Chado master upo vzr kaka hongera kwa moyo wahuruma❤ watu wote wangelikuwa kma wewe bsi Dunia ingelkuwa n amani tele ila tuko tofauti sana 😢❤mama ngwengwe karibu tena 🎉
Oa!! Kaka chado naomba....hile nyimbo yako ya chado masta...hiwe inapigwa basi mwisho wa kila episode zilizobaki...make naikubari sio poa.....au ni2mie link ya huo wimbo!!
We hamjui mama ngwengwe kashtuka nini maana alitarajia chado ni yule cheusi sasa yuaona pandikizi la mtu ndo yuashangaa aaah! Kumbe huyu ndo anampeleka najma mbio hakutarajia aliona ni kamtu mchwara kama Cheusi.
Chado nakukubali mwanangu yaani nliona Jana TikTok nkaanguka nalo toka mwanzo hadi tulipo fikia sasa,ila movie inasisimua mapenzi walai🥰 nimetokea kukupenda chado sana🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimekuwa wa kwanza kufuatilia chado the master hii ndio i like 🎉 tupinge mauaji na utekaji Tanzania 😭
Wakati tunaburudika na hii series' tuzidi kuombea taifa liwe na amani❤
❤❤❤
Hakika❤
Tena😂😂😂
@@salwizzycraph9317nini kinakuchekesha?
Tupo nayo na tunatamba nayo bonge la movie ila chado masta unaongea kwa hisia sana mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉gonga like 🎉🎉🎉
Chado master upo vzr kaka hongera kwa moyo wahuruma❤ watu wote wangelikuwa kma wewe bsi Dunia ingelkuwa n amani tele ila tuko tofauti sana 😢❤mama ngwengwe karibu tena 🎉
Kazi nzuri sana tena zaidi ya sana wangapi wanaohisia kua ngwengwe ni mtoto wa chado master
Tuko pamoja, na Mimi nahisi ni moto wake 😂😂😂
Nipo hapa
Niliwaza hinvo hinvo kuwa ngwengwe nimtoto wa kitengo
Nasubiria nijionee😃
tupo apa
Nimekubali huyu chado atakua baba ngwengwe...😊much love from 254
Chado handsome boy..naifuatilia kabisa 🎉
Nakubali sana chado mm ni wa kwanza
Kumbe chado ni baba Ngwengwe hili tambala ni nomaaaa
Ndomaan bhs ngwengwe walikua wanaptan na chado
Sio kweli
Wanao mkubali ngwe ngwe ❤❤❤❤❤
🎉
Jamani nami nataka kuwa mgizaji napenda sana kazi iyo chado nifikiliye na mm 🙆🙆💖💖
Tenaa.!! Huyu manyonga naona anataka kupigwa na chado na hiyo kitu mm ndio i like😂😂😂😂
Umeonaee
Chado na timu yako mko vizur sana aisee mungu awabariki kwa kazi nzuri
Wanaomkubali chado master gonga like za kutosha hapa
Tunawashukuru sana kwa wakati wenu mzuri
YOYOTE UTAKAYESOMA HII COMENT MUNGU AKUFUNGULIE LIDHIKK ZAKO NA MAISHA MAREFU INSHLAAA🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏
𝐀𝐦𝐦𝐢𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐡𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡
Amina
Amin
Amiin rabby Allah minna
Amen
❤❤❤❤chado uko vizuri mnoo unatupa raha kwa wakati hongera kwako
Mwamba yuko freshx
Natamani ata usiishee mchezo uwendelee tu.
