"Sikumoja nitakwenda Zanzibar kwa uncle Saleh anipeleke MAKUNDUCHI nikatambikie" hiyo ni miongoni mwa vionjo vya wimbo uliomo ktk albam ya RABANA. Waimbaji wa msondo wakti ule walikuwa ni bitchuka, Momba, Maina, Gurumo na Moshi. Wakati ule wanamuziki walikuwa wanaenjoy muziki na sisi wasikilizaji tulikuwa tunafurahia sana. Miaka hiyo makocha wa Simba na Yanga walikuwa KIHWELU NA MKWASA.Pia Mudhidhir alikuwa naibu waziri wa Utamaduni na Kepten Ditopile alipelekwa LINDI kuwa mkuu wa MKOA. Mambo yote hayo unayapata ktk wimbo
TUNATAKA DISCIPLINE.......Katika album ya RABANA ukiachia wimbo huo, nyimbo nyingine ni Ndoa NDOANA, LUCY BANDAWE, CHUMA KIKOLI MOTO, RABANA YENYEWE NA ARABIA FADHILI. Baada ya Album hiyo bitchuka na MWANYIRO wakahamia SIKINDE pamoja na ALI YAHAYA.MSONDO IKAMCHUKUA MBWEMBWE NA MNYUPE NA KUSHUSHA ALBUM Ya Kilio cha MTU MZIMA na nyimbo za MAKUTUBU, JESCA,KIALA CHENJA,Tenda wema, na KILIO CHA MTU MZIMA yenyewe
Hii nyimbo imenitoa machozi! Kwa sababu wote waliotia sauti frontline wameshatangulia mbele ya haki! Msondo baba ya muziki!
Nimekumbuka Bari Sana ndo nimekuja mjini nauza kahama jamani lakni Leo hii na Mimi nipo kwangu Maisha mazuri dah
Asante wakubwa kwa ujumbe safi
"Sikumoja nitakwenda Zanzibar kwa uncle Saleh anipeleke MAKUNDUCHI nikatambikie" hiyo ni miongoni mwa vionjo vya wimbo uliomo ktk albam ya RABANA. Waimbaji wa msondo wakti ule walikuwa ni bitchuka, Momba, Maina, Gurumo na Moshi. Wakati ule wanamuziki walikuwa wanaenjoy muziki na sisi wasikilizaji tulikuwa tunafurahia sana. Miaka hiyo makocha wa Simba na Yanga walikuwa KIHWELU NA MKWASA.Pia Mudhidhir alikuwa naibu waziri wa Utamaduni na Kepten Ditopile alipelekwa LINDI kuwa mkuu wa MKOA. Mambo yote hayo unayapata ktk wimbo
Ni tarehe 12/1/2023 kama wapo pale Amana nawaona Kwa macho yangu. Mungu wabariki mashuja wetu hawa WA Tanzania popote walipo, Ameni
Leo 14, 2023 muda huu nipo Amana naangalia kumekuwa ofisi za Mambo mengine nakumbuka hivyohivyo
Nani anasikiliza nami Sept 2021 na bado anapata hisia kama nyimbo imeimbwa jana!
Tupo wengi leo September 14 2023 Ni Kama juzi tuu
TUNATAKA DISCIPLINE.......Katika album ya RABANA ukiachia wimbo huo, nyimbo nyingine ni Ndoa NDOANA, LUCY BANDAWE, CHUMA KIKOLI MOTO, RABANA YENYEWE NA ARABIA FADHILI. Baada ya Album hiyo bitchuka na MWANYIRO wakahamia SIKINDE pamoja na ALI YAHAYA.MSONDO IKAMCHUKUA MBWEMBWE NA MNYUPE NA KUSHUSHA ALBUM Ya Kilio cha MTU MZIMA na nyimbo za MAKUTUBU, JESCA,KIALA CHENJA,Tenda wema, na KILIO CHA MTU MZIMA yenyewe
2023🙏
Nakumbuka mbali xana kipindi hicho nakua nazisikia hzi nyimbo dah!yaan inaleta burudan sana
daaah nikisikiliza huu wimbo nikiangalia vtu navyo kutana navyo shida sanaa
2022👊👊👊
Nyimbo hii inaweza kutoa machozi
Naomba nipatiwe jina la aliyepiga bass guitar ktk huu wimbo
Suleiman Mwanyiro "Computer" hapo TX Moshi anamwita "Internet"
kweli mziki ilikua zaman sasa suruali matakoni
Dunia saivi imekuwa kibogoyo
Darasa la tatu
Hakika ni huzuni hawa jamaa walikuwa manabii
Hakika kaka, umenena kitu sikukitegemea lkn kina hisia kali!
Kweli dunia imeharibika, inaitwa dunia yakizazi kipya.
Who is listening with me in july 2019
safi sana ongeza masunda .mwanaidi,baba kavamia jiji,kasheshe na zenginezo
mwenye wimbo wa ottu Ashura atupie
andika tu Ashura-Ottu jazz utaupata
Msondo Afyaaaa
wewe acha
7
daaah nikisikiliza huu wimbo nikiangalia vtu navyo kutana navyo shida sanaa
huo ndo ujumbe wa msondo ngoma.siku hizi ni shidaaa....... wasanii wa kizazi kipya,ni suruali matakoni,Aaaaahaah.
Hanaf Kimaro daad nakmbk MBL sn
Kwa heli mwaka 2019 kalibu 2020