Wimbo huu umenipeleka mbali sana ume nikumbusha wakati nikiwa na kuwaa na bibi yangu alipenda sna kutufundisha kuimba 😭😭😭😭😭😭na sasa hayupo tena Mungu akubariki dada karibu kwa wimbo mwine tena sisi tuna kuombea Amen
Sijawahi mpa Yesu maisha yangu, ndio! Sikua huru hata nimpe, kwa asili ya wanadamu nilishauzwa utumwani, Hivyo alichofanya ni kuninunua kwa bei ya mauti yake, ALAFU YEYE NDIE AKANIPA MAISHA MAPYA. Romans 8:12-13 [12] Basi, kama ni hivyo, ndugu, tu wadeni, si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili, [13] kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.
Wimbo huu umenipeleka mbali sana ume nikumbusha wakati nikiwa na kuwaa na bibi yangu alipenda sna kutufundisha kuimba 😭😭😭😭😭😭na sasa hayupo tena Mungu akubariki dada karibu kwa wimbo mwine tena sisi tuna kuombea Amen
Wimbo mzuri 9/10/2023
Ni damu ni YESU tu iwezayo kusafisha kabisa dhambi zangu
Kabisa
😭😭😭😭Bwana wangu!!Bwana wangu,Bwana wangu😭😭😭😭
Sijawahi mpa Yesu maisha yangu, ndio!
Sikua huru hata nimpe, kwa asili ya wanadamu nilishauzwa utumwani,
Hivyo alichofanya ni kuninunua kwa bei ya mauti yake,
ALAFU YEYE NDIE AKANIPA MAISHA MAPYA.
Romans 8:12-13
[12]
Basi, kama ni hivyo, ndugu, tu wadeni, si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili,
[13]
kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sn Maman ❤❤🙏🙏🙏🙏
Nice sog🙏🙏🙏
Barikiwe Sana.
11/3/2021
Damas
Amen! Amen! Amen! 🥰
Neema ya Mungu izidi kwako mpendwa
Asante kwa ujumbe mzuri my dada
Barikiwa sana mtumishi
Umekutana na kufa na kwa ajili yangu. Asante Yesu ..barikiwa mama
Barikiwa mtumishi
Asante sana dada
Nomaa Sana , congratulation my dear sister 😇🙏
August 2022.
Powerful song
Hongera sana Wimbo Mzuri barikiwa
Mungu akubariki sana mtumishi wimbo wa tumwabudu Mungu ni mzuri sana
Ubarikiwe Sana
Ubarikiwe umenifanya niingie kwenye maombi asante dada wimbo umenihudumia
Amen mamy
Waoooooo good song my love be blessed
Kazi nzuri amen
Barikiwa Mama 🔥🔥🔥🔥
Amen
Asante
Be blessed momy😘
Mungu azidi kukuinua dada. Wimbo unafariji sana huu
Asante sana
Ameeeeen
Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu wimbo mzuri mno
Amen
Very powerful and transforming song 🙌🙌🙌; thank you so much... Be blessed mom😍
Amen
Dada ubarikiwe sana
Napenda huduma yako
Asante
@@joyceombeniministry9925 Barikiwa Mtumishi
Good
Amen
Powerful song
Amen
Audio yake ipo???