MBWIGA AINGILIA SAKATA LA MANARA, MWANDISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Kuelekea mechi ya Simba na Yanga tayari mambo yameanza kukolea, presha imeanza kuwa kubwa. Haji Manara ambaye ni Ofisa Habari wa Simba amejikuta akimtolea povu mwandishi wa habari hadharani, Mbwiga wa Mbwiguke hajaiacha ipite hivi hivi, huyu hapa mtazame.

КОМЕНТАРІ • 9