Izi ndio siku za mwsho Wale wa Naomi like zangu apa nawapenda wa kwanza kutoka team strong 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤭🤭🤭🤭🤭🤭❤️❤️🤗🤗🤗🥰🥰🥰🥰🥰wapenda kanisa wapi kelele weeee
Kila baya wanalo tuombea maadui zetu ata kuchukua picha ,nguo ,nyayo ,kucha nywele zetu acha zikawarudie kwa Jina la allah subhannah wataalah hawatafanikiwa kama unaamini comment amiiin na ueke like 👍 ukiamini mwenyezi mungu yuko kutusaidia na kutulinda usiku na mchana ili waovu wasituone amiiin
Mungu atuepushe na mabay yote ya dunia maan tunaishi na watu vizur na hatujui ni yupi mwema kwetu na yupi n mbaya kwetu kwa hyi tujitahid na maombi sana maan Mungi n mmoja tu.❤❤
Mkwe wa nyoko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂juuu alichapwa adi akaskizia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂astagfirullah atubu ilahii haya maisha allah atujalie mwisho mwema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢na atuepushe na mambo ya Dunia amiiin
Nyie waislam mnavaa vibalakhashekhe pia mnakosea Salam ulizeni bwanayesu asifiwe ni Ameen siyo Amina Hyo ishara ya msaraba Salam ni tumsifu YESU keisto milelele Amina na siyo bwanayesu asifiwe amina na kristo anaitikia tumaini letu
Kwahakika bairam na kikundi chako muko vizur sana ❤na mumeshakuwa baba lao sasa,ndio uzuri amekuwa sirias filamu hii 😂😂mkwe wa nyoko umepata adui yako maneno hayaji vizur.like zenu 100
Nampenda sana Naomi kama unamkubali naomi kama mimi basi tujuane kwenye like❤
Izi ndio siku za mwsho Wale wa Naomi like zangu apa nawapenda wa kwanza kutoka team strong 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤭🤭🤭🤭🤭🤭❤️❤️🤗🤗🤗🥰🥰🥰🥰🥰wapenda kanisa wapi kelele weeee
Wakwanza kutoka dodoma naomben lek zenu🎉
Tuko kwa snaa team strong hapa🇸🇦🇰🇪
@@faridahally6314 krbuni saaaana 🤣
team hamam🇰🇪🇸🇦
Kila baya wanalo tuombea maadui zetu ata kuchukua picha ,nguo ,nyayo ,kucha nywele zetu acha zikawarudie kwa Jina la allah subhannah wataalah hawatafanikiwa kama unaamini comment amiiin na ueke like 👍 ukiamini mwenyezi mungu yuko kutusaidia na kutulinda usiku na mchana ili waovu wasituone amiiin
Kazi nzuri
Amen 🙏
Ameen mungu ndio kimbilio langu❤❤
❣️ Amiina ❣️ inshallah ❣️
Amiin
Mungu atuepushe na mabay yote ya dunia maan tunaishi na watu vizur na hatujui ni yupi mwema kwetu na yupi n mbaya kwetu kwa hyi tujitahid na maombi sana maan Mungi n mmoja tu.❤❤
natumai hajafariki kwa sababu mungu hajawahi kutupa mtumishi wake na hata ikiwa nguvu za shetani zimemfikia natumai mungu atamsaidia😊😊🫶🫶🤗🤗😌🙂↕️🙏🙏🙏
Jaman tumekwisha ira reo niriwayi naomba mauwa yangu hat mata5 basi❤❤
Nimechelewa kidogo naomben like zangu 10 wewe naomi fanya bas mambo yako
Wakwanza leo from Bujumbura Burundi 🇧🇮🇧🇮naombeni like hata 5
Bailamu mnaferi wapi mchungaji na kibalakashia kichwani wapi na wapi move nzuri sana mtafutie kofia ya kuvaa mzee simba ili iendane na uchungaji wake
