BOAZ DANKEN-MWANGALIE SHUJAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • #GloryandHonortoJESUS
    Karibu Tumwabudu MUNGU wetu Pamoja
    Ninaamini Kuna uponyaji na Kuinuliwa sana katika Kumtaja YESU na Kazi alizozifanya Duniani kwajili Yetu
    MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
    MWANGALIE SHUJAA Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
    Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
    Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
    First keys: Sephone Sospeter
    Second keys: Samwel Sospeter
    Third Keys: John Ntete
    Fourth keys: Augustino Batista
    Drums: Shalom V. Mbuke
    Percussion: Pastor David Silwimba
    Bass guitar: Amani Victor
    Lead guitar 1: Haggai Makuzo
    Lead guitar 2: Erick Chitungo
    Saxophone: Dickson Maige
    Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
    Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
    Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
    *Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
    *Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
    *Sound By #SoundSolution Moses Edard
    *Sound Engineer: Gad Mwanga
    *LED screen: Elly Jo
    *Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati

КОМЕНТАРІ • 672

  • @vicentcosta7924
    @vicentcosta7924 2 роки тому +2

    KAKA KATIKA VIJANA WARIO GUSWA NA NYIMBO ZAKO MIMI NI MOJA WAPO ,HAKIKA NIMEKUA NIKIOKOKA KUPITIA HIZO NYIMBO ZAKO ,MUNGU AKUZIDISHIE KIPAJI ,UENDEREE KUNIGUSA MOYONI.

  • @debbiekimeli5213
    @debbiekimeli5213 2 роки тому +16

    [7/5, 9:18 PM] faith🕊️: Mwangalie shujaa
    Ametoka mbinguni akakuja duniani
    Kuokoa wanadamu
    Yesu
    Amebeba dhambi zote za ulimwengu
    Begani mwake
    Mfalme
    Alidharau aibu
    Kaendea msalaba
    Mwangalie shujaa
    Nani kama wewe
    Bwana bwana
    Nani kama wewe
    Bwana wa majeshi
    [7/5, 9:40 PM] faith🕊️: Mwangalie shujaa
    Ameshuka kuzimu
    Kanyanganya ufunguo
    Wa mauti na uzima
    Yesu
    Amevuta hasi zote ata mashtaka
    Zilizo tuhukumu
    Mfalme
    Katufanya makuhani
    Watoto wa mfalme
    Tunatawala milele
    Mwanakondoo wa Mungu uuuu
    Uliyechinjwaa aaa
    Wastahili.....
    Ukamnunulia aaaa
    Mungu watu wake eee
    Kwa damu
    Na sisi ni kanisa aaaa
    Matokeo ya msalaba. Aaaaa
    Twakwabudu

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @vicentkakinda-cv5ut
    @vicentkakinda-cv5ut Рік тому +1

    Uko vizur Mungu aendelee kukupaka mafuta yake 3:38

  • @ambweneobadiamwasongwe
    @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому +38

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu...
    wewe ni Baraka sana kwa taifa

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +3

      Kaka Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana kusimama na Mimi kwenye Kazi Hii

    • @petromwakabengatz7435
      @petromwakabengatz7435 2 роки тому +2

      Naona Kitu Kikubwa Sana Ndani Ya Mtumishi Huyu Wa MUNGU Tena Sana Si Chakawaida

    • @emmejo80
      @emmejo80 2 роки тому +1

      Natamani kuonana ana kwa ana na Boaz Danken my roll model

  • @boazdanken
    @boazdanken  Рік тому

    Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel

  • @kzmtv4249
    @kzmtv4249 2 роки тому +2

    Kaka Boaz Mungu AKUTUNZE sana endelea kunyenyekea chini ya mikono yake huduma Mungu aliyo kupa ina gusa watu wengi wewe ni zawadi ya taifa Barikiwa sana..... Na ss ni kanisa matokeo ya msalaba oooh our almighty God bless you

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @Ace_Home
    @Ace_Home Рік тому +1

    Nngekuwa na uwezo wa kukusubcribia hadi watu milioni ningefanya hivyo hima.. Unanibariki sana na huduma yako.. Mungu azidi kukukumbuka❤️

  • @vincentheme6464
    @vincentheme6464 Рік тому +1

    Yeye ni Shujaa na Amiri Jeshi wa Mataifa yote,Sifa na shukurani ni kwake ...tumtazamee kwa makini.

