Broo,mimi sipendi kuona watu na akili zenu na mnadananywa kama Madubu na haohao wanowaona Madubu ndio waliokuwa wizi wa mali za Serekali na Raia pia kwahilo siwezi kukaa kimya,Halafu Kama unanihisi mimi nna njaa hebu angalia profile yangu halafu ujiangalie wewe kabla hujasema sawa?
Halafu anadai eti tazama profile yangu wangapi wanapiga picha navitu vya watu unaweza kusema ni vyakwao siasa za zanzibar ni kama maji usipo yanywa utayakoga au yakitiririka lazima uyasikilize hizo ndizo siasa za zanzibar 😂😂😂😂😂
@@abufeiy ah kumbe bado hadileo unaishi maisha yakishamba picha ndio nini Mimi mwenyewe nimeowa mzungu Nina watoto wawili na kwasasa nipo lose Angela California kama wewe unaona eti nafahari watu washatoka uko ayo kawaida tu haijalishi upo wapi bro 😂😂😂😂
ccm wana laana kw uwezo wa mungu mwk huu mwisho wao😊
Freedom zanzibar 2025❤
Msijihangaishe zungumzeni lakini Mwinyi mitano tena
Ok,kwahivyo umeangalia Nenda basi na wewe kama rahisi
Itafika mahala umkimya utavunjwa nafikiri 2035.
Msisahau Hâta Wapalestina Wanakubali kufa ni Kwaajili Ya Kupigania Nchiyao
Haw madalali wa zanzibar ccm marahii vyovyote waondoke
Broo,mimi sipendi kuona watu na akili zenu na mnadananywa kama Madubu na haohao wanowaona Madubu ndio waliokuwa wizi wa mali za Serekali na Raia pia kwahilo siwezi kukaa kimya,Halafu Kama unanihisi mimi nna njaa hebu angalia profile yangu halafu ujiangalie wewe kabla hujasema sawa?
ww ulipiga sana pesa zetu wakati ule ss inatosha
Mnafiki mkubwa mbona hukusema wakati ulipokuwa unaiba wewe na shemegi yako???
Jmn ww si ulisema hutaki kusikiliza mambo ya hovyo kilichokuleta huku nn tena? Ukasema unapambana na maisha kumbe mshamba mmoja2 njaa tupu
Halafu anadai eti tazama profile yangu wangapi wanapiga picha navitu vya watu unaweza kusema ni vyakwao siasa za zanzibar ni kama maji usipo yanywa utayakoga au yakitiririka lazima uyasikilize hizo ndizo siasa za zanzibar 😂😂😂😂😂
Broo tizama hizo picha zimepigwa wapi sio simepigwa na vitu gani
@@abufeiy ah kumbe bado hadileo unaishi maisha yakishamba picha ndio nini Mimi mwenyewe nimeowa mzungu Nina watoto wawili na kwasasa nipo lose Angela California kama wewe unaona eti nafahari watu washatoka uko ayo kawaida tu haijalishi upo wapi bro 😂😂😂😂
Hata south Africa wazungu wapo😁😁😁😁