Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kama umeona jamaA anaweza gonga like twende sawa ila anaibu
hapo kwenye kupiga hesabu za jua kuhamia upande wa pil huyo ni mm kabsa😂😂😂😂😂😂
kuachwa kwa Maśìkin mbavuu zàngu mie
😅😅😅Mi napiga sana hesabu za jua, hasa Magari ya kugeuza nayo. Kwa joto la Dar unaweza yeyuka
Madini mengi yooote umeyatema mala moja😂😂😂
umeua mzee Baba,utakua masta kadiri muda unavyosogea..Bado kuna Hali fulani ya KUHISI AIBU KWA MBAALI
Trust me! Jamaa ni anajuaaa badae atawanyoosha umo! Siku ya kwanza mtu achekeshe ivi duuuh anajua
☺☺☺☺ ah ah ah jaman tuache utaki mchiz anajua mpak kujua tena respect kwako bro
1 kat ya show ambayo uwez jutia ela yako n hii.. Kuanzia entrance Na bundle lakoNyi wa2 n noma👍👍
Umetisha bob😁😁😁😁😁😁
Thank ma home boy Mungu akutunze kipotoshi
Mamaa weeeeee😂😂😂😂njoo uchukue pipi leo
Daaaaaaaah 🙌🙌🙌 Mungu akutunze mwamba
Guyz this kid ni mbaaad mbayaaa 🙌
Sikuwa na mpango hata wakuitazama yote, sasa sjui nmefikaje kwenye matangazo😂😂
😂😂😂😂
Yaan we kipotoshi unaweza sanaaaa
Daaah anajua npka kero
Keep up bro unajua sana
Hii video nipo kwenye daladala naicheck hali hzo zpo kuna m2 analamika2 apa...
upo vizuri kaka
Daaah! Ni huyu kaka anajuaaa
Mbeya oyoooooooo
Yuko vzr 💎💎💎
😂😂😂😂😂😂😂daah jirani yangu umeua
We nomaaa
Anaweza sana
gwakumityu kyala akutule umeny
Unaweza wakwetu
Hii ni idadi ya NA alizosema mshikaji ila yuko poa
Ukovzur bro sema punguza aibu
Wa kumi kucomment wapi like za kipotoshiiiiiiii
Hatari
Unaweza kaka 😂😂😂😂😂😂
Jamaaa nomah😂
Anawez San San big up kwake
Duhhhhhhhhh kipaji Unacho kaka hongera
Mmekukubali we mkaliii
😂😂😂😂woyooo mpotoshi nomaaaa
Unawezaaaa sana
unawezaaaaa
Mbeya City
Hahaaaha nimecheka sana
Jaman unajuaa weweee 😂😂😂😂😂😂mbavu mie hongera unajua kunivunj mbavu zng
Umetisha dogo
Kati ya show bora sana kwangu kutazama kila mara. Hapa kipotoshi aliua
MIMI MPAKA LEO NAIRUDIA
Green city 🔥🔥🔥💯💯
Anajua
Ni shidaa huyuu jamaaaa anajua🤣🤣🤣
Uko poa sana bro
Excellent,original materials
We kill it broo😂🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Dogo nowmah sanaNimwambie atoe gap kwa audience kufurahia kila punch line yake
Big up home boy
😂😂😂huyu jamaa ni kichwa aondoe aibu tu ..kwa muda alio- perform ni kipimo tosha
Respect brooo nimeelewa hii🙌
Mwamba Yuko Vizuri 🔥🔥
😀😀😀😀mamaaaa mbavu zangu mimi daaaaaaaaah
Dah, nimekupenda bure
Ase jamaa ana kpajii..🤣🤣🤣
Unajua baba
😂😂😂😂😂😂😂hapo Kwa mahesabu ya JUA ni Mimi kabisa aiseee🤣🤣💖💖💖 mwenyez mungu akuweke warah
Umetishaaaaa
Safiiii I enjoy the show
Deo part 2
ww unawez kwenda na speed yakina deo na mc madevu BIG UP BRO
Hivi mc.madevu yuko wapi siku hizi?
Katishaa...
Hiyo ya jua nimewahi kuifanya hiyo 😂😂😂😂😂
kwel had mim....