  • @chrispingibson7200
    @chrispingibson7200 2 роки тому +18

    You're the King of Kings, Alfa and the Omega, Elohim is your name. Power over power, authority over Authority in Jesus Christ.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +5

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

    • @irenejulius8263
      @irenejulius8263 2 роки тому +1

      Holy is who you're

  • @joynerwesonga7507
    @joynerwesonga7507 9 місяців тому +1

    When prayers cannot be said because the pain stings so much and the tears flow freely...I remember the lyrics of this song and they become my prayer..indeed HE is the lamb of GOD...be blessed Boaz❤

  • @philipomwampamba9301
    @philipomwampamba9301 Рік тому

    so wonderful kuna wakati dunia inapokuwa kinyume na ibada za kweli Mungu anatupa nafasi nyingine yakuabudu katika Roho na kweli mtumishi Mungu akubariki sana na awatunze na wanaokuzunguka Ili iwe amani na furaha kwako katika utumishi wako ,,,,,hakika usadaka njema ya sifa

  • @priestkingagrey
    @priestkingagrey 2 роки тому

    Atukuzwe Bwana Yesu amebeba dhambi zetu zote🙏🙏🙏 Hakuna kama yeye...yeye pekee ndiye Mungu.. Ametufanya makuhani na wafalme... Taifa takatifu la Bwana👏👏👏

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @Filopolazalo
    @Filopolazalo 2 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Bwana atunze Neema hii aliyo iweka ndani yako hakika Unafanya kazi kubwa kwaajili ya Utukufu wa Bwana

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

    • @Filopolazalo
      @Filopolazalo 2 роки тому

      amina

  • @wycliffejuma894
    @wycliffejuma894 2 роки тому

    Kwa Hali zote namwangalia Yesu shujaa wangu,napenda utunzi wako upako tupu.

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 2 роки тому +1

    Mwangalie shujaa
    Yesu...thank you, lord.
    Mungu akuvariki zAidi mtumishi.

  • @madlynenyambu9698
    @madlynenyambu9698 Рік тому

    Heeeee.....shujaa wangu Yesu amenifanya kuhani , mtoto wa mfalme aliponifutia hati ya mashtaka yangu. Hakika mashtaka yetu ni mengi .....saaanaa... Damu ya Yesu tu yaweza kufuta.... Glory to Jesus forever... God bless you man of God. Huu wimbo una ufunuo mkuu mno.

    • @madlynenyambu9698
      @madlynenyambu9698 Рік тому

      Kanisa ni matokeo ya msalaba....... Ooooh the slain Lamb of God 😭😭😭😭 Glory glory glory to God.

  • @phoebeanyoso7005
    @phoebeanyoso7005 2 роки тому +1

    Wow l like the song.may God bless you.na azidi kuachilia anointing Na neema juu yako together with your team

  • @geofreyouma6142
    @geofreyouma6142 2 роки тому +1

    Pure deep revelations

  • @marymathewndakidemi4011
    @marymathewndakidemi4011 Місяць тому

    Duu barikiwa mtumishi wimbo unaupako hatari

  • @georgekabugi8358
    @georgekabugi8358 2 роки тому +11

    This song overwhelmed my spirit 😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏nakuabudu.mwana kondoo wa Mungu ..waastahili

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Glory and Honor to Jesus Asante sana Mtu wa MUNGU

    • @georgekabugi8358
      @georgekabugi8358 2 роки тому

      Thnk you my brother..

