Mrembo avunja UKIMYA "DIAMOND kanigombanisha na HAMISA MOBETTO/Kanuna/ANISAMEHE naomba"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Mrembo Priska Kishuda amemuomba radhi mwanamitindo na mfanyabiashara Hamisa Mobetto baada ya Hamisa kumkasirikia kisa kuwa karibu na Familia ya Diamond Platnumz. Priska anasema kuwa hapo awali alikuwa mtu wa karibu sana na Hamisa ila ukaribu huo ulikufa baada ya Hamisa kujua kuwa mrembo huyo ameanza kuwa karibu na familia ya Diam
    _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
    #HamisaMobetto #DiamondPlatnumz

КОМЕНТАРІ • 7

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 місяці тому +6

    Huyu binti anahitaji sana kujiweka na MWENYENZI MUNGU KTK IBADA., ili ageuze TABIA YK YA KUCHANGANYA MAADUI. PRISCA UNACHOTAKIWA NI KUELEWA KUWA TAMAA YK ITAKUFIKISHA KWENYE MAUTI😢🙄

  • @swalehehamza9636
    @swalehehamza9636 3 місяці тому +1

    Uyo miss ana udugu na mzee wa utopolo? Yule shabiki wa yanga😂😂

  • @fetty_sarah__
    @fetty_sarah__ 3 місяці тому

    Sasa aliomba msamaha wa nini kama hajui kosa? Kuna tatizo mahali hapaa

  • @user-kg7yq3on9j
    @user-kg7yq3on9j 3 місяці тому +1

    Akili ni Mali nimemaliza 😅

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 3 місяці тому

    Inaonyesha kuna shida

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 3 місяці тому

    Elezea vizur ww, kwann waficha ficha

  • @user-et6tc2wt8m
    @user-et6tc2wt8m 3 місяці тому

    Mnafiki huyo alimwambia hamisa mtoto sio wadai