😅😅hapo ni kweli ila movie iko 🔥🔥🔥
Umeongea
😂😂😂 Mungu anajitetea mwenyewe unateseka bure
Kweli kabisa
@@graceshima-zc4xxumeonaeee😂😂😂😂
Nguvu za Mungu ziko very powerful hakuna atakayetushinda
Munguwangu Dusaidie Tuombe Kirasiku Ndunia Inamambo Mengi Kwel 😢😢😢
Nipooo hapaa wa kwanza,asanten kwa kuwahishaa
Yan kila move hnavyokwenda ndyo utamu unazidi oya wazee mnatisha.🎉🎉🎉
Movie nzuri sana nawapenda amcheleweshe movie zenu hogera sana❤❤❤❤
We mjomba kigoma uyo mzee anakudanga atakuponza yeye kashapigwa kitu kizito kwel kwashetani akuna kweli ndanganyana tu😢😢😢😢
Mke wa nyoko siku zote palipo n mungu wa kweli n usheteni haviwez kuwa pamoja mungu siku zote anatetea wajaaa wake milele amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Wamwisho kutoka omani nampenda San Naom unaweza dad' mahua 🌹🌹🌹wapeke m🔥🔥🔥🔥 hawo
Team WiFi team furus team kupambana mpo fasta mno 🥰🥰 atuitani jamani kama mzigo upo tayari bhailam unajua mpaka unajua tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzurii kabisa mi ninachoamini kama unajua unajua tu🎉
hi movie n tamu na inafunzo jamn daaah mzee simba omba bhn hata kam umepigwa n kitu kizito shetan hawez kukushinda
Mkwe wa nyoko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂juuu alichapwa adi akaskizia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂astagfirullah atubu ilahii haya maisha allah atujalie mwisho mwema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢na atuepushe na mambo ya Dunia amiiin
bhailam umekosea kitu kimoja mzee simba ni mchungaj sw lkn hiyo kofia ya kiislam hapo unachanganya mada
Wasabato tunavaaa mbona😅😅😅😅😅
Nyie jama hajakosea manabiii wakubwa nilazima wasome pand mbl zote ili kupata maalif zaid
Hapo sasa ilo neno
Nyie waislam mnavaa vibalakhashekhe pia mnakosea Salam ulizeni bwanayesu asifiwe ni Ameen siyo Amina Hyo ishara ya msaraba Salam ni tumsifu YESU keisto milelele Amina na siyo bwanayesu asifiwe amina na kristo anaitikia tumaini letu
Kazi mzuri bhailamm na wenzake
Wa kwnaza kuangalia from kenya
Mzee simba hope utakua sawa,,,nguvu za giza hazina mamlaka kwa mungu wako unaemwomba🎉🎉kazi nzuri wote ina funzo kubwa sana❤
Atanasi. Ndani. Balaaaaaaaa hili. Twendenalo mpaka mwisho. 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee kiukweli mnatufanya tufulahi xana lakini
Jamani hii story mbona kama yangu inaitwa kafara ya mwisho 😢Dah! Nimeamini umaskini mbaya laiti ningekua na pesa ningekua nishaitoa😢😢
😂😂😂
Hhhh
Wa kwanza nipeni hata like 10
Mungu amuonekanie mtumishi wake,,mashitani wote wachomwe
Mtihani mzito hivi ndio wanavyotufanya binadamu wenye roho mbaya Sana kwetu Allah usiwape nguvu watu kama Hawa wanatutesa sana
WA 4 Leo naombeni like kwa wingi from burundi
Naomi fanya mabo araka
Infact that's how shetan anafanya kazi shindwe in the name of God nisiwai msikia shetani ata siku moja
Nimewahi na Mimi naombeni like hata 5
Congrats guys inamafunzisho .mungu awabariki sana