  • @joshuahassanmwamsangu9542
    @joshuahassanmwamsangu9542 2 роки тому +2

    Ume summarize Biblia🙌. Laiti watu wasiopenda kusoma Biblia wakaupata huu wimbo na kuutendea kazi, basi watamtambua na kumuamini Kristo. Hakika HII NDO INJILI. Be blessed the man of gospel. This is what Gospel means.

  • @fille3991
    @fille3991 2 роки тому +3

    🇰🇪 Yesu asifiwe siku zote, masaa yote

  • @noahkayofficial2963
    @noahkayofficial2963 2 роки тому +1

    Jina la Bwana libarikiwe milele kwa kazi hii nzuri mtumishi Boaz

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @nyawaminzamabusi8757
    @nyawaminzamabusi8757 Рік тому

    Huu wimbo unanibariki sana, Yesu Kristo akuongeze Boaz Danken

  • @joashfangeli5576
    @joashfangeli5576 Рік тому

    Asante kwa kuniguza tafadhali naeza kuwa na maongezi na wewe kuhusu huduma mimi ni muhudumu pia ila nahitaji wa kunishika mkono

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 2 роки тому

    Mtumishi wa Mungu boaz kwa staili ya utunzi wako najua unakuja kuwa muhubiri mda si mrefu

  • @JulianaHezron-gj4vk
    @JulianaHezron-gj4vk Рік тому

    Hakuna kama yeye MUNGU wa mbingun akubariki mtumishi

  • @ednawilliam7759
    @ednawilliam7759 2 роки тому

    Mungu akubariki sana sana sana! Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, Kupitia nyimbo zako ninabarikiwa kwa viwango vya juu hasa kiimani..... Keep it up!!
    Mwangalie shujaa ameshuka kuzimu, kanyang’anya funguo.... Watoto wa mfalme tunatawala milele.... Ninatembea Kifua mbele kumpokea Yesu! jamani Yesu Nakupenda sana nyieeeeeeee Yesu huyu❤️🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @eliabwile5247
    @eliabwile5247 Рік тому

    Nabarikiwa nanyimbozako nikiwa zambia fadhili mwakasege

  • @kenanjaphet7667
    @kenanjaphet7667 Рік тому

    Mungu akubaliki sana mtumishi kweli Mungu anatukuzwa kupitia wewe

  • @bigthemadness4779
    @bigthemadness4779 Рік тому

    Nabarikiwa sana mungu azidi kukupa kipawa zaidi na zaidi Boazi

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 роки тому +12

    Mungu akubariki Big brother kwa KAZI njemaaa

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +5

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Рік тому

    Mungu awe nawe unatufundisha kizazi kipya kumwabudu Mungu

  • @kennethbuluma8552
    @kennethbuluma8552 Рік тому

    Nimeusikiliza huuwimbo nikiurudia maranyingi kwakweli yesu ni shujaa.
    Mtume wamungu twakuombea uzidishiwe nehema unapo pungua aongezee ndani Yako kama sisi tumebarikiwa hi vi jee wewe.
    Nitaziimba hizitenzi pia. Ubarikiwe sana

  • @stephenmakau4410
    @stephenmakau4410 2 роки тому

    Mtumishi Boaz ndugu yangu katika Kristo Mungu Baba azidi kukujaza ,umekuwa wa baraka katika huduma yangu changa unanifunza mengi,ukimuona Ambwene mtumishi wa Mungu na ndugu yako wa karibu ,msalimie sana ,jina langu ni Stephen,niko Kenya 🇰🇪, Mombasa

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Glory and Honor to Jesus Asante sana please share kwa Wengi

    • @happinesseliabi3569
      @happinesseliabi3569 Рік тому

      Worthy is the Lamb seated on the throne.

