MGENI WA KIJIJI EP 17

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • TAZAMA SERIES YA MGENI WA KIJIJI EP17
    SAB-ONLINETV
    Phone No. +255 652 850 503 Director SABI
    • MGENI WA KIJIJI EP 17

КОМЕНТАРІ • 233

  • @jafarigome3838
    @jafarigome3838 6 місяців тому +28

    Na Mimi nimekuwa wasaba like

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 6 місяців тому +14

    Naombeni na Mimi like pia anae kubali vituko vya kobelo naomba like.

  • @saidially5892
    @saidially5892 6 місяців тому +11

    Bunye na kobelo mbona
    Wanafanana😂😂😂😂😂 au macho yangu tu

    • @Awoshy
      @Awoshy 4 місяці тому

      Itakuwa ni mmoja huyu kacheza mara mbili😂😂si kwa mfanano huo

  • @DBlack-bo8ob
    @DBlack-bo8ob 6 місяців тому +14

    Mgeni wa kijiji imekua movie bora namtunzi wa stories alitulia hongera saana

  • @IvanChaula-t1r
    @IvanChaula-t1r 6 місяців тому +10

    Mimi nipo kwenye wa kwanza kutoka mwisho

  • @BrilliantAdega
    @BrilliantAdega 6 місяців тому +56

    Leo nmejaribu aki naombeni likes plz ata mbili tu plz I beng

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli 6 місяців тому +6

    Kazi nzuri Boni jtahd uwe unamalza series najua kila kazi ina changamoto yake

  • @SalomeSalome-pr8zt
    @SalomeSalome-pr8zt 6 місяців тому +6

    Nzuri sana

  • @VyukusengeAlya-dl6kg
    @VyukusengeAlya-dl6kg 6 місяців тому +5

    Tunawakubali sana kutoka burundi tupo moçambique

  • @juliusmutuma7731
    @juliusmutuma7731 6 місяців тому +5

    Huyu mama mwenyewe kiti ako na uogo inakaa ukweli😂😂😂

  • @senyonjoeliya926
    @senyonjoeliya926 6 місяців тому +11

    Nakukubali masuke +Shabiki kutoka KAMPALA

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه 6 місяців тому +8

    Yani kapewa jina 😂eti nyaminundu😂😅

  • @saumosoro9799
    @saumosoro9799 6 місяців тому +7

    Nimwwahi leo like zangu kwa rose peda sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mgeni wa kijiji

  • @mamakeashili
    @mamakeashili 6 місяців тому +8

    Nipeni like za kobero jamani ❤

  • @AngelinaKinuthia
    @AngelinaKinuthia 6 місяців тому +6

    Leo ni nimapema kwangu ❤

  • @AliIbrahim-gg2sx
    @AliIbrahim-gg2sx 6 місяців тому +6

    kazi swafi sana.

  • @hamysonpictures7274
    @hamysonpictures7274 6 місяців тому +32

    Kama unamaswali kati ya Bunye na Kobelo like hapa tutapata jibu.

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 6 місяців тому +5

    ❤❤❤ ombi episode 18 fanyeeni wepesi

  • @richardcandidus186
    @richardcandidus186 6 місяців тому +9

    Kobelo sasa anasutana na Rose hebu watu toeni maoni yenu sio kuomba likes tu hii movue inapoteza mvuto

