitu vingi Sana kutokana na hii video. Asante
Ujasiri2 dada yangu Mimi mwenyewe nilianza kistaili chamsingi kukiwa na mtu anavalishwa Pete au birthday mwombe mwambie Naomba nifanye hiyo invent tafuta ratiba kwa Mamc ratiba tofauti tofauti
Kuna maneno hapo siyakubali kutoka Kwa mamc na ni vyema na haki tukajua Kiswahili sahihi cha kuongea ukumbini. "Neno" KUWAINGIZA WAGENI WAALIKWA UKUMBINI. Nahisi hili neno halijakaa Sawa. Mwl. MC Dr Cheni...
asante Mc Dr. cheni kwa semina darasa hii hakika tumekwiva mimi kama @Mc_nancy88 nakushukuru #hakuna kufeli
Jamn msaada mc Dr cheni mim napenda Sana kazi ya mc Ila napenda nipate kwanza darasa uzoefu napataje msaada Kaka .
Mpo wapi nahitaj mafunzo plz
Naipenda kazi yangu ya Mc jamani raaha sana nitakuja kujifunza zaidi
nice
Niceeee
This is dope
Kaka cheni hauna darasa la whatsap
nakuona nakuona @MCMSEMAKWELI
Waaaoh jamanii tamuu iyoo tumetishaaa mbayaaaa
Naitwa mc Aggrey events. Natokea wilaya ya mlele mkoani katavi. hakika kaka chen kupitia video hii hata sisi tuliokosa fursa ya kuhudhuria seminar tumejifunza vitu vingi Sana kutokana na hii video. Asante
Mkono unaweka nyuma kwa nin?
Sifa ya Mc ya kwanza ni muonekano kuanzia uvaaji,uongeaji wenye mvuto
Nataka na mm ni lini
Ningekutana na hivi vitu jamanii ningefika mbali Sana duh
Napenda sana kuwa Madam Mc cjui naanzia wap jmn
Ujasiri2 dada yangu Mimi mwenyewe nilianza kistaili chamsingi kukiwa na mtu anavalishwa Pete au birthday mwombe mwambie Naomba nifanye hiyo invent tafuta ratiba kwa Mamc ratiba tofauti tofauti
Tunaomba Fanya madarasa na mikoanii kakaa
Natamani hiki kitu Sanaa hebu tuambieni nilini Tena itafanyika semina hi naniwapi natamani Sanaa kuhuthuria ili nijifunze zaid
Sasa Hilo likamba kichwani la nn
Tatizo Nipo mbali ningekuja jamani
Kuna maneno hapo siyakubali kutoka Kwa mamc na ni vyema na haki tukajua Kiswahili sahihi cha kuongea ukumbini.
"Neno" KUWAINGIZA WAGENI WAALIKWA UKUMBINI.
Nahisi hili neno halijakaa Sawa. Mwl. MC Dr Cheni...
Inatakiwa tusemeje sasa
Kila kitu kinawezekana ukiwa na ujasiri
Kazaneni ila Bado
hyu mtangazaj ka vile anarap
Darasa huru
Tunakupataje tupate mafunzo
Nime penda sana