  • @felisterkisendi835
    @felisterkisendi835 2 роки тому

    Hakika hakuna Mungu kama wewe,ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @muriukiedna7224
    @muriukiedna7224 2 роки тому +7

    Thanks so much for this worship it has touch my heart alot and it will bring healing to my soul😭😭,God bless you soo much.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Glory and Honor to Jesus

  • @vicentcosta7924
    @vicentcosta7924 2 роки тому

    HAKIKA MUNGU AKUPE MAISHA MALEFU MAANA NAJIFUNZA NENO LA MUNGU KUPITIA NYIMBO ZAKO .🙏🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @happyshitindi3870
    @happyshitindi3870 2 роки тому +7

    Katufanya makuhani, wototo wa kifalme tunatawala milele... This verse is just powerful🔥🔥
    God bless you man of God🙏🙏

  • @geraldmnyone9340
    @geraldmnyone9340 2 роки тому

    Utukufu anao yeye shujaa anayekutumia namna hii kuinua sifa zake kuu katika Taifa letu. Mungu akutunze sana Mtumishi wa Mungu.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @amosmlalu8193
    @amosmlalu8193 2 роки тому +1

    Very wonderful anointing songs be blessed servants of God i wish u could visit mwanza for the service

  • @albertkivinge7996
    @albertkivinge7996 2 роки тому

    Ooooh barikiwa sana mtu wa Mungu,Mungu akutumie zaidi na zaidi

  • @hannahirungu4527
    @hannahirungu4527 4 місяці тому

    Hallelujah what a powerful song more blessings man of God can't get enough of your songs every morning i wake up I must listen to your songs and i get blessed

  • @julianalameck9045
    @julianalameck9045 2 роки тому

    MUNGU azidi kukupa MAHARIFA na HEKIMA nyingi uzidi kuitenda kazi yake kikamilifu unanibariki sana, ufichwe Zaidi.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @edwinmosha
    @edwinmosha 2 роки тому +2

    Am glad to be the first to like and watch. BLESSING

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Ubalikiwe sana Pastor Utukufu na Heshima Kwa YESU

  • @joshuakabasi170
    @joshuakabasi170 2 роки тому +1

    Kaka MUNGU anakutumia kwa viwango vya juu sana usije ukabadilika tunabalikiwa sana na kazi zako yani kaka boaz danken

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @benjaminkimbwerezamagonda7151
    @benjaminkimbwerezamagonda7151 2 роки тому

    Amen, Yesu Kristo ni shujaa kweli kweli.

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 роки тому +1

    Amen ni zamu ya Tz kuinuliwa na utukufu wa Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @SingisbetiKomba
    @SingisbetiKomba 10 місяців тому

    Amina Mtumishi umetufanya tupime, Mungu akubariki sana.

  • @Josh-mr8fp
    @Josh-mr8fp 2 роки тому +1

    Uongezeke sana Boaz danken katika huduma yako

  • @kamaulukasblessedofficial786
    @kamaulukasblessedofficial786 2 роки тому

    Nani kama wewe BWANA WA MAJESHI😥😥😢😢🙌🏿🙌🏿🙌🏿NANI KAMA WEWE BWANA WA MAJESHI
    HAKUNA‼️‼️
    ASANTE PAPAAA BOAZ

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @amosnamu717
    @amosnamu717 Рік тому +2

    Glory to our Lord Jesus Christ,who died on the cross coz of our sins,thank you Our King of kings🙏🙏

  • @winmoi7620
    @winmoi7620 2 роки тому +1

    Amebeba dhambi zetu zote Begani mwake, Mwangalie Shujaa,
    Mimi ni kuhani mtoto wa MFALME
    MPO???!!!!

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @mfalmegideon
    @mfalmegideon 2 роки тому +5

    Maneno Ya Huu Wimbo Yana Nguvu Sana
    Ubarikiwe Sana Pastor Boaz

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @augustinondabeda7730
    @augustinondabeda7730 2 роки тому

    Umenifanya niendelee kujifunza zaidi Faida za unyenyekevu. Kazi yako ni njema inatufanya tumwone Kristo Yesu kupitia nyimbo zako.
    Mungu akubariki sana kwa kusimama vizuri kwenye nafasi yako. Nyimbo zako ni dawa kwa mataifa 🌍🌎🇹🇿

  • @agnesmathew5446
    @agnesmathew5446 Рік тому +1

    Yesu ni shujaa.