Wa tatu like zangu hapa
Kwenye jini mmekosea,,,Mungu amtumii jini kuwaokoa watuu,,huo ni huongo kabsaa
Naungana na wewe
Naungana na wewe kabisa MUNGU hatumii jini kuwaokoa watu jina pekee liokowalo ni jina la YESU ❤
👊👏👏👏Kutoka kenya tunaikubali sana
Amen Mungu kwetu ndio nguvu yetu
Kwahakika bairam na kikundi chako muko vizur sana ❤na mumeshakuwa baba lao sasa,ndio uzuri amekuwa sirias filamu hii 😂😂mkwe wa nyoko umepata adui yako maneno hayaji vizur.like zenu 100
mimi apa wa akwanza naomba mu nisapoti like zenu jamani
Wakwanza like zangu jamani
Mungu ni jibu mtegemee kwa kila jambo
Simba hiyo kofia haifai na uchungaji
Jamani naomba like japo 2 tu
Mkwe wa nyoko😂😂😂😂
Kazii nzurii sanaa 🎉🎉🎉🎉🎉hongeraaa naomii unachezaa ipasavyo❤
Like zangu
Very good work, I like it, keep it up, God will give you strength to help us in Tanzania
Tunao tumia Wi-Fi za bure tujuane 💪
Nipo apa😂
Ndo uzuri nakukubali sana❤🎉
Jini ushzuri wako mbaya San wallah naom upo nice
Ramso mukwe wa nyoko😅😅😂😂😂 mzee utaniua na kicheko😂😂😂
Mungu atusaidie kwa kila jambo 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
Amiin 🤲🤲yarabby taqhabali Dua 🤲🤲🙏🙏
Wakwanza leo❤❤
Mkimaliza nendeni kumsapoti Mtumishi Stephano Iddy
Hongereni nyote mana hii movie nitamu balaa
Wa kwanza like zangu😂😂😂😂
😂😂😂😂et mkwe wanyoko subiri kikurambe mwamanye vandu 😂😂😂hongera sana naomy kutoka Kenya 🇰🇪
❤️❤️❤️❤️ Team strong tujuakwa mikono more ❤️ from 🇰🇪💕🙏
Movie ni 🔥🔥🔥🔥
Kazinzuri sana 👍 👍 👍
Nimependa kbs kbs dua🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wanani tuko pamoja
Kazi nzuri sana
Nakupenda sana naomi ❤❤❤❤❤❤pamoja na watu wako
Aki hii movie naipenda sna 🎉🎉🎉🎉❤❤
Iyo kofia ya mzee mang'anya ni ustaaz ??? Avue iyo kofia afanane pastor
Wabongo kazeni mwendo. Naanza kuona kazi.
Mungu atulida jina la yesu latosha ❤❤❤❤❤❤
Nawapenda ❤❤❤
Mov kalii san ila msichlew🎉❤❤ big up
yes❤❤😢😢
Iko vizuri sana from Kenya
Maigu umetisha sana humu
Mzee simba anawez kuvua iyo kofia?? Mtafutien kofia itakayoendan na uchungaj au anyoe uparaaaaaa
😮
Bwana yesu asifiwe
Ddaangu naomi ongera kwa kazi yako nzuri
Motivation maigu 🙌🙌
Sema.ulipigwa mpka ukachaganyikiwa😂😂😂😂😂 na uvue miwani mchawi unavaa miwan
Naipenda sana. Safi sana bwana bonge😂😂
Kazi nzuri 🎉
Duuu movie kali sana ❤🇧🇮
Wa mwisho naombeni like 100 💯 wakuu
Shetani kama shetani🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂 ila baba ramso jaman eti mkwe wa nyoko naomi ❤❤❤❤🎉🎉🎉 umeweza
Nzuri sana
kwa kweli naku penda Naomi 🎉🎉
Nakuelewa sana naomi na jojo from🇹🇿
Haha shetani ako kaxi kweli kweli mana masio kwakuteka watu hivyoo
Mamb yanazid kuw motoo✌✌
Kazi iko safi🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 mkwe wa nyoko
Hongera kwenu 💐💐💐💐💐💐
Bailamu kazi nzuri sana ❤🎉🎉
Kazi nzur san ❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Nakubali mmetisha
Sijui mnakujaga saa ngapi kila nikiwai nawakuta mmejaa top😂