How to use an electric oven/jinsi ya kutumia oven yako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 115

  • @adamyusuphkapompo1692
    @adamyusuphkapompo1692 10 місяців тому +1

    Asante dada Allah akujaalie kila la kheri

  • @JIRIWASTV
    @JIRIWASTV Рік тому

    Congratulations madam umeelza vzur simple and clear

  • @AliBadi-p4i
    @AliBadi-p4i 9 місяців тому +1

    Asante❤❤❤

  • @graicejames8344
    @graicejames8344 11 місяців тому +2

    Je wakati wa kupreheat oven lako wakati unaanda kuoka keki yako je una preheat na moto wa chini tu au moto wachini na wajuu?

  • @diane4883
    @diane4883 Рік тому +1

    Thanks alot

  • @DevotaKiselu
    @DevotaKiselu Місяць тому

    Jamani mm naona maruerue tu mana naona moto haupandi wakati process nimefuata

  • @zainamuhoja2248
    @zainamuhoja2248 Місяць тому

    Samahan mimi nina pmc 48 l ila kwenye kuset moto wa juu na chin nashindwa😢

  • @mumo254
    @mumo254 2 роки тому +1

    Video nzuri , sauti tamu.

  • @alfredol8741
    @alfredol8741 Рік тому +1

    Asante

  • @thatsweetfriend
    @thatsweetfriend Місяць тому

    😍😍😍😍😍

  • @lemilaurent836
    @lemilaurent836 Рік тому +1

    Nashukuru sana nimeelewa

  • @FaustinaMalandu5-mv6rv
    @FaustinaMalandu5-mv6rv 9 місяців тому

    Mzm dada mm nimenunua oven ya ailyons ila nikiwasha inawaka dkk2 hlf inqjizima co tatizo linaweza kuwa ni setting au oven

  • @Nuide.Jabrig89
    @Nuide.Jabrig89 Рік тому +1

    It is not a better alternative to save energy in the bottom of the oven, even if the roasting speed is so damned, you have to wait several hours for the food to be ready and still frozen next time without taste :-( No one compensates me from the agency other than just sucking the blood and plus all this pays taxes and excessive rent. No temptations and rather a good offer I've had a Beha which, although an old model, has helped me quite a bit for several years, but I moved and left it because then I have to buy or move to a floor above which is no worse than the one I'm telling you about. Bush is a professional choice

    • @juliethmjema6352
      @juliethmjema6352 Рік тому

      Jaman me naomba kugundishwa kupasha chakula kwa kutumia oven

    • @Nuide.Jabrig89
      @Nuide.Jabrig89 Рік тому

      @@juliethmjema6352 What language and region are you talking about now!!
      I can't stand such words heard wrote and read never again .. (end

  • @ptruth1205
    @ptruth1205 2 роки тому

    best explanation ever💖💕

  • @peacenyemele3955
    @peacenyemele3955 Рік тому

    Hello dada .hivi oven lt 60 yenye plate mbili za umeme juu unaweza tumia socket ya kawaida au mpka zile special venue rangi nyekundu

  • @alphoncearizon362
    @alphoncearizon362 2 роки тому

    Hbr, naomba kuuliza wakat wa kupika keki upreheat kwa dakik 15, Sasa swali lngu kwenye kitufe cha muda naset muda huo, muda ukiisha ndy naset tena kwa dakika 30 kuok keki yenyew?

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Una pre heat dakika 15 then una oka dakika 30 jumla ni 45

    • @neemaabdalla3762
      @neemaabdalla3762 2 роки тому

      Kupre heat ndio kufanyaje vipenzi mnifundishe kidogo nataka kuanza kupika keki

  • @halmaseyd9852
    @halmaseyd9852 2 роки тому

    habar mom nilkuwa naomb unisaidie kitu nimenunua oven yang aina ya ailyons liter48 nahitaj kujua jinsi ya kuoka keki je nasetije moto na muda had keki kuiva?

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Naomba uangalie kuna video nyingine nimweka inaeleza kila kitu

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 2 роки тому

    Pia naomba kuuliza mbona plate za jiko wakati wa kupika moto huwa so.mkali? Au nimeuziwa bovu

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Ingependeza kumuuliza aliyekuuzia maana kwenye maswala ya oven zenye plate sina utaalam nazo

  • @zaujiasadiq8347
    @zaujiasadiq8347 Рік тому +2

    Naomb utuelekez Jins ya kuchoma mahindi ndan ya oven

  • @graceemma5019
    @graceemma5019 2 роки тому

    Asante 🙏👏

  • @aminaally6528
    @aminaally6528 11 місяців тому

    oven yangu ni kampuni ya pmc ina seting mbili tu'yani juu ya kuset moto na yachini ni ya kuseti muda je naweza oka keki ikaiva kweli?