  • @eregaekevin3572
    @eregaekevin3572 2 роки тому

    Lovely and cool music be blessed man of God keep up ur talent indeed u have a talent.......

  • @HemedyJoseph-ek9jc
    @HemedyJoseph-ek9jc Рік тому

    Nabalikiwa na utumishi wako mungu akubaliki

  • @humphreymakori
    @humphreymakori 2 роки тому

    Kile ambacho mungu amekiweka moyoni mwako sasa ni baraka kwetu.
    Mungu akubariki na akuzidishie

  • @katepetals
    @katepetals 2 роки тому +6

    I love Boaz. You can tell he truly loves Jesus, Its beautiful to watch.

  • @doreenmkwamila1229
    @doreenmkwamila1229 2 роки тому

    Nyimbo zako zmebeba amani ya moyo wangu maranyingi zinanipa faraja, Mungu asikupungukie mtumishi

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @ChristinaSelestine
    @ChristinaSelestine 9 місяців тому

    Nizaidi ya shuja

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 роки тому

    Sifa na utukufu umrudie YEYE aliyeshinda.
    Barikiwa mtumishi Boaz na kundi zima 🙏🏾🙏🏾❤.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @jamesnyaga7331
    @jamesnyaga7331 2 роки тому +14

    Wow!!! Beautiful done Worship, the back up, the band,the lyrics and the Holy Spirit inspiration. God bless you Boaz. 🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Glory and Honor to Jesus Asante sana please share kwa Wengi

  • @AdventinaAnthony
    @AdventinaAnthony 2 роки тому

    So, haijalishi ni nyakati zipi, NAMWANGALIA na NITAMWANGALIA SHUJAA (YESU)😭🙌🏾.
    Thank you Boaz🙏🏾

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @ornellabaraka2461
    @ornellabaraka2461 Рік тому

    Nyimbo zako zime ni bariki sana baba

  • @bethelomewmzajila7006
    @bethelomewmzajila7006 2 роки тому

    Amen Mungu akubariki na kukutumia kama chombo chake

  • @FelisterAuma
    @FelisterAuma 11 місяців тому

    God bless Boaz Danken servant of God, being blessed well from Malindi Mombasa Kenya

  • @vainesmwacharo6484
    @vainesmwacharo6484 Рік тому +1

    There is no one like Jesus. Uimbaji wako unanibariki , na kuniongoza kwa maombi....ooh hallelujah .

  • @wycliffejuma894
    @wycliffejuma894 2 роки тому

    Your songs are more than singing but revelation & asword of the spirit,ipray that God expand your ministry .

  • @evancisdory9027
    @evancisdory9027 2 роки тому

    Hakika ni shujaaa ...Jesus 💥💥💥💥

  • @eunicewanjiru5817
    @eunicewanjiru5817 Рік тому

    .Asante Yesu kwa kazi ya msalaba. Wewe ni shujaa Yesu.

  • @nathanielmwakyusa4821
    @nathanielmwakyusa4821 2 роки тому +4

    Jambo tulilolisubiri 👏👏👏 Glory to God 🙌🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @jofreybenjamini8805
    @jofreybenjamini8805 2 роки тому

    Amen
    Nasikia kubarikiwa sana ninaposikiliza ii uu ujumbe#Mwangalie Shujaa#
    Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu Boaz danken

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @alfredkevin2792
    @alfredkevin2792 8 місяців тому

    Pastors Boaz I always love u.....God bless u and give u more of your desire , Amen

  • @adophadophkahitirabankaboy8443
    @adophadophkahitirabankaboy8443 6 місяців тому

    Napenda sana nyimbo zinanibariki😂😂

  • @norzerjs1211
    @norzerjs1211 2 роки тому +1

    Nani Kama Wewe Bwana Wa Majeshi.....
    Boaz Do You Realize How God Is Being Blessed 🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @bedykedy3428
    @bedykedy3428 2 роки тому

    Uuuuwii huu wimbo unanikonga moyo haki boaz saut yako inamamlaka frani yani cjui nielezeaje bt Mungu azidi kukuinua

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @goodluckmmasa6824
    @goodluckmmasa6824 Рік тому

    nyimbo za namna hii nilijua wanaweza tu ndugu zetu wa Nigeria na nchi za mbali....🙌 heshima kwako mtumishi hakika kazi zako zinabariki🤝.

