mafunzo mazuri Sana, ni vizuri kuwa tofauti na mtu mwengine jaribu kufikiri ili msiwe sawa ama msifanye nyote kazi moja, nzuri Sana mwalimu Amos mungu akubariki, nakusapoti Sana David kutoka 🇰🇪🇰🇪
ivi mwalim Amos nigependa kupata ushauri kutoka kwako, kwa sasa nina umri wa miaka 19 sikumaliza shule wazazi wangu waliachana nikiwa na umri wa miaka 15 kila mmoja akaenda zake kwa sasa nipo mwenyewe nafanya kazi huku nacho Pata dio nalipa nyumba na kula ila siku moja nigependa nifanikiwe katika maisha, mwalimu Amos nigependa nipate ushauri wako nitafanyaje ili nifanikiwe nitimize ndoto zangu
Asante kk, yan nimerudia. Zaid ya mara 7 nafikir kuisikiliza hii vidio ndo nimekuelewa Daa. (Wanaofanikiwa ssiv sio wanaouza bidhaa bali wanaouza thamani). Ukijiona mzur kila siku itakula kwako na maisha haya. Bora kuuza hata maandazi. Ili kujikwimu kimaisha Asante sana kk Amos
Leo ndo mara ya kwanza na comment ww unaongea point sana
Broo nakubari kaz yako naona Kama hukosei vile
Nani kasikiliza zaid ya mara mbili
Mimi hapa
Mimi
Tanzanians are lucky to have people like this.
Swafi Sana, Hili Ni funzo kuu na elimisho kwa walimwengu, much respect from Kenya 🇰🇪
Asante sana
Wew nibaba wetu wakiloho maan unatufundisha mungu aendelee kuku baliki
_Nakukubali sana kaka_
Kweli kabisa amos najivunia kukufatilia
mafunzo mazuri Sana, ni vizuri kuwa tofauti na mtu mwengine jaribu kufikiri ili msiwe sawa ama msifanye nyote kazi moja, nzuri Sana mwalimu Amos mungu akubariki,
nakusapoti Sana David kutoka 🇰🇪🇰🇪
Asante sana David
ivi mwalim Amos nigependa kupata ushauri kutoka kwako, kwa sasa nina umri wa miaka 19 sikumaliza shule wazazi wangu waliachana nikiwa na umri wa miaka 15 kila mmoja akaenda zake kwa sasa nipo mwenyewe nafanya kazi huku nacho Pata dio nalipa nyumba na kula ila siku moja nigependa nifanikiwe katika maisha, mwalimu Amos nigependa nipate ushauri wako nitafanyaje ili nifanikiwe nitimize ndoto zangu
Asante sana
King DM kaza kamba to utafanikiwa
Nimekuelewa brother..nakutakia maisha marefu
Thanx
Kaka maneno yako yananinspire sana kuandika mashairi kuntu kwenye ngoma zangu🙏🙏👏👏👏
Mkuu umetisha sana...
N sahihi sanaaaa Mwanike wa ukaya umekuwa mtu wa kuniinspire mnooo
Nakuelewa na wanangu👍👍👍 wa 5 hapa
more creativity amos mwijonge
love you upo vizur sichoki kukusikiliza
Safi
Ubunifu ni kufanya tofauti na mazoea & watu siku izi hawauzi bidhaa wanauza thamani! Jaman waliolewa concept iyo wanipe like
Mualim nakushukuru sana kwa hayo yote ambayo unafanya, Mungu akupe kila laheli
Amen
Unaweza , big up bro,
Akika wew ni fundi sana kila video yako ni lazma ni idownloading
Sana
Salute bro uko vizuri kweli kufikiria ni kazi ngumu ndio maana wengine wazembe whawawezi
Ulipo soma nambie na mimi nikasome bloo...wewe ni hatali sana akuna kama wewe
daah et bora uzee kuliko uzembe🤣🤣🤣🤣
I found myself repeating to watch this video❤
Kali hii
Kuna ww halafu kuna ananias edgar kaz nzur sana bro
Nimeelewa broo mwijonge
Brother kaz nzur. Hapo ndio uwepo wa creativity na innovation ambayo inapelekea kuwa watofaut. Nimekuelewa sana brother
Asante kwa kunielewa
Brother nilikuwa nahitaj mawasiliano yko kupitia phone number kwa mazungumzo zaid
Daaah, Brother hakika tuna watu wachache sana Kama wewe. Be blessed Sana..kila wakati naisikiliza sa
Asante sana
@@AmosMwijonge barikiwa sana kaka
Aya mkuu Nimekusoma
Good Talent👏👏
Vizur kusikiliza wengine, kama ww n milad ahsante kwa niaba
✓ but how to use him????
