SHEK MZIWANDA AWAAMBIA POLISI KUNA MAHALA HAPATAKIWI NGUVU CHUNGENI DAMU ZA WATU MAANDAMANO NI FITNA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @kabeyajeff2948
    @kabeyajeff2948 3 дні тому +2

    Naam maalim Muharram Mziwanda ALLAH akupe radhi zake kama alivowaridhia arrasikhuna fiyl ilmu waliotutangulia

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 22 години тому

    Allah akulinde sheh wetu mzinda unafichua mambo mazito tuna kuelewa sana .

  • @habibushabani2890
    @habibushabani2890 3 дні тому +5

    Tunajivunia sana Sheikh Mziwanda Wallahi

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 День тому

      Mziwanda mpiga makelele tu dini ataka siasa ataka njaa tu

    • @habibushabani2890
      @habibushabani2890 День тому

      @@nassoraliy3871 hayo uyasemayo ya kweli? aliyekwambia siasa haipo kwenye uislamu ni nani? halafu mbona hapo hamna kilichozungumzwa juu ya siasa zaidi ya kusisitiza amani ndugu.

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 День тому

    Mziwanda siasa wataka dini wataka hufahamiki wala hujui nafasi yako

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 2 дні тому

    Mb zangu hapa zinaliwa kihalali Safi

  • @SalmaHaidar-s5o
    @SalmaHaidar-s5o 3 дні тому

    Masha Allah

  • @NassirSaid-d7i
    @NassirSaid-d7i 3 дні тому

    Maashallah apa points tupu

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 дні тому

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @maase2023
    @maase2023 3 дні тому

    Maustaaz mmegeuka wanasiasa sasa??????(

    • @alisaid3074
      @alisaid3074 3 дні тому

      Kwani kukaa kimya huwezi mpaka uoneshe udhaifu wako

    • @NgamelaYussuph
      @NgamelaYussuph 3 дні тому

      Wakati Wanapambana Na Uhuru Walikua Wakina nana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 дні тому

      WALE WACHINGAJI WANAOMZOMEA RAISI NI KINA NANI?!

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 3 дні тому

      Wanasiasa kivp mbona makanisani yanazungumwa zaidi au kwasababu ni uislamu? Hiii dini ni yamungu hamuiwezi hiii

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 День тому

      Mziwanda siasa wataka dini wataka hufahamiki wala hujui nafasi yako