  • @NDISA1
    @NDISA1 2 роки тому +1

    Kaka @Boaz Dunken ubarikiwe kwa wimbo mzuri. Mungu akuinue katika utukufu wake

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @barakasanga7692
    @barakasanga7692 2 роки тому

    Yesu ni shujaa na hakuna shujaa kama yeye Duniani kote na hata Mbinguni..... my brother BOAZ DANKEN unajuaaaa sanaaaaaaaa Mungu wa mbingu na nchi azidi kukuinua zaidi na zaidiiiiiii

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @purposeinChrist
    @purposeinChrist 2 роки тому +2

    "Blotting out the handwriting of ordinances that was against us, which was contrary to us, and took it out of the way, nailing it on the cross." Colossians 2;14

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @paulpk3189
    @paulpk3189 2 роки тому

    Yesu ni shujaa,,,,,,,, Mungu abariki kazi yako njema mtumishi

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @sarahchege1674
    @sarahchege1674 2 роки тому

    Amen. Kweli hii ni injili. Nazidi kumtazama shujaa Yesu Kristo.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @mwemezifrance4225
    @mwemezifrance4225 2 роки тому

    Namuona YESU KRISTO WA NAZARETH ndani ya huu wimbo.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 2 роки тому

    Yesu ni shujaa kweli Minister Baoz may the Lord reveal more songs you have been a big blessing to me always...
    Anyway humble yourself before God..

  • @lusubilosaiba8531
    @lusubilosaiba8531 Рік тому

    Nani kama wewee Bwana wa Majeshi!!

  • @bundalakomba9037
    @bundalakomba9037 2 роки тому

    MUNGU akubariki mwana wa MUNGU, na akupe kunyenyekea kwake na wanadamu

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @joycentekigwa9648
    @joycentekigwa9648 4 місяці тому

    Ameen ujumbe mzuri

  • @donatagraced9907
    @donatagraced9907 2 роки тому

    Mwangalie shujaa,,,,, such a powerful song. Kwa ukweli YESU ni shujaa.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @fille3991
    @fille3991 2 роки тому +1

    Tumebarikiwa ...glory to God.
    Wonderful back up 👌

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 2 роки тому +1

    Shujaa YESU amefuta hati zote za mashtaka.
    Asante YESU 👏 👏 👏

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @isaacmola5639
    @isaacmola5639 2 роки тому

    Asante sana ndugu Danken huduma nzuri unaifanya katika Mwili wa Yesu Kristo. Mungu anatukuka kupitia kazi yako.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi

  • @fiddymimera164
    @fiddymimera164 2 роки тому +4

    My favorite minister🥰
    Neema izidi kutosha mtumishi🙏
    Much love from Kenya

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @mtumishisammymwita1566
    @mtumishisammymwita1566 2 роки тому

    naipenda sana mtumishi wa mungu naomba mungu anitumie pia kwa viwango

  • @marykago5426
    @marykago5426 2 роки тому +6

    My spirit flows with the flow of the holy spirit as you sing I don't get tired of your song I play it day in day out am much blessed may God increase you 🙏🙏🙏🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza

  • @eliabwile5247
    @eliabwile5247 Рік тому

    Mungu awe nawe mtumishiwa Mungu

  • @daudimollel7143
    @daudimollel7143 2 роки тому +5

    Namuona Shujaa wetu kila siku maishani ❤️😭
    God bless you brother Danken

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi

  • @emmejo80
    @emmejo80 2 роки тому

    My roll model big up

  • @micheleliakimeliakimmihale8820
    @micheleliakimeliakimmihale8820 2 роки тому

    Yesu aendelee kukubarik huku katavi tunakufatilia Sana by Michael Eliakim