Thanks a lot for appreciation bro!
Congrats too to you Millard Ayo, you're works are also smart, real, aducative, organized.... For sure salute to you brothers Amos & Millard Ayo.
Always the best mwijonge
Still king of wisdom
mwijonge🙌🙌🙌🙌🙌
Asiye nijua awez kunithamini
Nakuelewa sana
Kali ya mwaka
Big up bro.
My Role mode🔥🔥🔥Well done
Nakukubali sana wajina una vitu ambavyo mimi binafsi napenda sana
Thamani ya kufikiri ni mafanikio yako binafsi 👍Safi sana Chief
Kaka una jua sna kla sku nmekua nikipiga atua ya uchanganuaji wa mambow
Kutoka 254 nimekusoma vizuri sana
Mungu akubariki Sana Mwijonge
Amen
Noma sana broh umetisha
Ahsante kaka MWIJONGE
Eti bora UZEE Kuliko UZEMBE 😅
Asant sana mwl amosi
Nakubar hat kabr sij sikia
Nakubali mwalim... Tunajifunza kupitia wewe
Asante
Wa kwanza ku like na ku comment 😃
Uko vzr bro
Hatariiiiiii
hataree balaa zito
Nimekukbal sana teacher
Daah!kuna vingine cja vipata umu
Teacher hii ya leo vichwa panzi hawatoelewa hahahah
Xax ww una utani na moringa🤣🤣🤣
Nakubal saanaaa kuna jambo hapo la kujifunza
Ubunifu kweli kabisa
We nakuamnia mzee baba
Nakukubali sana Mwl.
Kaka unanifundisha mengi sana natamana iku moja tuonane
Nakftilia saan
Safi sana
Asante kk, yan nimerudia. Zaid ya mara 7 nafikir kuisikiliza hii vidio ndo nimekuelewa Daa. (Wanaofanikiwa ssiv sio wanaouza bidhaa bali wanaouza thamani).
Ukijiona mzur kila siku itakula kwako na maisha haya.
Bora kuuza hata maandazi. Ili kujikwimu kimaisha
Asante sana kk Amos
Pamoja
Kaka wewe ni 💎
Amen
Bora uzee kuliko uzembe
God bless u my broo, unajua sana.
sanaaa mwalimu
Mwalimu nimekusoma vizuri sana!
Nimeiona bro GOD BLESS U
Nice sar
Very true
Big up brother, you're works are always excellent!!
Thank you broo
Swafi,huwezipika bila matendo
Kwakweli ni nzuri
Amosi mwijonge,, shukrani sana mwalimu wangu, ubarikiwe
asante sana kwa ushauri wako Brother
Daaah... Ubunifu
Kaka upo juu, Eti bakar kumwita beka😁
Nakukubali sana Baba
Hapo kwa ngono👏👏
Mtu makini
Hukoseagi mwijonge
Hahah broo sio powa
Kam unaamin amos mwijonge n mbunifu acha like
Bless up Amosi
Napenda kazi yako
Huo ni Ubunifu
Great
Bro nakuelewa sana bgp
Yap yap wewe wafaa sana
Nmekusoma sana
Nakubali kaka
Duuuh asant sana
Kaka muungu akupe Manisha malefu
Amen
nomaaaa
Kweli kbx
bulahi kuhaye majuaga
asante najifnza mengi kwakwel
U a the best ever
Watamile goloko wakonongo