Naukubali kinoma na chado yupo vizuri
Kwani huyu Boss na kaka ake najma mbona kama simuelewi kama tapeli vile au ni mimi tu😂😂😂
😂😂 hata mm naona km ni mtu wa chchote kitu hv 😂😂
@@alitante4279 ahaha ndioo tena kibaka asije kutubakia najma wetu
Hata mm simuelewi😅
Yaan hata mm simuelew huyo boss
Sio ww tu ata mm
I appriciate u guyz bcz it is not easy ......mr chado masta i really love ur movies 🎉 hongera kwenu 😊
Tafadhali usimpe najma yule jamaa w pesa plzzz Dady
Najma mwenyewe amekufa ameoza kwa Chado hatamweza huyo jamaa wa pesa
Namkubali xana chado masta na timu yake🎉🎉🎉🎉
Naomba lik zang mapemaaa 🎉
Leo Mimi wa kwanza jamani naomba likes zangu from 254
Kazi nzuri chado masta👍🙏
Kipenz cha watoto wa elf mbili chado masta,nakukubali sana bro pamoja na kidemu jau
Nawapenda sna wapenzi wa chado master film❤
Ila cheusi anaakili nyingi zakuishi mjini kashampatia bonge akili yakuchangisha ela za taka naulinzi tena dah cheusi hufai😂😂😂
Kanichekesha cheusi😂😂😂😂😂 na bonge
Ngwe ngwe na chado kama wana juwana ivi I like it
Yani watu wa humu wote wakali kazi nzuri chado master
🎉🎉🎉
kinyama yan
mama yangu,whuuuuui,
Basi hapo yaweza hata tusijue yaani anawezakumfukuza tu tujue mwishooooniiii,
Chado masta,Asante sana kwa kutuletea kigongo🎉🎉🎉🎉🎉
Chado master unaweza sanaaaah mm shabiki ako ila nnaiman ipo siku ntafika mbali kma ww ulipo broo sema nn nakukubali alaf nakukubali sana yaani
Cheus n bonge kazi nzur 😂kma unawkubali gonga like
Ngwengwe uko sawa kabisa 🎉🎉
Duuuh bigap kwa chado master niatali huyu mzee baba aiseee
Oa!! Kaka chado naomba....hile nyimbo yako ya chado masta...hiwe inapigwa basi mwisho wa kila episode zilizobaki...make naikubari sio poa.....au ni2mie link ya huo wimbo!!
Ukimuimba hata atumii jamani
Chado pokea Maua yako wewe usiyeshindwa Na kitu chochote 😮🎉🎉❤❤❤❤
🎉🎉🎉
jamaa wa mama ngwengwe (kid) unafanan na kuntakinteee. ❤ sem unatishaa tumekumisi na mama ngwengwee😂
Like kwajili ya chado master mnyama nipeni kidogo naombeni tafadhali
leo niko watano naitaji like zenu!Big up san team chado masta nawapenda nyinyi wote!love from burundi❤❤❤
Mrundi mwenzang😊
@@NadineNdayikunda Asante
Huyu chado na mama ngwengwe wajuana kaa c mtu na nduguye,basi ni mke na mume yani mama ngwengwe na baba ngwengwe 😅😊
Yan acha ijay inafurahisha
😊😊😊😊
Kabsa
Chado ni baba kwa ngwengwe
Umetisha sana
Hivi mmegundua huyu kaka mwenye virasta kafanana na afande kikofia sijui mdogo wake
Kutoka canada wakuu naomba like ata moja
Labda canada ya kikuu
😂😂😂😂😂😂😂@@NemaAli-zh6hr
ushamaliza ukimbizi au
❤
Waliomuona Mr manyonga kamtaman Najma like hapa
Nishaaanz kumshtukia kbs😂
Hata mm namuona kamtamani ulijuaje sasa
Nimeilk kinoma chado masta zuri kaz xna ila mungu mwema utafka mbali kaka 🙏🙏🙏🙏👊👊👊
Daaah naiona familia ya baba mama na mtoto tena
TEeeeeeNAaaa! Hapa ngwengwe hapa hanifa hapa chado mhhhh hacha niende kwa cheusi nimuulize kulikoni mbn kushangaana tena😂😂😂😂😂😂
Hahahaha inaonekana kabisa ngwengwe ni mtoto wa chado
Nakubali sana Kichau 42 isichelewe Mwanetu
Oya cheusi kazingua kwl tii shuruti bila shurutishwa😂😂😂😂 me hapo ndy I like😂😂😂
Like kwa kaka chado maana anajua kuwanyoosha bonge na cheusi 😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo naomba like jaman
Leo nimedunda chado master ❤️❤️
Ila chado unawatesa hao wenzako jamani😂😂😂😂😂hongereni kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuseme Ameen😂😂
Nakubal sana kitengo
Nawaibia siri ya movie kwa jinsi navyoiona chado ndio aliompatia mimba mama ngwengwe na ndio baba wa mtoto ngwengwe 😂😂
Nawakisha juana ndobasi muvi imeisha..