Da kipotoshi nakupenda sana kaka 👏
Oyoooooooo mbeyaaa city boyyyy
Kipo Anajua sanaa aiseee, akiendelea kukaza naiona spesho yake inakuja
Uyu jamaa akizoea ni balaaa
Hahahahahha jamaa anajua mnoo...🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Anapo Kaa muda mrefu sana jukwaan anapoteza ladha ya comed
jamaa anajua sana sema hii siku alikuwa na pressure.....I think it was stage fever
Kwenye jua umenipata mzee
Anajuaaa
Huyu jamaa Ana hatari dadeq 😂😂😂😂😂
Na maskini hua hawalike subili muone kama nitapata like
Mbeya oyeeeee
Huyu jamaa mkali hatari sana
Umetisha
Coy huyu mshezi umetoa wapi, yaaan clip haijaisha nimeianzisha tena mwanzo ili isiishe
😂😂😂
Big up bro
Chezea kuachwaaa!!! 😂😂😂😂😂
Kipotoshi is an exceptional comedian
Fresh kka
Hyo mziki na ndoto imenvunja mbavu
We noma San
Sema ziba pengo hilo linakunyima uhuru wa kutabasamu.
😂😂🤤🤤 Nimecheka mpaka udenda umenitokaa🤤🤤
Ni noma sana mzeee
dah,ila jamaaa roho mbaya,hakuna hatammoja alotaka na amgalau jero yakutunza
mwamba ana aibu lkn
Ila Naaa zmekuw nyingi Nàaa🤣🤣🤣
Wwe jamaa ni 🔥
Huyu mbwa anajua kinoma
Ebhana Kipotoshi amevunja vibaya mno kweny hii comedy
Usikatishwe tamaa na wajinga flan kaza juhud una kitu kikubwa sana kaka
Noma sana
Huyu jamaa katokea mbeya kwl😂😂😂😂😂
Brilliant
Upo vizuri ila upona speeds in your spech
kaimprove sana... mwangalie hivi karibuniiii... hii ni miaka 4 iliyopita.....
Uyu nikiboko ase
Kama umeona jamaA anaweza gonga like twende sawa ila anaibu
hapo kwenye kupiga hesabu za jua kuhamia upande wa pil huyo ni mm kabsa😂😂😂😂😂😂
kuachwa kwa Maśìkin mbavuu zàngu mie
😅😅😅Mi napiga sana hesabu za jua, hasa Magari ya kugeuza nayo. Kwa joto la Dar unaweza yeyuka
Madini mengi yooote umeyatema mala moja😂😂😂
umeua mzee Baba,utakua masta kadiri muda unavyosogea..Bado kuna Hali fulani ya KUHISI AIBU KWA MBAALI
Trust me! Jamaa ni anajuaaa badae atawanyoosha umo! Siku ya kwanza mtu achekeshe ivi duuuh anajua
☺☺☺☺ ah ah ah jaman tuache utaki mchiz anajua mpak kujua tena respect kwako bro
1 kat ya show ambayo uwez jutia ela yako n hii.. Kuanzia entrance Na bundle lako
Nyi wa2 n noma👍👍
Umetisha bob😁😁😁😁😁😁
Thank ma home boy Mungu akutunze kipotoshi
Mamaa weeeeee😂😂😂😂njoo uchukue pipi leo
Daaaaaaaah 🙌🙌🙌 Mungu akutunze mwamba
Guyz this kid ni mbaaad mbayaaa 🙌
Sikuwa na mpango hata wakuitazama yote, sasa sjui nmefikaje kwenye matangazo😂😂
😂😂😂😂
Yaan we kipotoshi unaweza sanaaaa
Daaah anajua npka kero
Keep up bro unajua sana
Hii video nipo kwenye daladala naicheck hali hzo zpo kuna m2 analamika2 apa...
upo vizuri kaka
Daaah! Ni huyu kaka anajuaaa
Mbeya oyoooooooo
Yuko vzr 💎💎💎
😂😂😂😂😂😂😂daah jirani yangu umeua
We nomaaa
Anaweza sana
gwakumityu kyala akutule umeny
Unaweza wakwetu
Hii ni idadi ya NA alizosema mshikaji ila yuko poa
Ukovzur bro sema punguza aibu
Wa kumi kucomment wapi like za kipotoshiiiiiiii
Hatari
Anaweza sana
Unaweza kaka 😂😂😂😂😂😂
Jamaaa nomah😂
Anawez San San big up kwake
Duhhhhhhhhh kipaji Unacho kaka hongera
Mmekukubali we mkaliii
😂😂😂😂woyooo mpotoshi nomaaaa
Unawezaaaa sana
unawezaaaaa
Mbeya City
Hahaaaha nimecheka sana
Jaman unajuaa weweee 😂😂😂😂😂😂mbavu mie hongera unajua kunivunj mbavu zng
Umetisha dogo
Kati ya show bora sana kwangu kutazama kila mara. Hapa kipotoshi aliua
MIMI MPAKA LEO NAIRUDIA
Green city 🔥🔥🔥💯💯
Anajua
Ni shidaa huyuu jamaaaa anajua🤣🤣🤣
Uko poa sana bro
Excellent,original materials
We kill it broo😂🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Dogo nowmah sana
Nimwambie atoe gap kwa audience kufurahia kila punch line yake