Niombe ndugu yangu kaa zako kimia maana hao watangaziji watasababisha uhongee ambayo siyo, mimi kwa upande wangu ushakua na misambo miwili nikuombe huwe zako kimia tu
Kwanza kiswahili cha anaehoji ni cha hovyo kabisa. Lafudhi sijui ya wapi? Af inaonekana hajui chochote. Mtu anaambiwa immigration customer... af anakubali yeah yeah naijua. Kwa yeyote asiejua shirika la uhamiaji linaitwa USCIS(UNITED STATES CUSTOMS AND IMMIGRATION SERVICES). Huyu mtangazaji angefutwa kazi tu yeye kila kitu ni okay. Eti private jet. Wewe muhalifu wakuchukulie private jet? Uongo mtupu
Ameona umuhimu wa kuwepo marekani kwasababu amesharudishwa nyumbani congo kwanini wakati upo marekani haukuweza kutulia iyo kosa unayoisema sio ni uongo mtupu acha kudanganya wajinga
❤
I do work with immigration detention in California.. huyu kijana anaongea uwongo. The way ana explain hiyi story, immigration doesn’t work like that.
Jamani wabadili anaye oji mana ajuwi kuongeya 😢😢🤦♂️🤦♂️
❤️🔥🚀
Niombe ndugu yangu kaa zako kimia maana hao watangaziji watasababisha uhongee ambayo siyo, mimi kwa upande wangu ushakua na misambo miwili nikuombe huwe zako kimia tu
Kwani hapa marekani kuna raha gani
tunafwata vizuri ni alwesha bin jampan kutoka drc baraka🇨🇩🇨🇩
Bro amesema maneno ya uwerevu mwingi, nime kubali brother
Open mic number 1
❤️🔥
Mbona mtangazaji umepowa sana kaka jaribu kuwa na isia
Hmmmmmm
Uongo kama kweli😢😢
*elfu ishirini na mbili 😂😂😂 nimecheka sana wa ngapi wameskia ilo neno*
Ata mimi nili shanga 🤣🤣
Maisha popote bro bora uzima! Ila naye hoji sasa ndo aswaaaa
SASA UYU MALLARD AYO NIWAKUKUBALI KUBALI KILA KITU YEAH YEAH YEAH
Asante kwa support
😁😁😁😁
iwe kweli au iwe uwongo, ume jiteteya vizuri, mpaka mtangazaji ame hishiwa, Ila tatizo ni zile pesa za kila wiki uta zikumbuka kweli kaka
MADUNIA anasema uongo wa kimataifa, ulikuwa na case ya ubakaji kwa asilimia 100%
Toka pale nawewe baba ulikuwa na msaidia kumshikilia mguu eti alikuwa mbakaji mtu mzmz ovyo nyokoooo wewe
As long he’s happy
❤️🔥
Yeah,,kesi kama hiyo hawezi kurudishwa kihuni ivo,,lazima upelelezi kila kitu
Umemuelewa
Ujiga kweli
Wewe upewe private jet?🛩️
Uongo
Ivi vipumbavu muko aje nyinyi Sasa mnakataa anavyo sema mje kusema ukweli ambao mnajuwa nyinyi mavi zenu nyieeeeee
Mtangaji we mbona kama🤣🤣🤣🤣 umeshanga shangangaa hivi
Mnipe namba za huuyu brother byadunia
Yes it’s true
Kweli umesikiliza kwa makini
Kazi nzuri sn 🔥
Asante 🔥❤️
Somo kabisa, asante bro
🔥💔
Nimejifunza mengi
Huyu mtangazaji mbona amepumbaa ?
🙏🙏🙏🙏
Watoto wa dogo 😊😊😊😂😂
😂😂😂, hakuna mahojiano hapo, hawezi kuongea ukweli hapo live, private jet from USA TO DRC😅 mkimbizi 😂😅😂. Hizi ni story kweli.
Yes inawezekana tena sana
Kazi zuri 🔥❤️
Brother Interviewer anapigwa story nono, haana kipingamizi, kila kitu ni okay okay
Vzr sana
Kwanza kiswahili cha anaehoji ni cha hovyo kabisa. Lafudhi sijui ya wapi? Af inaonekana hajui chochote. Mtu anaambiwa immigration customer... af anakubali yeah yeah naijua. Kwa yeyote asiejua shirika la uhamiaji linaitwa USCIS(UNITED STATES CUSTOMS AND IMMIGRATION SERVICES). Huyu mtangazaji angefutwa kazi tu yeye kila kitu ni okay. Eti private jet. Wewe muhalifu wakuchukulie private jet? Uongo mtupu
Sasa ulipenda mtangazaji aseme no au vp mbona amnakizuri nyie
@@MamanD-h2l jijibu mwenyewe
Kazi zuri ❤️
Uongo sema ukweli tuko nandugu alizingiziwa ivo ila aliachiwa unadanganya
🗣️🗣️
Nitumie namba yake
Tufate dm Didas tv
Huyu Jana anadanganya
Amefunguka ya moyoni
Huyu anavyoongea tu anaonekana muongo sana.
🗣️🗣️🔥
Mwandishi hakika umetuangusha kabisa
❤️🔥
Police undercover alipata je namba zake.ingekuwa swali nzuri na ingetuelimisha kutokana na majibu yake
Asante ila ameeleza ukisikiliza kwa makini
Afrika nipazuri kabisa .palesana kabisa
❤️🔥
Apo kwenye private Jet uwongo 😂
🗣️🗣️
Kama maelezo ya huyo jamaa ni kweli basi nilivivu very lazy guy.
Nime jifunza kitu
🔥🙏🔥 umefatilia Vzr
Ameona umuhimu wa kuwepo marekani kwasababu amesharudishwa nyumbani congo kwanini wakati upo marekani haukuweza kutulia iyo kosa unayoisema sio ni uongo mtupu acha kudanganya wajinga
Hi 0 p
Tujifunze kituhapa
🚀❤️🔥
AHUWEZI KUKAHA AS FORENYAAAAAAAAAAA
❤️🔥
𝙸𝚕𝚊 😢😢😢🎉
😂😂😂
❤️🔥
Kama wewe ulivyo pelekwa
💔💔
Hacha ujinga wewe
🙏🙏
Oyaa open mic 🎤 send number ya byadunia
Tufate Dm didas tv