  • @LuganoMwangosi
    @LuganoMwangosi 6 місяців тому +7

    Hii moves tunafatiria sana ila haireweki

    • @Asia-dq3rt
      @Asia-dq3rt 6 місяців тому

      Mmmm jaman so kweli bna 😂😂😂😂😅

    • @AishaSalumu-bm7nd
      @AishaSalumu-bm7nd 5 місяців тому

      Bas ata shulen ulikuwa mgumu kuelewa

  • @sangatv003
    @sangatv003 6 місяців тому +6

    Wa kwanzaa likes

  • @VictoriaSalama-t2g
    @VictoriaSalama-t2g 6 місяців тому +7

    Huyu bunye. Mbn amefanana n kobero n broo yk au

  • @fridahkaari4373
    @fridahkaari4373 6 місяців тому +6

    Kobelo Ako funny sana anifurahisha hatari😂😂😂

  • @KibwanaMwijumaKibwana
    @KibwanaMwijumaKibwana 6 місяців тому +5

    Nice job am from Kenya

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 6 місяців тому +48

    wapi likes za mkenya baana❤❤❤ 2:48

  • @Monley-vm3tv
    @Monley-vm3tv 6 місяців тому +4

    Like zangu aki ndio niendelee na kazi

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 6 місяців тому +6

    Uyu mama fatuma kapewa kuzuguka kama dege

  • @GodfreyLukoo-c4y
    @GodfreyLukoo-c4y 6 місяців тому +5

    Bunye na kobero mapacha awa

  • @HubySay-of2cb
    @HubySay-of2cb 6 місяців тому +10

    First

  • @OkillaGodwin
    @OkillaGodwin 6 місяців тому +2

    Daaah kobelo punguza bangi

  • @mwanashabilo3757
    @mwanashabilo3757 6 місяців тому +6

    Masuke na kobelo wakikutana wananibamba 😂😂😂😂😂

  • @allyiddy1044
    @allyiddy1044 6 місяців тому +5

    Hahaha kobelo bhana

  • @Estherpendo-yk8iv
    @Estherpendo-yk8iv 6 місяців тому +5

    😂😂😂 ak kobelo wewe acha tu nicheke 😂😂😂 🇰🇪🇰🇪

  • @Karembo-yx5ut
    @Karembo-yx5ut 6 місяців тому +9

    😂😂😂Kwan vp mchumba wangu mwakinego hajarudi? Mgeni wakijiji nrudishie mchumba wangu.. ❤❤❤

    • @mwanabibikangu4791
      @mwanabibikangu4791 6 місяців тому

      𝐀𝐥𝐢𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐣𝐢𝐚𝐝𝐢😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 6 місяців тому

      😂😂😂

  • @Thekasukusfam
    @Thekasukusfam 6 місяців тому +8

    Kobelo amevuta bangi NINI??😂😂 mnipitie wakuu love from Kenya 🇰🇪

    • @blessingn-wd2qh
      @blessingn-wd2qh 6 місяців тому +1

      huku pia unapatikana

    • @Thekasukusfam
      @Thekasukusfam 6 місяців тому +1

      @@blessingn-wd2qh kwani ulinipatawapi?? Me Niko all way round

  • @bekerekelvisamaniano1149
    @bekerekelvisamaniano1149 6 місяців тому +5

    Boncena kaka malizia iyi kwanza izo zingine tutazi check after

  • @zuhuravarisanga3192
    @zuhuravarisanga3192 6 місяців тому +4

    Mbona nikawia kutoka episodi zenu

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 6 місяців тому +9

    10 huna baya Rut man maua kwako❤❤❤❤

  • @BarakaMwanji
    @BarakaMwanji 6 місяців тому +9

    Leo Na mmi nimewahi

  • @naomnyamoitaosiangochannel5552
    @naomnyamoitaosiangochannel5552 6 місяців тому +5

    Niko Dani pia

  • @claudemofi3193
    @claudemofi3193 6 місяців тому +5

    Nikweli mama Fatuma wewe muzuri

  • @ZawadiKatana-yh6ep
    @ZawadiKatana-yh6ep 6 місяців тому +4

    Mbona Kuna mmoja amefanana na kobelo😂😂

  • @justojuma2881
    @justojuma2881 6 місяців тому +4

    Kobelo ulipigaje apo kwenye nyimbo ❤😂😂😂😂😂

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 6 місяців тому

      😂😂😂

    • @justojuma2881
      @justojuma2881 6 місяців тому

      Naomva namba ya Rose nimchumbie maana anaonekana yaliyomo yamo

  • @bowaschifunda8691
    @bowaschifunda8691 6 місяців тому +4

    Bunye afanana na kobelo 😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 6 місяців тому

    Timu boncena mko vzr sana nawafatilia nikiwa uk

  • @Amina-Rshd
    @Amina-Rshd 6 місяців тому +6

    Kwa Bunye n macha n Kobero? Maan wamefanan San nawapnda sn ❤️❤️❤️🇰🇪🇸🇦

    • @selineajiambo6504
      @selineajiambo6504 2 місяці тому

      Pia mm Naona hivyo Ile tu kwamba Hana maneno mengi kama kobelo

  • @AngelinaKinuthia
    @AngelinaKinuthia 6 місяців тому +5

    Kweli mapenzi yauma jamani kobero 😂

  • @JosephineEmmanuel-os5oj
    @JosephineEmmanuel-os5oj 6 місяців тому +8

    Am the first one good job bonceena😘💞

  • @RUTH-g8r
    @RUTH-g8r 6 місяців тому +1

    Ndugu yngu umeenda mbali,good job

  • @MamaAnuary-sl9ze
    @MamaAnuary-sl9ze 6 місяців тому +5

    Kobelo mpaka kajamba sio pw

  • @beyoncesauda27
    @beyoncesauda27 6 місяців тому +3

    ❤❤❤pamoja

  • @Tumwaminifute123
    @Tumwaminifute123 6 місяців тому +4

    Mama fatuma mama fatuma Kuna chupi za nje kwani 😂😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 6 місяців тому +4

