BADDEST AONGEA KWA UCHUNGU NIMEIBIWA WIMBO RAYVANNY NA HARMONIZE SENSEMA SITAKUBALI S2KIZY TULIKUWA
Вставка
- Опубліковано 13 чер 2024
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online - Розваги
Sema nini maniga baddest we fanya Ngoma nyingine af wapelekee sisi hatuna baya mwamba
M nishabik la konde lakin kwa alichokifanya 😢ray vany sio na pia m nishabik la Badest47
Jamani namhurumia na ni kijana anahitaji support ya wasanii wakubwa wangefanya wakiwa watatu
Mbn alixhafany harmonize, tena akafany na rayvañny, kawaida tu hyo, yeye a pambane akiwa anajua
Uwezo wake wakawaida sana @@LucasMagukuru-hc9kr
Is the fittest to survive
Namimi nipewe like sasa
Kwan hizo like zinawasaidiag nn
Rayvann na harmoniz ni wasenge sana
Nawaachia ugomv wenu jaman mi konde nmetia tu maneno zangu na kusepa
Very true ❤😂😂
iyo mbona imetokea kwa budazon.. kafanyiwa na kijana wetu meja kunta nyimbo ya demu wangu
Bongo trendy mpo vizur sana
Hii style ya kuibiana ivi watu wanataka kuuwana kama wasanii wa marekani
Wakwanza naomba like zangu 🔥🔥🔥
Ani wewe tunasikiliza matatizo yawatu af wewe unasema wakwanza upewe likes zako ndio nini em jiheshim wewe
Binadamu wabaya kaka pole sana
Binadamu wabaya sana kaka poleee
Jamaa anafana na irine uwoya
Ila bas tuu jama wamemfanyia unyama
Rayvvan ni mwizi mkorofi he did the same thing to misomisondo
Pole sana mdogo wangu Kwa kujibiwa Ngoma yako
Miaka minne wamerudi kuiba wimbo
Wewe usiwe chiziii uyo umpe vesii ya naizee ana weza kuimba uyoo au unaongea umimbaa au una taka kuzaa
Yeye aibe pia Kwan shida iko wapi
Hayaa
@@RomanMwinyiwew hata Kutype huwez..
Tatizo la hit song ndio hili,,,swali la kujiuliza ni je isingehiti tungeyajua haya? But kwenye lawama naomba msimuweke harmonize maana yeye hahusiki aliletewa biti akatia verse akasepa
For sure
Unyamwezii.. Tupo kwenye majonziiii mependa alivuoipigaa Badestiii
sensema ni moto sanaaa namwamini s2kizzy
Nsensema malunde nsensema ni Lugha ya KINYIRAMBA MKOA WA SINGIDA
Dah pole mwana 😢😢😢
Ila ray kah
Duuh nomaa
Saut ya mjani
Alikuwa wapi uyo
Duh swali lakitoti sana
Uyuu mwana anaumwa kwlii,,Ila chelewa chelewa
Kama wameiba nayeye Baddest aliiba pia kwa yuke mama wa kisukuma. Hyo Ngoma ni yamama mmoja wakisukuma nangoma ni popular sana kwa Mwanza
Kiukweli hii Ideal hajaibiwa Baddest ila naye ni kaimodify tu.
Hii nyimbo ya Sensema malundi ni ya kitamaduni tumeanza kuisikia toka miaka ya 90 mbeya, hakuna aliyemwibia mwenzake ila wameimodify kwa style tofauti tofauti.
Kwa wale wa mbeya ni kama leo wasanii watoe wimbo unaitwa "Tumoghele tumoghele" hivyo ni kila mtu atadevelope kwa ubora wake,
Wasenge. Kweli
🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫢🫢🫢🫢🫢
Acheni ushamba hamjui ch... see more
😂😂😂😂 fuatilia iyo see more
Mbaya zaida ngoma imesha paa kbs na inafanya vizuri youtube
Zombie na Ray mbona mnafanya wanyongee vbaya,mungu yupo haya sawa😢
Kafanana na mtoto wa UWOYA
Kafanana na mume wa Zari
Hizo lips za mwamba bila D Mbili huelewi
Hiyo idea si ya mbeya hiyo idea ni ya mikoa ya kanda ya ziwa mikoa ya usukuma
Haujaelewa kinachozungumzwa hapo.
Jamaa vp anapenga nini mbna sauti haijifichi
Mpen pole san ila bado siku nyingi asijaliii tupopamoj
Wasanii wadogo muwe makini na tungo zenu, maana hao wasanii wakubwa wameshachoko ni mwendo wa kupora mawazo ya watu
kwer kabs nakubarian na ww
Achana nayo nyimbo yenyewe mbaya
Mmmh mbn changamoto
😂😂😂😂 mm kwa maoni yang na badest angeliachia tu goma lake tulisikie itakuwa niunyama😊😊😊
Hapo ushaongea br kama kwely ngoma n yake atuachilie hio yake,,hapo ndo tutajua ukweli
Reyvan ni mwizi siku zote sio msanii hyo brand ya wasafi tu ilimbeba hana kitu hyo wakinipanga nae nampoteza mbaaali
Hao wote wezi
Waharamia wamepita na wimbo wako kaka,
Huyu ni nani
Chukuwa na yangu
Imba invo hinvo mbona tuna kuamin
Toa remix bro Kwan nn
kwanza walio imba na harmoniz mbayaaa, roh mbay tu waone..
