BABA YANGU ALINILAANI - THE BROKEN BOND

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Austin aishi maisha ya taabu baada ya kulaaniwa na babake. Je, atasamehewa na maisha yake kurudi sawa kama awali?
    To watch the full movie, tap the links below:
    The Broken Bond Part 1
    baze.co.ke/dra...
    The Broken Bond Part 2
    baze.co.ke/dra...
    @Premium Films (Facebook, Instagram)
    @DEEMZ MEDIA (Facebook, Instagram)
    @UTV Kenya
    #HILA
    #mombasakenya #kenyanmovies #riverwood
    Follow us on:
    1. Facebook - / premium.ke
    2. Instagram - / premium_fil. .
    3. TikTok - / premiumfims24. .

КОМЕНТАРІ • 32

  • @user-il5pv2qy3y
    @user-il5pv2qy3y 2 місяці тому +2

    Kama kweli mzazi NI Mungu mdogo

  • @rahabwangari2807
    @rahabwangari2807 2 місяці тому

    Mafunzo tamu sana yenye busara zaidi

  • @AlexanderTuikong
    @AlexanderTuikong 2 місяці тому

    Hakika baba ni mungu wa pili

  • @robertmangera4725
    @robertmangera4725 5 місяців тому

    Kazi nzuri sana kaka toa sehemu ya pili pia tujue maisha baada ya msamaha wa baba

  • @shadrackPanga
    @shadrackPanga 5 місяців тому

    kaka hongera sana umefundisha uhalisia mambo hayo yapo

  • @user-fh1fi1wl2x
    @user-fh1fi1wl2x 5 місяців тому

    Good job watu wangu wa mariakani

  • @IsmailMgalla
    @IsmailMgalla 5 місяців тому

    i sapot you mkuu nakutambua 👍sana kijana wako Ismail kinyoz

  • @nyawamwero587
    @nyawamwero587 5 місяців тому

    You kill it brother 👏👏💪

  • @robertambrose1231
    @robertambrose1231 5 місяців тому

    Nice i get you well

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 2 місяці тому

    Baba ni damu na uwezi lipiza kisasi, ni babako huyo.

  • @Bonykarupat
    @Bonykarupat 5 місяців тому

    Baba ni baba kakangu

  • @carolinewawira-kq1zy
    @carolinewawira-kq1zy 5 місяців тому

    Baba ni baba hta kama akukulea muache aende BT io ya kumpiga atakulaani na laana itakusika

  • @mikkewesa7333
    @mikkewesa7333 Місяць тому

    Hakika ni vyema kuwatii na kuwa penda wazazi wako wote.
    Hakuna kipindi chema kama hiki=chenye mafunzo Chungu nzima.

  • @paulnjoroge4593
    @paulnjoroge4593 2 місяці тому

    Chazo ni Wanawake wanachagia haya yote,inafaa wewe mwanamke onyesha watoto baba niwa mhimu,bila hio laana ya baba itawafuata

  • @FaithSagide
    @FaithSagide 5 місяців тому

    Baba ni baba akamsamehe na hayasahau yote aliyoyapitia na atapata baraka

  • @khamisibro2106
    @khamisibro2106 5 місяців тому

    Bro...endelea ivo ivo utafika mbali.

  • @khamisibro2106
    @khamisibro2106 5 місяців тому

    Hii movie iko na mafunzo sana

  • @nyawamwero587
    @nyawamwero587 5 місяців тому

    Hii ndo taaluma yako bro

  • @calvincharlesslyimo3814
    @calvincharlesslyimo3814 5 місяців тому

    Hongea kiswahili vizuri wewe , kama ujui nendea waTz wenye lugha yao wakufunze

    • @Otienoodero
      @Otienoodero 5 місяців тому

      Hakuna kitu kama hongea wewe mjuaji

    • @Otienoodero
      @Otienoodero 5 місяців тому

      Hakuna kitu kama hongea wewe mjuaji

    • @user-tr3cf8re9x
      @user-tr3cf8re9x 5 місяців тому

      Wachana na Yeye ako na zake huyu ​@@Otienoodero

    • @bensonmwelela4228
      @bensonmwelela4228 5 місяців тому

      Ni Ongea siyo Hongea

  • @sharonmuthoni3926
    @sharonmuthoni3926 5 місяців тому

    Huyo babake ni kama mchawi🤦 hakumlea Hana haki ya kulaani. Akienda aende kabisaaa. Ata alikofika si baraka zake zilimfikisha hapo. Hata bibilia inasema mzazi asimkasirishe mwanawe... Agggh.

    • @user-ns3lw1vg5y
      @user-ns3lw1vg5y 5 місяців тому

      Lakoni alimpiga

    • @bensonmwelela4228
      @bensonmwelela4228 5 місяців тому

      Mwishoni ameelezea sababu za hayo kutokea

    • @user-sk1xp8of6x
      @user-sk1xp8of6x 5 місяців тому

      Baba atabaki kuwa baba ata Kama hakumlea na huwezi jua kwanini baba hakumlea wamama wanawalisha sumu ya maneno ili wao ndio waneemeke kuliko baba!!! Na huwezi jua ugomvi wa baba na mama ilikuwa ni Nini?!!!!

    • @papyprosper8922
      @papyprosper8922 5 місяців тому

      Wew hujuwi maana ya mzazi kwa mjubu wa Bible na Quaruwan Aliomba msamaha sana alionyesha kunyenyekea that's y anaweza kumulaani

    • @AmbassadorFreddy-vc8kr
      @AmbassadorFreddy-vc8kr 5 місяців тому

      @sharonmuthoni3926 mbona unasound kama mtu aliachwa? Ama mliachwa Hadi mamako? Uko na makasiriko