Ngozi nakukubali sana unajuwakazi yanikudilako ni3 lakwanzanila clamu 2 ni baba yangu kipofu la 3 niww kaka usikatitamaha kudilakolikopowa kutoka ww nikudi la ruta man munaweza sana nyinyi kicheche sasaivi anafeli anaishu
Hatimaye leo nmejua kinachoendelea juu ya gozi na huyu bint.nilitamani sana kujua mana so kwa mauzauza haya jmn😂😂😂😂hongera sana tishi pamoja na gozi apo mmeweza
Oya mwanangu gozi we gwiji 🇰🇪 kenya twakupenda
Ngozi nakukubali sana unajuwakazi yanikudilako ni3 lakwanzanila clamu 2 ni baba yangu kipofu la 3 niww kaka usikatitamaha kudilakolikopowa kutoka ww nikudi la ruta man munaweza sana nyinyi kicheche sasaivi anafeli anaishu
Kazi nzuri gozi kaka nathamini sana kazi yako,..
Ila Tish yuko vyema mashallah
Kazi nzuri sana mwana kwetu....much respect from Mombasa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gozi nakubali sana hucheleweshi kazi tunaenjoy sana❤❤❤
Hatimaye leo nmejua kinachoendelea juu ya gozi na huyu bint.nilitamani sana kujua mana so kwa mauzauza haya jmn😂😂😂😂hongera sana tishi pamoja na gozi apo mmeweza
Gozi nakubali kwa chuma hichi kikali kinyama
Asie tuongezea episode labda atuongezee dakika hata 30 min zinatosha love from burundi ❤❤❤❤❤❤
Hongera gozi kazi yako nzuri sana babaz...chukua mauwa yako kutoka kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tishi ni mzuri sana aisee
Wooooow kazi nzur kaka ❤❤
Gozi hapo sawa hata mm siwezi wacha
Gozi we uogopi mana so maajabu yanayokukuta 😂😂😂❤❤
Haogopi
The killer ni unyama 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻
Wapili leo ❤🎉 gozi nakuaminia
Kutoka Kenya🎉
Mwamba achelewi❤
Gozi,,, umeiva kaka
Gozi tuongeze episode walau mbili kwa siku
Au dakika maan kwa ep 2 ni ngumu kitu kinahitaj mandalizi ubunifu fedha nk from 🇲🇫
Kbx atuongeze
Movi kali sana
Wabongo hatuliziki
@@ElvisMbogo-i6p watu wamerizika ila utamu ukikolea hutaman isiiishe sio kwamba hawariziki
Nakukubali sana mwanangu gozi
twende kazi Gozi
Duh!! Hii ya leo naona kama ya kwanza aky mbina imeisha araka ivo... gozi ikiwezekana unganisha ingine juu kwa juu...