  • @gracekomba9263
    @gracekomba9263 2 роки тому

    Samahani oven yangu bomba moja imekatika ya juu je? naweza kuendelea kutumia au hatari au nifanyeje?

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Apo ni vizur ukamtafute fundi wa majiko ya umeme ajaribu kukusaidia maana icho ni kifua cha umeme

  • @beatricekiponda3727
    @beatricekiponda3727 Рік тому

    Mimi nimenunua mpc Lita 48 lkn aliyeniuzia aliniambia inaoka na kupasha je ni kweli inapasha?

  • @rosewema7918
    @rosewema7918 Рік тому

    Mimi natumia oven ya Mika je naweza tumia pia kupasha chakula na je kama inatumika unatumiaje msaada tafadhal

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  Рік тому

      Kwakupasha sifahamu dear ila nakushauri ununue microwave inapasha vizuri

  • @JestinaIsaya
    @JestinaIsaya 5 місяців тому

    Mimi naomba unielekeze kuset oven ya ialyons moto wa kuhoka keki watoto wametupa kitabu

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  4 місяці тому

      Kila oven ina utaratibu wake oven hazifanani sasa hapo kitabu kingekuwepo kingesaidia

  • @komboramadhani6308
    @komboramadhani6308 2 роки тому

    Shukran kwa elimu

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 2 роки тому +1

    Hivi wakati nachoma nyama nikitumia moto wa juu na chini yale mabomba yanayotoa moto chini siyatadondokewa majimaji ya nyama? Je siyo kwamba ni hatari na oven inaweza kuharibika,nisaidie hapo,

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Kwenye kuchoma nyama utaweka moto wa juu tu na waga kuna kichuma chakuchomea nyama iko kitazuia kudondokewa maji maji ya nyama

    • @neemaabdalla3762
      @neemaabdalla3762 2 роки тому

      Hiko kichuma ni kama zile plates

  • @FaustinaMalandu5-mv6rv
    @FaustinaMalandu5-mv6rv 7 місяців тому

    Et dada ni kampuni ipi ya oven ambayo oven zake azina shida

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  4 місяці тому

      Hata hii yangu ninayotumia haina shida inategemea tu na utunzaji wako

  • @masabamujaahid8903
    @masabamujaahid8903 Рік тому

    Vipi dada? Kwa kweli nashukuru sana kwa video hii, ila mimi nina msongo wa mawazo kwani juzi nimenunua 100litre commercial convection oven, nkiwa na matumaini ya kuwa nikibake keki,mikate, scones, cupcakes na vinginevyo, lakini nmepata mshangao kwenye Google, kuambiwa kuwa oven yangu si aina sawa ya kuokea vitu hivyo eti yafaa kwa kuokea pizza, cookies, vegetables, nyama na vitu vingine ambavyo sikuwa nimekusudia kuitumia navyo. Japo naona hii yako nikama ile niliyo nayo japo campuni tu ndio tifauti. sasa nashindwa nifanyeje kwa kweli. Nina msongo wa mawazo naomba nisaide dadangu. Bado nimpya sijaitumia .

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  Рік тому

      Pole, kama inakitabu jaribu kusoma hicho kitabu sio kila kitu kwenye google ni cha kweli

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 2 роки тому +1

    Naomba unisaidie oven yangu ni PMC nikioka keki haiivi,katikati,ko niseti 🔥 moto upi

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Set moto wa chini tu na pia weka nyuzi joto 180

    • @raikitema7732
      @raikitema7732 2 роки тому

      @@eva_kasabila nashukuru bwana ulinipa maelezo ya 🍰 nilijaribu ilitoka vizuri kweli

    • @amelinamwaduga9724
      @amelinamwaduga9724 2 роки тому

      Rai naomba unifundishe jinsi ya kuwasha maana na mm nimenunua km yako

    • @everyoweza6264
      @everyoweza6264 Рік тому +1

      Shida yangu nihii hii cake haiivi vizur katikati jamani

  • @zaitunkassim9564
    @zaitunkassim9564 2 роки тому

    Asante sanaa

  • @surathkhamisi5246
    @surathkhamisi5246 2 роки тому

    Mamy nikioka kekii natumia moto wa chinii2 au motto wa juu na chinii

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Kwenye kuoka ni moto wa chini tu dear