Kabisaaaaa ata me nahs
Leo nami nimewahi like zangu tafadhar
mkali chado master❤❤❤❤big up sana
Ila chodo ume mwambia cheisi maneno mazuli kama ni muelewa ata kuelewa naomba like ❤
Oyaaaa twenden tukaichek hii ni yetuuuuuuuuuuu
Leo nimewah jamn
Chado mastaa unajua family respect man niga
Leo wa mwisho naomba koment zenu 😂😂😂
Unaishi wapi
Ningekuwa na mtoto wa mwaka mm0ja Kama mama ake asingekula nauli ya kuja geto😢
😅😅😅 dah
Tangu nianze kuwatch this movie sijai regret kuiwatch.........chado masta nmependa kweli
Cheusi baba nimeipenda hiyo definition ya kifoo
Asanti kwa another exciting episodes Chado much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umechelewasha kazi leo manachado....lakini hakujaharibika kitu tupe likes fan wachado
Kazi nzuri sana chado master na team yako much love ❤❤
Mwamba nimekuwa wakwanz
Ila chado vyote unavyo bt nimependa hio roho yako unavyo mhali huyo dogo wallah mungu akujaalie roho hio hio❤❤
Nimekua wa kwanz Leo naomben likes zangu🎉
Nakubali sana kitengo hii movie tunatamani isiiche❤🎉
Anajua saaaana
Kali sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman manyonga anataka nini kwa kina najimaa
Nimewahi naomba basi hâta liké 100
Tuliogundua chado ndo baba ngwengwe tujuane😹😹😹😹😹😹
Acha bhn
Masta kama masta nakupenda sana❤🎉
Apo chado umeweza 💯✔️✔️ nilikua naona utawauwa
😂😂chado master kabisa
Chado masta gwengwe mama ngwengwe nawapenda sanaaaaa na nyote muloshiriki nawafatiliaa nikiwa oman🙏🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Jamani Mimi sijui wangapi lakin naombeni like zenu ❤🎉
Me napenda kidem jao ama kijwa njicho ❤❤❤chado master napenda kazi yako💓💓💓
Tunae amini chado ndo baba ake ngwegwe wote hapa❤❤❤
Niliwambiaje boss mista manyonga atapenda najma chado jipange baba kazi unao huko mbele najma kua makini boss tapeli hana lolote
Number one today❤❤
Au sio vanessa.....❤❤❤
Hahahaha haha cheusi anachekesha kwakweli duuh tunainjoy kwel❤❤❤
Uyu Mr. Manyonga anajua sana aisee🔥🔥🔥
from Kenya ....nimependezwa na hii series ya mission impossible 🔥 chado🙌
Nampenda cheus😅😅😅 naumbeya wake
Mmi sanaaa😂😂
Jaman tunaoamini chado ndio babaake ngwengwe tujuane hapa❤❤❤
Huyu boss km mtu wa chochote kitu, amuache dadyy.
We hamjui mama ngwengwe kashtuka nini maana alitarajia chado ni yule cheusi sasa yuaona pandikizi la mtu ndo yuashangaa aaah! Kumbe huyu ndo anampeleka najma mbio hakutarajia aliona ni kamtu mchwara kama Cheusi.
Jaman nimewai
Chap bas no42 tunataka kujua mama ngwengwe na chado wana historia gan
tupo pamoja
Afadhali leo nimewahii🎉🎉
Nawakubali sana chado gang❤
Mbn kama Mr manyonga kampenda najma
Nimeipenda sana hii❤❤❤🎉🎉🎉hongereni
masta kama masta
Mwanangu wewe
Mbona wameshtuka wote isijeikawa ngwengwe babaake chado
Oyaaaaaaaa chado ndo baba ngwengweeeeeeee 😂😂😂😂😂😂
Imeishia patamuu 😅😅😅