Dada mimi oven yangu ni Europe nikiwasha moto wa juu pekeake unawaka vizuri wachini tupu unawaka vizuri lakini nikitaka kuwasha wajuu na wachini unawaka kidogo alafu ule wekundu u apotea je nibovu au vipi
Jamni madam sorry nina overn kama lako lakin kampunj ya winningstar lina temp mbili kama hilo ila nikitumia moto wa chin lakin haliivishi keki haiiivi nifanyeje naomba nielekeze pls
Vipi dada? Kwa kweli nashukuru sana kwa video hii, ila mimi nina msongo wa mawazo manake juzi nimenunua electric commercial convection oven nkiwa na matumaini ya kuwa niwe nikibake cakes, mikate, scones, cupcakes na vinginevyo, lakini nimejaribu kusearch kwa Google jinsi oven hii hutumika, ndio nkapata mshangao kuambiwa kwamba oven yangu haifai kabisa kwa mapishi ya vitu nilivyo vitaja hapo juu. Kwamba yafaa kwa cookies,pizza,meat. Jamani dada utanisaidiaje? Kwani hii yako mbona naona nikama yangu? Je ni convection oven kama yangu? Au ni aina gani? Naomba ushauri manake nina msongo wa mawazo
Asante kwa Somo yangu kwenye function Haina vidoti na sielewi kama juu Ina nyota pembeni kulia Ina mshale chini Ina nyota na mshale
angalia lile karatasi linalokuaga ndani ukishaitoa kwenye box, kuna maelekezo mle jinsi yq kutumia... maana zinatofautiana
Ubarikiwe
Asante mwl kwa darasa lako najifunza kutumia oven nimewasha moto wa chini napika keki rangi ya juu haijatoka nimekosea wapi
wa juu washa 150
asante sana
Hii inakuaje dr
Hello oven yangu ni ya ajayb UK naomba kusaidiwa izo chuma nazi wekajee?msaada please
We'll 👍
Mbona taa ndani haliwaki?
Naomba no bby
Jilo la juu unatumiaje
kubake cake unatumia moto wa juu na chini au wa chini tu?
Chin
tunabake. kwa hiyo hiyo 210C...?au unaweza eka 180?dk ngap. kwa. cake?
Dada mimi oven yangu ni Europe nikiwasha moto wa juu pekeake unawaka vizuri wachini tupu unawaka vizuri lakini nikitaka kuwasha wajuu na wachini unawaka kidogo alafu ule wekundu u apotea je nibovu au vipi
Nahitaji oveni naphtali wait sh. Ngapi niko nach,
Ohooo inategemea na ukubwa dear,,
Aje nimuuziee
Ukiweka moto wa chini peke yake, keki juu itaiva?
itaivaa... ila itachukua mda mrefu
Dada mm oven yng inawaka badala ya dkk kadhaa inajizima hlf inajiwasha tn ni ailyons je ni mfumo wake au nakosea matumizi
ile karatasi wanayowekaga uisome kabla ya kuitumia dear, labda kuna mahal hapako sawa
@@Sarah1. Ile wameandika kingereza ndo shida ss
@FaustinaMalandu5-mv6rv 0652167088 whatsap
@@Sarah1.Jamn nmechukua number Zako. Ntakuchek. Whtsp
nahitaji ovena
Cjui namna ya kutumia umeme
Nahitaji kuwasha taa ya ndani ya oven
Oven yangu ni emoji na sawa Moto wa juu hauwaki sijui utanisaidiaje
setting
Mm nimejaribu kupika leo keki lakin ndan ukiona imeiva ila mafuta kama yote na haichambuki, shida nn plz
Jinsi ya kuwasha iyo taa kwanza
uki connect kwenye umeme yenyewe inawaka
Jamni madam sorry nina overn kama lako lakin kampunj ya winningstar lina temp mbili kama hilo ila nikitumia moto wa chin lakin haliivishi keki haiiivi nifanyeje naomba nielekeze pls
Hi
Oven yangu ni kama ina kidude kimoja tu cha temperature tena ni cha juu
Hata yangu jamani
Mimi nataka nipike keki niweke vipi
Vipi dada? Kwa kweli nashukuru sana kwa video hii, ila mimi nina msongo wa mawazo manake juzi nimenunua electric commercial convection oven nkiwa na matumaini ya kuwa niwe nikibake cakes, mikate, scones, cupcakes na vinginevyo, lakini nimejaribu kusearch kwa Google jinsi oven hii hutumika, ndio nkapata mshangao kuambiwa kwamba oven yangu haifai kabisa kwa mapishi ya vitu nilivyo vitaja hapo juu. Kwamba yafaa kwa cookies,pizza,meat. Jamani dada utanisaidiaje? Kwani hii yako mbona naona nikama yangu? Je ni convection oven kama yangu? Au ni aina gani? Naomba ushauri manake nina msongo wa mawazo
0652167088 whatsap only
Eh dad nataka kiwasha ya juu na ya chin