    • @surathkhamisi5246
      @surathkhamisi5246 2 роки тому

      @@eva_kasabila shukran sanaa mamy maana nnavurugwahwa hapoo2

  • @samueloffei8130
    @samueloffei8130 Рік тому

    I'm in Ghana I won to no the cost of oven please

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh Рік тому

    Hii beigan naomba namba

  • @ashuramohamed8947
    @ashuramohamed8947 2 роки тому +1

    Naomba unisaidie hpo kwenye Moto wa chini na juu

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому +1

      Moto wa chini mara nyingi unatumia pale unapotaka kuoka keki

    • @rebeccajaphet6032
      @rebeccajaphet6032 2 роки тому +1

      Naomba unisaidie kwenye plate zake

    • @rebeccajaphet6032
      @rebeccajaphet6032 2 роки тому

      Namna ya kutumia natumia kwa sifuria gani? Na iset vip?

  • @shaidamohamedy4817
    @shaidamohamedy4817 2 роки тому

    Nini maana ya Rosetterie na convection nashindwa kuelewa nimenunua oven juzi kampuni ya avino

  • @TabiaAbdallah-zp9eu
    @TabiaAbdallah-zp9eu 7 місяців тому

    Lugha ndo tatizo kwenye kitabu

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  4 місяці тому

      Jaribu kutafuta mtu anaejua lugha akusaidie

  • @reginainju5981
    @reginainju5981 2 роки тому

    Unapatikana wapi na hizo ovener ni maduka ya wapi zinapatikana

  • @aminanyasulo3607
    @aminanyasulo3607 2 роки тому

    Ukitaka kuoka keki unaweza kuoka na Moto wa juu na chini na ni nyuzi joto ngapi na kwa muda gani

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Kuoka ni nyuzi joto 180 na moto ni wa chini

    • @aminanyasulo3607
      @aminanyasulo3607 2 роки тому

      @@eva_kasabila nimejaribu hivyo inakua mbichi katikati

    • @latifabahati-rk5ev
      @latifabahati-rk5ev Місяць тому

      Dada naomba kukuliza swal mm natumia oven ya Kenwood naomba nielekez nikipik keki natumia moto wa juu na chin ila nikitumie juu inapasuk san

    • @marthakimamala2667
      @marthakimamala2667 Місяць тому

      ​@@latifabahati-rk5evmambo dear oven yako ipoje hiyo ya Kenwood me Haina maelezo ya kuset Moto yan nachanganyikiwa

  • @saadiyyahadam1863
    @saadiyyahadam1863 2 роки тому

    ukitaka kuoka scons unaoka kwa moto wa juu na chini ?

  • @abelmaziku4331
    @abelmaziku4331 2 роки тому +1

    Nina oven ya Europe ninaomba msaada jinsi ya kuitumia

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  Рік тому

      Soma maelekezo kwenye kile kitabu kinachokuja na oven then itazame hii video kwa umakini kama kutakua sehem hujanielewa unaweza kuniuliza

    • @khamisiyahya9244
      @khamisiyahya9244 Рік тому

      Za sahiz jaman polen na kaz na mm natumia europe oven sasa nimeshindwa kuseti mkate wangu uive kwa chini nifanyeje

  • @halimajuma9069
    @halimajuma9069 2 роки тому

    Moto wachini unaoka kwadakika ngap dear na moto Una set ngap

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  2 роки тому

      Kama unaoka keki mda ni dakika 45 moto unaseti 180 degrees centigrade

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 11 місяців тому

    izi oven za silver Crest ivi zinadumu kweli

  • @reginainju5981
    @reginainju5981 2 роки тому

    Bei gani na wapi zinapatikana mm naitaji

  • @subilamwakalobo433
    @subilamwakalobo433 2 роки тому

    Inauzwa bei gan

  • @jaffarymaghoto8231
    @jaffarymaghoto8231 2 роки тому

    Hi

  • @EgwalBrian-vq4os
    @EgwalBrian-vq4os Рік тому

    But why couldn’t you use maybe English

  • @hawahussein6673
    @hawahussein6673 2 роки тому

    Jinsi ya kuwoka keki unatumia moto juu na chini au wa chini

  • @rehemajuma7031
    @rehemajuma7031 2 роки тому

    Samahani je kama ninaoka keki kuna haja iko kitude cha juu cha nyama kukiweka on

  • @JaelOdhiambo-jf8ci
    @JaelOdhiambo-jf8ci 4 місяці тому

    Hiyo oven ni pesa ngapi

  • @wewa7329
    @wewa7329 2 роки тому

    Mawasiliano yenu naomba

  • @jolliespicy8925
    @jolliespicy8925 Рік тому

    Hiyo oven ndo bei gani?