    Mwenye kiti ww sikupendi

  • @adiliamoni3681
    @adiliamoni3681 6 місяців тому +3

    Wa 100 leo

  • @MiltonBalingum
    @MiltonBalingum 6 місяців тому

    Hongereni sana sana kwa kazi nzuri🎉🎉

  • @RabaniMwasenga
    @RabaniMwasenga 6 місяців тому +2

    Honger

  • @menzedickaliera4634
    @menzedickaliera4634 6 місяців тому +5

    Job poa

  • @WilfredOuma-to2qx
    @WilfredOuma-to2qx 6 місяців тому

    Bone, nakukubali sana ila naonelea uitafutie mwisho wake. Ni maoni tu mdogo wangu.

  • @AngelinaKinuthia
    @AngelinaKinuthia 6 місяців тому +6

    Kwani bonye Na kobero Ni twins juu wanafanana

  • @Ashsultana
    @Ashsultana 6 місяців тому +3

    Shida mnachelewesha

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 6 місяців тому +5

    Akome mama fatumah kihelehele chako kimekuponza

  • @BigirimanaJojo
    @BigirimanaJojo 6 місяців тому +5

    Kobero wangu mawazo yanamukumba😔😔😔😔

  • @MwaJu-iu5wy
    @MwaJu-iu5wy 6 місяців тому +6

    Kobelo bangi nn

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 6 місяців тому +6

    Ivi bunye n kobelo kwani nyie Ni mandugu? Kwa sababu mnafanana

  • @UkhtyNana-b3j
    @UkhtyNana-b3j 6 місяців тому

    😂😂 much love 🎉❤
    Huyo rose amenichamba Leo nimekuja leo kobero jaman😊😊🤣😂

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 6 місяців тому +2

    Huyu mubakaji asovaa shati mbona amefanana na kobero au nindugu😅😅

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 6 місяців тому +9

    Oyooooo

  • @yytt4699
    @yytt4699 6 місяців тому +11

    Pia mm nimewahi leo nipewe like japo kumi

  • @muddymbwana5679
    @muddymbwana5679 6 місяців тому +3

    Nasis wa83 tusemeje

  • @KhadijaSaid-vj9kh
    @KhadijaSaid-vj9kh 6 місяців тому +2

    Kobelo abaki kuwa kobelo t sehem nyingine haimuelekei

  • @tabithandiema123
    @tabithandiema123 6 місяців тому +2

    😮 shukran 💞

  • @Riziki.AliSalim
    @Riziki.AliSalim 6 місяців тому +1

    Nakukubali kobelo na vituko vyako 😂😂😂😂

  • @fatherjaytz
    @fatherjaytz 6 місяців тому +3

    Scene moja inaonekana DAKIKA zaidi ya 3 mnazingua

    • @djallaby
      @djallaby 6 місяців тому

      halafu hamna hata cha maana kinachoongelewa

  • @KhadijaSaid-vj9kh
    @KhadijaSaid-vj9kh 6 місяців тому +2

    Bonsina heb fanya Kaz yko unapoq san

  • @JahaKilanga
    @JahaKilanga 6 місяців тому +5

    Vipande ni vifupi na wanachelewa kutowa

  • @orediphilip93
    @orediphilip93 6 місяців тому

    SAB hongereni kwa kazi nzuri, ila jitaidini kualizia hii movie adi mwisho, kisha mutupe movie nyingine mpya pls 👏👏

  • @diametz5899
    @diametz5899 6 місяців тому +3

    BUNYE NDO KOBERO KABADILISHA SAUTI TU

  • @WilliamMbwilo
    @WilliamMbwilo 6 місяців тому +2

    Mbona vipande vya Aisha huwa hamuendelezi

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 6 місяців тому +1

    😂😂mama fatuma umejichanganya kuwa tuu upande wa mgeni wa kijiji 😅huko utapata amani

  • @DJUMAKASHINDI-ys4jk
    @DJUMAKASHINDI-ys4jk 6 місяців тому +9

    Hii season ya tatu Mmeshindwa kabisa munahigiza sehemu moja inakaa dakika 5 au 7 nihatari sasa ikitaka kuhisha ndo munaweka tukio Tena season inayofuata ahikawihii kwenye tukio duh! Hapa hakuna Movie

