Kilimo cha tikiti maji.
Вставка
- Опубліковано 16 чер 2020
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg - Навчання та стиль
Asante shamba lulu ITV , nimenufaika dhaidi. Ongereni sana kwa waandalizi.
Great work. Keep it up!!!
ni fursa nzuri sana
Naomba kujua aina ya mbolea matumizi yake pamoja na madawa ya wadudu na magonjwa
mimi niwapongeze waandishi wa habari kwa kufika kwenye mashamba ,mnapata kutuamsha na sisi tunaona kumbe maendeleo yanawezekana
Yaan maswali ya mtangazaji amejikita sana kwenye chatu uliza aina ya mbegu yanahitaji mbolea kiasi gani aina za mbolea unamwagilia mara ngap dawagan yanahitaji
Jamman npen no nijifunze zaid nataka nilime
Sorry nna swali kwan uwez kupanda direct kwenye shamba ad uanze kweny kopo
Nahitaji ufafanuzi wa kwamba "tikiti maji haiwezi kulimwa kama zao endelevu katika eneo moja" (bila kubadilisha zao)
tunaomba wekeni namba zenu tuwapate kwa msaada
Na Mimi nalima bustani nahitaji huduma ya TAHA
Vipi tutawezaje kuwasiliana
Nahitaji kujua utaalamu wa kilimo
Habari za asubuhi taha nahitaji huduma yenu, niko shy vijijini
Mche mmoja wa tikiti unaweza kuzaa matunda mangapi?
Kilimo ni hasara tu
Watu wasingelima
Hahahah,,,ww sema haukulima bana mana kuna tofauti kati ya kulima na kupanda wewe ulipanda...
Kilimo ni faida
Mwafrika mwenza angelijuwa kilimo ni maendeleo , nadhani angelirejea nyuma kidogo kwa kufikiri.