Dah inauma kweli😂😂😂
Mwananguu weed achana na hao magashi 2wapotezee tu!
Hunahaki bro tulia 🤔🤔🤔
Kama ni kweli mbona hafuati sheria zipo
Rayvanny yule wa kudandia upepo😂😂😂
Sasa huyo baddest katumia goma, s2kizzy kashaifanyia kila kitu akaingiza verse then akanyamazia then rayvanny akaona mda waenda akamvuta Tembo kaeka verse na mwenye idea,wimbo ni S2kizzy karidhia wakaliachia 🤷sai asema goma lilikua lake,goma limeburst sai alalamika...kuna msemo wasema chelewachelewa utapata mwana si wako ndio haya sasa....asubiri next project,,,,ila harmonize 😂😂😂😂😂
sikiliza hio chorus apo kwa sensema hio nyimbo ya ray na harmo utaskia "okeeee" hio n sauti ya baddest bado iko huko kwa official yao
Siyo poa jamani walichokifanya kina Rayvan na konde wapeleke basata Hao
wamezinguwa sana haoo watu mana jamaa mpakaa anatia uhuruma kinoma yani kweli hamonarz kweli ni shatani mungu alani konde boy na mwenzake
Pia mond kafanya hivyo kwa Ile Ngoma ya number one 😊
Acha kuvuta bangi dogo,na huwezi toka kwa sauti hiyo ya kiteja kama kitale
😅
Toweni narori
hii sensema siyo mara ya kwanza kusikia labda mdundo,kama kushitakiw na wewe upo😅😅😅
Apo wamekutana sifanyingi hamo nae skuizi kuigatuuuu Rey nae atungiii kikinyingi nikuombe tuuu toa nayako
Wasani wa kiki tu
Sio poa
Ngoma nila zombiii
So vanny boy kamsaliti home boy😂😂😂by the way baddest you don't look good like the you use to be hiyo miwani 😏ebu relax au ndio umri unaenda ❤ one love
Asiseme kitu baddest so Sensema malunde ni neno la kisukuma cooz apewe nkunda star wanaaa unyawezi sana!!!
Sensema malunde bora angesema vannilah msukuma sio hao wote ni wezi tu sensema malunde ni kisukuma bro acheni uongo😢😢😢😢
Tuliza komwe hilo hauelewi kitu.
Lazima ufauatilie
😂😂😂
Mwana kakatiza na Energy ya bakhresa na kisungura hapo 😂
Msenge unafatilia wew 😅😅
@@listerescobar8547 😂😂😂😂😂😂📌
what as bout mond alichofanyia yule dogo wa number one
Dgo mwenywe kumbe ni b levo baa wa leo😂😂😂😂
Acha kuvuta bhangi kijana
Hapa muhusika zombie
Weee zombie haujui 😂😂😂
Kumbe zombie ni mwaisa
Ningekuwa wewe ile ile sensema ningeliitowa na diamond platinumz, alafu wamwage ugali wewe umwage mboga, kudadeki🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huyu amenyonya bangi sana sana
Acha uongo,huna sauti ya kuimba wewe,hiyo sauti ya bange peleka shinyanga huko ukale jani bichi
Mnalisikia hilo lisauti likavu kama ndege mwenye utapia mlo
Huyu jamaa kila siku anaibiwa yeye tu anazngua kinomanoma
Ooh sasa nimeelewa...ngoma ni ya producer..ameamua kutumia different artists....chill bro .wachana nahii tafta ingine .hii hufanyika..ungenyamaza tu
Ukweli wasanii wakubwa wameishiwa kimawazo na sio kitu kibaya duniani kote. Shida ni kuforce mpk wanaishia kuiba mawazo ya wengine
Sasa kama goma lilikua la producer mbona hakutoa sauti za chini chini (addlips) za baddest sababu hio yenye harmonize ameshirikishwa bado Kuna sauti ya baddest
Nyimbo ya maskani iyoo ,, sensemaa kitambo tumbaga fijo morempelaaa
Punguzo kuvuta unga Baddest
hacha usenge yeye alikuwa wp
Mambo yenu huko huko konde musimguse
M nishabik la konde lakin kwa alichokifanya 😢ray vany sio na pia m nishabik la Badest47
Binadamu wabaya sana kaka poleee
🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫢🫢🫢🫢🫢
Binadamu wabaya sana kaka poleee