    • @djallaby
      @djallaby 6 місяців тому

      wewe ndio umeongea yani wanalazimisha iwe ndefu me imeshia nikera tayari ,sehem moja inakaa mda mrefu halafu hamna hata cha maana kinachoongelewa

    • @Bilonkwa
      @Bilonkwa 6 місяців тому

      Hii imeisha sema wanashindwa kufanya finishing nzr 😂

    • @MohamediMbiki
      @MohamediMbiki 6 місяців тому

      Kwanza sijawahi kuona move isiokuwa na mwisho ndio kwanza hii

  • @honekisebwa226
    @honekisebwa226 6 місяців тому

    Wa mwisho leooo

  • @AyubuKamendu-w4o
    @AyubuKamendu-w4o 6 місяців тому +8

    Mama Fatumah kumbe yumo

  • @EmmanuelMbise-bg3jx
    @EmmanuelMbise-bg3jx 6 місяців тому +9

    Sekunde ya 13

  • @KasukuKipanya
    @KasukuKipanya 6 місяців тому +1

    Mgeni wa Kijiji imepona sana siku huzi

  • @ChristopherLucky-m5h
    @ChristopherLucky-m5h 6 місяців тому +1

    Much love from DRC congo 🇨🇩🇿🇦🇨🇩

  • @ZayAwazi
    @ZayAwazi 6 місяців тому +2

    Uyu mamafatuma ananikera

  • @SalimMalalo
    @SalimMalalo 5 місяців тому

    Ongera nawaombe wedele vivyohivyo ongera sana kwa mgeni wakijiji nakobero

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 6 місяців тому +3

    Hii movie si muimalize yaishe..maneno yanajirejelea tuu kila wakati....munatuboesha sasa😢

    • @willykijanaa
      @willykijanaa 6 місяців тому

      Happ kweli inafkia mahali inaboo kinyama ata haina ladha kwa sababu ya kujirudiarudia kwa mada

    • @richardcandidus186
      @richardcandidus186 6 місяців тому +2

      Upo sahihi na sijui kama wanasoma maoni ya wafuatiliaji yaani imehamia kwa mama fatuma na ubakaji kila siku wanaoneshwa wabakaji na mama fatuma, Kobelo sasa anasutana na Rose yaani maana ya ile Mgeni wa kijiji aliekuja kukiokoa imepotea kabisa, mganga kapewa nyota 3 Daah yaani kama utoto flani wabadilike warudi kule Movie ilikuwa inavutia sana kuitazama ila sasa ni ujinga wa akina kobelo kusutana, mapenzi na ubakaji

    • @djallaby
      @djallaby 6 місяців тому

      Nilijua nimimi tu ndio imenikera ,sasa hivi boncena hafatiii tena kuhusu ndugu yake wala hata halijaongelewa zaidi ya episode 10 wakati kuna kipindi alikua anataka amkomboe

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 6 місяців тому

    Kazi moto

  • @mathewtarus8721
    @mathewtarus8721 6 місяців тому

    naipenda iki kipindi saana

  • @moseschant5684
    @moseschant5684 6 місяців тому +1

    Kwani kobelo ndio bwakila maana hiyo sauti

  • @Pascal-mu5hf
    @Pascal-mu5hf 6 місяців тому

    Hello guys nawa fwata 5/5 kutoka drc Congo 🇨🇩🇨🇩 kuikweli kobelo anajuwa kuigiza Sana namupa mauwa yake 🌹🌹❤❤❤

  • @thierryiradukunda8266
    @thierryiradukunda8266 6 місяців тому

    Aksante Boncena

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 kobelo wew❤❤❤❤❤❤

  • @Maldoboy
    @Maldoboy 5 місяців тому +1

    ❤❤🎉🎉

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 6 місяців тому

    Kobelo hongereni ❤❤❤❤

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 6 місяців тому

    Kobelo bhana utakuja kupigwa wew

  • @Mnyaturu980
    @Mnyaturu980 6 місяців тому +2

    Jamni bunye na kobelo ni mapacha ama vip????

  • @abrahamannyaki3045
    @abrahamannyaki3045 6 місяців тому +3

    Sasa hivi hizi episode hazieleweki tena. Mnaweka vitu havieleweki na havina mwendelezo

    • @djallaby
      @djallaby 6 місяців тому +1

      me wameshia nikera yaani dak 23 halafu hamna hata cha maana ,wanalazimisha series iwe ndefu

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 6 місяців тому +2

    Yaan sehem kubwa tunaangalia uzembe wa kobelo tunataka matukio yenye kusisimua series inaenda kuwa ya kitoto kweli mtakompete na snake au boss mchaw mnacheza nyinyi.