Mungu akiamua kukupa kwa njia yyt basi anakupa tu hii video imeend viral huend ikawa ndio njia ya hatua nyingn ya maisha hongera sana joseph kusanga una moyo wa kuona, una moyo wa kuona mwenye uhitaji una utu mungu akulinde. Hakika baba wanapambana mno na wanafuraha wakiona familia yao inafuraha na kubwa kuliko ni furaha kuwa na bint pemben the best vission in life her smile is the key of all door may god protect them.
Dini zote zinahimiza kushukuru kwa neema ulizonazo.Tatizo sisi binadam wengi hatunaga shukran😢.Neema ni nyingi, Ila hii Ya afya na furaha ni kubwa zaidi.Wengine tuko kwenye nchi zenye kila kitu lkn still hatuna furaha. Una uhakika Wa kula, kutibiwa magonjwa makubwa bure, usafiri masaa 24, ukipoteza ajira serekali inakupa mshahara kwa miaka 2 wakati inakutafutia na Wewe kujitafutia.Matenity mwaka mzima na mshahara juu,na mengine ,lkn wallah 60.%watu hawana furaha.Roho zinawaka moto na stress.😢😢
Utajiri wa kweli c ugali ,jamaa aliyasema hayo kwa kuona mahindi yalikua ghali sana na yakashuka bei kidogo Serikali ijue kwamba maisha ya raia ni chakula muwe huruma kwa raia wenu
Allah subhana wataalam ansema ktk Quran mkishukuru nitawazidishieni ktk rizki zenu alhamdlillah
😭😭😭😭ukute Kuna wakat walikua wanakosea hata uji Leo ugali na maboga aiseee ni Mungu tuu
Asiye shukuru kidogo hata kikubwa hatoshukuru mungu atamzidishia tu
Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Kila kitu!
Baba rehemaaa nakubali sana homboy
Jamani hakika mungu ni mwema sana
Mungu akiamua kukupa kwa njia yyt basi anakupa tu hii video imeend viral huend ikawa ndio njia ya hatua nyingn ya maisha hongera sana joseph kusanga una moyo wa kuona, una moyo wa kuona mwenye uhitaji una utu mungu akulinde. Hakika baba wanapambana mno na wanafuraha wakiona familia yao inafuraha na kubwa kuliko ni furaha kuwa na bint pemben the best vission in life her smile is the key of all door may god protect them.
😢😢😢na mm nmefurahi sana kwaajili yao MUNGU ni mwema
Awesome MUNGU wa mambo Yasiyowezekana 😢😢🙏🏿🙏🏿
Hadi nimelia aiseee, ambadilishe maisha
Yaaan ni shukrani kwa MUNGU iliyotoka moyoni haswa moyo wangu umeguswa sana na sala yake tujifunze kupitia kwake
Dini zote zinahimiza kushukuru kwa neema ulizonazo.Tatizo sisi binadam wengi hatunaga shukran😢.Neema ni nyingi, Ila hii Ya afya na furaha ni kubwa zaidi.Wengine tuko kwenye nchi zenye kila kitu lkn still hatuna furaha. Una uhakika Wa kula, kutibiwa magonjwa makubwa bure, usafiri masaa 24, ukipoteza ajira serekali inakupa mshahara kwa miaka 2 wakati inakutafutia na Wewe kujitafutia.Matenity mwaka mzima na mshahara juu,na mengine ,lkn wallah 60.%watu hawana furaha.Roho zinawaka moto na stress.😢😢
Kwann
Alhamdulilah broo Allah atakuzidishia
Utajiri wa kweli c ugali ,jamaa aliyasema hayo kwa kuona mahindi yalikua ghali sana na yakashuka bei kidogo
Serikali ijue kwamba maisha ya raia ni chakula muwe huruma kwa raia wenu
Kabisa mkuu
Wao viongozi hawajali wanyonge je magufuli aliweza kwa nini samia anashindwa
Awesome😢😢😢😢
Muda wa baba rehem huu baba jose muuza mkaa tumemalizana nae😂
Rafiki yangu wa kitambo 🎉
Jamaa anasema i love you ugali😊😊
I love you, UGALI!
Glory to GOD
Allah awazidishie
Nikumshukuru tu mungu
Kwetu hyooo home boy wakat wa mung umefika
Furaha ya kweli ipo miguuni
I love you ugali
Nmetokwa amachoz nkwel imenigusa mno namm naptia hayo maisha Ila mungu atatenda jambo
Dah haya Maisha Siyo poa
Alhamdullah for everything
JPM aliyaweza nyinyi mnafeli wapi nauza nje haliyakuwa wananchi wenu wanasota hili swala hata Mimi sifrahishwi nalo kabsa
Eti kinachonizingua ni naul tu huyo lazima apandishwee pipaaa
Ameen
nakubari
WATU TUNAOMBAGA LAKINI KUSHUKURU TUNASAHAU.. NEEMA ZIMEJIFICHA KWENYE SHUKRANI KWA MUNGU NA SI MAOMBI
❤❤❤❤
Mbona amefanya nimetamani ugali na mboga za maboga jaman🥺
Hii nchi ina heka heka sasa mbona wano shukuru niwengi😂😂😂😂😂😂😂😂
Kila mtu na nyota yake
@@salmasalim3525 kwakweli kila mtu na siku yake
Mwandishi maswali unauliza hayaumizi