Gozi Wacha kukuwa kama mtoto kula mziko 😂😂😂😂
Kazinzul sana burundi tunawafatilia sna
Hii kitu nilikuwa na ham nayo kinoma ❤❤❤
Gozi Kila epsod unashtuka (mshangao Mara 10+)
Big up goz❤❤
Mwamba tunakukubali kinoma❤
Na wewe mambwende unazidisha masiara na movie Iko serious
MashaAllah kaka gozi😊big up bro...napenda series zako sanaa,..... watching from 🇰🇪🇰🇪
Asante sana Kwa kazi nzuri kaka ghosi unaweza sana next plz 🎉🎉🎉❤
aloo munacherewesha sna vip mbn muzi tamu sna yni sopoa
Keep it up my friend we need to see more of your talent
Mbio mbio natoka kwa Chado hawa watu ni fire 🔥🔥
Ila mimi ndo ningekuwa gozi kiukwel NY😂GE zote zingeisha😂😂😂😂😂
Kazi nzuri mnooo na muda ni wakutosha Gozi huna deni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Gozi Umetisha Kwa kweli twa enjoy Bt Ongeza Minutes
Good job habbiby 🎉🎉🎉🎉
Kaz nzuri goz❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mambo ni moto
Wow ni nzuri sana congrats❤❤❤🎉🎉🎉
Goz Kaz unayo
Kazi nzuri Hadi unakera🎉🎉🎉🎉
Wewe ni noma Sana gozi 🇨🇩🔥🇨🇩
Great job bana mnaweza sana ❤❤❤❤
Wooow following..Gozi aki mnatuweka sana😂😂😂though we are thankful
Good job gozi Big up sana
Gozi tuongezee mda wa movie angalau ifike hata dakika 30 because kazi yako na kikosi chako iko vizuli🎉🎉🎉
Wakwanza leo❤❤❤❤ nipeni like zangu
Kazi nzuri gozi
Wa ine toka DRCongo🇨🇩 nipeni like zangu❤
Am watching from Bahrain
Gozi narudia Tena shikamoo kaka,huna baya
Wa kumi Leo like jamn ata zifike mia tu
Good content Gozi endelea nakazi nzuri
Gozi uko juu mwana ❤
Gozi mkali ❤❤
Gozi ume enjoy 😉😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Me naomba atuongezee dakika kama nusu saa ivi au dakika arubaini ivi tafadhali
Ukweli nampenda Tisha,yani natokea kumpenda kutoka moyoni maana ana umbile nzuri yani anafaa kuwa mke wa mutu
Tisha mzur San Holo chicho had gozi mwenyewee kalainika
Ngoja aje gozi kutuadithia 😂😂😂
@@ZenaKambi-d6n tunaigoj kwa hamuuu
Ila we jamaa unajua bhn, dah🔥🔥🔥
🎉🎉❤❤🥰♥️🔥🔥🔥
Mambo yanazidi kunoga 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi ya maana sana hii
Gozi nakukubar sana
🎉🎉🎉 bomba sana Gozi
Msichelewe sana
Ayaaaa pita nayo gozi
Kazi nzuri ❤❤❤
daaah huyo jin anamiguu mizur😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Twende kz goz❤
Oyaaa haka kadem ni kazuri nyie 😍
Mm ishi 🇲🇫 but napnda hii movi
Nimeiwahi na nimekuwa watatu
Walioitizama vizur sana na kuipa 🎉🎉 kama mie tujuane kwa like hapa
Hapo akijifanya anapandisha mapepo we pandijmka nguo uone kama haja zinduka
Aaaaweeeeh 😂😂😂
Nakuambieni kichwa cha chini kikisimama cha juu hulala.
Kazi nzuri Gozi upewe mama yako
Da tishi apo umezingua Yani we umefumwa uchi alafu badala mikono yako uzibe uchi asione we washika mabegani🙉🙉🙉🙉🙉
Mana nasikia tu ili nasie tujue tusije chukuliwa kivuli bila kujua😂😂
Kazi zako nzurii sana kaka Gozi
Gozi umetisha msee😂😂
😂😂😂😂
Kadogo lakin katam❤
Ngozi kula mtoto huyo
Mbona kama Gozi ameanza 😁😁😁😁
Gozi jamani nazipenda kazi zako
Noma sana....
Goz the genius
Wach wee gozii wee mzenj ap ❤❤❤
Kweri tuongezewe mda mnaweka kidogo sana
Kazi zako murwa br
mpaka najiona kama mm gozi😅
Kaz kaka goz
Toka drc kalemie wa kwanza
Gozi ana moyo maan kama mzuka uyo dada 🤣🤣🤣🤣
Dundo liko kwa hewa. Pamoja sana #DirectorGozi 😂😂 ila Tish ana visa mi ningemsusia nyumba.
❤❤❤😂😂waiting for 7
😁😁😁😁😁tishe unanini wemtoto
Shida ya wanaume tuna vichwa vwili cha chini kinaponza